ar
Feedback
Swahili News

Swahili News

الذهاب إلى القناة على Telegram
2 710
المشتركون
-524 ساعات
-217 أيام
-7330 أيام

جاري تحميل البيانات...

القنوات المماثلة
سحابة العلامات
لا توجد بيانات
هل تواجه مشاكل؟ يرجى تحديث الصفحة أو الاتصال بمدير الدعم الخاص بنا.
الإشارات الواردة والصادرة
---
---
---
---
---
---
جذب المشتركين
يوليو '26
يوليو '26
+20
في 0 قنوات
يونيو '26
+20
في 0 قنوات
Get PRO
مايو '26
+16
في 0 قنوات
Get PRO
أبريل '26
+22
في 0 قنوات
Get PRO
مارس '26
+46
في 0 قنوات
Get PRO
فبراير '26
+33
في 0 قنوات
Get PRO
يناير '26
+31
في 0 قنوات
Get PRO
ديسمبر '25
+56
في 0 قنوات
Get PRO
نوفمبر '25
+175
في 0 قنوات
Get PRO
أكتوبر '25
+77
في 0 قنوات
Get PRO
سبتمبر '25
+61
في 0 قنوات
Get PRO
أغسطس '25
+65
في 0 قنوات
Get PRO
يوليو '25
+75
في 0 قنوات
Get PRO
يونيو '25
+73
في 0 قنوات
Get PRO
مايو '25
+58
في 0 قنوات
Get PRO
أبريل '25
+42
في 0 قنوات
Get PRO
مارس '25
+31
في 1 قنوات
Get PRO
فبراير '25
+34
في 2 قنوات
Get PRO
يناير '25
+89
في 0 قنوات
Get PRO
ديسمبر '24
+99
في 2 قنوات
Get PRO
نوفمبر '24
+98
في 2 قنوات
Get PRO
أكتوبر '24
+64
في 1 قنوات
Get PRO
سبتمبر '24
+167
في 0 قنوات
Get PRO
أغسطس '24
+396
في 3 قنوات
Get PRO
يوليو '24
+322
في 0 قنوات
Get PRO
يونيو '24
+363
في 1 قنوات
Get PRO
مايو '24
+357
في 0 قنوات
Get PRO
أبريل '24
+446
في 0 قنوات
Get PRO
مارس '24
+408
في 1 قنوات
Get PRO
فبراير '24
+244
في 0 قنوات
Get PRO
يناير '24
+206
في 1 قنوات
Get PRO
ديسمبر '23
+205
في 2 قنوات
Get PRO
نوفمبر '23
+110
في 2 قنوات
Get PRO
أكتوبر '23
+89
في 1 قنوات
Get PRO
سبتمبر '23
+52
في 0 قنوات
Get PRO
أغسطس '23
+55
في 0 قنوات
Get PRO
يوليو '23
+102
في 0 قنوات
Get PRO
يونيو '23
+111
في 0 قنوات
Get PRO
مايو '23
+86
في 0 قنوات
Get PRO
أبريل '23
+76
في 0 قنوات
Get PRO
مارس '23
+84
في 0 قنوات
Get PRO
فبراير '23
+82
في 0 قنوات
Get PRO
يناير '23
+91
في 0 قنوات
Get PRO
ديسمبر '22
+78
في 0 قنوات
Get PRO
نوفمبر '22
+83
في 0 قنوات
Get PRO
أكتوبر '22
+95
في 0 قنوات
Get PRO
سبتمبر '22
+92
في 0 قنوات
Get PRO
أغسطس '22
+109
في 0 قنوات
Get PRO
يوليو '22
+94
في 0 قنوات
Get PRO
يونيو '22
+78
في 0 قنوات
Get PRO
مايو '22
+92
في 0 قنوات
Get PRO
أبريل '22
+96
في 0 قنوات
Get PRO
مارس '22
+118
في 0 قنوات
Get PRO
فبراير '22
+46
في 0 قنوات
Get PRO
يناير '22
+83
في 0 قنوات
Get PRO
ديسمبر '21
+60
في 0 قنوات
Get PRO
نوفمبر '21
+62
في 0 قنوات
Get PRO
أكتوبر '21
+103
في 0 قنوات
Get PRO
سبتمبر '21
+98
في 0 قنوات
Get PRO
أغسطس '21
+161
في 0 قنوات
Get PRO
يوليو '21
+127
في 0 قنوات
Get PRO
يونيو '21
+94
في 0 قنوات
Get PRO
مايو '21
+100
في 0 قنوات
Get PRO
أبريل '21
+140
في 0 قنوات
Get PRO
مارس '21
+192
في 0 قنوات
Get PRO
فبراير '21
+1 615
في 0 قنوات
التاريخ
نمو المشتركين
الإشارات
القنوات
21 يوليو0
20 يوليو0
19 يوليو0
18 يوليو+1
17 يوليو0
16 يوليو+1
15 يوليو+1
14 يوليو+2
13 يوليو+2
12 يوليو+2
11 يوليو+1
10 يوليو+1
09 يوليو+1
08 يوليو+1
07 يوليو0
06 يوليو+1
05 يوليو+2
04 يوليو+2
03 يوليو0
02 يوليو0
01 يوليو+2
منشورات القناة
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Baada ya miaka mingi ya kuonekana kama mtu sahihi wa kuirudisha timu ya Ujerumani kwenye ubora wake, sasa hatimaye anayo nafasi hiyo. Kocha huyo aliwahi kutamba katika timu ya Mainz, Dortmund na Liverpool. Timu ya taifa ya Ujerumani imekuwa na mfululizo wa matokeo mabaya na swali muhimu hapa ni ikiwa ataweza kuyabadili mambo na kuirejesha hadhi ya Ujerumani kimataifa. Unadhani atafanikiwa kubadili mambo?

