cookie

Мы используем файлы cookie для улучшения сервиса. Нажав кнопку «Принять все», вы соглашаетесь с использованием cookies.

avatar

Swahili News

🐾

Больше
Рекламные посты
3 413
Подписчики
+924 часа
+607 дней
+31130 дней

Загрузка данных...

Прирост подписчиков

Загрузка данных...

01:27
Видео недоступноПоказать в Telegram
@HabariTz ✰✰✰ Mrengo wa kushoto washinda uchaguzi wa bunge France – DW – 07.07.2024 (1) Muungano wa vyama vya mrengo wa kushoto ulioundwa kabla ya uchaguzi wa mapema wa France umeshinda viti vingi zaidi katika duru ya pili huku chama cha mrengo mkali wa kulia cha National Rally kikiambulia nafasi ya tatu.
Показать все...
mrengo_wa_kushoto_washinda_uchaguzi_wa_bunge_france_dw_07_07.mp426.43 MB
04:24
Видео недоступноПоказать в Telegram
@HabariTz ✰✰✰ MBOSSO ageuka MBOGO baada ya kuchanwa na MBONGO wa CANADA kuwa yeye na RAY VANNY wamewaletea NYODO Tembelea https://sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
Показать все...
mbosso_ageuka_mbogo_baada_ya_kuchanwa_na_mbongo_wa_canada_kuwa_y.mp49.39 MB
08:39
Видео недоступноПоказать в Telegram
@HabariTz ✰✰✰ WACHAWI WEUSI |Episode 41| #fullepisode #viralvideo #clamvevo #episode34 #kobe #cartoon #mpembacomedy #swahilianimation #comedy
Показать все...
wachawi_weusi_episode_41_5dvdfn7j_0w_c834bbb4.mp410.86 MB
millardayo Benki ya NMB (@nmbtanzania) imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Comoro ikiwa ni dhamira ya benki hiyo kuongeza kiwango cha biashara kati ya Nchi hizo mbili. Akiongea wakati wa maadhimisho ya miaka 49 ya Uhuru wa Nchi ya Comoros iliyoandaliwa na Ubalozi wa Comoro nchini Tanzania kwa udhamini wa Benki ya NMB, Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Rahma Mwapachu amesema benki hiyo inathamini maadili na urithi wa Nchi hiyo. “Benki ya NMB ina uhusiano mzuri na Ubalozi wa Comoro, tuna matumaini kuwa uhusiano huu utaimarika zaidi na utafungua fursa nyingine” Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mudrick Ramadhan Soraga amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana kwa karibu na Serikali ya Comoro ili kuzidisha uhusiano wa karibu kwa manufaa ya... View original post
Показать все...
Фото недоступноПоказать в Telegram
Показать все...
00:59
Видео недоступноПоказать в Telegram
TRT Afrika Swahili Maelfu ya Wakenya walihudhuria tamasha katika mji mkuu wa taifa hilo Nairobi siku ya Jumapili, wakiimba kauli mbiu, kucheza na kuwakumbuka watu waliouawa katika maandamano ya hivi majuzi dhidi ya serikali. Takriban watu 39 waliuawa katika maandamano hayo yaliyoanza Juni 18, huku waandamanaji wakishinikiza nyongeza ya ushuru iliyopangwa kufutwa na kujiuzulu kwa Rais William Ruto.
Показать все...
An_8ttX1isT2LcZ5Bh_y6C9dhg3sSHOCU91fa_EILRA_jypPLyeIKxVmEHyh6GD4.mp422.83 MB
08:08
Видео недоступноПоказать в Telegram
@HabariTz ✰✰✰ SALEH JEMBE AMCHAMBUA BEKI MPYA SIMBA?/UBORA WA KUKABA?KUANZISHA MASHAMBULIZI?/MKATABA MIAKA 3
Показать все...
saleh_jembe_amchambua_beki_mpya_simba_ubora_wa_kukaba_kuanzisha_.mp412.55 MB
03:08
Видео недоступноПоказать в Telegram
@HabariTz ✰✰✰ MPYA yaibuka KESI YA DAVIDO na MZAZI MWENZAKE, atajwa kwenye Hati Davido aamua yaishe Tembelea https://sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
Показать все...
mpya_yaibuka_kesi_ya_davido_na_mzazi_mwenzake_atajwa_kwenye_hati.mp44.81 MB
02:22
Видео недоступноПоказать в Telegram
@HabariTz ✰✰✰ RAYVANNY alizwa CANADA show yake haijafanyaika aelezea FIGISU aomba RADHI Tembelea https://sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
Показать все...
rayvanny_alizwa_canada_show_yake_haijafanyaika_aelezea_figisu_ao.mp44.09 MB
Выберите другой тариф

Ваш текущий тарифный план позволяет посмотреть аналитику только 5 каналов. Чтобы получить больше, выберите другой план.