MANHAJ YA SALAF-TZ
Open in Telegram
1 453
Subscribers
-124 hours
-87 days
-130 days
Posts Archive
1 454
🌹 ALHAMDULILLAH! 🌹
🕌 KARIBUNI SANA MASHEKHE WETU 🕌
Tunayo furaha kubwa na heshima kwa kutembelewa na Mashekhe wetu wapendwa.
🤍 Ziara yenu ni furaha kwetu, 📚 elimu kwetu, 🤝 na ni kuimarisha udugu na mapenzi kwa ajili ya Allah.
أَهْلًا وَسَهْلًا وَمَرْحَبًا بِكُمْ
“Karibuni sana, Mashekhe wetu. Tunawapokea kwa moyo wa furaha na upendo.”
🤲 Allah awabariki katika ziara yenu na aijaalie iwe yenye kheri na manufaa.
🌹 KARIBUNI SANA 🌹
Tunawapenda kwa ajili ya Allah.
1 454
🌎هذه دعوتنا وعقيدتنا🌎
💫💥💥💥💥💫
🗯BUSHRAA.. BUSHRAA.. BUSHRAA🗯
📢HII NI BISHARA NJEMA KWA MASALAFI WOTE NA WAISLAAMU KIUJUMLA WA MAENEO YA MATALA HIMO KILIMANJARO NA VIUNGA VYAKE JUU YA UJIO WA
MADUAATI NA WALIMU ZETU WABORA KUTOKA DARESALAM, WAKIONGOZWA NA SHEYKH ABU USAAMAH KHAMIS BN AMEحفظه الله تعالى.
💥RATIBA YAO ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:
*🎙TAREHE 5/9/2026*
*SAWA NA 23/ RABIUL AWAL/1448 H SIKU YA JUMAMOSI BAADA YA SWALAA YA DHUHRI WATAKUWA NA MIHADHARA INSHALLAH*
🎙KISHA BAADA YA MIHAADHARA KUTAKUWA NA MASWALI NA MAJIBU
🎙KISHA BAADA YA HAPO WATU WATAPATA CHAKULA CHA MCHANA
💫💥💥💥💥💫
👉TUNAWANASIHI KUITAWANYA TAARIFA HII YA KHERI ILI IWAFIKIE NDUGU ZETU WALIO KARIBU NA MBALI.
🖋TAARIFA IMETOLEWA NA UONGOZI WA MASJID SALAFIYA HIMO MATALA KILIMANJARO).
👍🏿BAARAKA ALLAAHU FIYKUM WAJAZAAKUMU ALLAAHU KHAYRAA.
💫💥💥💥💥💫
💺https://t.me/salafiyaTZ
1 454
🌎هذه دعوتنا وعقيدتنا🌎
💫💥💥💥💥💫
🗯BUSHRAA.. BUSHRAA.. BUSHRAA🗯
📢HII NI BISHARA NJEMA KWA MASALAFI WOTE NA WAISLAAMU KIUJUMLA WA MAENEO YA MATALA HIMO KILIMANJARO NA VIUNGA VYAKE JUU YA UJIO WA
MADUAATI NA WALIMU ZETU WABORA KUTOKA DARESALAM, WAKIONGOZWA NA SHEYKH ABU USAAMAH KHAMIS BN AMEحفظه الله تعالى.
💥RATIBA YAO ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:
🎙TAREHE 5/9/2026
SAWA NA 28/ RABIUL AWAL/1448 H SIKU YA JUMAMOSI BAADA YA SWALAA YA DHUHRI WATAKUWA NA MIHADHARA INSHALLAH
🎙KISHA BAADA YA MIHAADHARA KUTAKUWA NA MASWALI NA MAJIBU
🎙KISHA BAADA YA HAPO WATU WATAPATA CHAKULA CHA MCHANA
💫💥💥💥💥💫
👉TUNAWANASIHI KUITAWANYA TAARIFA HII YA KHERI ILI IWAFIKIE NDUGU ZETU WALIO KARIBU NA MBALI.
🖋TAARIFA IMETOLEWA NA UONGOZI WA MASJID SALAFIYA HIMO MATALA KILIMANJARO).
👍🏿BAARAKA ALLAAHU FIYKUM WAJAZAAKUMU ALLAAHU KHAYRAA.
💫💥💥💥💥💫
💺https://t.me/salafiyaTZ
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
HUSDA:-
Amesema mwanachuoni Ibn Uthaymiin- Allah amrehemu:-
"Haijuzu Husda -kutamani neema aliyoneemeshwa mja imuondokee- hata kwa -kumuonea husda- aliyekuwa kafiri.
