en
Feedback
DUBWANA TECH

DUBWANA TECH

Open in Telegram

Join to get more VPN

Show more
The country is not specifiedTechnologies & Applications40 436
803
Subscribers
No data24 hours
-37 days
-2530 days
Posts Archive
Watu wa airtel mpo

Habari

nipo live šŸ”„šŸ”„
nipo live šŸ”„šŸ”„

01 Dec 2024 Dubwana Tech itarusha Live Mechi ya PAMBA JIJI vs KENGOLD FC Katika YouTube channel yetu usikose kuifatilia ifikapo mida ya saa 4:00pm

photo content

Kama una App yako unahitaj tu unlock some features unakaribishwa unaweza nichek @kakampole733

Hello

photo content

TUANGALIE JINSI YA KUFANYA SIMU YAKO ITUMIE BANDO KIDOGO šŸ‘‰ SETTING YA KWANZA/ OPTION YA KWANZA ā– Ingia kwenye setting ya simu yako then search Neno hili "Data saver" ā– Baada ya hapo turn on Itaweza saidia pia katika punguza matumiz ya bando šŸ‘‰SETTING YA PILI/OPTION YA PILI ā– Turn off notifications ā– yani ingia setting ya app yeyote unayoitaka ā– Then shuka kwenye Notifications categories ā– Then uta turn off aina ya notifications kwani hii inachangia kuamsha app ya simu yako kufanya kazi ,,utazima baadh ya notifications kama likes ,comments etc... šŸ‘‰SETTING YA TATU/OPTION YA TATU ā– Utaingia kwenye setting ya simu yako uta search neno hili " Build number" ā– Then uta click atleast mara nne hadi sita ā– after then itakuomba uweke password/pattern utaweka baada ya hapo utaona neno "Developer mode has been turn on" ā– utarudi nyuma kwenye search ya setting yako utaandika neno Developer options ā–  Utabonyeza utashuka kwa chini utaona neno Apps ā– shuka chini kidogo utaona neno "Background process limit" ,,hii inasaidia unapo washa app yeyote ukitoka inajifunga ukirud kama unaanza upya ā– kuna options nyingi utaziona kama standard limit,No background process and at most 1process etc ā–  Better /vizuri zaidi utachagua at most 1 process kwann inasaidia kuacha background ya app moja tu @kakampole733

Wangap washachoka na message za umetumia 75% za kifurush chakošŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜„šŸ™ŒšŸ»

Ondoa Matangazo(Ads) kwenye simu yako kwa kufuata hatua hizi ā– ingia setting ya simu yako ā–  search private Dns ā– uki click neno private Dns utakutana options kama tatu i think kwa baadhi ya simu ā– click neno "private DNS provider hostname" ā– then Jaza neno hili šŸ‘‰ "dns.adguard.com" ā– then save ,hapo utakuwa umeondoa Matangazo kwenye Apps za simu yako @kakampole733

Copy code hyo šŸ‘‰HBH-3TB-AJF Hatuuzi tunagawa bure @kakampole733

Soon nawatumia Apk

photo content
+1

NAMNA YA KUONDOA VIRUS KWENYE MEMORY CARD NA FLASH DRIVE https://youtu.be/NESjFHy-UrY?si=bbUroMjdzrvkp4EJ

somo la kuondoa virus sugu kwenye memory na flash lipo live YOUTUBE SASA, Dubwana Tech au gusa link https://www.youtube.com/@DubwanaTech1

Hello mai pipo šŸæ

airte

wanangu wa dubwana eer nawaomba tujoin hap km unapenda movie, cartoon na series zilizotafsriwa za aina zote link hio https://t.me/+MWVbQwyfVaQ2Yjg0