ch
Feedback
Swahili News

Swahili News

前往频道在 Telegram
2 724
订阅者
-324 小时
-137
-8330

数据加载中...

标签云
无数据
有任何问题?请刷新页面或联系我们的客服
进出提及
---
---
---
---
---
---
吸引订阅者
七月 '26
七月 '26
+19
在0个频道中
六月 '26
+20
在0个频道中
Get PRO
五月 '26
+16
在0个频道中
Get PRO
四月 '26
+22
在0个频道中
Get PRO
三月 '26
+46
在0个频道中
Get PRO
二月 '26
+33
在0个频道中
Get PRO
一月 '26
+31
在0个频道中
Get PRO
十二月 '25
+56
在0个频道中
Get PRO
十一月 '25
+175
在0个频道中
Get PRO
十月 '25
+77
在0个频道中
Get PRO
九月 '25
+61
在0个频道中
Get PRO
八月 '25
+65
在0个频道中
Get PRO
七月 '25
+75
在0个频道中
Get PRO
六月 '25
+73
在0个频道中
Get PRO
五月 '25
+58
在0个频道中
Get PRO
四月 '25
+42
在0个频道中
Get PRO
三月 '25
+31
在1个频道中
Get PRO
二月 '25
+34
在2个频道中
Get PRO
一月 '25
+89
在0个频道中
Get PRO
十二月 '24
+99
在2个频道中
Get PRO
十一月 '24
+98
在2个频道中
Get PRO
十月 '24
+64
在1个频道中
Get PRO
九月 '24
+167
在0个频道中
Get PRO
八月 '24
+396
在3个频道中
Get PRO
七月 '24
+322
在0个频道中
Get PRO
六月 '24
+363
在1个频道中
Get PRO
五月 '24
+357
在0个频道中
Get PRO
四月 '24
+446
在0个频道中
Get PRO
三月 '24
+408
在1个频道中
Get PRO
二月 '24
+244
在0个频道中
Get PRO
一月 '24
+206
在1个频道中
Get PRO
十二月 '23
+205
在2个频道中
Get PRO
十一月 '23
+110
在2个频道中
Get PRO
十月 '23
+89
在1个频道中
Get PRO
九月 '23
+52
在0个频道中
Get PRO
八月 '23
+55
在0个频道中
Get PRO
七月 '23
+102
在0个频道中
Get PRO
六月 '23
+111
在0个频道中
Get PRO
五月 '23
+86
在0个频道中
Get PRO
四月 '23
+76
在0个频道中
Get PRO
三月 '23
+84
在0个频道中
Get PRO
二月 '23
+82
在0个频道中
Get PRO
一月 '23
+91
在0个频道中
Get PRO
十二月 '22
+78
在0个频道中
Get PRO
十一月 '22
+83
在0个频道中
Get PRO
十月 '22
+95
在0个频道中
Get PRO
九月 '22
+92
在0个频道中
Get PRO
八月 '22
+109
在0个频道中
Get PRO
七月 '22
+94
在0个频道中
Get PRO
六月 '22
+78
在0个频道中
Get PRO
五月 '22
+92
在0个频道中
Get PRO
四月 '22
+96
在0个频道中
Get PRO
三月 '22
+118
在0个频道中
Get PRO
二月 '22
+46
在0个频道中
Get PRO
一月 '22
+83
在0个频道中
Get PRO
十二月 '21
+60
在0个频道中
Get PRO
十一月 '21
+62
在0个频道中
Get PRO
十月 '21
+103
在0个频道中
Get PRO
九月 '21
+98
在0个频道中
Get PRO
八月 '21
+161
在0个频道中
Get PRO
七月 '21
+127
在0个频道中
Get PRO
六月 '21
+94
在0个频道中
Get PRO
五月 '21
+100
在0个频道中
Get PRO
四月 '21
+140
在0个频道中
Get PRO
三月 '21
+192
在0个频道中
Get PRO
二月 '21
+1 615
在0个频道中
日期
订阅者增长
提及
频道
17 七月0
16 七月+1
15 七月+1
14 七月+2
13 七月+2
12 七月+2
11 七月+1
10 七月+1
09 七月+1
08 七月+1
07 七月0
06 七月+1
05 七月+2
04 七月+2
03 七月0
02 七月0
01 七月+2
频道帖子
2
Jinsi Trump anavyohangaika kumaliza vita na Iran
5
3
Maajabu nane kuhusu papa
4
4
Jeshi la wanamaji la Marekani latumia silaha mpya kwa mara ya kwanza dhidi ya Iran
4
5
Marekani yaishambulia Iran kwa usiku wa saba mfululizo
1
6
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
4
7
Nani mkali kati ya Messi na Maradona?
