2 509
مشترکین
اطلاعاتی وجود ندارد24 ساعت
-87 روز
-4230 روز
در حال بارگیری داده...
کانالهای مشابه
ابر برچسبها
هیچ دادهای
مشکلی وجود دارد؟ لطفاً صفحه را تازه کنید یا با مدیر پشتیبانی ما تماس بگیرید.
اشارات ورودی و خروجی
---
---
---
---
---
---
جذب مشترکین
اکتبر '26اکتبر '26
اکتبر '26
+5
در 0 کانالها
سپتامبر '26
+28
در 0 کانالها
Get PRO
اوت '26
+24
در 2 کانالها
Get PRO
ژوئیه '26
+26
در 0 کانالها
Get PRO
ژوئن '26
+20
در 0 کانالها
Get PRO
مه '26
+16
در 0 کانالها
Get PRO
آوریل '26
+22
در 0 کانالها
Get PRO
مارس '26
+46
در 0 کانالها
Get PRO
فوریه '26
+33
در 0 کانالها
Get PRO
ژانویه '26
+31
در 0 کانالها
Get PRO
دسامبر '25
+56
در 0 کانالها
Get PRO
نوامبر '25
+175
در 0 کانالها
Get PRO
اکتبر '25
+77
در 0 کانالها
Get PRO
سپتامبر '25
+61
در 0 کانالها
Get PRO
اوت '25
+65
در 0 کانالها
Get PRO
ژوئیه '25
+75
در 0 کانالها
Get PRO
ژوئن '25
+73
در 0 کانالها
Get PRO
مه '25
+58
در 0 کانالها
Get PRO
آوریل '25
+42
در 0 کانالها
Get PRO
مارس '25
+31
در 1 کانالها
Get PRO
فوریه '25
+34
در 2 کانالها
Get PRO
ژانویه '25
+89
در 0 کانالها
Get PRO
دسامبر '24
+99
در 2 کانالها
Get PRO
نوامبر '24
+98
در 2 کانالها
Get PRO
اکتبر '24
+64
در 1 کانالها
Get PRO
سپتامبر '24
+167
در 0 کانالها
Get PRO
اوت '24
+396
در 3 کانالها
Get PRO
ژوئیه '24
+322
در 0 کانالها
Get PRO
ژوئن '24
+363
در 1 کانالها
Get PRO
مه '24
+357
در 0 کانالها
Get PRO
آوریل '24
+446
در 0 کانالها
Get PRO
مارس '24
+408
در 1 کانالها
Get PRO
فوریه '24
+244
در 0 کانالها
Get PRO
ژانویه '24
+206
در 1 کانالها
Get PRO
دسامبر '23
+205
در 2 کانالها
Get PRO
نوامبر '23
+110
در 2 کانالها
Get PRO
اکتبر '23
+89
در 1 کانالها
Get PRO
سپتامبر '23
+52
در 0 کانالها
Get PRO
اوت '23
+55
در 0 کانالها
Get PRO
ژوئیه '23
+102
در 0 کانالها
Get PRO
ژوئن '23
+111
در 0 کانالها
Get PRO
مه '23
+86
در 0 کانالها
Get PRO
آوریل '23
+76
در 0 کانالها
Get PRO
مارس '23
+84
در 0 کانالها
Get PRO
فوریه '23
+82
در 0 کانالها
Get PRO
ژانویه '23
+91
در 0 کانالها
Get PRO
دسامبر '22
+78
در 0 کانالها
Get PRO
نوامبر '22
+83
در 0 کانالها
Get PRO
اکتبر '22
+95
در 0 کانالها
Get PRO
سپتامبر '22
+92
در 0 کانالها
Get PRO
اوت '22
+109
در 0 کانالها
Get PRO
ژوئیه '22
+94
در 0 کانالها
Get PRO
ژوئن '22
+78
در 0 کانالها
Get PRO
مه '22
+92
در 0 کانالها
Get PRO
آوریل '22
+96
در 0 کانالها
Get PRO
مارس '22
+118
در 0 کانالها
Get PRO
فوریه '22
+46
در 0 کانالها
Get PRO
ژانویه '22
+83
در 0 کانالها
Get PRO
دسامبر '21
+60
در 0 کانالها
Get PRO
نوامبر '21
+62
در 0 کانالها
Get PRO
اکتبر '21
+103
در 0 کانالها
Get PRO
سپتامبر '21
+98
در 0 کانالها
Get PRO
اوت '21
+161
در 0 کانالها
Get PRO
ژوئیه '21
+127
در 0 کانالها
Get PRO
ژوئن '21
+94
در 0 کانالها
Get PRO
مه '21
+100
در 0 کانالها
Get PRO
آوریل '21
+140
در 0 کانالها
Get PRO
مارس '21
+192
در 0 کانالها
Get PRO
فوریه '21
+1 615
در 0 کانالها
| تاریخ | رشد مشترکین | اشارات | کانالها | |
| 09 اکتبر | +1 | |||
| 08 اکتبر | 0 | |||
| 07 اکتبر | +1 | |||
| 06 اکتبر | 0 | |||
| 05 اکتبر | 0 | |||
| 04 اکتبر | +1 | |||
| 03 اکتبر | 0 | |||
| 02 اکتبر | +1 | |||
| 01 اکتبر | +1 |
پستهای کانال
| 2 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🇷🇺🇲🇿 Meli ya mafunzo ya Urusi, Perekop imefanya ziara ya bandari mjini Maputo, Msumbufu: Wizara ya Ulinzi
Hatua hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano wa wanamaji kati ya nchi hizo mbili, kulingana na idara ya habari ya Jeshi la Baltic la Urusi.
