2 684
Підписники
-824 години
-327 днів
-8430 день
Триває завантаження даних...
Схожі канали
Хмара тегів
Немає даних
Виникли проблеми? Будь ласка, оновіть сторінку або зверніться до нашого support-менеджера.
Вхідні та вихідні згадування
---
---
---
---
---
---
Залучення підписників
липень '26
липень '26
+23
в 0 каналах
червень '26
+20
в 0 каналах
Get PRO
травень '26
+16
в 0 каналах
Get PRO
квітень '26
+22
в 0 каналах
Get PRO
березень '26
+46
в 0 каналах
Get PRO
лютий '26
+33
в 0 каналах
Get PRO
січень '26
+31
в 0 каналах
Get PRO
грудень '25
+56
в 0 каналах
Get PRO
листопад '25
+175
в 0 каналах
Get PRO
жовтень '25
+77
в 0 каналах
Get PRO
вересень '25
+61
в 0 каналах
Get PRO
серпень '25
+65
в 0 каналах
Get PRO
липень '25
+75
в 0 каналах
Get PRO
червень '25
+73
в 0 каналах
Get PRO
травень '25
+58
в 0 каналах
Get PRO
квітень '25
+42
в 0 каналах
Get PRO
березень '25
+31
в 1 каналах
Get PRO
лютий '25
+34
в 2 каналах
Get PRO
січень '25
+89
в 0 каналах
Get PRO
грудень '24
+99
в 2 каналах
Get PRO
листопад '24
+98
в 2 каналах
Get PRO
жовтень '24
+64
в 1 каналах
Get PRO
вересень '24
+167
в 0 каналах
Get PRO
серпень '24
+396
в 3 каналах
Get PRO
липень '24
+322
в 0 каналах
Get PRO
червень '24
+363
в 1 каналах
Get PRO
травень '24
+357
в 0 каналах
Get PRO
квітень '24
+446
в 0 каналах
Get PRO
березень '24
+408
в 1 каналах
Get PRO
лютий '24
+244
в 0 каналах
Get PRO
січень '24
+206
в 1 каналах
Get PRO
грудень '23
+205
в 2 каналах
Get PRO
листопад '23
+110
в 2 каналах
Get PRO
жовтень '23
+89
в 1 каналах
Get PRO
вересень '23
+52
в 0 каналах
Get PRO
серпень '23
+55
в 0 каналах
Get PRO
липень '23
+102
в 0 каналах
Get PRO
червень '23
+111
в 0 каналах
Get PRO
травень '23
+86
в 0 каналах
Get PRO
квітень '23
+76
в 0 каналах
Get PRO
березень '23
+84
в 0 каналах
Get PRO
лютий '23
+82
в 0 каналах
Get PRO
січень '23
+91
в 0 каналах
Get PRO
грудень '22
+78
в 0 каналах
Get PRO
листопад '22
+83
в 0 каналах
Get PRO
жовтень '22
+95
в 0 каналах
Get PRO
вересень '22
+92
в 0 каналах
Get PRO
серпень '22
+109
в 0 каналах
Get PRO
липень '22
+94
в 0 каналах
Get PRO
червень '22
+78
в 0 каналах
Get PRO
травень '22
+92
в 0 каналах
Get PRO
квітень '22
+96
в 0 каналах
Get PRO
березень '22
+118
в 0 каналах
Get PRO
лютий '22
+46
в 0 каналах
Get PRO
січень '22
+83
в 0 каналах
Get PRO
грудень '21
+60
в 0 каналах
Get PRO
листопад '21
+62
в 0 каналах
Get PRO
жовтень '21
+103
в 0 каналах
Get PRO
вересень '21
+98
в 0 каналах
Get PRO
серпень '21
+161
в 0 каналах
Get PRO
липень '21
+127
в 0 каналах
Get PRO
червень '21
+94
в 0 каналах
Get PRO
травень '21
+100
в 0 каналах
Get PRO
квітень '21
+140
в 0 каналах
Get PRO
березень '21
+192
в 0 каналах
Get PRO
лютий '21
+1 615
в 0 каналах
| Дата | Залучення підписників | Згадування | Канали | |
| 27 липня | 0 | |||
| 26 липня | 0 | |||
| 25 липня | 0 | |||
| 24 липня | +1 | |||
| 23 липня | +2 | |||
| 22 липня | 0 | |||
| 21 липня | 0 | |||
| 20 липня | 0 | |||
| 19 липня | 0 | |||
| 18 липня | +1 | |||
| 17 липня | 0 | |||
| 16 липня | +1 | |||
| 15 липня | +1 | |||
| 14 липня | +2 | |||
| 13 липня | +2 | |||
| 12 липня | +2 | |||
| 11 липня | +1 | |||
| 10 липня | +1 | |||
| 09 липня | +1 | |||
| 08 липня | +1 | |||
| 07 липня | 0 | |||
| 06 липня | +1 | |||
| 05 липня | +2 | |||
| 04 липня | +2 | |||
| 03 липня | 0 | |||
| 02 липня | 0 | |||
| 01 липня | +2 |
Дописи каналу
️️➟ @HabariTz ✰✰✰
#MICHEZO: Real Madrid wamefikia makubaliano na klabu ya RB Leipzig kwa ajili ya kumnunua winga wa kimataifa wa Ivory Coast, Yan Diomande (19) kwa thamani ya uhamisho inayokadiriwa kuwa zaidi ya Euro milioni 100.
