BongoTech255🎮🔻
Open in Telegram
Fahamu masuala mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha nyepesi kabisa ya kiswahili 😎 Tembelea page zetu ujifunze mengi zaidi 👇 https://bio.site/Bongotech255 Si Unajua Teknolojia ni Yetu sote ✍️
Show moreThe country is not specifiedFacts3 516
3 716
Subscribers
No data24 hours
-177 days
-4830 days
Posts Archive
3 716
𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗱𝗿𝗶𝘃𝗲 𝗸𝘂𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶 𝗺𝘂𝗼𝗻𝗲𝗸𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮𝗸𝗲
Mtandao wa Google drive utaweza kubadili muonekano wake kwenye home Tab ambapo itaweza kukuonyesha files zako ulizoziweka kwa muonekano wa tofauti.
Kwa juu kwenye suggestions utakutana na Files, Folder zitakua Sehemu Moja ambapo ukigusa kwenye folder itaweza kukuonyesha folder zako zote kwa muonekano mzuri Sehemu Moja yani folder ulizotengeneza Sehemu tofauti tofauti zitakua zimepangwa Sehemu Moja.
Hivyo hivyo ukifungua Sehemu ya files utaweza kuona files zote kwa pamoja kwa urahisi pia unaweza chagua My drive Kama default ukipenda.
3 716
Watumiaji wa Whatsapp kwenye toleo jipya la Update watakua na uwezo wa kuangalia taarifa zako za kibinafsi zilizopo kwenye profile wakati una chati na mwenzako.
💨 Utaweza kuona taarifa zilizopo kwenye profile info hata kama muhusika Yuko offline au uja save namba zake utaweza kuziona kwenye chati.
💨 Pia utaweza kuona last seen ya mtu unaye Chati kupitia kwenye chati bila kuingia setting Kwenye profile info yenyewe tu itaweza kukuonyesha last seen ya mtu unaye Chati naye kwenye Whatsapp.
💨 Kuna feature mpya ya voice talk ambayo ni live chati ya kuongea na Wana Kikundi wenzako live kupitia group ambapo inajumuhisha jumla ya watu zaidi ya 32 huku ukiwa na uwezo wa kutuma message kwenye group.
Feature hizo mpya inampa mtu uwezo wa kuona taarifa zake mbalimbali za watu unaochati nao kuhusu profile info kwenye chati kwa urahisi
3 716
Zifahamu nchi 10 Toka Afrika zenye Gharama nafuu ya Umeme ulimwenguni kote 🙌 Je Tanzania Iko wapi ?
Soma zaidi 👇
https://www.instagram.com/p/C0LhCjoqVwD/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==
3 716
Maisha yanakwenda Kasi sana Wana sayansi Toka nchini China wako kwenye mpango wa kuleta Chaji yenye mfumo wireless itayoweza kukaa ndani ya mwili wa binadamu na kuchaji.
Soma zaidi 👇
https://www.instagram.com/p/C0HTlWKqb0c/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==
3 716
Kama unatumia Whatsapp Gb au umepigwa Ban kwenye Whatsapp yako nina ujumbe wako muhimu sana wewe mpenzi wa Whatsapp Gb
Gusa link ukasome usije sema sijakuambia 🙌👇
https://www.instagram.com/p/C0GVTNJqVmM/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==
3 716
Acha kuweka mouse yako Kila mahali 😌 kwani hujui kwamba @hyatzcomputers anazo mousepad kwa ajili yako.
Tumia mousepad ili kazi ifanyike kwa ufanisi zaidi ✅
Anapatikana ilala machinga complex ukifika mpigie 👇
+255692630904 | +255765171270
Mikoani mnatumiwa kwa uwaminifu mkubwa sana karibuni
3 716
Wana sayansi Toka chuo Cha Stanford kilichopo Marekani wameleta Sindano yenye uwezo wa kupunguza Matumizi ya kutumia dawa za kisukari Kila siku au Kila baada miezi kadhaa.
Mimi sio daktari lakini najua ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa hatari ulimwenguni unamaliza sana watu Kila mwaka. Huu ugonjwa uki wa aina mbili kuna mamilioni ya watu wengi wanasumbuliwa na huu Ugonjwa ulimwenguni.
Watu wengi walikua wanalalamika juu ya dozi ya kisukari imekua na vidonge vingi ambavyo mtu ataweza kumeza kwa Kila siku ndani ya miezi kadhaa jambo linalopelekea wakati mwingine wagonjwa kushindwa kufuatisha Dozi walizopewa na kutomeza ndani ya Muda muafaka.