Kwa sababu husda ndani yake kuna sehemu ya aina ya kupinga mahukumio ya Allah na makadirio yake".
✍Abuu Maysarah' Saalim
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
UPO VIPI WEWE NA QUR-AAN?
Amesema mwanachuoni Shekh Muhammad bin Swaaleh Al-Uthaymiin- Allah amrehemu:-
"Pindi utakapoona ndani ya nafsi yako ya kuwa kila pale ambapo unaposoma Qur-aan inakuzidishia imani, -basi fahamu- kwa hakika hilo ni katika alama za Taufiq -kuafikishwa na Allah".
✍🏾Abuu Maysarah' Saalim
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
ELIMU NI SABABU YA RIZIKI.
KISA; HUENDA UNARUZUKIWA KUPITIA YEYE (ANAYETAFUTA ELIMU).
Kutoka kwa Anas bin Maalik -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema;
Kulikuwa na ndugu wawili katika zama za mtume swala na salamu za Allah ziwe juu yake.
Basi alikuwa mmoja wao anamuendea mtume swala na salamu za Allah ziwe juu yake -kwa ajili yakujifunza dini-, na mwingine anaenda kufanya kazi yakutafuta kipato na riziki.
Basi alishitaki anayefanya kazi kumshitakia ndugu yake kwa mtume -swala na salamu za Allah ziwe juu yake, akasema -mtume-
"Huenda -hakika- wewe unaruzukiwa kupitia yeye".
Ameipokea Imam Tirmidhiy- Allah amrehemu.
Tafsiri; Abuu Maysarah' Saalim
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
💥 𝐊𝐔𝐉𝐔𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐋𝐀𝐇𝐈 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐇𝐀𝐑𝐈𝐁𝐈𝐅𝐔 𝐍𝐈 𝐉𝐀𝐌𝐁𝐎 𝐋𝐀 𝐖𝐀𝐓𝐔 𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐄𝐋𝐈𝐌𝐔 𝐍𝐀 𝐍𝐈 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐉𝐀𝐌𝐁𝐎 𝐋𝐀 𝐒𝐇𝐄𝐑𝐈𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐈𝐒𝐋𝐀𝐌𝐔.
🎙 Shekh Yahyaa Al-Hajuuriy [Allah Amuhifadhi].
📡 https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
MANENO YAKUANDIKWA NA WINO WA DHAHABU:-
خطب عبد الملك بن مروان رحمه الله خطبة بليغة ثم قطعها وبكى ! ثم قال:
" يا رب إن ذنوبي عظيمة وان قليل عفوك أعظم منها، فامح بقليل عفوك عظيم ذنوبي.
فبلغ ذلك الحسن البصري فبكى ! وقال:
" لو كان كلام يكتب بالذهب لكتب هذا "
Alitoa Khutba Abdul-Maalik bin Mar'waan- Allah amrehemu- Khutba yenye kufika -yenye ufasaha na kugusa nyoyo za wasikilizaji- kisha akaikata na akalia, kisha akasema;
"Ewe Mlezi - Allah, hakika madhambi yangu ni makubwa! na kwa hakika uchache wa msamaha wako ni mkubwa zaidi kuliko hayo -madhambi yangu-, Basi nifutie kupitia/ kutokana na msamaha wako mdogo, ukubwa wa madhambi yangu".
Likamfikia hilo Hasan Albaswriy- Allah amrehemu, naye akalia na kisha akasema;
"Lau kama maneno yangelikuwa yanaandikwa na maji ya dhahabu, basi yangeliandikwa maneno haya".
[تهذيب التهذيب(٦ / ٣٦٤)]
Abuu Maysarah' Saalim
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
بسم الله الرحمن الرحيم
🌿KHUTBA YA IJUMAA- MASJID NNUUR KWA DIHUMU, MAJOHE- KIVULE DSM, TANZANIA.
💥KUTAFUTA RIZIKI KUTOKA KWA ALLAH.
🎙Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan
🗒Ijumaa, 15 Rabiyul Awwal 1448 H, 28- 08- 2026 M.