Taratibu zote rasmi za kisheria, ikiwemo vipimo vya afya na kusaini nyaraka za mwisho, zinatarajiwa kukamilishwa mapema wiki ijayo kabla ya mchezaji huyo kutambulishwa rasmi.
Maamuzi hayo ya Diomande yamezima rasmi matumaini ya Paris Saint-Germain (PSG) waliokuwa wakipambana kwa muda mrefu kupata saini yake.
Kulikuwa na ulazima wa Real Madrid kumsajili Diomande?
✍: @nickymeena_
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
| 2 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
#HABARI Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema chama hicho hakikubaliani na vitendo vya ugaidi na kinaamini katika kutumia njia za amani kufikisha ujumbe wake.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 27, 2026 kuhusu wanachama wa chama hicho waliokamatwa maeneo mbalimbali nchini na kufunguliwa mashtaka ikiwemo ya ugaidi, Nshala amehoji iwapo kutoa maoni au kukutana na wengine kumegeuka kuwa kosa la ugaidi.
Amesema CHADEMA inaamini katika misingi ya Katiba ya Tanzania, pamoja na Sheria ya Vyama vya Siasa, akisisitiza kuwa haki za kisiasa zinapaswa kuheshimiwa kwa mujibu wa sheria.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha | 3 |
| 3 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
#HABARI Baadhi ya wananchi wa Kata ya Dabil, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wameshambuliwa na kundi la nyuki walipokuwa wakishiriki shughuli za maendeleo za ujenzi wa vyoo vya wanafunzi katika Shule ya Sekondari Dabil, hali iliyosababisha taharuki na kusitishwa kwa zoezi la ujenzi.
Tukio hilo limetokea wakati wananchi hao walipokuwa wakijitolea nguvu kazi katika utekelezaji wa mradi huo unaofadhiliwa kwa ushirikiano kati ya wananchi na Karimu Foundation, wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 150.
Mashuhuda wa tukio hilo wamesema nyuki hao waliibuka ghafla na kuwashambulia wananchi waliokuwa eneo la ujenzi, hali iliyowalazimu wengi kukimbia kuokoa maisha yao huku baadhi yao wakijeruhiwa.
Baada ya shambulio hilo, zoezi la ujenzi lilisitishwa kwa muda ili kuruhusu manusura kupata msaada na waliojeruhiwa kupelekwa katika kituo cha afya kwa ajili ya matibabu, kabla ya shughuli kuendelea baada ya hali kutulia.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha | 1 |
| 4 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
#HABARI Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema mawakili wa chama hicho wataendelea kufuatilia mashauri ya kesi mbalimbali zilizofunguliwa dhidi ya wanachama wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Julai 27, 2026, Nshala amesema CHADEMA itatoa msaada wa kisheria kwa watu wote wanaokabiliwa na mashtaka mbalimbali ikiwemo ya ugaidi.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha | 1 |
| 5 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
#HABARI Moto mkubwa wa nyika ukikaribia mji wa Bordeaux kusini-magharibi mwa Ufaransa ukiwa umbali wa takribani kilomita 15 kutoka mji huo wenye wakazi zaidi ya 850,000.
Mamlaka zimesema wimbi jipya la joto linatarajiwa kuongeza ugumu wa juhudi za kuzima moto huo, ambao tayari umeunguza zaidi ya hekta 42,000 za misitu na kuwa miongoni mwa mibaya zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini Ufaransa tangu Vita vya Pili vya Dunia.
Zaidi ya watu 220,000 wamehamishwa kutoka maeneo yaliyoathirika, huku Kapteni Nicolas Braz, mmoja wa viongozi wa operesheni ya kuzima moto, akisema moto huo unasambaa kwa kasi kutokana na upepo mkali na vimbunga vidogo vinavyoufanya kuwa mgumu kudhibiti.