4
8
Tetesi za Soka Jumamosi: Arsenal wanamtaka Rogers wa Villa
2
9
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Maafa hayo yalitokea leo asubuhi katika eneo la Pengshui, mashariki mwa mji wa Chongqing, baada ya sehemu y
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Maafa hayo yalitokea leo asubuhi katika eneo la Pengshui, mashariki mwa mji wa Chongqing, baada ya sehemu ya mlima kuporomoka na kusababisha kifusi kufunika maeneo ya makaazi. Vyombo vya habari vya serikali viliripoti kuwa zaidi ya majengo kumi ya makazi yalifunikwa na kifusi, na kusababisha baadhi ya watu kunaswa ndani ya nyumba zao. Wiki iliyopita, watu 21 walifariki katika maporomoko mengine ya ardhi yaliyotokea katika mkoa wa kaskazini-magharibi wa Gansu, karibu na mji wa Longnan, na kuonyesha changamoto zinazoendelea kukabili maeneo yenye hatari ya majanga ya asili nchini humo.
4
10
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani yamelenga maeneo mbalimbali ya miundombinu kusini na kusini-masha
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani yamelenga maeneo mbalimbali ya miundombinu kusini na kusini-mashariki mwa Iran. Miongoni mwa maeneo yaliyolengwa ni madaraja matano, njia ya reli, uwanja wa ndege wa Iranshahr, pamoja na maeneo mengine yanayodaiwa kuwa na umuhimu wa kimkakati. #Kurunzi 17.07.2026
4
11
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Kwa zaidi ya nusu karne, kuna swali moja limeendelea kugawa mashabiki wa soka duniani. Nani ndiye mchezaji+8
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Kwa zaidi ya nusu karne, kuna swali moja limeendelea kugawa mashabiki wa soka duniani. Nani ndiye mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea? - Je, ni Lionel Messi, Diego Maradona au Pelé? Kila mmoja ana hoja nzito zinazomweka kileleni mwa historia ya mchezo huu. Pangusa kushoto kufahamu zaidi - - -
12
12
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Picha iliyopigwa miaka 19 iliyopita na kuonekana ya kawaida wakati huo, leo imegeuka kuwa moja ya picha zin
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Picha iliyopigwa miaka 19 iliyopita na kuonekana ya kawaida wakati huo, leo imegeuka kuwa moja ya picha zinazovutia dunia ya soka. Picha hiyo ilimuonesha Lionel Messi akiwa amembeba mtoto mchanga ambaye sasa ni nyota wa Hispania, Lamine Yamal. Na wawili hao watakutana uso kwa uso katika hatua kubwa zaidi ya soka duniani, fainali ya Kombe la Dunia 2026 Mwandishi wa BBC @ahmedbahajj anaiangazia simulizi hii - -
10
13
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Lionel Messi na Lamine Yamal watakutana uso kwa uso kwenye Fainali ya Kombe la Dunia 2026 siku ya Jumapili,+6
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Lionel Messi na Lamine Yamal watakutana uso kwa uso kwenye Fainali ya Kombe la Dunia 2026 siku ya Jumapili, Julai 19. - Hii itakuwa mara ya kwanza kabisa kwa nyota hawa wa soka kucheza dhidi ya kila mmoja uwanjani. - Kwa mara ya kwanza walikutana miaka 19 iliyopita, wakati Messi alipokuwa na umri wa miaka 20 na Yamal akiwa mtoto wa miezi mitano tu. - Pangusa kushoto kufahamu zaidi - - - #
10
14
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Hatua ya Marekani ya kuweka masharti mapya ya usafiri kwa watu wanaotoka maeneo yaliyoathiriwa na Ebola ime
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Hatua ya Marekani ya kuweka masharti mapya ya usafiri kwa watu wanaotoka maeneo yaliyoathiriwa na Ebola imewaathiri wafanyakazi saba wa misaada waliokuwa wakifanya kazi DR Congo. Wafanyakazi hao sasa wamewekwa karantini nchini Kenya katika kituo ambacho kimezua utata mkubwa wa kisheria na kisiasa. Mwandishi wa BBC, @mrs.tadicha na taarifa zaidi: - - 🇺🇸