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 454
Repost from N/a
محاضرة قيمة بعنوان:
[[ القول الفائق في التحذير من ظاهرة تقليب الحقائق ]]
⬅️ مدة المحاضرة 🕘 36:41
🔹🔹🔹🔹🔹
🎤ألقاها الشيخ/ أبو سفيان هايل البحري وفقه الله تعالى
في مركز الخير / مونزا / تنزانيا
🗓️ الموافق 16 ربيع الأول
لعام 1448هـ
مجموعة الشيخ على الرابط https://chat.whatsapp.com/DAJjC2Vmg5P9XV8LuRJt27
قناة الشيخ في تليجرام على الرابط
https://t.me/zawmmgy51122
1 454
📮•هذه دعوتنا وعقيدتنا•📮
🎤•خطبة جمعة قيمة جداً•🎤
•KHUTBAH YA IJUMAA•
🕌•MARKAZ SHEIKH IBN BAAZ•🕌
🌿•NZUGUNI•🌿
•DODOMA MJINI•
🌿🌿🌿🌿🌿🌿
📣'UNUWAAN YA KHUTBAH:
💥KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI, NA MAZINGATIO KATIKA MSIBA/ KUFARIKI KWA MTUME -SWALA NA SALAMU ZA ALLAH ZIWE JUU YAKE.
🌿🌿🌿🌿🌿🌿
🎤KHATWIYB:-
🎙️USTAADH ABUU SALMAA HABIYB BIN HAARUUN.
حفظه الله ورعاه.
🌿🌿🌿🌿🌿🌿
🗓IJUMAA: TAREHE 15 RABIY'UL AWWAL 1448= TAREHE 28/ 08 / 2026 M.
🔹USISAHAU KUSAMBAZA NA KWA WENGINE.
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
بسم الله الرحمن الرحيم
🌿KHUTBA YA IJUMAA- MASJID NNUUR KWA DIHUMU, MAJOHE- KIVULE DSM, TANZANIA.
💥MAMBO MANNE KATIKA MAMBO YA JAAHILIYYAH YAKUJIEPUSHA NAYO WAISILAMU.
🎙Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan
🗒Ijumaa, 01 Rabiyul Awwal 1448 H, 14- 08- 2026 M.
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 454
🤞
🔰هذه دعوتنا و عقيدتنا🔰
📅 Ijumaa {16 Rabiul-awal 1448H.
28.AUGUST.2026M.
🎙KHUTBA FUPI BAADA YA SWALAATUL KUSUUF🎙
🌒IKIWA NI BAADA YA TUKIO LA KUPATWA KWA MWEZI🌒
💺KHATWIYB:🎙
Al Akh Abuu Khatwiib shabaan [حفظه الله ورعاه].
🕌MASJID 'SALAFIYA HIMO MATALA•🕌
🌓
http://telegram.me/salafiyaTZ
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
ELIMU ISIYOFANYIWA KAZI NI MAJUTO KWA MTU WAKE:-
قال الشعبيّ - رحمه الله - :
" ليتني لم أكن علمتُ من ذا العلم شيئًا ".
Amesema Imaam Shaabiy- Allah amrehemu:-
"Ole wangu! laiti nisingelikuwa najua katika hii elimu chochote".
قال الذهبي -معلقًا- :-
"لأنه حجة على العالم ، فينبغي أن يعمل به ، وينبّه الجاهل ،فيأمره وينهاه ، ولأنه مظنة أن لا يخلص فيه ، وأن يتفاخر به ويماري به ، لينال رئاسة ودُنيا فانية ".
Amesema Imaam Dhahabiy- Hali yakuwekea maelezo mafupi;
"Kwa sababu hiyo -elimu- ni hoja juu ya mwenye elimu, basi inampasa aifanyie kazi, na amzindue mjinga, basi -inampasa- amuamrishe na amkataze.
Na -hiyo elimu- ni madhanio ya kutokuwa na ikhlaswi ndani yake, na -madhanio ya- kujifaharisha na kujionyesha kutokana na elimu hiyo, ili apate uongozi na dunia yenye kuisha".
[ سير أعلام النبلاء ٤/ ٣٠٣]
Abuu Maysarah' Saalim
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
💥بسم الله الرحمن الرحيم
🌿SAUTI MPYA YA SHAIRI:-
💥MAHABA SI MAULIDI.
🔊MSOMAJI:-
🎙ABUU MUFTI ZUBEIR' ABDUL-AZIYZ BIN KHALFAAN 'MUAZIN' - SOUTH AFRICA 🇿🇦.
✍🏻Limeandikwa na: - Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan- Majohe, Dar es salaam, Tanzania🇹🇿
🔊Limesomwa:- Jumatatu 11 Rabiy'ul Awwal 1448 H, 24-08-2026M.
🌿Telegram:-
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
SHAIRI:-
MAHABA SI MAULIDI.
MTUNZI;
Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan.
بسم الله الرحمن الرحيم.
1- Kama mahaba bidaa, mimi sisifu kwa dhambi,
waliuwawa shujaa, maswahaba kwenye kambi,
na wala hawakukaa, kunywa maziwa na tambi,
Mahaba si maulidi, Mahaba kufata suna.
