R.KITCHEN MAPISHI, NA NASAA ZA NDOA
Open in Telegram
Mapishi, Nasaha za ndoa na namna ya kujiunga kwenye madarasa yetu WhatsApp 0754857310 karibu https://wa.me/message/B6DQSZPYNMLXC1
Show moreThe country is not specifiedReligion & Spirituality54 853
1 517
Subscribers
No data24 hours
-37 days
-1330 days
Data loading in progress...
Similar Channels
Tags Cloud
No data
Any problems? Please refresh the page or contact our support manager.
Incoming and Outgoing Mentions
---
---
---
---
---
---
Attracting Subscribers
August '25
August '250
in 0 channels
July '25
+16
in 0 channels
Get PRO
June '25
+33
in 0 channels
Get PRO
May '25
+33
in 0 channels
Get PRO
April '25
+27
in 0 channels
Get PRO
March '25
+18
in 0 channels
Get PRO
February '25
+24
in 0 channels
Get PRO
January '25
+50
in 0 channels
Get PRO
December '24
+60
in 0 channels
Get PRO
November '24
+61
in 0 channels
Get PRO
October '24
+47
in 0 channels
Get PRO
September '24
+41
in 0 channels
Get PRO
August '24
+26
in 0 channels
Get PRO
July '24
+23
in 0 channels
Get PRO
June '24
+21
in 0 channels
Get PRO
May '24
+35
in 0 channels
Get PRO
April '24
+95
in 0 channels
Get PRO
March '24
+102
in 0 channels
Get PRO
February '24
+50
in 0 channels
Get PRO
January '24
+74
in 0 channels
Get PRO
December '23
+74
in 0 channels
Get PRO
November '23
+115
in 0 channels
Get PRO
October '23
+114
in 0 channels
Get PRO
September '23
+149
in 0 channels
Get PRO
August '23
+46
in 0 channels
Get PRO
July '23
+64
in 0 channels
Get PRO
June '23
+110
in 0 channels
Get PRO
May '23
+29
in 0 channels
Get PRO
April '23
+575
in 0 channels
| Date | Subscriber Growth | Mentions | Channels | |
| 01 August | 0 |
Channel Posts
| 2 | Audio from R.kitchen | 60 |
| 3 | Audio from R.kitchen | 60 |
| 4 | Audio from R.kitchen | 58 |
| 5 | Majibu yangu👇 | 45 |
| 6 | Madam nisaidie niokoe ndoa yangu👇 | 45 |
| 7 | Audio from R.kitchen | 391 |
| 8 | Audio from R.kitchen | 469 |
| 9 | Audio from R.kitchen | 493 |
| 10 | Na nafasi aliyopewa mwanamke na jamii..
Tunafundishwa kuvumilia mateso na shida zote kulinda ndoa.
Tunafundishwa kulinda Amani ya mtu anaekusababishia maumivu...
Tunafundishwa kuvaa furaha wakati tuna huzuni..
Tunafundishwa kuheshim mtu ambae hakueheshimu hata kidogo..
Kama mwanaume amekulia katika familia ambayo mama ake alikuwa napata bad treatment wengine wanataka kulipiza kisasi kwa watakao waoa..Ndio utasikia mama angu alifanya hiki na hiki kwani nini wewe huwezi..Mama nae kama aliteseka ukweni anataka kumfanyia mkwewe hivyo hivyo..
Ndio maana unakuta kuna wanawake wanakufa kwenye ndoa kwa kuwa hawana support wanapopata shida..
Binti anakusimulia anayopitia magumu...Utamwambia tu rudi mwanangu ndoa ngumu vumilia..Kwanini ndoa inakuwa ngumu jamani..
Wanawake wengi wanaishi kwenye ndoa kwa sababu tu ya watoto..yaani mwenzio akiwahi kurudi unawaza moyoni nae huyu mbona mapema leo..
Kuna watu wana push mabint kuolewa mpaka imefikia stage bint ana miaka 22 or 23 ana stress kwanini hajaolewa..
Ndoa za sasa ni kuomba tu mungu jamani hali ni mbaya hata kwa ambae unamuona yuko happy maana ndani ya maisha ya watu hatuijui..
Watu wanaishi kwa maigizo kuliko uhalisia..
Tuswali na Tumuombe mungu atujalie Amani za mioyo yetu..
Mume ana mke mmoja..
Ana michepuko mitano..
Madai hapati Amani kwake...Kama Amani yake anaitafuta kwa wanawake wengine watano...Unadhani wewe mmoja utamuweza huyu mtu..Kwanza in reality hajui anataka nini yeye mwenyewe..
