cookie

We use cookies to improve your browsing experience. By clicking «Accept all», you agree to the use of cookies.

avatar

Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan

Tujifunze elimu sahihi kutoka katika Qur-aan na Sunna kwa ufahamu wa wema waliotangulia.

Show more
Advertising posts
527
Subscribers
No data24 hours
+77 days
+3230 days

Data loading in progress...

Subscriber growth rate

Data loading in progress...

SHAIRI:- MWANAWANGU YUMDOGO. MTUNZI:- Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan ____ 1- Alisema wake Mama, pamoja na taharuki, akazishusha lawama, nyuma zilobeba chuki, maneno akasakama, akavipanda visiki, Ng'ombe kamuona Ndama, kumbe ndo yao Hiliki. 2- Dada nae akanena, mdogo mwache akue, usitusumbue tena, hadhi yako uijue, kumbe mzigo shehena, Chui aje aparue, Fundi walijua lena, tahamaki awaue. 3- Alisharidhia ndoa, wakampanda mawazo, safi wakatia doa, kwa vyao wao vikwazo, hata neno hakutoa, walimwona hamnazo, Shetani akamng'oa, yamebaki matangazo. 4- Miaka idadi namba, aliyafanya makubwa, tena mshupavu Simba, wala sio koko mbwa, kwa anasa alivimba, na uoni akazibwa, Mwisho alibeba mimba, majuto sasa msiba. 5- Wakanena kikowapi, ndugu pia majirani, amegeuka makapi, hawamtaki nyumbani, walilokataa lipi, imekuwa tafarani, umekatika mshipi, sasa mwana mtaani. 6- Hilo fumbo kwa wazazi, wanaopanda magogo, kwa sera utandawazi, mwanawangu yumdogo, wanapoteza kizazi, dini kuipa kichogo, Kumpata mume kazi, watambue huo wigo. 7- Nimefikia tamati, japo yanasikitisha, ifike sasa wakati, haya kuyaadabisha, Muumba wa samawati, asahilishe maisha, Mwanawangu yumdogo!, hali hizo zinatisha. _____ ✍Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan Jumamosi 10 Dhul-qaadah 1445H, 18- 05-2024M. - Dar es salaam, Tanzania.
Show all...
بسم الله الرحمن الرحيم؛ 🖨هذه دعوتنا وعقيدتنا🖨 🎉• [ TUNAMUOMBA ALLAAH IKHLAASWI ]. ================ 🌱‌‌‌‌‏قال بشر بن الحارث رحمه الله: Amesema bishru bnul haarithi Allaah amrahamu; "لا أعلمُ رجلا أحبّ أن يُعرف إلا ذهب دينه، وافتضح" ويقول: "لا يجد حلاوة الآخرة رجلٌ يحبّ أن يعرفه الناس" "Simjui mtu yeyote aliyependa kujulikanwa na watu (kwa kutaka sifa na umaarufu) Ila iliondoka dini yake, na alifedheheka," Na anasema; " Hapati ladha na utamu wa Akhera mtu anayependa kujulikanwa na watu. 📚حلية الأولياء (٨-٣٤٣) والله أعلم. ABUU ZAYD JUMU'H. https://t.me/duruusSsalafiyyah
Show all...
💥MIONGONI MWA TABIA NJEMA:- قال حبيب بن أبي ثابت - رحمه الله: Amesema Habiyb bin Abii Thaabit- Allah amrehemu:- «مـن حســنِ خلــق الـرجـل أن يحـدِّث صاحبه وهو يبتسم». "Katika uzuri wa tabia ya mtu ni kuzungumza na rafiki yake hali ya kuwa anatabasamu". روضة العقلاء لابن حبان (٧٧). Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan.
Show all...
قناة الشيخ : أبي حمزة عيسى المصنف حفظه الله ورعاه

🔊 القناة الرسمية لأخينا الداعية الشيخ : أبي حمزة عيسى المصنف العتمي حفظه الله ورعاه : تهتم بنشر الخطب والمحاضرات والدروس العلمية في شتى الفنون • أخوكم : أبو حمزة الجعفري: القناة الرسمية↙️

https://t.me/AboElyaaaas

📌س5/ يقول السائل: ما الدليل على تحريم وضع الصندوق للصدقة في المسجد؟ ⏰01:14
Show all...
HUKMU YA KUMDHANIA MTU DHANA MBAYA KWA YULE MWENYE KUDHIHIRISHA MAOVU. قال ابن بطال: Amesema Imaam Ibn Battwaal- Allah amrehemu:- سوء الظن جائز لمن كان مظهراً للقبيح. وقال: ﻣﻦ ﻇﻬﺮ ﻣﻨﻪ ﻓﻌﻞ ﻣﻨﻜﺮ ﻓﻘﺪ ﻋﺮﺽ ﻧﻔﺴﻪ ﻟﺴﻮء اﻟﻈﻦ ﻭاﻟﺘﻬﻤﺔ ﻓﻰ ﺩﻳﻨﻪ ﻓﻼ ﺣﺮﺝ ﻋﻠﻰ ﻣﻦ ﺃﺳﺎء ﺑﻪ اﻟﻈﻦ. "Dhana mbaya inajuzu kwa yule ambae mwenye kudhihirisha maovu". na akasema "Mwenye kudhihirisha vitendo viovu atakuwa ameichomozesha nafsi yake katika kudhaniwa vibaya na tuhuma -kutuhumiwa- katika dini yake, Bas hakuna tatizo kwa yule ambaye atamdhania dhana mbaya". شرح البخاري [٢٦٢/٩] Abuu Maysarah' Saalim
Show all...
Baadhi ya vitabu vya Masalafi kuelekea maeneo mbalimbali ndani ya Tanzania.
Show all...