FOREX SETUPS ANALYSIS
Ir al canal en Telegram
1 065
Suscriptores
Sin datos24 horas
-107 días
-2830 días
Archivo de publicaciones
BAADA YA HAPO NI KUWITHRAW NDUGU ZANGU JE INAKUAJE?
HAPO NITAELEKEZA HATUA KWA HATUA TENA HAPO KESHO
Baada ya kujaza hapo unaona kimshale hicho hapo chini kifute kuelekea kulia mpaka kijae
Baada ya hapo watadai uweke pswd au wengine hutumia finger print unaruhusu hela yako inatoka na hapo unakua umeshadeposit kwa broker
Baada ya hapo andika hapo kiasi unachotaka kudeposit kisipungue dola 5 yaani huku unaweza weka hata dola 5 nakuendelea kisha unaliona neno withdraw hapo chini utaliponyeza hapo baada yakujaza kama hapa ninavyowaonesha mfano mimi nimeweka dola 10 kisha angalia picha inayofuata hapo chini
Baada ya hapo unaona hapo wamekuandikia address, hapo bonyelezea ndugu yangu kisha paste maana kama unakumbuka tulishacopy address kule kwa broker kisha paste hapo
Then twende tuendelee hapo chini
Unaona hiyo inayoonekana hapo yakwanza kabisa hiyo ,hiyo ndiyo tuliyoichagua kule kwa broker hivyo ichague hiyo kisha Tusonge pamoja ndugu yangu,
Angalia hatua inayofuata hapo chini
Hapa ni sehem unapaswa usikosee ili hela yako isipotee unaona pale wamekuandikia select network ,bonyeza hapo kisha zitakuja USDT nyingi zakutosha but kwakua kwa broker tulichagua USDT ambayo ni Bep 20 ama BSC kwa hiyo hapo unachagua Bep 20 (BSC)
Angalia picha inayofuata hapo chini
Unapokua unadeposit kwa broker maana yake unaitoa pesa binance kupeleka kwa broker na ndy maana tunaingia hapo pameandikwa withdraw asset from binance to other exchange bonyeza hapo yaani sehem ya pili kwenye hiyo picha hapo juu kisha utakutana na hiki hapa chini
Unaona hapo sasa kwenye hiyo picha eee, bonyeza neno send, kuna baadhi wanaotumia lite binance wameandikiwa transfer ni vile vile libonyeze kisha kitakuja kitu cha namna hii hapa chini
Unapofungua app yako ya binance utakutana na mwonekano wa namna hii na kama hauna salio hapo kwenye 82 itaonekana 0 , namna yakuongeza salio huko nitaelekeza wala usijali kabisa , sasa uwe nakumbukumbu yakua tulikopy address ya USDT kule kwa broker na USDT yenyewe ni BSC ama Bep 20, kisha ukibonyeza hapo kwenye salio hapo litakuja neno send ona picha hapo chini
