ch
Feedback
Swahili News

Swahili News

前往频道在 Telegram
2 741
订阅者
-424 小时
-177
-10230
帖子存档
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Rais Emmerson Mnangagwa ametia saini kuwa sheria marekebisho ya katiba yanayofuta uchaguzi wa moja kwa moja
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Rais Emmerson Mnangagwa ametia saini kuwa sheria marekebisho ya katiba yanayofuta uchaguzi wa moja kwa moja wa rais, kuahirisha uchaguzi ujao na kuongeza muda wake wa kukaa madarakani, licha ya upinzani mkali kutoka kwa wakosoaji. Mnangagwa, ambaye tayari ni mmoja wa viongozi wenye umri mkubwa zaidi walio madarakani akiwa na umri wa miaka 83, hapo awali alikuwa ameahidi kuondoka madarakani muhula wake wa pili na wa mwisho utakapomalizika mwaka 2028. Hata hivyo, chama chake tawala cha ZANU-PF, kwa kuungwa mkono na baadhi ya wabunge kutoka upinzani uliogawanyika, kilipitisha marekebisho hayo bungeni, na kuifanya Zimbabwe kuwa nchi nyingine ya Afrika iliyobadilisha katiba yake kwa namna inayomwezesha rais aliyeko madarakani kubaki madarakani kwa muda mrefu zaidi.Bunge liliidhinisha marekebisho hayo mwezi Juni. Kimsingi marekebisho hayo yanaahirisha uchaguzi ujao, uliopangwa kufanyika mwaka 2028, kwa miaka miwili zaidi, jambo... View original post

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Maandamano ya kudai haki, uwajibikaji, kupinga vitendo vya mauaji na utekaji yaliyotarajiwa leo nchini Tanzania ikiwa ni sikukuu ya Saba Saba hayakufanyika baada ya watu kuamua kusalia majumbani huku usalama ukiimarishwa kote nchini humo. Baadhi wanasema hii imetokana na hofu ya yaliyotokea wakati wa vurugu za Oktoba 29 mwaka jana, lakini wengine wanatilia shaka kuhusu mafanikio ya muda mrefu ya mkakati huu wa serikali wa kutumia mabavu kuzuia maandamano. Bakari Ubena amezungumza na Said Msonga mchambuzi wa masuala ya siasa na diplomasia, na kwanza alimuuliza je, anadhani ni suluhisho kwa serikali kuwanyamazisha watu kwa vitisho?

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Nchini Tanzania, kama ilivyo kwa Kenya kumekuwa na homa ya kufanyika maandamano, ikielezwa kuwa na lengo la kuipinga serikali ya taifa hilo pamoja na kuwakumbuka waliuwawa wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Veronica Natalis wa DW katembelea katika maeno ya katikati ya jiji la Arusha, jiji ambalo linatazamwa kama ngome ya upinzani.

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #WorldCupKitaa | Lionel Messi na Julián Álvarez, wanashikilia rekodi gani ya Pamoja kwenye kikosi cha timu
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #WorldCupKitaa | Lionel Messi na Julián Álvarez, wanashikilia rekodi gani ya Pamoja kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Argentina? #WorldCupKitaa | #EastAfricaTv | #HainaKuchoka

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #WorldCupKitaa | Kwenye mchezo wa leo dhidi ya Misri, Lionel Messi ameshinda tuzo yake ya 4 ya Mchezaji Bor
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #WorldCupKitaa | Kwenye mchezo wa leo dhidi ya Misri, Lionel Messi ameshinda tuzo yake ya 4 ya Mchezaji Bora wa Mechi (Man of the Match) katika michuano hii ya Kombe la Dunia 2026. - Mechi ya 1 (Hatua ya Makundi): Dhidi ya Algeria (Alifunga Hat-trick / Argentina ilishinda 3-0). - Mechi ya 2 (Hatua ya Makundi): Dhidi ya Austria (Alifunga mabao mawili / Argentina ilishinda 2-0). - Mechi ya 3 (Hatua ya 32 Bora): Dhidi ya Cape Verde (Alifunga goli na kutoa assist / Argentina ilishinda 3-2 baada ya muda wa ziada). - Mechi ya 4 (Hatua ya 16 Bora - LEO): Dhidi ya Misri (Alifunga goli la kusawazisha na kutoa assist / Argentina ilishinda 3-2). #WorldCupKitaa | #EastAfricaTv | #HainaKuchoka

