en
Feedback
R.KITCHEN MAPISHI, NA NASAA ZA NDOA

R.KITCHEN MAPISHI, NA NASAA ZA NDOA

Open in Telegram

Mapishi, Nasaha za ndoa na namna ya kujiunga kwenye madarasa yetu WhatsApp 0754857310 karibu https://wa.me/message/B6DQSZPYNMLXC1

Show more
The country is not specifiedReligion & Spirituality54 853
1 517
Subscribers
No data24 hours
-37 days
-1330 days
Posts Archive
* jaman nileteen mabinti wa 2000*😄
* jaman nileteen mabinti wa 2000*😄

Photo from R.Kitchen
Photo from R.Kitchen

Kuna mwanafunzi wangu m1 aliomba kusaidiwa dawa ya kutibu Jasho kali akambiwa atumie ivo vitu ndo kaleta mrejesho aya mwenye
Kuna mwanafunzi wangu m1 aliomba kusaidiwa dawa ya kutibu Jasho kali akambiwa atumie ivo vitu ndo kaleta mrejesho aya mwenye shida kama iyo dawa iyo

Repost from N/a
no 6
no 6

Repost from N/a
No 5
No 5

Repost from N/a
No 4
No 4

Repost from N/a
No 3
No 3

Repost from N/a
No 2
No 2

Repost from N/a
No 1
No 1

NAJUTA KUOLEWA👇

*Waombee dua watoto wako katika siku hizi za Baraka na ujumbe huu uwafikie wazazi wote ili nao wawaombee watoto wao dua.*👇 🤲Yaa Allah! Ninakuita kwa Jina Lako 'Samad', Jina Lako Kuu na Tukufu, Ewe Kareem Rabb wangu, Rabb wangu, nifanyie Fadhila Maalum, Ahsaan, urekebishe mambo yote yanayohusiana na watoto wangu. 🤲Yaa Allah! Wajalie Barakah na A'fiyah katika maisha yao, katika afya zao na mali zao na katika Utiifu wao wa hiari Kwako .... 🤲Yaa Allah! Geuza udhaifu wao na maradhi yao kuwa nguvu na uwalinde na minong'ono...Wape A'fiyah, usalama kamili na baraka, katika miili yao, katika masikio yao na macho yao, katika kila kiungo, kiungo na misuli.... 🤲Na kwa Rehema Zako, Wakinge na kila balaa, dhambi, upotofu na upotovu. Ewe Mwenyezi Mungu! Wafanye watii kwako, wafanye wawe watiifu Kwako, wafanye wawe watiifu kwako..... 🤲Yaa Allah! Nisaidie katika kuwalea kuwa wachamungu, wenye heshima na tabia njema.... 🤲Yaa Allah! Wacha wawe chanzo cha Khair na wema kwangu katika ulimwengu wote .... 🤲Yaa Allah! Ninawakabidhi watoto wangu katika Ulinzi Wako, Amana Yako na Amanat..... 🤲Uwalinde na kila balaa, na kila maradhi mabaya..... 🤲Yaa Allah! Walinde kutoka mbele, kutoka nyuma, kutoka kulia na kutoka kushoto, na kutoka juu na chini.... 🤲Yaa Allah! Weka mapenzi Yako katika nyoyo za watoto wangu na uwafanye watoto wangu wawe watiifu Kwako na Mtume wako swallallahu alayhi wasallam... 🤲Yaa Allah! Weka upendo wa watoto wangu katika mioyo ya waja Wako. Wacha mioyo yao iwe katika msaada wa watoto wangu kila wakati ... 🤲Yaa Allah! Wape watoto wangu Elimu ya Deeni ambayo inawanufaisha katika duniya na aakhira hii.... 🤲Yaa Allah! Wape wanangu Mafanikio na Maqaam ya Juu katika walimwengu wote...... 🤲Yaa Allah! Wawezeshe wawe miongoni mwa wachamungu, wamchao Mwenyezi Mungu, wakarimu zaidi, watoa sadaka, wenye kuheshimika zaidi, wajuzi zaidi na washauri wakweli...... 🤲Yaa Allah awaweke miongoni mwa wale unaowapenda zaidi. Waongoze katika kila hatua ya maisha yao ili kufanya uamuzi na vitendo vya kupendeza kwako. Hakika hakuna mlinzi bora kuliko Wewe. Hakuna mwongozo bora kuliko Wewe. Ya rabil alameen uwajaalie rehema zako watoto wetu na vizazi vijavyo. Ya Hayyu Ya Qayyum bi rahmati ka nastagheeth. ‎آمین یا ربالعالمین Amiin, Ya Rabb al-A'lamiyn!

*R.KITCHEN UJASIRIAMALI NA USINDIKAJI*👇 *UTAJIFUNZA KUTENGENEZA* 1.*MAKOPO YA KUHIFAHIA VIUNGO* 2.*BATIKI NA VIJORA* 3.*SABUNI YA MAJI* 4.*SABUNI YA MCHE* 5.*SHAMPOO* 6.*MAFUTA YA KUPAKA KWA LIKA ZOTE* 7.*SABUNI MAARUM YA KUOSHEA MAGARI* 8.*DAWA YA KUONDOA MADOA (JIKI)* 9.*SHOWER GELLY* 10. *MAFUTA YA KUKUZA NYWELE* 11. *MULTIPURPOSE SOAP* 12. *TILES/ SINK CLEANER* *USINDIKAJI* Utajifunza 1.*kanuni bora za usindikaji* 2.*Namna ya kuifanya pilipili isiharibike ikae muda mrefu adi mwaka* 4. *pilipili ya karoti* 5.*Pilipili ya mbilimbi* 6.*pilipili ya embe* 7.*pilipili ya parachichi* 8 *pilipili pedwa ya mtaani yaan sweet chill, hot chill na smoked chill sauce* 9.*pilipili za kuuza banda za chips zinazotumia maji* 10.*pilau masala* 11.*Tea masala* 12.*Biriani masala* 13. *Beef masala* 14. *Fish masala* 15.*Curry powder* 16.*Chicken masala* *Utajifunza kwa vipimo sahihi ili kupata kilicho bora* *Bei ya kujiunga na darasa hili ni Tsh 50,000 tu* *Namba ya malipo ni M-Pesa 0754 857310* Jina *jasmin salum*

