cookie

Sizning foydalanuvchi tajribangizni yaxshilash uchun cookie-lardan foydalanamiz. Barchasini qabul qiling», bosing, cookie-lardan foydalanilishiga rozilik bildirishingiz talab qilinadi.

avatar

Swahili News

🐾

Ko'proq ko'rsatish
Reklama postlari
3 413
Obunachilar
+924 soatlar
+607 kunlar
+31130 kunlar

Ma'lumot yuklanmoqda...

Obunachilar o'sish tezligi

Ma'lumot yuklanmoqda...

01:28
Video unavailableShow in Telegram
@HabariTz ✰✰✰ HUYU HAPA MRITHI WA LOMALISA JANGWANI, BOKA NI MALI, YANGA
Hammasini ko'rsatish...
huyu_hapa_mrithi_wa_lomalisa_jangwani_boka_ni_mali_yanga_xvrvkr.mp41.98 MB
Photo unavailableShow in Telegram
millardayo Yanga SC imemtambulisha rasmi beki wa Kimataifa wa Congo DR Boka Chadrack (24) kama Mchezaji wao mpya akitokea St Eloi Lupopo ya Congo DR. Boka Chadrack anayecheza namba 3 inatajwa kuwa ndio Mrithi wa Joyce Lomalisa Mutambala ambaye mkataba wake umetamatika mwisho wa msimu huu na Yanga SC bado hawajaonesha nia kama bado wanahitaji huduma yake. Boka anakwenda kuongeza nguvu upande wa ulinzi wa kushoto ambapo yupo Nickson Kibabage ambaye Yanga SC wamemuongezea mkataba mpya wa miaka mitatu wiki chache zilizopita. #MillardAyoSPORTS
Hammasini ko'rsatish...
01:27
Video unavailableShow in Telegram
@HabariTz ✰✰✰ Mrengo wa kushoto washinda uchaguzi wa bunge France – DW – 07.07.2024 (1) Muungano wa vyama vya mrengo wa kushoto ulioundwa kabla ya uchaguzi wa mapema wa France umeshinda viti vingi zaidi katika duru ya pili huku chama cha mrengo mkali wa kulia cha National Rally kikiambulia nafasi ya tatu.
Hammasini ko'rsatish...
mrengo_wa_kushoto_washinda_uchaguzi_wa_bunge_france_dw_07_07.mp426.43 MB
04:24
Video unavailableShow in Telegram
@HabariTz ✰✰✰ MBOSSO ageuka MBOGO baada ya kuchanwa na MBONGO wa CANADA kuwa yeye na RAY VANNY wamewaletea NYODO Tembelea https://sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
Hammasini ko'rsatish...
mbosso_ageuka_mbogo_baada_ya_kuchanwa_na_mbongo_wa_canada_kuwa_y.mp49.39 MB
08:39
Video unavailableShow in Telegram
@HabariTz ✰✰✰ WACHAWI WEUSI |Episode 41| #fullepisode #viralvideo #clamvevo #episode34 #kobe #cartoon #mpembacomedy #swahilianimation #comedy
Hammasini ko'rsatish...
wachawi_weusi_episode_41_5dvdfn7j_0w_c834bbb4.mp410.86 MB
millardayo Benki ya NMB (@nmbtanzania) imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Comoro ikiwa ni dhamira ya benki hiyo kuongeza kiwango cha biashara kati ya Nchi hizo mbili. Akiongea wakati wa maadhimisho ya miaka 49 ya Uhuru wa Nchi ya Comoros iliyoandaliwa na Ubalozi wa Comoro nchini Tanzania kwa udhamini wa Benki ya NMB, Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Rahma Mwapachu amesema benki hiyo inathamini maadili na urithi wa Nchi hiyo. “Benki ya NMB ina uhusiano mzuri na Ubalozi wa Comoro, tuna matumaini kuwa uhusiano huu utaimarika zaidi na utafungua fursa nyingine” Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mudrick Ramadhan Soraga amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana kwa karibu na Serikali ya Comoro ili kuzidisha uhusiano wa karibu kwa manufaa ya... View original post
Hammasini ko'rsatish...
Photo unavailableShow in Telegram
Hammasini ko'rsatish...
00:59
Video unavailableShow in Telegram
TRT Afrika Swahili Maelfu ya Wakenya walihudhuria tamasha katika mji mkuu wa taifa hilo Nairobi siku ya Jumapili, wakiimba kauli mbiu, kucheza na kuwakumbuka watu waliouawa katika maandamano ya hivi majuzi dhidi ya serikali. Takriban watu 39 waliuawa katika maandamano hayo yaliyoanza Juni 18, huku waandamanaji wakishinikiza nyongeza ya ushuru iliyopangwa kufutwa na kujiuzulu kwa Rais William Ruto.
Hammasini ko'rsatish...
An_8ttX1isT2LcZ5Bh_y6C9dhg3sSHOCU91fa_EILRA_jypPLyeIKxVmEHyh6GD4.mp422.83 MB
08:08
Video unavailableShow in Telegram
@HabariTz ✰✰✰ SALEH JEMBE AMCHAMBUA BEKI MPYA SIMBA?/UBORA WA KUKABA?KUANZISHA MASHAMBULIZI?/MKATABA MIAKA 3
Hammasini ko'rsatish...
saleh_jembe_amchambua_beki_mpya_simba_ubora_wa_kukaba_kuanzisha_.mp412.55 MB
Boshqa reja tanlang

Joriy rejangiz faqat 5 ta kanal uchun analitika imkoniyatini beradi. Ko'proq olish uchun, iltimos, boshqa reja tanlang.