en
Feedback
R.KITCHEN MAPISHI, NA NASAA ZA NDOA

R.KITCHEN MAPISHI, NA NASAA ZA NDOA

Open in Telegram

Mapishi, Nasaha za ndoa na namna ya kujiunga kwenye madarasa yetu WhatsApp 0754857310 karibu https://wa.me/message/B6DQSZPYNMLXC1

Show more
The country is not specifiedReligion & Spirituality54 853
1 517
Subscribers
No data24 hours
-37 days
-1330 days
Posts Archive
*🍃🍇1) Kwenda Nyumbani Kwenu Mara Kwa Mara;🍃* 🍃🍇 Umeshaolewa, inawezekana unakaa karibu na kwenu au na ndugu zako, kwakua umeingia kwenye familia mpya una kaupweke flani, hujawazoea au kwakua mume anafanya kazi na wewe upo tu nyumbani unaboeka unaona bora uende kusalimia kwenu, si ni karibu wakati mwingine huna hata haja ya kuomba ruhusa. 🍃🍇Kila wiki uko kwenu, kila ukitoka kazini upitie kumsalimia Mama na Mama naye ukikaa siku mbili tatu utasikia kuwa mbona huji kuniona. 🍃🍇Huwezi amini Dada yangu wanaume wengi wanachukia hii tabia, hata kama hakuambii au haonyeshi kuchukia basi jua kuwa ni mbaya. 🍃🍇 Unapokua unaenda kwenu mara kwa mara inakua ni kama hujaolewa flani hivi. 🍃🍇Unaweza kuona kama kitu cha kawaida lakini unamfanya mume wako ajihisi kama vile anashindana na ndugu zako, kwamba kila wakati unataka kwenda, unaenda peke yako na wala hajui huko unakoenda unaenda kufanya nini? 🍃🍇Hata kama ni kusalimia tu lakini mumeo hajui, kuna mambo mengi ambayo mwanaume atawaza na yote yanamfanya ahisi wewe ni mbinafsi. 🍃🍇Kwanza atawaza kua labda unaenda kuwaambia siri za nyumbani kwenu, anawaza kuwa labda hufurahii ndoa ndiyo maana unaenda kwenu kupumzika, atawaza kuwa wewe ni mbinafsi unawapenda watu wa kwenu kuliko watu wakwao, 🍃🍇mwanaume hatakuamini kwani atahisi kuwa hata siri za kwake unapeleka kwa ndugu zako. 🍃🍇Lakini pia mwanaume atawaza kuwa labda unataka mumkalie, ataona kama unataka kumdharau kwani si kila wakati utaomba ruhusa na hata ukiomba akikuruhusu basi ni kwa shingo upande kwakua hataki maneno. 🍃🍇Ndiyo ni ndugu zako unawapenda lakini kumbuka sasa umeolewa, unahitaji muda na familia yako mpya, kuna kitu gani umekisahau huko, miaka yote hiyo uko nao mbona ulitaka kuolewa. 🍃🍇Kwa wazazi wa zamani wanajua kua mwanamke haendi endi kwao mpaka apelekwe na mume wake, wanajua kua ile kuendaenda inamfanya ajali ndugu zake kuliko ndoa yake. 🍃🍇 Unapaswa kubaki na mume wako kutumia muda mwingi nayeye, sasa wewe unafanya kazi, mume naye anafanya kazi lakini mwisho wa wiki watoto mgongoni unaenda kwa Mama. 🍃🍇Hata kama hufanyi kazi ila mume anafanya mwisho wawiki badala upumzike na mumeo umeenda kwenu, ndugu yangu unavunja ndoa yako na ni wanaume wachache sana ambao huamini wanawake wenye tabia hii kwani huwaona kama hawajali ndoa. 🍃🍇Sasa najua unajiuliza unatakiwa kutembelea kwenu angalau mara ngapi? 🍃🍇Binafsi naamini kama mko karibu sana sana mara moja kwa mwezi au mara moja kila baada ya miezi miwili. Kwanza kuna simu hivyo unajua hali zao, labda kama kuna ugonjwa ila kama ni wazima basi ikizidi sana mara moja kwa mwezi ila wastani ni mara moja kila baada ya miezi miwili. 🍃🍇Narudia mume wako hakuambii tu lakini haipendi hiyo tabia kila siku kwenu! 🍃🍇Unaweza kujiuliza hivi ni kwanini mume wangu hanishirikishi katika mambo yake, hivi ni kwanini anafanya mambo yake kimya kimya, lakini jibu likawa nikwakua tu hakuamini. Unatumia muda mwingi kwenu na unamuonyesha kuwa unawajali ndugu zako kuliko unavyomjali yeye, anaogopa kukushirikisha kwasababu ile kila siku kwenu anahisi labda mnapanga kumfilisi hata kama hana kitu cha kufilisi. JOIN ME https://t.me/+3QPuf0IavuYyZmFk

