es
Feedback

¡No caigas en manos de tramposos! Telemetrio encuentra y marca estos canales 👉 Si quieres ver la etiqueta, suscríbete 👈

AFYA YAKO LEO

AFYA YAKO LEO

Ir al canal en Telegram
1 820
Suscriptores
Sin datos24 horas
-47 días
-3230 días
Archivo de publicaciones
👨‍🏫 @Jitibu
+1
👨‍🏫 @Jitibu

👨‍🏫 @Jitibu Kama unafuatilia series ya Get Fit unahisi nani amekosekana hapa? Download App ya PMTVXTRA kufuatilia series ye
👨‍🏫 @Jitibu Kama unafuatilia series ya Get Fit unahisi nani amekosekana hapa? Download App ya PMTVXTRA kufuatilia series yetu ya GET FIT. Download sasa kupitia App store au Play store. We Are Moving. . #ommyfitness #trainerwataifa

👨‍🏫 @Jitibu Mwanafunzi @iamjusterjulius ni mgonjwa lakini mazoezi na diet vimeendelea kama kawaida. Kisingizio chako ni nin
+2
👨‍🏫 @Jitibu Mwanafunzi @iamjusterjulius ni mgonjwa lakini mazoezi na diet vimeendelea kama kawaida. Kisingizio chako ni nini? Umeshadownload App ya PMTVXTRA kufuatilia series yetu ya GET FIT? Download sasa kupitia App store au Play store. We Are Moving. . #ommyfitness #trainerwataifa

👨‍🏫 @Jitibu
+1
👨‍🏫 @Jitibu

👨‍🏫 @Jitibu Mwanafunzi wangu @nana_dollz amesharudi kutoka China, mazoezi na diet vimeendelea Leo kama kawaida. Umeshadownl
+2
👨‍🏫 @Jitibu Mwanafunzi wangu @nana_dollz amesharudi kutoka China, mazoezi na diet vimeendelea Leo kama kawaida. Umeshadownload App ya PMTVXTRA kufuatilia series yetu ya GET FIT? Download sasa kupitia App store au Play store. We Are Moving. . #ommyfitness #trainerwataifa

👨‍🏫 @Jitibu Kwanini vimelea vya H. pylori ni ngumu sana kupona? https://youtu.be/msAhdpiZIPU?is=QuHKJrgatKw2F-Ls

👨‍🏫 @Jitibu Watoto wakifanya kazi walipwe, wafundishwe kuweka akiba https://youtu.be/IqLAdzqZPxw?is=moVFsjKSF4Ctalu2

👨‍🏫 @Jitibu Kwa Wanawake, ikitokea umepata Ujauzito wa Mwanaume mwenye kundi la Damu Positive (A+,B+,AB+ au O+) halafu wewe ni Negative (A-,B-,AB- au O-) ni lazima upate sindano ya kuzuia athari za muingiliano wa makundi ya damu inayofahamika kama Anti D ili kuzuia kuharibika kwa Ujauzito wa pili na kuendelea. Hii inahusisha pia kwa wale ambao Ujauzito umetoka au Kuharibika kwa sababu zozote zile. Dkt. Lilian Minzi

👨‍🏫 @Jitibu Wazazi wakali, chanzo cha magonjwa ya afya ya akili kwa watoto https://youtu.be/i6-AVx2O7dk?is=MPWEa3WgR4_7DILY

👨‍🏫 @Jitibu Misingi 5 ya malezi na makuzi ya watoto ili wafikie karama zao https://youtu.be/Ywk63qQaVEY?si=H9Bjm9GSIjz_J-Qo

👨‍🏫 @Jitibu Fahamu dalili za hatari ambazo mwanamke mjamzito hapaswi kuzipuuza https://youtu.be/uhiPB57rrKw?si=2KO1woLaXTZ2aJtg

👨‍🏫 @Jitibu Ushauri huu ulitolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi, Machi 23, 2025 kwenye Busati la Mtoto, Msikiti wa Mtoro, yakirushwa kurushwa Mbashara na Dua TV Tanzania

👨‍🏫 @Jitibu Sapoti yenu ni Muhimu sana . #ommyfitness #trainerwataifa

👨‍🏫 @Jitibu Kwa Wagonjwa wa Moyo, kunywa maji mengi kunaweza kuongeza kiasi cha damu kinachopaswa kusukumwa na Moyo, hali inayoweza kuufanya Moyo uchoke zaidi na kusababisha dalili kama kupumua kwa shida, kuvimba miguu au mapafu kujaa maji. Na Husna faraji Afisa Lishe kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete VIDEO: JKCI

Sapoti yenu ni Muhimu sana .#ommyfitness #trainerwataifa https://www.youtube.com/shorts/y5LnOiEREhQ

👨‍🏫 @Jitibu The waiting is over . #ommyfitness #trainerwataifa

👨‍🏫 @Jitibu Ndoto zetu ni kubwa kuliko raha zetu. Weekend hii hapa but We are still moving. . #ommyfitness #trainerwataifa

👨‍🏫 @Jitibu Dalili za kutokwa damu nyingi, kupata maumivu makali ya kichwa na tumbo la chini pamoja na kupumua kwa shida pamoja na mtoto kupunguza kucheza ni miongoni mwa dalili ambazo mwanamke mjamzito hapaswi kuzipuuzia kwani ni hatari kwa afya ya mama na mtoto Dkt. Lilian Minzi

The waiting is over..#ommyfitness #trainerwataifa https://www.youtube.com/shorts/hLYCtmQGIL0

Ndoto zetu ni kubwa kuliko raha zetu. #ommyfitness #trainerwataifa https://www.youtube.com/shorts/wXjkMm8Ao5w