ar
Feedback

لا تقع ضحية للمخادعين! تيليمتريو يكتشف ويُميّز هذه القنوات 👉 إذا كنت تريد رؤية العلامة، اشترك 👈

AFYA YAKO LEO

AFYA YAKO LEO

الذهاب إلى القناة على Telegram
1 820
المشتركون
لا توجد بيانات24 ساعات
-47 أيام
-3230 أيام
أرشيف المشاركات
👨‍🏫 @Jitibu Misingi 5 ya malezi na makuzi ya watoto ili wafikie karama zao https://youtu.be/Ywk63qQaVEY?si=H9Bjm9GSIjz_J-Qo

👨‍🏫 @Jitibu Fahamu dalili za hatari ambazo mwanamke mjamzito hapaswi kuzipuuza https://youtu.be/uhiPB57rrKw?si=2KO1woLaXTZ2aJtg

👨‍🏫 @Jitibu Ushauri huu ulitolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi, Machi 23, 2025 kwenye Busati la Mtoto, Msikiti wa Mtoro, yakirushwa kurushwa Mbashara na Dua TV Tanzania

👨‍🏫 @Jitibu Sapoti yenu ni Muhimu sana . #ommyfitness #trainerwataifa

👨‍🏫 @Jitibu Kwa Wagonjwa wa Moyo, kunywa maji mengi kunaweza kuongeza kiasi cha damu kinachopaswa kusukumwa na Moyo, hali inayoweza kuufanya Moyo uchoke zaidi na kusababisha dalili kama kupumua kwa shida, kuvimba miguu au mapafu kujaa maji. Na Husna faraji Afisa Lishe kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete VIDEO: JKCI

Sapoti yenu ni Muhimu sana .#ommyfitness #trainerwataifa https://www.youtube.com/shorts/y5LnOiEREhQ

👨‍🏫 @Jitibu The waiting is over . #ommyfitness #trainerwataifa

👨‍🏫 @Jitibu Ndoto zetu ni kubwa kuliko raha zetu. Weekend hii hapa but We are still moving. . #ommyfitness #trainerwataifa

👨‍🏫 @Jitibu Dalili za kutokwa damu nyingi, kupata maumivu makali ya kichwa na tumbo la chini pamoja na kupumua kwa shida pamoja na mtoto kupunguza kucheza ni miongoni mwa dalili ambazo mwanamke mjamzito hapaswi kuzipuuzia kwani ni hatari kwa afya ya mama na mtoto Dkt. Lilian Minzi

The waiting is over..#ommyfitness #trainerwataifa https://www.youtube.com/shorts/hLYCtmQGIL0

Ndoto zetu ni kubwa kuliko raha zetu. #ommyfitness #trainerwataifa https://www.youtube.com/shorts/wXjkMm8Ao5w

👨‍🏫 @Jitibu Can you spot the difference? Don't forget to reach out for workout program and meal plan. WhatsApp 0628908800 . We Are Moving. . #ommyfitness #trainerwataifa

👨‍🏫 @Jitibu Can you spot the difference? Don't forget to reach out for workout program and meal plan. WhatsApp 0628908800 .
👨‍🏫 @Jitibu Can you spot the difference? Don't forget to reach out for workout program and meal plan. WhatsApp 0628908800 . We Are Moving. . #ommyfitness #trainerwataifa

👨‍🏫 @Jitibu Sijapost video za mazoezi wiki sasa, usidhani tumeacha kubeba chuma. Hii safari ya Maisha ni kutafuta unachokitaka, kaza. Kama Mwanaume tutapumzika tukifa. Na hutakiwi kukihofia kifo maana kifo ni ukombozi halisi, hofia kufa bila kufanikisha Malengo #ommyfitness #trainerwataifa

👨‍🏫 @Jitibu
+2
👨‍🏫 @Jitibu

👨‍🏫 @Jitibu Ngoja kwanza Adam nijitanue ndo Hawa come. @ommyfitnesscenter . #ommyfitness #trainerwataifa
+3
👨‍🏫 @Jitibu Ngoja kwanza Adam nijitanue ndo Hawa come. @ommyfitnesscenter . #ommyfitness #trainerwataifa

Sijapost video za mazoezi wiki sasa, usidhani tumeacha kubeba chuma #ommyfitness #trainerwataifa https://www.youtube.com/shorts/1o16lSPwVQU

👨‍🏫 @Jitibu Dkt. Hilary Kizwi, Bingwa wa magonjwa ya Wanawake na afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila anafafanua baadhi ya Dalili za Ugonjwa hatari wa Kifafa cha Mimba. Mwanamke mjamzito akipatwa na Dalili hizi anashauriwa kufika Hospitalini mapema ili kupata matibabu stahiki, aweze kuokoa uhai wake na Mtoto aliyeko tumboni. Video: MNH-Mloganzila TV

👨‍🏫 @Jitibu
+2
👨‍🏫 @Jitibu

👨‍🏫 @Jitibu Malengo yetu ni kupungua kilo 6-10 kwa mwezi huu. Malengo yako binafsi n yapi? . #ommyfitness #trainerwataifa
+3
👨‍🏫 @Jitibu Malengo yetu ni kupungua kilo 6-10 kwa mwezi huu. Malengo yako binafsi n yapi? . #ommyfitness #trainerwataifa

AFYA YAKO LEO - إحصائيات وتحليلات قناة تيليجرام @jitibu