Katika mji wa Le Porge, zaidi ya nyumba 150 zimeharibiwa na wakazi wameanzisha mtandao wa kujitolea wa kuwasaidia wazima moto kwa kuwapatia chakula na maeneo ya kupumzika wakati wa operesheni.
Wakati huohuo nchini Uhispania, moto wa nyika unaendelea kusambaa, ambapo zaidi ya watu 90,000 wamehamishwa kutoka maeneo yanayozungu | 1 |
| 6 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
#PostOfTheDay: Ishi nayo hii.
Cc: @LKingker
#EastAfricaTv #PostOfTheDay #HainaKuchoka | 1 |
| 7 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
#HABARI Wiki ya Julai 20 hadi 27, 2026 imeingia katika historia ya soko la mafuta duniani kutokana na misukosuko iliyosababishwa na taharuki katika njia kuu mbili za usafirishaji wa mafuta, Hormuz na Bab el-Mandeb. Hali hiyo ilisababisha kuyumba kwa masoko ya nishati duniani.
Katika kipindi hicho, bei ya mafuta ghafi ilipanda na kushuka mara kwa mara kutokana na mashambulizi na vitisho vya waasi wa Houthi dhidi ya meli za mafuta, pamoja na mivutano ya kijeshi Mashariki ya Kati na mabadiliko ya taarifa za kiusalama.
Bei ya mafuta aina ya Brent ilivuka dola 100 kwa pipa wakati wa kilele cha hofu, huku WTI na Murban nazo zikionyesha ongezeko kubwa. Hali hiyo imepunguza matumaini ya kushuka kwa bei za petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa watumiaji wa mwisho.
Licha ya kutokuwepo kwa upungufu mkubwa wa mafuta duniani, changamoto kubwa imekuwa usafirishaji salama wa mafuta kutokana na baadhi ya meli kubadili njia, kuchelewesha safari na kuongezeka kwa gharama za bima.
Kwa Afrika, hali hiyo ina | 4 |
| 8 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
#HABARI Watu watatu wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya tukio la ufyatuaji risasi lililotokea katika Tamasha la Chakula la Bite of Seattle, eneo la Seattle Center karibu na mnara maarufu wa Space Needle nchini Marekani.
Polisi wa Seattle wamesema tukio hilo lilitokea majira ya saa 12 jioni kwa saa za eneo hilo, ambapo uchunguzi wa awali umebaini kuwa watu wawili walihusika katika kurushiana risasi. Mmoja wa washukiwa amekamatwa huku mwingine akiendelea kusakwa.
Miongoni mwa waliojeruhiwa ni mtoto wa miaka miwili pamoja na watu wazima wengine, ambao walikimbizwa hospitalini kwa matibabu. Polisi wamesema kwa sasa hakuna tishio linaloendelea kwa usalama wa umma, huku uchunguzi wa chanzo cha tukio ukiendelea.
Tukio hilo limeibua hofu miongoni mwa washiriki wa tamasha hilo lililokuwa likikusanya maelfu ya watu, huku baadhi yao wakilazimika kukimbia kuokoa maisha yao baada ya kusikia milio ya risasi.
Viongozi wa Jiji la Seattle na Serikali ya Washington wamelaani tukio hilo, | 3 |
| 9 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
'Tunasikia tu kuna fedha za uwezeshaji vijana lakini hatuzipati'
Kupitia jukwaa hili la #DiraMtaani, vijana wanajadili, kuchambua na kutoa mwelekeo wa utekelazaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 kutoka kwenye mtazamo wa maisha yao halisi ya kila siku.
Tunawaleta vijana pamoja na kuwaunganisha na safari ya taifa lao, tukilenga kukuza utamaduni wa fikra tunduizi, pamoja na midahalo inayoambatana na vitendo.#DiraMtaani
Kufuatilia mjadala mzima nenda YouTube chaneli ya The Chanzo,link kwenye bio. | 4 |
| 10 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
🗣Hakuna watu wanaumwa magonjwa ya zinaa kama wasanii - Anasema Nuh Mziwanda akishauri wasanii kuacha kutembea na wanawake baada ya kumaliza kufanya shows zao!
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha | 3 |
| 11 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
#VIDEO DOTTO MAGARI AWASHA MOTO BAADA YA KUZUSHIWA AMEATHIRIKA NA UKIMWI https://youtu.be/ZbILPneNTeU | 4 |
| 12 | Kinachoendelea Marekani na Iran | 4 |
| 13 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
#HABARI Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, amesema hakuna mazungumzo yoyote yanayoendelea kati ya Iran na Marekani, akizitaja taarifa zinazodai Tehran imeomba mazungumzo kuwa ni uzushi.