*🍃🍇1) Kwenda Nyumbani Kwenu Mara Kwa Mara;🍃* 🍃🍇 Umeshaolewa, inawezekana unakaa karibu na kwenu au na ndugu zako, kwakua umeingia kwenye familia mpya una kaupweke flani, hujawazoea au kwakua mume anafanya kazi na wewe upo tu nyumbani unaboeka unaona bora uende kusalimia kwenu, si ni karibu wakati mwingine huna hata haja ya kuomba ruhusa. 🍃🍇Kila wiki uko kwenu, kila ukitoka kazini upitie kumsalimia Mama na Mama naye ukikaa siku mbili tatu utasikia kuwa mbona huji kuniona. 🍃🍇Huwezi amini Dada yangu wanaume wengi wanachukia hii tabia, hata kama hakuambii au haonyeshi kuchukia basi jua kuwa ni mbaya. 🍃🍇 Unapokua unaenda kwenu mara kwa mara inakua ni kama hujaolewa flani hivi. 🍃🍇Unaweza kuona kama kitu cha kawaida lakini unamfanya mume wako ajihisi kama vile anashindana na ndugu zako, kwamba kila wakati unataka kwenda, unaenda peke yako na wala hajui huko unakoenda unaenda kufanya nini? 🍃🍇Hata kama ni kusalimia tu lakini mumeo hajui, kuna mambo mengi ambayo mwanaume atawaza na yote yanamfanya ahisi wewe ni mbinafsi. 🍃🍇Kwanza atawaza kua labda unaenda kuwaambia siri za nyumbani kwenu, anawaza kuwa labda hufurahii ndoa ndiyo maana unaenda kwenu kupumzika, atawaza kuwa wewe ni mbinafsi unawapenda watu wa kwenu kuliko watu wakwao, 🍃🍇mwanaume hatakuamini kwani atahisi kuwa hata siri za kwake unapeleka kwa ndugu zako. 🍃🍇Lakini pia mwanaume atawaza kuwa labda unataka mumkalie, ataona kama unataka kumdharau kwani si kila wakati utaomba ruhusa na hata ukiomba akikuruhusu basi ni kwa shingo upande kwakua hataki maneno. 🍃🍇Ndiyo ni ndugu zako unawapenda lakini kumbuka sasa umeolewa, unahitaji muda na familia yako mpya, kuna kitu gani umekisahau huko, miaka yote hiyo uko nao mbona ulitaka kuolewa. 🍃🍇Kwa wazazi wa zamani wanajua kua mwanamke haendi endi kwao mpaka apelekwe na mume wake, wanajua kua ile kuendaenda inamfanya ajali ndugu zake kuliko ndoa yake. 🍃🍇 Unapaswa kubaki na mume wako kutumia muda mwingi nayeye, sasa wewe unafanya kazi, mume naye anafanya kazi lakini mwisho wa wiki watoto mgongoni unaenda kwa Mama. 🍃🍇Hata kama hufanyi kazi ila mume anafanya mwisho wawiki badala upumzike na mumeo umeenda kwenu, ndugu yangu unavunja ndoa yako na ni wanaume wachache sana ambao huamini wanawake wenye tabia hii kwani huwaona kama hawajali ndoa. 🍃🍇Sasa najua unajiuliza unatakiwa kutembelea kwenu angalau mara ngapi? 🍃🍇Binafsi naamini kama mko karibu sana sana mara moja kwa mwezi au mara moja kila baada ya miezi miwili. Kwanza kuna simu hivyo unajua hali zao, labda kama kuna ugonjwa ila kama ni wazima basi ikizidi sana mara moja kwa mwezi ila wastani ni mara moja kila baada ya miezi miwili. 🍃🍇Narudia mume wako hakuambii tu lakini haipendi hiyo tabia kila siku kwenu! 🍃🍇Unaweza kujiuliza hivi ni kwanini mume wangu hanishirikishi katika mambo yake, hivi ni kwanini anafanya mambo yake kimya kimya, lakini jibu likawa nikwakua tu hakuamini. Unatumia muda mwingi kwenu na unamuonyesha kuwa unawajali ndugu zako kuliko unavyomjali yeye, anaogopa kukushirikisha kwasababu ile kila siku kwenu anahisi labda mnapanga kumfilisi hata kama hana kitu cha kufilisi.

