MANHAJ YA SALAF-TZ
Открыть в Telegram
1 437
Подписчики
+224 часа
-27 дней
-930 дней
Архив постов
1 438
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
KUHOFISHA WATU KUTOKANA NA HALI ZA MAKABURINI KWA AJILI YA MAWAIDHA.
🔸قصص قصيرة مؤثرة عن عذاب القبر :
🔸Visa vifupi vyenye kuathiri kutokana na adhabu za kaburi;
قيل لنباش قد كان تاب:( ما أعجب ما رأيت ؟ قال : نبشت رجلاً فإذا هو مسمر بالمسامير في سائر جسده ، ومسمار كبير في رأسه وآخر في رجليه).
Palisemwa kuambiwa mmoja kati ya wanaofukua makaburi kwa ajili ya kuiba vitu vya thamani ndani yake ambae alishatubia kutokana na kazi hiyo:- "Ni kitu gani cha ajabu zaidi ambacho umewahi kukiona makaburini"? Akasema "Nilifukua kaburi la mtu mmoja tahamaki nikakuta amepigiliwa misumari katika mwili wake wote, na msumari mkubwa upo katika kichwa chake na mwingine katika mguu wake.
شرح الصدور للسيوطي (ص١٧٣)
وقيل لنباش آخر :(ما أعجب ما رأيت ؟ قال : رأيت جمجمة إنسان مصبوباً فيها رصاص).
Na aliulizwa mfukuaji mwingine;
"Ni jambo gani la ajabu zaidi katika yale ambayo umewahi kuyaona?" akasema "Nimeona fuvu la kichwa cha mwanaadamu kimemiminiwa ndani yake risasi -kimejazwa madini ya risasi".
كتاب الروح (ص٩٦)
وقيل لنباش آخر :(ما كان سبب توبتك ؟ قال : عامة ما كنت أنبش كنت أراه محول الوجه عن جهة القبلة).
Na aliulizwa mfukuaji mwingine; "Ipi ilikuwa sababu ya kutubia kwako na kuachana na kazi hiyo?" akasema "Wengi katika niliokuwa nafukua makaburi yao nilikuwa naona wamegeuzwa nyuso zao kutokana na uelekeo wa kibla"!
أهوال القبور (ص٢١٠)
عن أبي الحريش ، عن أمه قالت :(لما حفر أبو جعفر خندق الكوفة حوَّل الناس موتاهم ، فرأينا شابّاً ممن حُوَّل عاضَّا على يديه).
"Kutoka kwa Abuu Hariysh 'Ahmad bin Iysaa Alkuufiy' kutoka kwa mama yake amesema; "Pindi alipochimba Abuu Jaafar mahandaki ya maeneo ya 'Kuufah' watu walihamisha maiti zao. Basi tulimuona kijana miongoni mwa waliohamishwa ameng'ata mkono wake" -ishara ya kujutia jambo fulani.
كتاب القبور لابن أبي الدنيا (ص١٠٢)
عن يحى بن معين قال : قال لي حفَّار مقابر :(أعجب ما رأيت من هذه المقابر أني سمعت من قبر أنيناً كأنين المريض).
Na kutoka kwa Yahyaa bin Maiyn amesema, Alisema kuniambia mimi mmoja katika wanaochimba makaburi "Jambo la ajabu zaidi miongoni mwa niliyoyaona katika haya makaburi hakika mimi nilisikia katika kaburi moja unung'unikaji au uuguliaji kama unung'unikaji wa mgonjwa".
أهوال القبور (ص٢٠٨)
🔸عذاب القبر حق :
🔸ADHABU ZA KABURINI NI HAKI.
قال المروذي : قال أبو عبد الله :(عذاب القبر حق لا ينكره إلا ضال مضل)
Amesema Imaam Abuu Bakr' Ahmad bin Muhammad Almarruudhiy; Amesema Abuu Abdillah -Imaam Ahmad bin Hanbal-
"Adhabu za kaburini ni haki hapingi adhabu hizo isipokuwa aliyepotea"
طبقات الحنابلة (١٤٩/١)
قال الإمام أحمد رحمه الله :(نؤمن بعذاب القبر وبمنكر ونكير ، وأن العبد يسأل في قبره {يثبَّت الله الذين آمنوا بالقول الثابت في الحياة الدنيا وفي الآخرة} في القبر .