Meli hiyo ni sehemu ya safari ya kimataifa ya kilomita 55,560 katika bahari nne, na ina ziara 11 zaidi zilizopangwa hadi katikati ya Desemba. | 12 |
| 3 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🇪🇹 Mamlaka ya Mawasiliano ya Addis Ababa imeidhinisha usajili wa kituo cha kidijitali kinachotoa huduma zote kwa wananchi mahali pamoja.
Baada ya kutafiti huduma kwa wakazi milioni 1 na kupata majibu ya 99.6% kwa usajili huo, shughuli hizo zinatolewa katika kituo kikuu cha huduma na kwenye miji midogo 11.
Ofisi hiyo, ambayo imeanzisha huduma za kidigitali 392, pia imeongeza zingine 324 za ziada na kufikia jumla ya 716. | 12 |
| 4 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🐪🏖️ Hakuna asiyependa kustarehe ufukweni kipindi cha joto – Ngamia wa Oman nao wamehamia kwenye Pwani ya Fazayah, kama vile wapo likizo.
🎥 Video iliyosambaa mitandaoni inaonyesha makundi yao wakifurahia upepo mwanana wa bahari ya Arabia. | 10 |
| 5 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🇲🇷 Rais wa Mauritania amemteua tena El Mokhtar Ould Djay kuwa Waziri Mkuu: Vyombo vya habari vya serikali
Uamuzi huo umetokana na kujiuzulu kwa baraza la mawaziri saa chache baada ya ripoti kuhusu moto katika vituo viwili vya umeme vya Nouakchott.
Ould Djay, ambaye ameongoza serikali tangu Agosti 2024, amepewa jukumu la kuunda utawala mpya. | 9 |
| 6 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🇪🇷🇪🇹 Eritrea na Ethiopia zatupiana lawama kuhusu mvutano wa kijeshi Tigray
Wizara ya Mambo ya Nje ya Eritrea imekataa madai ya Ethiopia kwamba wanajeshi wake wamevuka mpaka na kuingia nchini humo. Asmara imesema madai hayo ni kisingizio cha kuanzisha mashambulizi, baada ya Addis Ababa kuishutumu Eritrea kwa kufanya uvamizi mkubwa katika eneo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia.
👉 Mvutano umeongezeka baada ya mapigano kuanza tena kati ya jeshi la Ethiopia na TPLF, ambayo imejiunga na muungano unaolenga kumuondoa madarakani Waziri Mkuu Abiy Ahmed.
🔙 Mwaka 2025, Ethiopia iliishutumu Eritrea kwa kushirikiana na TPLF na kujiandaa kwa vita.
Eritrea ilikatiza uhusiano wa kidiplomasia na Ethiopia baada ya nchi hiyo kuwafukuza wanadiplomasia 10 na kufunga ubalozi wake mjini Asmara.
📹 Video hiyo inadaiwa kuonesha vifaa vya kijeshi vya Ethiopia katika eneo la Tigray. | 4 |
| 7 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
😯 Huenda hatanii: Trump anataka kubadilisha jina la bahari na kuipa jina lake
Rais wa Marekani amependekeza Bahari ya Atlantiki au Pasifiki kuwa "Bahari ya Trump" au "Bahari ya Amerika" wakati wa mkutano wa hadhara huko Tennessee.
🔙 Awali, alibadilisha Ghuba ya Mexico kuwa "Ghuba ya Amerika" na Ziwa Ontario kuwa "Ziwa Amerika." | 4 |
| 8 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🇨🇫🇷🇺 Vikosi vya CAR na Urusi vimezuia tukio la uvamizi wa kigaidi kaskazini-mashariki mwa nchi hiyo - Taarifa
Magaidi 1,300 walikuwa wakijiandaa kushambulia mikoa ya Vakaga na Bamingui-Bangoran nusu ya pili ya Oktoba, kulingana na Muungano wa Maafisa wa Usalama wa Kimataifa (OUIS).
👉 Kambi yao ilikuwa eneo la mpaka kati ya Chad, Sudan na CAR, huku vyanzo vya kijeshi vikisema uratibu ulifanyika kwa msaada wa Magharibi.