*MTU ANAPOFUNGA KI TAALAM ANASHAURIWA AFUNGUE KWA KITU CHEPESI NA APATE KITU CHA MOTO KINASAIDIA KUPASHA TUMBO JOTO NA KUREJE
*MTU ANAPOFUNGA KI TAALAM ANASHAURIWA AFUNGUE KWA KITU CHEPESI NA APATE KITU CHA MOTO KINASAIDIA KUPASHA TUMBO JOTO NA KUREJESHA NGUVU* *R.Kitchen* inakupa sifa za uji unao takiwa kufungua nao 2.*PIKA UJI WAKO UIVE* utagundua kama uji umeiva baada ya kuanza kutoa bulbous na pemben ya sufuria kuweka kamba kamba kamba 2.*UWE NI MWEPESI USIWE MZITO SANA.* hi itamsaidia mnywaji kunywa uji wako kwa urahisi 3. *USIWE NA VIUNGO VINGI VYAKUPOTEZA UHALISIA WA UJI* kama utaamua kupika uji wa nazi bas viungo kama hiliki au pilipil manga viwe kwa mbali sana ili mnywaji apate radha ya nazi au maziwa 4.*SUKARI IWE YA KUKOLEA VIZURI* Weka sukari ya kukolea vzri ili isiwe usumbufu kwa mnywaji kuongeza sukari tena pembeni sote tunajua sukari ina madhara bas iweke ichemkie kabisa jikon kidogo kupunguza makari ya madhara. 5 *TAFUTA RECIPE ZAKO NZUR ZA UJI* Kua na Recep zaid ya moja ili uwe unapika kwa kubadilisha itawafanya wajwaji wasiukinai uji Bye bye 👋 kipenzi By jasmin0_wa_r.kitchen 0754857310

