ar
Feedback
DUBWANA TECH

DUBWANA TECH

الذهاب إلى القناة على Telegram

Join to get more VPN

إظهار المزيد
803
المشتركون
لا توجد بيانات24 ساعات
-37 أيام
-2530 أيام
أرشيف المشاركات
Watu wa airtel mpo

Habari

nipo live 🔥🔥
nipo live 🔥🔥

01 Dec 2024 Dubwana Tech itarusha Live Mechi ya PAMBA JIJI vs KENGOLD FC Katika YouTube channel yetu usikose kuifatilia ifikapo mida ya saa 4:00pm

photo content

Kama una App yako unahitaj tu unlock some features unakaribishwa unaweza nichek @kakampole733

Hello

photo content

TUANGALIE JINSI YA KUFANYA SIMU YAKO ITUMIE BANDO KIDOGO 👉 SETTING YA KWANZA/ OPTION YA KWANZA ■Ingia kwenye setting ya simu yako then search Neno hili "Data saver" ■Baada ya hapo turn on Itaweza saidia pia katika punguza matumiz ya bando 👉SETTING YA PILI/OPTION YA PILI ■Turn off notifications ■yani ingia setting ya app yeyote unayoitaka ■Then shuka kwenye Notifications categories ■Then uta turn off aina ya notifications kwani hii inachangia kuamsha app ya simu yako kufanya kazi ,,utazima baadh ya notifications kama likes ,comments etc... 👉SETTING YA TATU/OPTION YA TATU ■Utaingia kwenye setting ya simu yako uta search neno hili " Build number" ■Then uta click atleast mara nne hadi sita ■after then itakuomba uweke password/pattern utaweka baada ya hapo utaona neno "Developer mode has been turn on" ■utarudi nyuma kwenye search ya setting yako utaandika neno Developer options ■ Utabonyeza utashuka kwa chini utaona neno Apps ■shuka chini kidogo utaona neno "Background process limit" ,,hii inasaidia unapo washa app yeyote ukitoka inajifunga ukirud kama unaanza upya ■kuna options nyingi utaziona kama standard limit,No background process and at most 1process etc ■ Better /vizuri zaidi utachagua at most 1 process kwann inasaidia kuacha background ya app moja tu @kakampole733

Wangap washachoka na message za umetumia 75% za kifurush chako😂😂😂😄🙌🏻

Ondoa Matangazo(Ads) kwenye simu yako kwa kufuata hatua hizi ■ingia setting ya simu yako ■ search private Dns ■uki click neno private Dns utakutana options kama tatu i think kwa baadhi ya simu ■click neno "private DNS provider hostname" ■then Jaza neno hili 👉 "dns.adguard.com" ■then save ,hapo utakuwa umeondoa Matangazo kwenye Apps za simu yako @kakampole733

Copy code hyo 👉HBH-3TB-AJF Hatuuzi tunagawa bure @kakampole733

Soon nawatumia Apk

photo content
+1

NAMNA YA KUONDOA VIRUS KWENYE MEMORY CARD NA FLASH DRIVE https://youtu.be/NESjFHy-UrY?si=bbUroMjdzrvkp4EJ

somo la kuondoa virus sugu kwenye memory na flash lipo live YOUTUBE SASA, Dubwana Tech au gusa link https://www.youtube.com/@DubwanaTech1

Hello mai pipo 🍿

airte

wanangu wa dubwana eer nawaomba tujoin hap km unapenda movie, cartoon na series zilizotafsriwa za aina zote link hio https://t.me/+MWVbQwyfVaQ2Yjg0