Jamani🥲🥲🥲🥲 | 509 |
| 11 | Haina aja kwan mtt anaona statuc kwa nn ucmwambie yy live alafu niwakumbushe kitu kingine
Kunapokua na jambo la kifamilia kubwa la hatua ya mtu mmoja wa familia iwe baba mpk watoto itaneni nyie kwa nyie atakama mko wa4 umo ndan
Waite watoto wambie sasa leo tunafanya dua kwajil ya dada ..... au kaka filan au dua kwajil ya baba ili Mungu amsaidie hiv na hiv na vile
Kama ni mtihan unawambia wenzake tumuombeeni mnaomba wote kwa pa1
Kama niswala la baba kuchukua mkopo labda ilo usiwambie watt unawambia tu leo tunafqnya dua kwajil ya baba Mungu amfanyie wepes kazini
Kuomba pa1 na watoto au kifamilia kunawakuza watoto kuona tunatakiwa kuombeana sisi kwa sisi kwajil ya mafanikio ya familia yetu
Sio unampigia mchungaji au shekhe wakati kuna watoto wa umli wa miaka m3 na m4 hawajui ata kua ndugu yao anafanya mtihani wewe unazitafuta baraka nje
Anzia ndani watt wajue dua ya leo niya kaka kesho ndugu zangu watakaa na mimi kuniombea kwa jambo lingine
Shirikishaneni atakama watt niwadogo mioyo ya upendo inakuzwa toka chini
Na ww mzazi wambie wanao kila asubuh maneno yakuwatia moyo usiache mtt aende shule hamjaonana onaneni Kama unawah kutoka nenda chumban kwake mtizame kamkaje mtamkie mazur
Aya Mungu akutangulie mwanangu ucsahau kusoma dua ukifika kweny gar na darasan ivo yan mkuze mtt ajue mama kaniweka mikononi kwa Mungu | 482 |
| 12 | No text... | 370 |
| 13 | Vipenzi mmeamkaje?
Wana R.KITCHEN
Leo naomba tukumbushane kidogo kama utaona nisawa au c sawa ila nikushauliana tu
Kwanza hongeren wale wazazi ambao vijana wao watoto wao wanafanya mtihani wa 4m2 Mungu awatangulie awajalie ufaham na kumbukumbu katika mitihani yao awape nuru kwenye macho yao na nguvu katika mikono yao
Nachopenda kukukumbusha hapa ni usimposti mitandaoni kwa lengo la kumtakia kheri ya mtihani najua kunamuda huamini kama kijana wako kafika hapo
Uwenda umepambana sanaa kwa maswala ya ada iwe unalipa wewe au babake lakin mmepambana na unamshukuru Mungu kwa hilo
Wewe nimzazi wake muombee dua ki imani dua ya mzazi kwa mtoto haina pazia
Nasema ivo cz anaweza kutizamwa kwa jicho la husda🧿 sio kila atae muona atamuombea dua unayo muombea kuna mwingine anaweza kua na chuki na wewe akamtizama mwanao kwa chuki iyo na kumbuka anaenda kufanya mtihani
Dunia inamengi na wengi na tunaishi nawatu ambao hatujui kua maisha yanapagwa na Mungu unacho muonanacho mtu leo hajajipa yeye hatakama unamuona anajuhud kiasi gn kweny maisha yupo anae ruhusu awe ivo unavo muona
Kama ingekua ni juhud zetu tu au mipango yetu tu bs kilamtu angekua nacho ulicho nacho
Ivo ziombee hatua za uzao wako kwa siri acha waje waone matokeo ya juhud zako na dua zako baada ya Mungu kukujibu usiwape nafasi kabla mtoto hajaingia kweny mtihani
Maisha yetu anayapanga Mungu ila usiri unahepusha mengi
mnisamehe kama nimewakwaza | 378 |
| 14 | Leo naomba niwambie kitu vipenzi
Ukipata bahati yakujuana na mtu mweny uwezo ambao kilamtu anajua uyu mtu mashallah anauwezo na anaweza kunisaidia
Ukitaka mtu uyo akuheshim na mzidi kuheshimiana na akuone wa maana jizuilie sanaa kumuomba pesa hasa hasa ikiwa pesa iyo hujaifanyia kazi unamuomba tu kama msaada akusaidie hi kitu imewafanya watu wengi kuvunja mahusiano na watu ambao walikua wana waheshim na wanawaona ni watu smart sana lakin walipo tanguliza shida bas ikaanza kua mwisho wa uhusiano wao hapa naongelea mahusiano ya kujuana na mtu mweny uwezo
Ni bora utafute bidhaa umuuzie umpe plan mfanye kazi flan ambayo wewe ilikwama kutokana na kukosa pesa mueleze vile unafikilia yan fanya chochote ambacho kitakupa pesa ambayo sio yakuomba kutoka kwake
Hi itakujengea heshma kwa mtu uyo yan usione tu flan anajulikana anapesa bas atanipa nikimuomba usifanye ivo nikwel anaweza kua nazo lakin je yuko tayal kukupa hiv hiv tu
Jizuilie kipenzi kunamuda mchawi ni tabia unazo zionyesha hasa unapo zoeana na watu ndo zinawakimbiza nasi kwamba wamepewa file lako au huna bahati
Kama anakupa bas acha akupe kwa hiyal yake na ata akikupa bas onyesha ugum sana kwanza kweny kupokea alafu ili sasa udumishe mahusiano mazur weka juhud kweny kumpa na wewe ambacho unauwezo nacho mfano una mashamba umevuna mpelekee na wewe au nyanya yan mpe na yy atakama unajua uwezo wa kuvipata ivo anao lakin rudisha ihsani itakujengea kitu kikubwa sanaa hasa hasa heshma yako | 344 |
| 15 | https://www.instagram.com/jasmin_wa_r.kitchen/profilecard/?igsh=MTFicnB6bjU4Zjk4eQ== | 327 |
| 16 | No text... | 439 |
| 17 | No text... | 396 |
| 18 | https://www.instagram.com/jasmin_wa_r.kitchen?igsh=MTFicnB6bjU4Zjk4eQ== | 342 |
| 19 | No text... | 489 |
| 20 | Aya kuna darasa jipya nimefungua kwajil ya mabint ambao hawajaolewabei ya kujiunga ni aftatu tu 3000 karibuni
🎤🎤🎤🎤🎤 | 633 |