2
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Wasira: Nilizungumza na Tibaijuka kwa muda wa saa nzima. Makamu Mwenyekiti wa chama tawala nchini Tanzania
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Wasira: Nilizungumza na Tibaijuka kwa muda wa saa nzima. Makamu Mwenyekiti wa chama tawala nchini Tanzania CCM Stephen Wasira amesema alizungumza kwa muda wa saa na aliyekuwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka kufuatia chapisho lake kwenye mtandao wa kijamii wa X la kumshauri Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan la kumwachia kiongozi wa upinzani nchini humo, Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini na haya ndiyo majibu yake alipoulizwa kuhusu hilo na mwandishi wa DW. Mahojiano zaidi tembelea youtube ya DW Kiswahili.
3
3
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ China na Ufilipino zimezozana na kulaumiana baada ya kutokea tukio la kugombana kati ya vikosi vyao vya bah
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ China na Ufilipino zimezozana na kulaumiana baada ya kutokea tukio la kugombana kati ya vikosi vyao vya baharini katika eneo la Bahari ya China Kusini ambalo nchi zote mbili zinadai kuwa ni lao - Victor Kenan anaelezea - - -
7
4
Mashariki ya kati Hali Bado tete
9
5
Marekani Ndani ya wiki 2 tuna vifo na majeruhi 100
11
6
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #PostOfTheDay: Ishi nayo hii. Cc: @Sanjodaud_ #EastAfricaTv #PostOfTheDay #HainaKuchoka
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #PostOfTheDay: Ishi nayo hii. Cc: @Sanjodaud_ #EastAfricaTv #PostOfTheDay #HainaKuchoka
14
7
Dira Ya Dunia
1
8
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Mahakama yaagiza mhadhiri UDOM aliyeshikiliwa na Polisi mara ya pili apewe dhamana Mahakama Kuu ya Tanzania
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Mahakama yaagiza mhadhiri UDOM aliyeshikiliwa na Polisi mara ya pili apewe dhamana Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imeamuru kuanzia leo Julai 21, 2026 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, aachiwe kwa dhamana wakati upelelezi wa tuhuma za uchochezi zinazomkabili ukiendelea. Jaji Joachim Tiganga ametoa uamuzi huo wakati wa usikilizwaji wa Shauri Na. 15653/2026. Mhadhiri huyo amekuwa akishikiliwa katika kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano yaliyojulikana kama "Sabasaba". Hii ni mara ya pili kwa Mhadhiri huyo kushikiliwa na Polisi, ambapo mnamo Disemba 09, 2025, alishikiliwa na Polisi na kupekuliwa nyumbani kwake kwa madai kuwa alihamasisha maandamano alipokuwa akifundisha Disemba 08, 2025. Jumuiya ya wanataaluma UDOM ilitahadharisha wanajumuiya juu ya watoa taarifa (informer), huku ikioneshwa kusikitishwa na hali hiyo ya wanataaluma kufuatiliwa katika majukumu yao.
12
9
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ "Nisiwakute mahali nilipowaacha, tutagombana" Tundu Lissu. Huo ni ujumbe wa Mwenyekiti wa chama kikuu cha u
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ "Nisiwakute mahali nilipowaacha, tutagombana" Tundu Lissu. Huo ni ujumbe wa Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Tundu Lissu alioutoa katika Mahakama Kuu Dar es Salaam leo Julai 21, 2026 wakati wa usikilizwaji wa kesi yake inayoendelea. CHADEMA ina kampeni yao ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kufanikisha mkutano wa baraza kuu la umma.
10
10
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Jiji la Madrid liligubikwa na shamrashamra, nyimbo na vigelegele wakati zaidi ya mashabiki milioni moja wal
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Jiji la Madrid liligubikwa na shamrashamra, nyimbo na vigelegele wakati zaidi ya mashabiki milioni moja walipojitokeza kusherehekea ushindi wa timu ya taifa ya Uhispania katika Kombe la Dunia. Mafanikio hayo yalizua hisia kubwa za fahari ya kitaifa na umoja, huku wananchi kutoka sehemu mbalimbali za nchi wakikusanyika kwenye mitaa mikuu ya mji mkuu huo kuwalaki mashujaa wao waliorejea nyumbani wakiwa na taji la dunia mikononi. 21.07.2026
7
11
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Ukitoa hisia za ushabiki na kuangalia mashindano kwa ujumla wake, unaipa alama gani Kombe la Dunia 2026 kat
