ar
Feedback
R.KITCHEN MAPISHI, NA NASAA ZA NDOA

R.KITCHEN MAPISHI, NA NASAA ZA NDOA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Mapishi, Nasaha za ndoa na namna ya kujiunga kwenye madarasa yetu WhatsApp 0754857310 karibu https://wa.me/message/B6DQSZPYNMLXC1

إظهار المزيد
لم يتم تحديد البلدالدين والقيم الروحية54 853
1 517
المشتركون
لا توجد بيانات24 ساعات
-37 أيام
-1330 أيام

جاري تحميل البيانات...

سحابة العلامات
لا توجد بيانات
هل تواجه مشاكل؟ يرجى تحديث الصفحة أو الاتصال بمدير الدعم الخاص بنا.
الإشارات الواردة والصادرة
---
---
---
---
---
---
جذب المشتركين
أغسطس '25
أغسطس '250
في 0 قنوات
يوليو '25
+16
في 0 قنوات
Get PRO
يونيو '25
+33
في 0 قنوات
Get PRO
مايو '25
+33
في 0 قنوات
Get PRO
أبريل '25
+27
في 0 قنوات
Get PRO
مارس '25
+18
في 0 قنوات
Get PRO
فبراير '25
+24
في 0 قنوات
Get PRO
يناير '25
+50
في 0 قنوات
Get PRO
ديسمبر '24
+60
في 0 قنوات
Get PRO
نوفمبر '24
+61
في 0 قنوات
Get PRO
أكتوبر '24
+47
في 0 قنوات
Get PRO
سبتمبر '24
+41
في 0 قنوات
Get PRO
أغسطس '24
+26
في 0 قنوات
Get PRO
يوليو '24
+23
في 0 قنوات
Get PRO
يونيو '24
+21
في 0 قنوات
Get PRO
مايو '24
+35
في 0 قنوات
Get PRO
أبريل '24
+95
في 0 قنوات
Get PRO
مارس '24
+102
في 0 قنوات
Get PRO
فبراير '24
+50
في 0 قنوات
Get PRO
يناير '24
+74
في 0 قنوات
Get PRO
ديسمبر '23
+74
في 0 قنوات
Get PRO
نوفمبر '23
+115
في 0 قنوات
Get PRO
أكتوبر '23
+114
في 0 قنوات
Get PRO
سبتمبر '23
+149
في 0 قنوات
Get PRO
أغسطس '23
+46
في 0 قنوات
Get PRO
يوليو '23
+64
في 0 قنوات
Get PRO
يونيو '23
+110
في 0 قنوات
Get PRO
مايو '23
+29
في 0 قنوات
Get PRO
أبريل '23
+575
في 0 قنوات
التاريخ
نمو المشتركين
الإشارات
القنوات
01 أغسطس0
منشورات القناة
رسالة صوتية