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ametangaza kustaafu timu ya taifa baada ya kuitumikia kwa miaka 15.
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ametangaza kustaafu timu ya taifa baada ya kuitumikia kwa miaka 15. "Huu ndiyo mwisho wangu kama mchezaji kiwanjani, lakini si mwisho wa mapenzi na sapoti yangu kwa timu ya taifa ya Tanzania," ameandika Samatta.

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #WorldCupKitaa | Lionel Messi anazidi kuandika historia kwenye World Cup 2026 baada ya kuwapeleka Argentina
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #WorldCupKitaa | Lionel Messi anazidi kuandika historia kwenye World Cup 2026 baada ya kuwapeleka Argentina Robo Fainali -⚽ Mabao 21 ya kihistoria kwenye mashindano ya Kombe la Dunia - 🎯 Pasi 9 (Assists) za kihistoria za Kombe la Dunia - 🥇 Mabao 8 kwenye mashindano ya mwaka huu pekee #WorldCupKitaa | #EastAfricaTv | #HainaKuchoka

Rahby Kwanini Mojtaba Khamenei hatoshiriki maziko ya baba yak

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametia saini sheria ya marekebisho ya katiba inayoongeza muda wa muhul
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametia saini sheria ya marekebisho ya katiba inayoongeza muda wa muhula wa urais hadi miaka 7 na kuondoa utaratibu wa Rais kuchaguliwa moja kwa moja na wananchi. Awali, Rais Mnangagwa aliahidi kuachia madaraka baada ya kumaliza muhula wake wa pili mwaka 2028 na sasa atahudumu hadi 2030.

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #WorldCupKitaa | - Messi amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya Kombe la Dunia kufunga mabao katika
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #WorldCupKitaa | - Messi amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya Kombe la Dunia kufunga mabao katika mechi tisa (9) mfululizo. - Amefikisha jumla ya mabao nane (8) na kuwa mfungaji anayeongoza katika mashindano ya Kombe la Dunia kwa mwaka huu wa 2026. #WorldCupKitaa | #EastAfricaTv | #HainaKuchoka

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #WorldCupKitaa | HATUA YA MTOANO (ROUND OF 16) (Live 96') 🇦🇷 Argentina 3-2 Egypt 🇪🇬 Wafungaji: 🇦🇷 Arg
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #WorldCupKitaa | HATUA YA MTOANO (ROUND OF 16) (Live 96') 🇦🇷 Argentina 3-2 Egypt 🇪🇬 Wafungaji: 🇦🇷 Argentina:⚽ Cristian Romero - 79' ⚽ Lionel Messi - 83' ⚽ Enzo Fernández - 90+3' 🇪🇬 Egypt:⚽ Yasser Ibrahim - 15' ⚽ Mostafa Ziko - 67' #WorldCupKitaa | #EastAfricaTv | #HainaKuchoka

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #FIFAWorldCup FT: Argentina 3-2 Misri
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #FIFAWorldCup FT: Argentina 3-2 Misri

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #WorldCupKitaa | HATUA YA MTOANO (ROUND OF 16) (Half Time) 🇦🇷 Argentina 0-1 Egypt 🇪🇬 Wafungaji: 🇪🇬 Eg
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #WorldCupKitaa | HATUA YA MTOANO (ROUND OF 16) (Half Time) 🇦🇷 Argentina 0-1 Egypt 🇪🇬 Wafungaji: 🇪🇬 Egypt: ⚽ Yasser Ibrahim - 15' #WorldCupKitaa | #EastAfricaTv | #HainaKuchoka

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #FIFAWorldCup HT: Argentina 0-1 Egypt
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ #FIFAWorldCup HT: Argentina 0-1 Egypt

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Mvua kubwa zilizonyesha katika majimbo ya Pennsylvania, Connecticut, New Jersey na New York zilisababisha m
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Mvua kubwa zilizonyesha katika majimbo ya Pennsylvania, Connecticut, New Jersey na New York zilisababisha mafuriko katika maeneo kadhaa huku Huduma ya Kitaifa ya Hali ya Hewa ya Marekani ikitoa tahadhari.

