1 820
Підписники
Немає даних24 години
-47 днів
-3230 днів
Архів дописів
1 821
👨🏫 @Jitibu
Misingi 5 ya malezi na makuzi ya watoto ili wafikie karama zao https://youtu.be/Ywk63qQaVEY?si=H9Bjm9GSIjz_J-Qo
1 821
👨🏫 @Jitibu
Fahamu dalili za hatari ambazo mwanamke mjamzito hapaswi kuzipuuza https://youtu.be/uhiPB57rrKw?si=2KO1woLaXTZ2aJtg
1 821
👨🏫 @Jitibu
Ushauri huu ulitolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi, Machi 23, 2025 kwenye Busati la Mtoto, Msikiti wa Mtoro, yakirushwa kurushwa Mbashara na Dua TV Tanzania
1 821
👨🏫 @Jitibu
Kwa Wagonjwa wa Moyo, kunywa maji mengi kunaweza kuongeza kiasi cha damu kinachopaswa kusukumwa na Moyo, hali inayoweza kuufanya Moyo uchoke zaidi na kusababisha dalili kama kupumua kwa shida, kuvimba miguu au mapafu kujaa maji.
Na Husna faraji
Afisa Lishe kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete
VIDEO: JKCI
1 821
Sapoti yenu ni Muhimu sana .#ommyfitness #trainerwataifa
https://www.youtube.com/shorts/y5LnOiEREhQ
1 821
👨🏫 @Jitibu
Ndoto zetu ni kubwa kuliko raha zetu. Weekend hii hapa but We are still moving.
.
#ommyfitness #trainerwataifa
1 821
👨🏫 @Jitibu
Dalili za kutokwa damu nyingi, kupata maumivu makali ya kichwa na tumbo la chini pamoja na kupumua kwa shida pamoja na mtoto kupunguza kucheza ni miongoni mwa dalili ambazo mwanamke mjamzito hapaswi kuzipuuzia kwani ni hatari kwa afya ya mama na mtoto
Dkt. Lilian Minzi
1 821
Ndoto zetu ni kubwa kuliko raha zetu. #ommyfitness #trainerwataifa
https://www.youtube.com/shorts/wXjkMm8Ao5w
1 821
👨🏫 @Jitibu
Can you spot the difference? Don't forget to reach out for workout program and meal plan. WhatsApp 0628908800 . We Are Moving.
.
#ommyfitness #trainerwataifa
1 821
👨🏫 @Jitibu
Can you spot the difference? Don't forget to reach out for workout program and meal plan. WhatsApp 0628908800 . We Are Moving.
.
#ommyfitness #trainerwataifa
1 821
👨🏫 @Jitibu
Sijapost video za mazoezi wiki sasa, usidhani tumeacha kubeba chuma.
Hii safari ya Maisha ni kutafuta unachokitaka, kaza. Kama Mwanaume tutapumzika tukifa. Na hutakiwi kukihofia kifo maana kifo ni ukombozi halisi, hofia kufa bila kufanikisha Malengo
#ommyfitness #trainerwataifa
1 821
+3
👨🏫 @Jitibu
Ngoja kwanza Adam nijitanue ndo Hawa come.
@ommyfitnesscenter
.
#ommyfitness #trainerwataifa
1 821
Sijapost video za mazoezi wiki sasa, usidhani tumeacha kubeba chuma #ommyfitness #trainerwataifa
https://www.youtube.com/shorts/1o16lSPwVQU
1 821
👨🏫 @Jitibu
Dkt. Hilary Kizwi, Bingwa wa magonjwa ya Wanawake na afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila anafafanua baadhi ya Dalili za Ugonjwa hatari wa Kifafa cha Mimba.
Mwanamke mjamzito akipatwa na Dalili hizi anashauriwa kufika Hospitalini mapema ili kupata matibabu stahiki, aweze kuokoa uhai wake na Mtoto aliyeko tumboni.
Video: MNH-Mloganzila TV
1 821
+3
👨🏫 @Jitibu
Malengo yetu ni kupungua kilo 6-10 kwa mwezi huu. Malengo yako binafsi n yapi?
.
#ommyfitness #trainerwataifa