2
Audio from R.kitchen
60
3
Audio from R.kitchen
60
4
Audio from R.kitchen
58
5
Majibu yangu👇+2
Majibu yangu👇
45
6
Madam nisaidie niokoe ndoa yangu👇+4
Madam nisaidie niokoe ndoa yangu👇
45
7
Audio from R.kitchen
391
8
Audio from R.kitchen
469
9
Audio from R.kitchen
493
10
Na nafasi aliyopewa mwanamke na jamii.. Tunafundishwa kuvumilia mateso na shida zote kulinda ndoa. Tunafundishwa kulinda Amani ya mtu anaekusababishia maumivu... Tunafundishwa kuvaa furaha wakati tuna huzuni.. Tunafundishwa kuheshim mtu ambae hakueheshimu hata kidogo.. Kama mwanaume amekulia katika familia ambayo mama ake alikuwa napata bad treatment wengine wanataka kulipiza kisasi kwa watakao waoa..Ndio utasikia mama angu alifanya hiki na hiki kwani nini wewe huwezi..Mama nae kama aliteseka ukweni anataka kumfanyia mkwewe hivyo hivyo.. Ndio maana unakuta kuna wanawake wanakufa kwenye ndoa kwa kuwa hawana support wanapopata shida.. Binti anakusimulia anayopitia magumu...Utamwambia tu rudi mwanangu ndoa ngumu vumilia..Kwanini ndoa inakuwa ngumu jamani.. Wanawake wengi wanaishi kwenye ndoa kwa sababu tu ya watoto..yaani mwenzio akiwahi kurudi unawaza moyoni nae huyu mbona mapema leo.. Kuna watu wana push mabint kuolewa mpaka imefikia stage bint ana miaka 22 or 23 ana stress kwanini hajaolewa.. Ndoa za sasa ni kuomba tu mungu jamani hali ni mbaya hata kwa ambae unamuona yuko happy maana ndani ya maisha ya watu hatuijui.. Watu wanaishi kwa maigizo kuliko uhalisia.. Tuswali na Tumuombe mungu atujalie Amani za mioyo yetu.. Mume ana mke mmoja.. Ana michepuko mitano.. Madai hapati Amani kwake...Kama Amani yake anaitafuta kwa wanawake wengine watano...Unadhani wewe mmoja utamuweza huyu mtu..Kwanza in reality hajui anataka nini yeye mwenyewe.. Jamani🥲🥲🥲🥲
509
11
Haina aja kwan mtt anaona statuc kwa nn ucmwambie yy live alafu niwakumbushe kitu kingine Kunapokua na jambo la kifamilia kubwa la hatua ya mtu mmoja wa familia iwe baba mpk watoto itaneni nyie kwa nyie atakama mko wa4 umo ndan Waite watoto wambie sasa leo tunafanya dua kwajil ya dada ..... au kaka filan au dua kwajil ya baba ili Mungu amsaidie hiv na hiv na vile Kama ni mtihan unawambia wenzake tumuombeeni mnaomba wote kwa pa1 Kama niswala la baba kuchukua mkopo labda ilo usiwambie watt unawambia tu leo tunafqnya dua kwajil ya baba Mungu amfanyie wepes kazini Kuomba pa1 na watoto au kifamilia kunawakuza watoto kuona tunatakiwa kuombeana sisi kwa sisi kwajil ya mafanikio ya familia yetu Sio unampigia mchungaji au shekhe wakati kuna watoto wa umli wa miaka m3 na m4 hawajui ata kua ndugu yao anafanya mtihani wewe unazitafuta baraka nje Anzia ndani watt wajue dua ya leo niya kaka kesho ndugu zangu watakaa na mimi kuniombea kwa jambo lingine Shirikishaneni atakama watt niwadogo mioyo ya upendo inakuzwa toka chini Na ww mzazi wambie wanao kila asubuh maneno yakuwatia moyo usiache mtt aende shule hamjaonana onaneni Kama unawah kutoka nenda chumban kwake mtizame kamkaje mtamkie mazur Aya Mungu akutangulie mwanangu ucsahau kusoma dua ukifika kweny gar na darasan ivo yan mkuze mtt ajue mama kaniweka mikononi kwa Mungu
482
12
لا يوجد نص...
370
13
Vipenzi mmeamkaje? Wana R.KITCHEN Leo naomba tukumbushane kidogo kama utaona nisawa au c sawa ila nikushauliana tu Kwanza hongeren wale wazazi ambao vijana wao watoto wao wanafanya mtihani wa 4m2 Mungu awatangulie awajalie ufaham na kumbukumbu katika mitihani yao awape nuru kwenye macho yao na nguvu katika mikono yao Nachopenda kukukumbusha hapa ni usimposti mitandaoni kwa lengo la kumtakia kheri ya mtihani najua kunamuda huamini kama kijana wako kafika hapo Uwenda umepambana sanaa kwa maswala ya ada iwe unalipa wewe au babake lakin mmepambana na unamshukuru Mungu kwa hilo Wewe nimzazi wake muombee dua ki imani dua ya mzazi kwa mtoto haina pazia Nasema ivo cz anaweza kutizamwa kwa jicho la husda🧿 sio kila atae muona atamuombea dua unayo muombea kuna mwingine anaweza kua na chuki na wewe akamtizama mwanao kwa chuki iyo na kumbuka anaenda kufanya mtihani Dunia inamengi na wengi na tunaishi nawatu ambao hatujui kua maisha yanapagwa na Mungu unacho muonanacho mtu leo hajajipa yeye hatakama unamuona anajuhud kiasi gn kweny maisha yupo anae ruhusu awe ivo unavo muona Kama ingekua ni juhud zetu tu au mipango yetu tu bs kilamtu angekua nacho ulicho nacho Ivo ziombee hatua za uzao wako kwa siri acha waje waone matokeo ya juhud zako na dua zako baada ya Mungu kukujibu usiwape nafasi kabla mtoto hajaingia kweny mtihani Maisha yetu anayapanga Mungu ila usiri unahepusha mengi mnisamehe kama nimewakwaza
378
14
Leo naomba niwambie kitu vipenzi Ukipata bahati yakujuana na mtu mweny uwezo ambao kilamtu anajua uyu mtu mashallah anauwezo na anaweza kunisaidia Ukitaka mtu uyo akuheshim na mzidi kuheshimiana na akuone wa maana jizuilie sanaa kumuomba pesa hasa hasa ikiwa pesa iyo hujaifanyia kazi unamuomba tu kama msaada akusaidie hi kitu imewafanya watu wengi kuvunja mahusiano na watu ambao walikua wana waheshim na wanawaona ni watu smart sana lakin walipo tanguliza shida bas ikaanza kua mwisho wa uhusiano wao hapa naongelea mahusiano ya kujuana na mtu mweny uwezo Ni bora utafute bidhaa umuuzie umpe plan mfanye kazi flan ambayo wewe ilikwama kutokana na kukosa pesa mueleze vile unafikilia yan fanya chochote ambacho kitakupa pesa ambayo sio yakuomba kutoka kwake Hi itakujengea heshma kwa mtu uyo yan usione tu flan anajulikana anapesa bas atanipa nikimuomba usifanye ivo nikwel anaweza kua nazo lakin je yuko tayal kukupa hiv hiv tu Jizuilie kipenzi kunamuda mchawi ni tabia unazo zionyesha hasa unapo zoeana na watu ndo zinawakimbiza nasi kwamba wamepewa file lako au huna bahati Kama anakupa bas acha akupe kwa hiyal yake na ata akikupa bas onyesha ugum sana kwanza kweny kupokea alafu ili sasa udumishe mahusiano mazur weka juhud kweny kumpa na wewe ambacho unauwezo nacho mfano una mashamba umevuna mpelekee na wewe au nyanya yan mpe na yy atakama unajua uwezo wa kuvipata ivo anao lakin rudisha ihsani itakujengea kitu kikubwa sanaa hasa hasa heshma yako
344
15
https://www.instagram.com/jasmin_wa_r.kitchen/profilecard/?igsh=MTFicnB6bjU4Zjk4eQ==
327
16
+6
لا يوجد نص...
439
17
لا يوجد نص...
396
18
https://www.instagram.com/jasmin_wa_r.kitchen?igsh=MTFicnB6bjU4Zjk4eQ==
342
19
لا يوجد نص...
489
20
Aya kuna darasa jipya nimefungua kwajil ya mabint ambao hawajaolewabei ya kujiunga ni aftatu tu 3000 karibuni 🎤🎤🎤🎤🎤
633