9
15
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ 🗣 Influencer @mrpoul_brand anatamba kwamba yeye ndio staa pekee aliyetikisa kutokea Kanda ya Ziwa. #5SELEK
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ 🗣 Influencer @mrpoul_brand anatamba kwamba yeye ndio staa pekee aliyetikisa kutokea Kanda ya Ziwa. #5SELEKT
9
16
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Kumbe huyu Mr Poul Brand alishawahi kushughulikiwa na mabaunsa wa @diamondplatnumz baada ya kumrukia bila r
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Kumbe huyu Mr Poul Brand alishawahi kushughulikiwa na mabaunsa wa @diamondplatnumz baada ya kumrukia bila ruhusa yake😅 #5SELEKT
9
17
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Mr Poul Brand anatuambia utofauti uliopo kati ya matajiri wanaoishi kanda ya ziwa na matajiri wa jiji la Da
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Mr Poul Brand anatuambia utofauti uliopo kati ya matajiri wanaoishi kanda ya ziwa na matajiri wa jiji la Dar es Salaam. #5SELEKT
14
18
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Mamlaka za afya katika Ukanda wa Gaza zimesema watu wanane wamefariki baada ya Israel kufanya shambulio la
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Mamlaka za afya katika Ukanda wa Gaza zimesema watu wanane wamefariki baada ya Israel kufanya shambulio la anga karibu na soko katika eneo la kati la ukanda huo. Kwa mujibu wa shirika la ulinzi wa raia la Gaza, watu wanane waliuawa katika shambulio hilo lililotokea katika kambi ya wakimbizi ya Nuseirat, iliyopo katikati mwa Gaza. Hospitali ya Al-Awda katika eneo hilo imethibitisha kupokea miili ya watu waliouawa baada ya tukio hilo. Wahudumu wa afya waliendelea na taratibu za kuwahudumia waliojeruhiwa na kutambua miili ya waliopoteza maisha.
17
19
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Wanafunzi nchini India wanafanya mgomo wa kula huku maandamano yanayoongezeka yakimtaka Waziri wa Elimu Dha
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Wanafunzi nchini India wanafanya mgomo wa kula huku maandamano yanayoongezeka yakimtaka Waziri wa Elimu Dharmendra Pradhan ajiuzulu. Pia wanadai mageuzi makubwa ya mitihani, na fidia kwa familia za wanafunzi waliokufa kwa kujiua kutokana na madai ya uvujaji wa mitihani au matokeo ya mitihani.
10
20
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Klabu ya Real Madrid inaendelea kuhusishwa na mpango wa kuimarisha kuimarisha kikosi chake kwa kumuwinda wi
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Klabu ya Real Madrid inaendelea kuhusishwa na mpango wa kuimarisha kuimarisha kikosi chake kwa kumuwinda winga wa Bayern Munich, Michael Olise, ambaye amekuwa miongoni mwa wachezaji wanaovutia zaidi barani Ulaya kutokana na kiwango chake bora. Olise alijiunga na Bayern Munich akitokea Crystal Palace na amekuwa akionyesha kiwango cha juu tangu alipowasili nchini Ujerumani. Kasi yake, uwezo wa kupiga chenga, ubunifu wa kutoa pasi za mwisho na kufunga mabao vimemfanya kuwa mmoja wa wachezaji muhimu ndani ya kikosi cha mabingwa hao wa Bundesliga. Hata hivyo, juhudi zozote za Real Madrid zinaweza kukumbana na kikwazo kikubwa kutoka Bayern Munich. Klabu hiyo inamchukulia Olise kuwa nguzo muhimu ya kikosi chake cha sasa na cha baadaye, hali inayofanya uwezekano wa kuondoka kwake katika dirisha hili la usajili kuwa mdogo. #dwmichezo #bundesliga
8