*RATIBA YA RAMADHANI YA VYAKULA* 🫕🍜🍝 ♦️ *RAMADHANI YA 1* Muhogo samaki Mikate ya ufuta/ sconse za nyama Catles za Nyama Rost la nýama Wali wa nazi Mchicha wa nazi Tambi za Maziwa Juice Chai au uji +tende ♦️ *RAMADHANI YA 2* mikate ya chila Mbaazi Chapati Kachori Wali wa nazi Tambi kukaanga Uji au chai Tende ♦️ *RAMADHANI YA 3* Magimbi Kababu Matundatunda (fruits) Njugu mawe Chapat Chips vuruga za Nyama Wali mweupee Uji au chai Tende ♦️ *RAMADHANI YA 4* Chapati na rost la maini Meat pie Juice Harage Uji au chai Tende Juice au smoothie Wali wa manjano ♦️ *RAMADHANI YA 5* bajia za kunde na chatne Ndizi samaki Shurba Tambi za nazi Sambusa Uji au chai Tende. Wali wa MBOGAMBOGA Makange ya kuku ♦️*RAMADHANI YA 6* kunde za nazi Chapati Vipopoo(vitobosha) Spring rolls Matundatunda Uji au chai Tende Wali wa Karoti Rost ya Nyama ♦️ *RAMADHANI YA 7* kaimati Katles Samaki wa kukaanga chapati Makoroni Uji au chai Desert ya custard Tende Wali wa mauwaa ♦️ *RAMADHANI YA 8* Tringles Muhogo Tambi Juice Viazi Karai Pilau la Nyama Uji au chai Tende ♦️ *RAMADHANI YA 9* mikate ya ajem na rost la kuku Katles Magimbi Mikate ya maji Wali wa njegere Uji au chai Juice au smoothie Tende ♦️ *RAMADHANI YA 10* ndizi mbivu Juice Cheese balls Maandazi Mbaazi Wali wa nazi Tambi Uji au chai Tende Juice ♦️ *RAMADHANI YA 11* Mkate wa ajemi rost la nyama Bajia za kunde Wali rost Uji au chai Tende Mboga ya majani ♦️ *RAMADHANI YA 12* mikate ya maji Nyama ya kukausha na mboga mboga Makoroni Vitumbua Wali wa jira. Vatles Juice Uji au chai Tende ♦️ *RAMADHANI YA 13* kachori Shawarma Viazi(mbatata) Wali na rost Nyama. Fruits Donut Kaimat ♦️ *RAMADHANI YA 14* banzi nyama Chila Vipopoo(vitobosha) Maharage Wali na mchuzi wa samaki wa nazi Bajia za Dengu na chatney Uji au chai Juice Tende ♦️ *RAMADHANI YA 15* mtabak Katles Mikate ya ufuta Samaki wa kukaanga Magimbi Wali na choroko Juice na smoothie Uji au chai Tende ♦️ *RAMADHANI YA 16* Tambi SAMBUSA Fruit Muhogo Wali na dengu Mikate ya maji Uji au chai Tende Juice au smoothie ♦️ *RAMADHANI YA 17* njugu mawe Spring rolls Bajia kunde chapati Wali na rost ya firigisi Juice ya Nanasi na Tangwizi Uji au chai Tende ♦️ *RAMADHANI YA 18* kababu Kachori Skonz na maharage Makoran Wali na makange ya samaki Uji au chai Juice au smothie Tende ♦️ *RAMADHANI YA 19* kaimati Ndizi nyama Nyama ya kukausha Mikate ya maji. Wali na njegere za nazi Uji au chai Juice Mboga ya majani Tende ♦️ *RAMADHANI YA 20* eggchop Chapati rost la nyama ya kusaga Tambi Wali wa Karoti Uji au chai Tende Juice au smoothie Cake ♦️ *RAMADHANI YA 21* Smothie Kababu Maboga ya nazi Tambi Wakubwa njano Makange ya kuku Maharage Uji au chai Donut Tende ♦️ *RAMADHANI YA 22* Shawarma Mikate ya bwana Mbaazi Maandazi ya ufuta Wali na maini rost Uji au chai Juice au smoothie Tende ♦️ *RAMADHANI YA 23* Matundatunda Vipopoo(matobosha) Sambus Wali wa matunda Uji au chai Tende ♦️ *RAMADHANI YA 24* Kaimati NDIZI sukari za nazi Ndizi..nyama.au utumbo Uji au chai Tende Mchicha ♦️ *RAMADHANI YA 25* bajia kunde na chatne Pizza Muhogo. Samki wa kukaanga Wali na mahrage Juice Uji au chai Tende Smoothie ♦️ *RAMADHANI YA 26* barga Katles Magimbi Tambi Wali na rost la nyama Uji au chai Tende Juice yyt. ♦️ *RAMADHANI YA 27* Mikate ya bwana Nyama ya kukausha pizza ya kuku Wali na njegere Uji au chai Tende Smoothie ya Parachichi. ♦️ *RAMADHANI YA 28* Mtabak Chila Makoroni ya Nyama Wali na mchuzi wa samak Uji au chai Tende Juice ya Embe,passion na Tanagwizi ♦️ *RAMADHANI YA 29* wali mchuzi Ndizi utumbo Sambusa Tambi Uji au chai Tende Juice au smoothie Chainise ♦️ *RAMADHANI YA 30* Maboga Tambi. Wali Maharage Makange ya nyama Kachori Uji au chai Tende Juice au smoothie Mchicha

Karibu darasa la ndoa na mahusiano kwa ada ya Tsh elf 15,000 tu umo utajifunza mengi yanayo husu ndoa na mahusiano nama bi haroos pia sijawasahau njoo upate mafunzo vipi ukaitunze ndoa yako By jasmin0_wa_r.kitchen 0754 857310

sticker.webp0.34 KB

Photo from R.Kitchen 4
Photo from R.Kitchen 4

Photo from R.Kitchen 3
Photo from R.Kitchen 3

Photo from R.Kitchen 2
Photo from R.Kitchen 2

Karibu R.Kitchen mapishi aina zote 0754 857310 ila sifundishi ki1 ki1 vipo kwenye list

Photo from R.Kitchen
Photo from R.Kitchen

Photo from R.Kitchen
Photo from R.Kitchen

Photo from R.Kitchen
Photo from R.Kitchen

Photo from R.Kitchen
Photo from R.Kitchen

Hi vipenzi ifuatayo👇 ni list ya mapishi ninayo fundisha darasan kwangu upande wa vitafunwa😍

Hi ☝️ ni link ya kujiunga na group hili tuma kwa yoyote umpendae❤️