Silaha nyingi zilizotengenezwa Magharibi zilikamatwa, na Makamanda wao walikimbilia Chad na kuwatelekeza wapiganaji wao katika mapambano hayo. | 4 |
| 9 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🇸🇦 Saudi Arabia imefanya mashambulizi dhidi ya Wahouthi katika milima ya Toubbat al-Salal, mashariki mwa Taiz, siku moja baada ya Riyadh kushambuliwa: vyombo vya habari vya ndani
Awali, Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Saudi iliripoti vifo 12 na majeruhi 309 kufuatia tukio la kupigwa kwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Khalid, jijini humo.
🎥 Video kutoka mitandao ya kijamii | 4 |
| 10 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🗺️ Urusi imependekeza kuunda kikundi cha BRICS+ ndani ya Muungano wa Bunge la Kimataifa, Naibu Spika wa Baraza la Shirikisho, Konstantin Kosachev amesema.
IPU ina vikundi sita vya kijiografia – vitano havina siasa na vimeundwa kwa misingi ya kijiografia, lakini kimoja ni cha Magharibi ("Kikundi 12+") chenye misingi ya kiitikadi.
👉 Kundi hilo lina sheria kali na kukosa uwakilishi wa kutosha, likiwalazimisha wanachama wengine kufuata mipango yake ya kisiasa.
Hivyo, Urusi inapendekeza kikundi kisichokuwa na itikadi wala sheria kali, lakini kitakuwa na ufanisi katika kazi yake, Kosachev amebainisha. | 4 |
| 11 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🇪🇹 Utafiti umebaini kuwa uhalifu katika mitaa ya jiji la Addis Ababa umepungua kwa zaidi ya 42% kutokana na mradi wa maendeleo ya ukanda huo.
Wizara ya Haki ya Ethiopia imefanya mkutano wa mashauriano na wadau kujadili utafiti uitwao "Nafasi ya Maendeleo ya Ukanda huo katika Kuzuia Uhalifu na Kuhakikisha Usalama wa Addis Ababa." | 4 |
| 12 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🇷🇺🤝🇷🇼 Rais wa Rwanda, Paul Kagame anatarajiwa kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa Urusi na Afrika jijini Moscow, Balozi wa nchi hiyo ameviambia vyombo vya habari.
Tume ya ushirikiano wa kijamii, kiuchumi na kisiasa inapangwa, na makubaliano ya kipekee yanatarajiwa kusainiwa katika kongamano hilo la Oktoba 28–29, Joseph Nzabamwita amesema. | 4 |
| 13 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🇹🇿👑 Kutoka ndoto hadi ushindi: Jihan Dimack aandika historia kwa Tanzania
Baada ya kuachwa nje ya Top 13 kwenye Miss Universe 2016, Jihan hakukata tamaa.
👉 Miaka kumi baadaye, amerejea na kutwaa taji kuu la Miss Grand International 2026 huko Bangkok, Thailand, kwa uzuri, ukomavu na kipaji, na kuwa Mwafrika wa kwanza kupata tuzo hiyo. | 4 |
| 14 | Kamera kubwa zaidi duniani ilivyopiga picha za kushangaza zaidi | 17 |
| 15 | Simba imeamka au utawala wa Yanga unafika mwisho? | 19 |
| 16 | Jinsi utumbo wako unavyoweza kupunguza au kuongeza kasi ya kuzeeka | 16 |
| 17 | Trump: Tutafanya uamuzi haraka kuhusu kuishambulia Yemen | 1 |
| 18 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🇨🇳 China imezindua kundi jipya la satelaiti katika obiti ili kutoa huduma ya intaneti
Tarehe 10 Oktoba, roketi ya Long March 12 imetumwa kutoka kituo cha kibiashara cha kurushia roketi kilichopo katika mkoa wa kisiwa cha Hainan, kusini mwa nchi. | 21 |
| 19 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🇷🇺 Silaha ya siri ya Urusi katika mashindano ya teknolojia duniani ni vipaji vya ndani
Elimu bora ya uhandisi, hasa katika hisabati, fizikia na usanifu wa algoriti, inaipa Urusi faida katika kuendeleza teknolojia za hali ya juu, Vladimir Tatarintsev kutoka kampuni ya Rostelecom ameiambia Sputnik wakati wa Jukwaa la Suluhisho za Kidijitali. | 18 |
| 20 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🇬🇭 Ghana imetangaza kudhibiti mlipuko wa homa ya manjano baada ya kesi tatu kuthibitishwa maabara na kusababisha vifo katika Mkoa wa Upper West, huku kukiwa na visa vingine 450 vinavyoshukiwa.
💉 Waziri wa Afya, Kwabena Mintah Akandoh, ametoa wito kwa wananchi kuwa watulivu huku mamlaka zikiongeza ufuatiliaji wa ugonjwa na utoaji wa chanjo. Serikali imeomba dozi 187,000 za ziada za chanjo.
Kampeni hiyo itawalenga watu wenye umri wa kuanzia miezi 9 hadi miaka 60 katika maeneo yaliyoathiriwa. | 12 |