2- Alimpenda swidiki, kahama Maka Madina,
swahaba Abu Maliki, ni wengi yao majina,
vipi nao mazandiki, mahaba kwake hawana!
Mahaba si maulidi, Mahaba kufata suna.
3- Walompenda Rasuli, Wakeze mama Aisha,
hawakufanya shughuli, maulidi kuitisha,
Mkwe Uthumani, Ali, dini walosimamisha,
Mahaba si maulidi, mahaba kufata suna.
4- Ndevu unozikwangua, thaubu mpaka chini,
swala unazirarua, huswali msikitini,
kisha unajinengua, kwenye jambo liso dini.
Mahaba si maulidi, Mahaba kufata suna.
5- Ole unoshangilia, na kuuleta ubishi,
maulidi ya mashia, kula vyakula mapishi,
kwenye njia ya nabia, ni bidaa na uzushi,
Mahaba si maulidi, mahaba kufata suna.
6- Nisirefushe zaidi, haja na hilo hakuna,
waacheni makaidi, wapenda ubwabwa sana,
Suni shika maridadi, njia yake Maulana,
MAHABA SI MAULIDI, MAHABA KUFATA SUNA.
Imeandikwa na Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan - Majohe, Dar es salaam, Tanzania.
Jumatatu 11 Rabiyul Awwal 1448, 24-08- 2026.
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
NASAHA
لا تفتشوا في النيات
USIPEKUE KATIKA NIA ZA WATU.
Amesema Shekh Feyswal Alhaashidiy- Allah amhifadhi:-
ليس للعبد أن يخوض في نيات الناس، ولا أن يحكم على سرائرهم بالظنون؛ فالقلوب وخفاياها لا يعلمها إلا الله فلا تقل : أراد كذا، وقصد كذا، ونيته كذا، بغير بينة.
احمل كلام أخيك على أحسن محامله واحكم على ما ظهر من عمله، ودع سريرته العلام الغيوب فليس كل ما تراه عينك هو ما قصده قلبه
"Sio kwa mja -haifai kwa mja- azame katika nia za watu, na wala ahukumie juu ya siri zao kwa kudhania, kwani nyoyo na yaliyofichikana ndani yake hakuna anayeyajua isipokuwa Allah.
Basi usiseme; "Ametaka hivi, amekusudia hivi, na nia yake ipo hivi", pasi na ubainifu wowote.
Yabebe -yachukue- maneno ya ndugu yako juu ya uchukuaji mzuri zaidi, na hukumu kwa kile ambacho kimedhihiri katika matendo yake.
Na acha siri zake -yaliyofichikana kwake- kwa mjuzi wa mambo yaliyofichikana -Allah-.
Kwani sio kila kinachoona jicho lako ndio kilichokusudiwa na moyo wake".
الشيخ فيصل الحاشدي- حفظه الله وعافاه.
Tafsiri; Abuu Maysarah' Saalim
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
KUTOKUJIBU SALAMU ZA WATU WA BIDAA NA MATAMANIO:-
قال ابن رسلان الشافعي - رحمه الله:
Amesema Ibn Raslaan Ashaafiy- Allah amrehemu:-
«لا حَرَجَ على الإنسَان في تَرك رَدّ السلام
على أهل الأهواء والبِدع».
"Hakuna tatizo juu ya mwanadamu katika kuacha kujibu salamu za watu wa matamanio na bidaa".
شرح سنن أبي داود ( ٨٨/١٨ ).
Abuu Maysarah' Saalim
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 454
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
JAMBO TUKUFU ZAIDI NI KUMFUATA MTUME -SWALA NA SALAMU ZA ALLAH ZIWE JUU YAKE:-
قال أبُو العبَّاس أَحمدُ بنُ مُحمَّد بنِ سهل بن عطاء -رحمه اللّٰه-:
Amesema Abul Abbaas Ahmad bin Muhammad bin Sahl bin Atwaa- Allah amrehemu:-
«ولا مقامَ أَشْرفُ مِن مُتابعة الحَبيب[ﷺ] فِي أوامره، وأفعاله، وأخلاقه، والتَّأدُّب بآدابه؛ قَولًا وفِعلًا ونيَّة وعقدًا».
"Na wala hakuna kisimamo/ sehemu/ jambo tukufu zaidi kuliko kumfuata kipenzi -swala na salamu za Allah ziwe juu yake- katika maamrisho yake, na vitendo vyake, na tabia zake, na kuwa na adabu kwa adabu zake kwa kauli na vitendo na nia na ahadi".
"حِلْيَة الأوْلِيَاء" لأبِي نُعِيمٍ الأصْفَهَانِيِّ (٣٠٢/١٠).
Abuu Maysarah' Saalim
