en
Feedback
R.KITCHEN MAPISHI, NA NASAA ZA NDOA

R.KITCHEN MAPISHI, NA NASAA ZA NDOA

Open in Telegram

Mapishi, Nasaha za ndoa na namna ya kujiunga kwenye madarasa yetu WhatsApp 0754857310 karibu https://wa.me/message/B6DQSZPYNMLXC1

Show more
The country is not specifiedReligion & Spirituality54 853
1 517
Subscribers
No data24 hours
-37 days
-1330 days
Posts Archive
Audio from R.Kitchen

Audio from R.Kitchen

Audio from R.Kitchen

Audio from R.Kitchen

Audio from R.Kitchen

Audio from R.Kitchen

NAMNA YA KUISHI NA MAWIFI DARASA LA NDOA kujiunga ni elf 15,000 @jasmin0_wa_r.kitchen

Audio from R.Kitchen

Audio from R.Kitchen

Photo from R.Kitchen
Photo from R.Kitchen

*Mada ya leo darasa la ndoa* *NITAJUAJE KAMA NAISHI NA UCHUNGU MOYONI MWANGU?* *Kujiunga na darasa hili bei ni Tsh 15,000 tu kwa mwaka mzima*

JINSI YA KUPIKA TAMBI ZA DENGU ♦MAHITAJI 1.    Unga wa dengu ½ kilo 2.    Binzari nyembamba ½ kijiko cha mezani 3.    Unga wa pilipili manga kijiko 1 cha chai 4.    Unga wa mchele ¼ kilo 5.    Chumvi kiasi 6.    Mafuta ya kula ½ lita 7.    Baking powder ♦JINSI YA KUPIKA 1. Changanya unga wa mchele pamoja na ule wa dengu. Kisha chukua nyunyuzia baking powder na baadaye chumvi. Weka unga wa binzari nyembamba na pilipili manga. 2.  Baada ya hapo changaya vizuri na kisha weka maji kidogo kidogo huku ukiukanda hadi liwe donge gumu kama unavyofanya kwenye maandazi. Baada ya hapo weka donge lako pembeni na funika. Acha likae kwa muda wa nusu saa hadi saa moja. 3. Baada ya hapo chukua karai la mafuta weka jikoni acha hadi mafuta yapate moto kabisa. 4. Kisha chukua mashine ya kupikia tambi na weka donge lako. Kandamiza taratibu huku ukiruhusu minyororo ya tambi kuingia kwenye mafuta yaliyo jikoni. 5. Weka kiasi kiasi huku ukikaanga. Acha mpaka zitakapokuwa zimeiva na kukauka vizuri. Epua na weka pembeni. Weka kwenye sahani safi na kavu. Tambi zako zitakuwa tayari kwa kuliwa.

JUICE YA UKWAJU (tamarind) NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU. - Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarkets - Andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu - Ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe - Weka sukari kwa kiasi unachopendelea pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila (wengine wanachanganya na tangawizi,ubuyu) ili kupata taste weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa.

Audio from R.Kitchen

Audio from R.Kitchen

*UNATATIZO LOLOTE KWENYE NDOA YAKO AU MAHUSIANO YAKO NA UNAHITAJI MTU WA KUKUSIKILIZA KARIBU DARASA LA NDOA KWA BEI YA ELF 15,000 TU*

Repost from N/a
Audio from R.Kitchen

Repost from N/a
Audio from R.Kitchen

R.KITCHEN MAPISHI, NA NASAA ZA NDOA - Statistics & analytics of Telegram channel @rkitchen2