FOREX SETUPS ANALYSIS
Open in Telegram
1 091
Subscribers
-124 hours
-57 days
-2330 days
Posts Archive
BAADA YA HAPO NI KUWITHRAW NDUGU ZANGU JE INAKUAJE?
HAPO NITAELEKEZA HATUA KWA HATUA TENA HAPO KESHO
Baada ya kujaza hapo unaona kimshale hicho hapo chini kifute kuelekea kulia mpaka kijae
Baada ya hapo watadai uweke pswd au wengine hutumia finger print unaruhusu hela yako inatoka na hapo unakua umeshadeposit kwa broker
Baada ya hapo andika hapo kiasi unachotaka kudeposit kisipungue dola 5 yaani huku unaweza weka hata dola 5 nakuendelea kisha unaliona neno withdraw hapo chini utaliponyeza hapo baada yakujaza kama hapa ninavyowaonesha mfano mimi nimeweka dola 10 kisha angalia picha inayofuata hapo chini
Baada ya hapo unaona hapo wamekuandikia address, hapo bonyelezea ndugu yangu kisha paste maana kama unakumbuka tulishacopy address kule kwa broker kisha paste hapo
Then twende tuendelee hapo chini
Unaona hiyo inayoonekana hapo yakwanza kabisa hiyo ,hiyo ndiyo tuliyoichagua kule kwa broker hivyo ichague hiyo kisha Tusonge pamoja ndugu yangu,
Angalia hatua inayofuata hapo chini
Hapa ni sehem unapaswa usikosee ili hela yako isipotee unaona pale wamekuandikia select network ,bonyeza hapo kisha zitakuja USDT nyingi zakutosha but kwakua kwa broker tulichagua USDT ambayo ni Bep 20 ama BSC kwa hiyo hapo unachagua Bep 20 (BSC)
Angalia picha inayofuata hapo chini
Unapokua unadeposit kwa broker maana yake unaitoa pesa binance kupeleka kwa broker na ndy maana tunaingia hapo pameandikwa withdraw asset from binance to other exchange bonyeza hapo yaani sehem ya pili kwenye hiyo picha hapo juu kisha utakutana na hiki hapa chini
Unaona hapo sasa kwenye hiyo picha eee, bonyeza neno send, kuna baadhi wanaotumia lite binance wameandikiwa transfer ni vile vile libonyeze kisha kitakuja kitu cha namna hii hapa chini
Unapofungua app yako ya binance utakutana na mwonekano wa namna hii na kama hauna salio hapo kwenye 82 itaonekana 0 , namna yakuongeza salio huko nitaelekeza wala usijali kabisa , sasa uwe nakumbukumbu yakua tulikopy address ya USDT kule kwa broker na USDT yenyewe ni BSC ama Bep 20, kisha ukibonyeza hapo kwenye salio hapo litakuja neno send ona picha hapo chini
Tuelewane nimesema kama unahitaji kutrade pamoja nami na unahitaji broker asie na wenge fungua account yako kwa broker huyu hapa
https://direct-fxpro.com/en/partner/21NURoWp
Kisha tuendelee hapa chini
Hapa wanakuletea wallet hii ambayo ni mhimu sana i copy kisha ihifadhi sehem maana haibadiliki unaweza ukawa unaitumia kudeposit kila mara, kisha ukishaicopy nenda kwenye binance yako sasa kama ninavyoelekeza hapo chini hatua kwa hatua
Hapa ni unachagua sasa USDT ipi unataka kuitumia ,hapa nakusihi tumia BSC na kuna broker wengine wameiandika kama Bep 20 ni hiyo hiyo wala isikuchanganye kisha ukisha bonyeza hapo utaletewa kitu chanamna hii hapa chini
Hapa kuna njia kadhaa ,hiyo ya kwanza ni mobile na wengi wameshaizoea but huko sitaki upite tumia Crypto na hapo Chagua USDT
faida yake ni ipi?
👉🏾Unawithdraw/kudeposit limit ikiwa ni dola elfu therathini (30k)
👉🏾Hela yako inafika instant yaani hapo hapo si zaidi ya dak 5
👉🏾Usalama ni mkubwa zaidi
Twende hatua inayofuata kwakubonyeza CONTINUES
Tuendelee kisha bonyeza hapo Add fund na baada ya hapo utaingia hatua ya pili inayofuata hapo chini
Unaingia kwa broker wako kwenye dashboard yako namna hii mfano huyu ni FX pro na kama hauna account ya fx pro fungua hapa chini
NILIAHIDI NITAELEKEZA NAMNA YA KUDEPOSIT NA KUWITHDRAW KWA MABROKER HIVYO MUDA NDIO HUU NDUGU ZANGU, TUANZE NA DEPOSIT
Available now! Telegram Research 2025 — the year's key insights 