Na amesema Imaam Ahmad bin Hanbal- Allah amrehemu akielezea misingi ya watu wa sunna-
"Tunaamini adhabu za kaburi na Munkar na Nakiyr -Malaika wawili wanaouliza maswali kaburini-, na tunaamini ya kuwa mja ataulizwa kaburini kwake, ((Allah anawathibitisha wale ambao wameamini kwa kuwa na kauli thabiti katika uhai wa dunia na katika maisha ya akhera)) -katika kaburi.
لوامع الأنوار (٢٣/٢)
LITIE NURU KABURI LAKO KWA KUMTII ALLAH KWA HAKIKA SOTE PUNDE TUTAINGIA HUKO
Imetafsiriwa na Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan- Dar es salaam, Tanzania.
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
1 438
الكتاب: [1284] °•°•°•°•°•°•°•°•°•°•
📚 اسم الكتاب: «كتاب الروح لابن القيم»
🗂 القسم: #العقيدة #كتب_وبحوث_مفردة
✍🏻 المحقق: #الشيخ_رشاد_الضالعي
📕 الطبعة: [الأولى - ١٤٤٠ه]
🌿 ملاحظة: {ن.ملونة . انتظروا الطبعة القادمة مع مزيد مراجعة وتنقيح}
ⓣ @ktb_dmag
1 438
كتاب_جامع_المنكرات_قديما_وحديثا_لابي_المنذر_الحوباني_1.pdf11.03 MB
1 438
تهذيب_التبيان_في_أيمان_القرآن_ابن_القيم.pdf8.06 MB
1 438
تهذيب_مفتاح_دار_السعادة_ومنشور_ولاية_العلم_والإرادة_ابن_القيم.pdf19.08 MB
1 438
تهذيب_إغاثة_اللهفان_في_مصايد_الشيطان_ابن_القيم.pdf8.39 MB
1 438
تهذيب_روضة_المحبين_ونزهة_المشتاقين_ابن_القيم.pdf8.56 MB
1 438
تهذيب_تحفة_المودود_بأحكام_المولود_ابن_القيم.pdf5.33 MB
1 438
تهذيب كتاب الروح - ابن القيم.pdf7.58 MB
1 438
تهذيب الفوائد - ابن القيم.pdf5.53 MB
1 438
تهذيب كتاب الصلاة - ابن القيم.pdf6.00 MB
1 438
تهذيب_عدة_الصابرين_وذخيرة_الشاكرين_ابن_القيم.pdf8.36 MB
1 438
تهذيب_طريق_الهجرتين_وباب_السعادتين_ابن_القيم.pdf14.48 MB
1 438
تهذيب_جلاء_الأفهام_في_الصلاة_والسلام_على_خير_الأنام_ابن_القيم.pdf8.17 MB
1 438
تهذيب الداء والدواء - ابن القيم.pdf7.49 MB
1 438
تهذيب_الوابل_الصيب_ورافع_الكلم_الطيب_ابن_القيم.pdf6.19 MB
1 438
تهذيب_مدارج_السالكين_في_منازل_السائرين_ابن_القيم.pdf29.95 MB
1 438
سلسلة_تهذيب_كتب_الإمام_ابن_قيم_الجوزية.mp452.29 MB
1 438
📚 سلسلة تهذيب كتب ابن القيم
- دار عطاءات العلم
1 438
Repost from ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN
KUPATIKANA WANAOIPINGA HAKI NI KATIKA SABABU YA HAKI KUDHIHIRI.
قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله:
Amesema Shaykhul Islaam Ibn Taymiyyah- Allah amrehemu:-
ومن سنة الله، أنه إذا أراد إظهار دينه، أقام من يعارضه، فيحق الحق بكلماته، ويقذف بالحق على الباطل فيدمغه فإذا هو زاهق.
"Na miongoni mwa sunna za Allah ni kuwa hakika ya yeye pindi anapotaka kuidhihirisha dini yake, anawasimamisha wale ambao wenye kuipinga.
Basi anaidhihirisha haki kwa tamko lake, na anaiweka haki juu ya batili na anaivunja/ anaibomoa na tahamaki inakuwa -batili hiyo- ni yenye kuondoka".
مجموع الفتاوى(٥٧/٢٨)
●┈┉┅━❀❀❀━┅┉┈●
Abuu Maysarah' Saalim
https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
