uk
Feedback
FOREX SETUPS ANALYSIS

FOREX SETUPS ANALYSIS

Відкрити в Telegram

ANALYSIS AND FOREX TIPS

Показати більше
Країна не вказанаЕкономіка та фінанси41 164
1 042
Підписники
-224 години
-47 днів
-2330 день
Архів дописів
photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

PPI
PPI

photo content

BAADA YA HAPO NI KUWITHRAW NDUGU ZANGU JE INAKUAJE? HAPO NITAELEKEZA HATUA KWA HATUA TENA HAPO KESHO

Baada ya kujaza hapo unaona kimshale hicho hapo chini kifute kuelekea kulia mpaka kijae Baada ya hapo watadai uweke pswd au w
Baada ya kujaza hapo unaona kimshale hicho hapo chini kifute kuelekea kulia mpaka kijae Baada ya hapo watadai uweke pswd au wengine hutumia finger print unaruhusu hela yako inatoka na hapo unakua umeshadeposit kwa broker

Baada ya hapo andika hapo kiasi unachotaka kudeposit kisipungue dola 5 yaani huku unaweza weka hata dola 5 nakuendelea kisha
Baada ya hapo andika hapo kiasi unachotaka kudeposit kisipungue dola 5 yaani huku unaweza weka hata dola 5 nakuendelea kisha unaliona neno withdraw hapo chini utaliponyeza hapo baada yakujaza kama hapa ninavyowaonesha mfano mimi nimeweka dola 10 kisha angalia picha inayofuata hapo chini

Baada ya hapo unaona hapo wamekuandikia address, hapo bonyelezea ndugu yangu kisha paste maana kama unakumbuka tulishacopy ad
Baada ya hapo unaona hapo wamekuandikia address, hapo bonyelezea ndugu yangu kisha paste maana kama unakumbuka tulishacopy address kule kwa broker kisha paste hapo Then twende tuendelee hapo chini

Unaona hiyo inayoonekana hapo yakwanza kabisa hiyo ,hiyo ndiyo tuliyoichagua kule kwa broker hivyo ichague hiyo kisha Tusonge
Unaona hiyo inayoonekana hapo yakwanza kabisa hiyo ,hiyo ndiyo tuliyoichagua kule kwa broker hivyo ichague hiyo kisha Tusonge pamoja ndugu yangu, Angalia hatua inayofuata hapo chini

Hapa ni sehem unapaswa usikosee ili hela yako isipotee unaona pale wamekuandikia select network ,bonyeza hapo kisha zitakuja
Hapa ni sehem unapaswa usikosee ili hela yako isipotee unaona pale wamekuandikia select network ,bonyeza hapo kisha zitakuja USDT nyingi zakutosha but kwakua kwa broker tulichagua USDT ambayo ni Bep 20 ama BSC kwa hiyo hapo unachagua Bep 20 (BSC) Angalia picha inayofuata hapo chini