ru
Feedback
Swahili News

Swahili News

Открыть в Telegram
2 540
Подписчики
-324 часа
-177 дней
-7530 дней
Архив постов
Saudia Arabia na Israel mambo safi

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Sharks Fish Form Unlikely Hunting Duo | A Perfect Planet | 4K UHD | BBC Earth These black tip reef sharks are looking for food. They aren’t the fastest, so team up with an unlikely partner: a group of trevally, so both parties can feed.

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ ❓ Je, sayansi na teknolojia vina mchango gani katika kilimo na jinsi vinavyochochea mafanikio ya ajenda mbalimbali kupitia uzalishaji wa kisasa? Tazama video ya mwandishi wa Sputnik Afrika upate uchambuzi wa kina kutoka kwa mshiriki anayeeleza faida za teknolojia zinazoendelea kushuhudiwa katika maonyesho ya Tamasha la Vijana Duniani (WYF 2026), Yekaterinburg, Urusi.

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ 🚀🇨🇳 Roketi ya China aina ya Gravity-1, imeelekea angani rasmi ikiwa imebeba satelaiti tisa. Kulingana na wabunifu wake, Roketi hiyo ina nguvu zaidi duniani na uwezo wa kubeba mzigo unaozidi tani 3.

Trump anapambana kushusha bei ya MAFUTA Trump Bei ya Disel i

Uchambuzi mjadala wa Saudi Arabia na Yemen DW

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ 🇨🇩 DRC inaimarisha mapambano dhidi ya Ebola: taifa hilo limeongeza idadi ya vitanda vya Ebola hadi 1,300, likishirikiana na UN na mashirika mengine ya kimataifa. Maelezo kutoka kwa Mratibu wa Ebola wa Umoja wa Mataifa, Julien Harneis 👇

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ Bado kuna muda wa kuzuia mashindano ya silaha angani, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Ryabkov amesema.

️️➟ @HabariTz ✰✰✰ "Ni ya kushangaza": Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi asifu Sputnik Chaneli hiyo ya kisasa inaongoza kwa utangazaji wa kimataifa kutokana na teknolojia yake, Maria Zakharova amesema. Amebainisha kuhusu jukumu la Sputnik inayotoa msimamo wa Urusi na matukio ya dunia kupitia redio na mitandao ya kijamii.