R.KITCHEN MAPISHI, NA NASAA ZA NDOA
Open in Telegram
Mapishi, Nasaha za ndoa na namna ya kujiunga kwenye madarasa yetu WhatsApp 0754857310 karibu https://wa.me/message/B6DQSZPYNMLXC1
Show moreThe country is not specifiedReligion & Spirituality54 853
1 517
Subscribers
No data24 hours
-37 days
-1330 days
Posts Archive
Repost from N/a
MADAM MUMEWANGU ALINIAMBUKIZA VVU NA SASA ANATAKA TUACHANI NIFANYE NINI👇👇👇
Repost from N/a
MWANANGU ANAULEMAVU MUMEWANGU HATAKI NIZAE TENA 👇👇👇
Uko kweny ndoa na hauko sawa naomba tuwasiliane inbox ya WhatsApp
FAIDA YA MAJANI YA MAPERA.
1. Chai ya majani ya mpera inashusha kiwango cha sukari mwilini na kuzuia mwili kuondoa 'insulin'. Kwa sababu hii wagonjwa wa sukari wanashauriwa kuitumia mara kwa mara.
2. Chai ya majani ya mpera pia hupunguza lehemu mbaya (bad cholestrol) bila kudhuru lehemu nzuri.
3. Chai hii inalinda mchafuko wa tumbo na pia inasaidia kukabili madhara yaletwayo na chakula chenye sumu.
4. Chai hii hutibu kukohoa na kupumua kwa tabu.
5. Upatapo uvimbe wa fizi na maumivu mdomoni kama jino kuuma, tafuna majani ya mpera.
6. Chai ya majani ya mpera imefahamika kutibu kansa na 'prostate' kwa wanaume.
7. Chai hii inasaidia kwa wanaume wenye tatizo la kuzalisha (Infertility).
8. Chai ya MAPERA husaidia mzunguko wa hedhi kwa wanawake pamoja na kuondoa uchafu uletwao na PID na FANGASI
*MAANDALIZI*
🍁Chukua majani ya mpera ujaze kiganja cha mkono
🍁Weka maji Lita 2 kwenye sufuria safi
🍁Chemsha maji hayo pamoja na majani yakiwa ndani. Ikitokota ondoa kwenye moto, wacha kwa dakika 10 -15 chuja, chai tayari.
🍁Waweza ukatumia majani yaliyo kauka pia.
ZINGATIA ukichanganya na asali badala ya sukari ndio bora zaidi.
FAIDA YA MAJANI YA MAPERA.
0746859171

*Naomba nitumie ujumbe hu kukutia moyo juu ya chochote unacho pitia kana hawa walipitia haya mimi na wewe ni nani yasitufike haya yanayo tufika kua na subra tu jipe moyo kua furaha inaanza na wewe haijalish mangap unapitia amua kua sita yumba nitasimama na Mungu atanifikisha napo takiwa kufika usitumie nguvu nyingi nenda taratibu tu kilakitu uwa kinapita*
Scons
-Unga wa ngano kg 11/2
-Sukari vijiko vya chakula 6
- amira teaspoon 2
-Mafuta/siagi vijiko 2
- chumvi teaspoon moja
- mayai (optional)
-maziwa fresh vikombe viwili
- maji ya vuguvugu
Jinsi ya kupika
Changanya vyote kwa pamoja, then kanda unga wako hadi uwe mlaini. Uzidi kidogo kwenye kikando cha maandazi.
- uache uumuke kwa lisaa limoja
- paka mafuta vyombo vyako vya kuokea then anza kukata scons zako kutegemea na ukubwa utakao
- achaa scons ziumuke hadi zishikane zenyewe kwa zenyewe.
- choma scons zako kwenye oven/mkaa kwa muda wa dk 25
▶️UPIKAJI WA UBUYU WA ZANZIBAR AU MOMBASA
______
👉MAHITAJI
🔸Ubuyu uliochambuliwa( wa tunda) 2kg
🔸Sukari 1kg au 2kg
🔸Pilipili manga vijiko 2 vya chakula(sio lazima)
🔸Hiliki vijiko 2 vya chakula
🔸Ladha uipendayo( vanilla au strawberry) vijiko 2
🔸Maji vikombe 2¼
🔸Unga wa ubuyu vikombe vinne
🔸Sufuria kubwa la kutosha kupikia kg 4 hadi 5 za mchele
🔸Bicaebonate of soda/ baking soda( sio lazima) ½ kijiko cha chai
🔸Rangi vijiko 2 vya chakula.
👉JINSI YA KUPIKA
_______
1⃣Weka sufuria jikoni kwenye moto mkali kisha weka vikombe viwili na robo vya maji.
2⃣Weka sukari koroga mpaka iyeyuke kisha tia pilipili manga ya unga na hiliki kisha koroga kwa dk 1 na iache ichemke.
3⃣Weka rangi vijiko viwili vya chakula, kisha weka ladha vijiko 2 na iache ichemke hadi itoe povu.
4⃣Subiri shila lako lichemke mpaka lianze kunata kama gundi kisha weka bicarbonate of soda ½ kijiko koroga haraka kisha mimina kwenye beseni uliloweka ubuyu wa tunda.
5⃣Anza kuusonga ukiwa kwenye beseni mpaka ubuyu wote ukolee shila.
6⃣Baada ya hapo chukua ubuyu wa unga weka kwenye beseni lenye ubuyu wa tunda kidogo kidogo huku unausonga.
Endelea kuweka mpaka utakapoona unaanza kuachia yaani kuchambuka. hakikisha haukauki sana.
7⃣Uache ukiwa mteketeke hivi kisha uweke kwenye mifuko au vifungashio tayari kwa matumizi au kuliwa.
NB: HAKIKISHA UNAFANYA KWA HARAKA SANA KWANI SHILA HUWA HAIKAWII KUGANDA.
*MAKOSA UNAYOFANYA KATIKA UPISHI WA CAKE*🎂🎂
🎾CAKE KUWEKA MASHIMO SHIMO KWA NDANI
-Umetumia mayai mengi kuliko yanayotakiwa
-Hukuchanganya vizuri mchanganyiko wako wukawa sawa
🎾KEKI KUJAA MAFUTA
-Umetia siagi nyingi/mafuta mengi kuliko kipimo kinachotakiwa
-Umeyeyusha siagi, unatakiwa uitumie bila kuyeyusha
-Hukufuata vipimo
🎾CAKE INANATA KAMA INAUNYEVU
-Umetumia sukari nyingi
-umetiq mayai mengi
-umetumia unga mbaya tumia unga wa cake.
-umeacha sana kuitoa kwenye tin ikaweka unyevu
-maji mengi au maziwa
🎾KEKI HAIJAUMUKA
-Umetia baking powder kidogo/umeupiga sana mchanganyiko umeua nguvu ya bakingpoda
-Moto ulikuw mdogo
-chombo kilikua kipana sana
- umeacha sana mchanganyiko kabla hujaupika
-hukuchanganya mahitaji kama inavyotakiwa
🎾KEKI IMEWEKA MLIMA/ IMEPASUKA JUU
-Umeupiga sana mchanganyiko wa siagi au mayai
-moto ulikua mwingi
🎾KEKI IMEWEKA SHIMO KATIKATI
-Kufunua funua ukaingiza hewa.
-Moto mdogo
-sukari nyingi au siagi nyingi
-umechanganya sana mchanganyiko wako
🎾KEKI IMEKUA LAINI SANA MPAKA INAMOMONYOKA
-Umetumia sukari nyingi
-umetumiq baking poda nyingi
-umechanganya vibaya
umetumia mafuta/ siagi nyingi