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Wakulima wanne wa Uganda wamefungua kesi "ya kwanza ya aina yake" nchini Uingereza siku ya Jumanne kupinga
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Wakulima wanne wa Uganda wamefungua kesi "ya kwanza ya aina yake" nchini Uingereza siku ya Jumanne kupinga mradi wa bomba la mafuta la dola bilioni 5.6 unaoongozwa na kampuni kubwa ya nishati ya Ufaransa TotalEnergies. Hayo ni kwa mujibu wa shirika lisilo la kiserikali la haki za binadamu la Avaaz. Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ambalo linatarajiwa kuanza kufanya kazi mwaka wa 2027, litakuwa ndio bomba refu zaidi duniani la mafuta ghafi linalodumisha hali ya joto, likisafirisha mafuta kutoka nchi isiyo na bandari Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania. Wanasayansi wa hali ya hewa na mashirika ya kutunza mazingira wameuelezea mradi huo kama "bomu la kaboni" ambalo linaweza kutoa tani milioni 379 za uchafuzi wa hali ya hewa unaosababisha joto katika kipindi cha miaka 20 ambayo mradi huo utadumu.

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Je, rais wa Marekani anaweza kubadili adhabu ya Kombe la Dunia? Hilo ndilo swali linalotikisa dunia ya soka
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Je, rais wa Marekani anaweza kubadili adhabu ya Kombe la Dunia? Hilo ndilo swali linalotikisa dunia ya soka. Baada ya mshambuliaji wa Marekani Folarin Balogun kuonyeshwa kadi nyekundu dhidi ya Bosnia alitakiwa kukosa mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Ubelgiji. Mwandishi wa BBC Nasteha Mohamed @naste6295 na taarifa zaidi - -

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Kylian Mbappé na seneta wa Paraguay waingia katika mzozo wa ubaguzi wa rangi. - -
+7
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Kylian Mbappé na seneta wa Paraguay waingia katika mzozo wa ubaguzi wa rangi. - -

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Kila mwaka tarehe 7 Julai, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kiswahili. Maudhui ya maadhimisho ya mwak
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Kila mwaka tarehe 7 Julai, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kiswahili. Maudhui ya maadhimisho ya mwaka huu ni kuimarisha matumizi ya lugha hii kama nguzo ya amani, ustawi na kuimarisha tamaduni mbalimbali. Mwandishi wa BBC @pmwangangi_ anaangazia jinsi sanaa ya muziki inasaidia kukuza Kiswahili. - - 🇹🇿 🇰🇪

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Kombe la Dunia sasa limeingia hatua ya kuvutia zaidi ambapo ukifungwa unatolewa. Hivyo, kila mechi inaweza
+5
️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Kombe la Dunia sasa limeingia hatua ya kuvutia zaidi ambapo ukifungwa unatolewa. Hivyo, kila mechi inaweza kubadili historia ya timu. - Usiku wa leo, macho yote yataelekezwa katika Uwanja wa Atlanta, ambako mabingwa watetezi Argentina watakutana na Misri katika pambano la kufa au kupona. - Argentina wanaingia katika mchezo huu wakiwa miongoni mwa timu zinazopigiwa upatu zaidi kutwaa ubingwa, lakini Misri wanaamini wanaweza kuandika historia kwa kuiondoa moja ya timu bora duniani. - Je, Argentina wataendelea na safari yao ya kutetea taji, au Misri watafanya moja ya maajabu makubwa katika historia ya Kombe la Dunia? Jibu litapatikana uwanjani. - - -