en
Feedback
AFYA YAKO LEO

AFYA YAKO LEO

Open in Telegram
1 861
Subscribers
+124 hours
-107 days
-5830 days
Posts Archive
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Watoto wanaopoanza kuhusiana na Wengine hasa katika Mazingira yenye Watu wengi, Mathalani shuleni,
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Watoto wanaopoanza kuhusiana na Wengine hasa katika Mazingira yenye Watu wengi, Mathalani shuleni, baadhi yao huanza kupata Matatizo ya Mfumo wa Hewa yanayojirudia mara kwa mara, hasa Kikohozi na Mafua. Katika hali hii, Wazazi wanapaswa kufuatilia kwa ukaribu afya ya Mtoto,

πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi aliyasema haya kupitia
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi aliyasema haya kupitia Upendo Media

πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Ufafanuzi huu umetolewa na Dkt. Edith Speratus, Daktari wa Binadamu, Mtaalamu wa afya ya Ngozi na Mwanzilishi wa SE Skin Experts. Unaweza kutazama mahojiano kamili kwenye Chaneli yetu ya YouTube

πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema haya leo September 5, 2026 akiweka jiwe la msingi jengo l
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema haya leo September 5, 2026 akiweka jiwe la msingi jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

Jinsi ya Kuishi na Mwanaume Mkorofi Bila Kupoteza Amani Yako https://telegra.ph/Jinsi-ya-09-05

πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi aliyasema haya kupitia Upendo Media

πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Sasa wanawake wajawazito wanaweza kujifungua bila kusikia maumivu ya uchungu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH). Msikilize Dkt. Wilson Lugano Daktari Bingwa wa huduma za usingizi na ganzi tiba wa BMH akifafanua juu ya huduma ya kisasa ya kujifungua bila kusikia maumivu

πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Mtaalamu wa Tiba kwa Vitendo, Aika Wilfred amesema haya wakati akizungumza na Veriafya, Septemba 1,
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Mtaalamu wa Tiba kwa Vitendo, Aika Wilfred amesema haya wakati akizungumza na Veriafya, Septemba 1, 2026. Ufafanuzi kamili unapatikana kwenye chaneli yetu ya YouTube

πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Haya yalisemwa na Dkt. Salim Mfungahema, Bingwa wa Magonjwa ya Figo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya K
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Haya yalisemwa na Dkt. Salim Mfungahema, Bingwa wa Magonjwa ya Figo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Julai 1, 2026 kupitia TBC Online

πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana imefanikiwa kufanya upasuaji wa kuondoa uvimbe wenye uzito wa takr
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana imefanikiwa kufanya upasuaji wa kuondoa uvimbe wenye uzito wa takribani kilo 12 kwenye kizazi cha mwanamke mwenye umri wa miaka 23 uliomtesa kwa muda mrefu. Akizungumza wakati wa upasuaji huo Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Kinamama na Afya ya

πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Akizungumza na Veriafya, Aika Wilfred ambaye ni Mtaalamu wa Tiba kwa Vitendo anaeleza kuwa matumizi
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Akizungumza na Veriafya, Aika Wilfred ambaye ni Mtaalamu wa Tiba kwa Vitendo anaeleza kuwa matumizi ya muda mrefu wa skrini (screen time) kama TV au simu husababisha msisimko wa kupindukia wa milango ya fahamu (sensory stimulation) na kuathiri vibaya utulivu, umakini na uwezo wa

πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Dkt. Libason Hosea, Bingwa wa Magonjwa ya Masikio, Pua na Koo, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea an
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Dkt. Libason Hosea, Bingwa wa Magonjwa ya Masikio, Pua na Koo, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea anatoa tahadhari kwa Wazazi na Walezi wanaokata vimeo vya Watoto kutokana na Sababu mbalimbali. Kitendo hiki ni hatari, kinaweza kusababisha Mtoto akapoteza Maisha hivyo ni muhimu

Repost from N/a

πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Haya yalisemwa na Dkt. Salim Mfungahema, Bingwa wa Magonjwa ya Figo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya K
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu βœ–οΈ Veriafya Haya yalisemwa na Dkt. Salim Mfungahema, Bingwa wa Magonjwa ya Figo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Julai 1, 2026 kupitia TBC Online

Jinsi ya kupata Mtoto wa kiume

Repost from N/a

Wenye uzito uliopitilizwa waitwa kufanyiwa matibabu ……..Kambi maalum inaanza Jumatatu hadi Septemba 11 Na Mwandishi Wetu HOSPITALI ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imeandaa kambi maalum kufanya upasuaji wa kupunguza uzito kwa kutumia matundu madogo kuanzia Agosti 31 mpaka Septemba 11. Daktari... https://www.jamhurimedia.co.tz/wenye-uzito-uliopitilizwa-waitwa-kufanyiwa-matibabu/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=wenye-uzito-uliopitilizwa-waitwa-kufanyiwa-matibabu

πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu @Veriafya β€’ [10:09] β€” Daktari Bingwa Bobezi wa Ngozi, Magonjwa ya Zinaa na Urembo wa Matibabu, Durenay β€’ [07:50
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu @Veriafya β€’ [10:09] β€” Daktari Bingwa Bobezi wa Ngozi, Magonjwa ya Zinaa na Urembo wa Matibabu, Durenay β€’ [07:50] β€” Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi anaf β€’ [08/29 20:34] β€” Ufafanuzi huu wa matibabu ya Ugonjwa wa Psoriasis pamoja na tofauti ya muonekano β€’ [08/29 20:24] β€” Fahamu Chanzo, Dalili na Matibabu ya Ugonjwa wa Psoriasis

Repost from Swahili News
Taarifa iliyotufikia muda huu ni kwamba huyu dereva hapa pichani, ni mtanzania amepata ajali Nchini Congo na kufariki papo ha
Taarifa iliyotufikia muda huu ni kwamba huyu dereva hapa pichani, ni mtanzania amepata ajali Nchini Congo na kufariki papo hapo. Ndugu zake wanamtafuta.

Fahamu Sababu Zinazofanya Mapera Kuwa Miongoni mwa Matunda Bora https://telegra.ph/Fahamu-Sa-08-22