Baghaei amesema kipaumbele cha Iran kwa sasa ni kujilinda kutokana na kile alichokiita vitendo vya uchokozi na mashambulizi kutoka Marekani, huku akisema wapatanishi wanaweza kuwasilisha ujumbe kati ya pande hizo mbili.
Amesisitiza kuwa hali ya sasa si usitishaji wa mapigano, akionya kuwa hatua yoyote mpya kutoka Marekani itajibiwa vikali na Iran.
Pia amesema Mlango wa Bahari wa Hormuz bado umefungwa.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha | 7 |
| 14 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
We’re hiring!
A Senior Correspondent to be based in Dar es Salaam
Read👇👇 | 9 |
| 15 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
Nini kinawasukuma wajasiriamali kuchukua mikopo ya kausha damu?
Kupitia jukwaa hili la #DiraMtaani, vijana wanajadili, kuchambua na kutoa mwelekeo wa utekelazaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 kutoka kwenye mtazamo wa maisha yao halisi ya kila siku.
Tunawaleta vijana pamoja na kuwaunganisha na safari ya taifa lao, tukilenga kukuza utamaduni wa fikra tunduizi, pamoja na midahalo inayoambatana na vitendo.#DiraMtaani
Kufuatilia mjadala mzima nenda YouTube chaneli ya The Chanzo,link kwenye bio. | 7 |
| 16 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
Iran na Marekani zimesitisha kwa muda mapigano, huku Rais Donald Trump akitoa nafasi kwa mazungumzo ya kidiplomasia.
Iran nayo imesitisha mashambulizi dhidi ya washirika wa Marekani Mashariki ya Kati, hali iliyotoa afueni kwa sekta ya usafirishaji wa mafuta. Kabla ya hatua hiyo, jeshi la Marekani lilikuwa limeishambulia Iran kwa siku 13 mfululizo.
Je, mazungumzo haya yatafanikiwa kumaliza kabisa mzozo kati ya Iran na Marekani? | 8 |
| 17 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
Wakati gani umekuwa mgumu katika siasa za Bashiru Ally? Karibu kutazama mahojiano haya maalum ya DW Kiswahili na Waziri wa Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania Dkt. Bashiru Ally na katika mahojiano haya anajibu masuala mengi ikiwemo masuala ya wizara yake ya Mifugo na Uvuvi, siasa , maisha binafsi na kadhalika. Tazama kwa urefu mahojiano haya katika chaneli ya YouTube ya DW Kiswahili.
## | 6 |
| 18 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
Watu 12, wakiwemo watoto wawili, wamejeruhiwa kufuatia shambulizi la droni katika mji wa Belgorod nchini Urusi karibu na mpaka wa Ukraine.
Wakati huo huo, mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine yameripotiwa kuua watu sita, huku Urusi ikisema watu wanne wameuawa katika eneo la Hrolivka linalodhibitiwa na Moscow baada ya shambulizi la droni.
Unadhani ni kwa nini vita vya Urusi na Ukraine vinaonekana kutokuwa na dalili ya kurudi kwenye mazungumzo ya amani? | 4 |
| 19 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
Mshukiwa wa shambulio la gari lililosababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine 29 wakati wa maandamano ya wapenzi wa jinsia moja mjini Berlin, ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi. Abdul Ballout, raia wa Ujerumani mwenye asili ya Lebanon, alifariki baada ya msako wa saa 24.
Polisi wanasema alifumaniwa katika bustani ya Spandau akiwa na kifaa chenye ncha kali na alipokimbilia maafisa, alipigwa risasi na kufariki papo hapo. Shambulio hilo lilitokea karibu na Lango la Brandenburg. | 5 |
| 20 | ️️➟ @HabariTz ✰✰✰
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema limewakamata watu 130 katika operesheni zinazoendelea nchi nzima kwa tuhuma za ugaidi, huku likibainisha kuwa linaendelea na msako wa watuhumiwa wengine.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema baadhi ya watuhumiwa hao tayari wameanza kufikishwa mahakamani ili kujibu tuhuma zinazowakabili.
Kwa upande mwingine, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema baadhi ya waliokamatwa ni wanachama wake na kwamba tayari kimeanza kuwatawanya mawakili wake katika maeneo mbalimbali nchini ili kufuatilia na kushughulikia kesi za watuhumiwa hao. | 5 |