*R.KITCHEN UREMBO WA NGOZI NA NYWELE* *UTAJIFUNZA KUTENGENEZA* 1 *SABUNI YA KUOGEA* 2 *SCRUB* 3 *BODY LOTION* 4 *HAIR FOOD* *R.SOAP* Ni sabuni inayo ondoa madoa chunusi vipele,Madoa na harara Karibu nikufundishe namna ya kutengeneza sabuni hi. *R. SCRUB* Ni Scrub inayo ngarisha ngozi kwa kutoa uchafu wote mwilini na ngozi iliochoka kwa jua Kukufanya uwe mlain soft na mwenye kuvutia. *R. BODY LOTION* Ni lotion ya asili yenye kutunza ngozi yako dhidi ya jua. Inaondoa madoa, chunusi, weusi chini ya macho na kuimarisha afya ya ngozi. Kwa wale wenye tatizo la kuungua na cream inawafaa sana. *R.HAIR FOOD* R.hair food Softer and healthier hair suitable for all hair types *NAMNA YA KUTUNZA,KUKUZA NGOZI NA KUINGARISHA KWA NJIA ZA ASILI* *MKOROGO WA KUNGARISHA KIZUNGU* (Kuondoa  madoa chunusi  na sugu *RATIBA YA MATUNZO YA NYWELE ZOTE* *MAFUTA NA PROTEIN TREATMENT.* *SCRUB NO 2* *KUONDOA WEUSI WA MAPAJA NA KWAPA* *KUSAFISHA 🍑 BILA KUPATA VIPELE* *VITU HUTAKIWI KUPAKA USONI* *Bei ya kijiunga na darasa letu ni TSh 50,000 tu* No ya malipo ni M-Pesa *0754857310 jasmin* *Ukisha fanya malipo njoo inbox WhatsApp na msg ya muamala kwa no iyo iyo karibu*

Masomo yaliopo Sarah la UJASIRIAMALI NA USINDIKAJI UREMBO WA NGOZI NA NYWELE 👇

*R.KITCHEN MAPISHI AINA ZOTE DARASA LA 2023* *KWA BEI YA ELFU 40,000 TU* *WALI 2023* 1.🖊️WALI WA NANAS 2.🖊️WALI WA STAR 3.🖊️WALI WA ZUCCHINI 4.🖊️PILAU NO 3 5.🖊️WALI WA DENGU 6.🖊️WALI WA SODA 7.🖊️NDIZI MSHALE KWA UTUMBO 8.🖊️MAKARONI YA NAZI 9.🖊️VIAZI VITAM *VITOWEO 2023* 1.🖊️CHICKEN 65 2.🖊️CHICKEN BUTTER MASALA 3.🖊️MCHEMSHO WA SAMAKI 4.🖊️NYAMA YA KISWAHILI 5.🖊️KIBAMBALA CHA NAZI 6.🖊️ROST YA KUKU 7.🖊️ LIST YA VIUNGO UNAVYO TAKIWA KUA NAVYO JIKON *BITES 2023* 1.🖊️SHAWARMA 2.🖊️SOUSAG BREAD 3.🖊️LUTOS CHAPATI 4.🖊️KARANGA ZA MAYAI 5.🖊️VEGETABLE CHAPATI 6.🖊️BAGIA NEW RECEP 7.🖊️ MANDAZI YA NDIZI 8.🖊️MAYAI 9.🖊️SMOOTH DONATS 10.🖊️MIKATE YA CONE 11.🖊️CHAPATI ZA VIAZI 12.🖊️TAMBI ZA NAZI 13.🖊️MIKATE YA BWANA 14.🖊️VIPOCH VYA NYAMA 15.🖊️MKATE WA SOUSAG 16.🖊️VIBIBI 17.🖊️TEA SCONES 18.🖊️HALF-MOON 19.🖊️MANDA ZA SAMBUSA 20.🖊️ ORANGE MUFFINS CAKE 21.🖊️TOAST ZA NYAMA *R.KITCHEN FLAVOUR 2023* 1.🖊️OREO MILKSHAKE 2.🖊️LUTOS MILKSHAKE 3.🖊️PEANUT BUTTER MILKSHAKE 4.🖊️CHOCOLATE MILKSHAKE 5.🖊️STRAWBERRY MILKSHAKE 6.🖊️COCONUT MILKSHAKE 7.🖊️ PINEAPPLE SMOOTH 8.🖊️PAPAYA SMOOTH 9.🖊️MANGO SMOOTH 10.🖊️CARROT SMOOTH 11.🖊️APPLE SMOOTH 12.🖊️CHOCOLATE SMOOTH 13.🖊️ BARAFU ZA STRAWBERRY 14.🖊️BARAFU ZA NANASI 15.🖊️BARAFU ZA NAZI 16.🖊️BARAFU ZA EMBE 17.🖊️BARAFU ZA MAZIWA 18.🖊️BARAFU ZA CHOCOLATE *DARASA HILI KUJIUNGA NI ELF 40,000 TU NA DARASA HILI BADO MAPISHI YANAENDELEA*