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Ukitoa hisia za ushabiki na kuangalia mashindano kwa ujumla wake, unaipa alama gani Kombe la Dunia 2026 kati ya 10 na kwa nini? Karibu tujadiliane kwenye kipindi cha Kurunzi Live.
8
12
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Makamu Mwenyekiti wa chama tawala nchini Tanzania CCM Stephen Wasira, amesema chama chake kinaunga mkono ma
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Makamu Mwenyekiti wa chama tawala nchini Tanzania CCM Stephen Wasira, amesema chama chake kinaunga mkono maridhiano ya kitaifa baada ya vurugu za uchaguzi wa 2025, huku akisisitiza kuwa maridhiano hayo ni ya kitaifa na si cha CHADEMA pekee.#kutunzi 21.07.2026
6
13
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Marekani imeongeza mashambulizi yake dhidi ya Iran baada ya Tehran kushambulia meli ya mafuta katika Mlango
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Marekani imeongeza mashambulizi yake dhidi ya Iran baada ya Tehran kushambulia meli ya mafuta katika Mlango wa Bahari wa Hormuz. Licha ya mashambulizi hayo, Iran imeendelea kushikilia udhibiti wa njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.#kurunzi 21.07.2026
6
14
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Uganda wamemuenzi Askofu Christopher Senyonjo aliyefariki dunia aki
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Uganda wamemuenzi Askofu Christopher Senyonjo aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94. Askofu Senyonjo alikuwa miongoni mwa viongozi wachache wa dini waliotetea watu waliojihusisha na ushoga, hali iliyomletea migongano na Kanisa la Anglikana nchini humo. Wanaharakati wamesema urithi wake wa huruma, ujasiri na usawa utaendelea kuenziwa na vizazi vijavyo.
6
15
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Colonial borders and currency barriers undermining Africa's trade, Says PM Nchemba.
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Colonial borders and currency barriers undermining Africa's trade, Says PM Nchemba.
7
16
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuwafanyia ukatili mwanawe na mjukuu wake.
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuwafanyia ukatili mwanawe na mjukuu wake.
6
17
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Afrika yatakiwa kuimarisha taasisi, uongozi: ‘Taasisi dhaifu ni uwanja wa ufisadi’
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Afrika yatakiwa kuimarisha taasisi, uongozi: ‘Taasisi dhaifu ni uwanja wa ufisadi’
7
18
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Tanzania Prime Minister Mwigulu Nchemba cites Lobito Corridor as global critical mineral rivalry deepens Af
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Tanzania Prime Minister Mwigulu Nchemba cites Lobito Corridor as global critical mineral rivalry deepens Africa’s dependence.
8
19
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Kuna picha moja kutoka fainali ya Kombe la Dunia ambayo imewafanya wengi waulize maswali. Wakati viongozi w
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Kuna picha moja kutoka fainali ya Kombe la Dunia ambayo imewafanya wengi waulize maswali. Wakati viongozi wakubwa wa soka duniani walikuwa wamekaa jukwaani, kiti cha Rais wa UEFA, Aleksander Ceferin, kilibaki wazi. Je, alikuwa na sababu gani ya kukosa tukio kubwa zaidi kwenye kalenda ya soka? Mwandishi wa BBC @loko_omi na taarifa hii - -
7
20
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Picha za kamera iliyovaliwa mwilini naafisa mmoja wa polisi zinaonyesha jinsi polisi huyo alivyomuokoa mtu
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Picha za kamera iliyovaliwa mwilini naafisa mmoja wa polisi zinaonyesha jinsi polisi huyo alivyomuokoa mtu mmoja muda mchache baada ya gari lake kushika moto huko Southlake, Texas. - Kwa mujibu wa polisi, Koplo Swisher alikuwa akifanya ukaguzi wa kawaida wa magari barabarani alipoliona gari moja likitoa moshi mzito. Mara moja alimuelekeza dereva kuliegesha pembeni ya barabara. Dakika chache baadaye, moto ulianza kuzuka kutoka chini ya gari hilo huku dereva akiwa bado ndani. - - -
7