Timu ya wanasayansi Toka chuo Cha Stanford wameweza kuunda dozi ya sindano ya hidrojeli (hydrogel) ambayo ndani yake kuna dawa yenye uwezo wa kukaa miezii minne kwa mgonjwa wa kisukari inampa nguvu mgonjwa kuacha kuchukua dawa za kumeza zile za Kila siku.
Sindano hiyo ambayo ndani ya mwaka mmoja unachoma mara tatu wakati kwa Miaka mitatu utakua umechoma sindano mara 9.
3 716
Kampuni ya Microsoft wameachia video mbalimbali zenye kuwaonyesha watu kwa namna gani wanaweza kutengeneza laptop zao zenye changamoto mbalimbali kwa watumiaji wake.
video hizo zinaonyesha laptop za aina mbili Surface laptop Studio 2 na Surface Go 4 mtumiaji yoyote anaweza kutengenezea au kurekebisha baadhi ya changamoto mbalimbali zilizopo kwenye laptop yake bila kupeleka kwa fundi au kuwa na ujuzi mkubwa sana Bali maelezo tu.
🌀 Kubadili kioo
🌀 Kubadili Laptop stand ya kioo.
🌀 Kubadili na kuondoa Hard disk au Solid state drive Ssd kupitia microsoft store.
🌀 Kubadili system charge (port ya chaji na USB type C
🌀 Kubadili keyboard/ trackpad
🌀 Kubadili motherboard , kamera ya mbele na Nyuma nk
Kupitia maelezo utayopewa kwenye video zile za kuanzia dakika 5 mpaka 14 inategemea tatizo gani utaweza kurekebisha laptop yako.Pia huduma hii utaweza kulipia kujifunza kitu gani unahitaji kujua kuweza kutengeneza laptop yako ikiwa na changamoto.
Tembelea page yao kujua zaidi @Microsoft
3 716
Marekani china na Israel wako kwenye mchakato wa kuunda Drone, roboti na silaha hatari zitakazo kuwa zinatumia teknolijia ya Akili bandia kuua binadamu bila huruma.
Soma zaidi 👇
https://www.instagram.com/p/C0BLbc0KLYU/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==
3 716
𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗸𝘂𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝗮 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝘂𝗺𝗲𝗻𝘆𝗼𝗼𝘀𝗵𝗮 𝗺𝗸𝗼𝗻𝗼 !!
Kampuni ya Google wameleta feature mpya watumiaji wa Program ya Google meet ambayo itaweza kutambua ikiwa umenyoosha mkono 🤚 au lah wakati unaitumia.
Program ya Google meet imewekwa Teknolijia ya Akili bandia (Ai) yenye uwezo wa kutambua unahitaji kusema kitu wakati umeinua mkono wako kipindi unafanya video call na watu wengine kupitia simu au tovuti.
Utaweza kuinua mkono wako 🤚 kwa sekunde kadhaa kuanzia 1 mpaka 5 alafu kamera itaonyesha Kuna mtu ameinua mkono anahitaji kusema jambo icon ya mkono wako itatokea kwenye video kwaiyo yule anaendesha mdajala kupitia Google meet ataweza kuona.
Feature hii by default Iko Off hivyo unahitaji kuweka on ili kuweza kutumia kupitia setting kwenye Google meet kwa kuruhusu hand raise, sio lazima uguse batani ya kuinua mkono yenyewe ukinua tu mkono wako inafanya kazi.
3 716
Whatsapp sasa sio lazima tena kutumia namba ya simu kujiunga unaweza kuingia kwenye Whatsapp bila namba ya simu
Soma zaidi 👇
https://www.instagram.com/p/Cz_2JxTqARK/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==
3 716
Wallpaper nzuri kwa Ajili ya simu Yako unaweza kuweka Kwenye background au lock screen ya simu Yako.
Episode ya 42 #bongotech255
3 716
Kampuni ya Samsung imetoa list ya simu 50 za Samsung ambazo zitaweza kupokea android version 14 kuanzia mwezi desemba mwaka huu
Gusa link ukaangalie list ya simu zote kujua kama yako itakuwepo 👇
https://www.instagram.com/p/Cz-n8bnN8SF/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==
3 716
Kampuni ya AzamTv wametisha kinoma wameleta teknolijia mpya kwenye magari na bodaboda unaweza kuangalia channel za Azam kwa urahisi
Soma zaidi👇
https://www.instagram.com/p/Cz9UR_wNbwL/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==
3 716
Moja Kati ya simu Bora Toka kampuni ya Infinix kuachiwa kwa mwaka huu 2023 ni hii Infinix Note 30 Vip Kuna feature nyingi za kipekee ziko ndani yake
Soma zaidi 👇
https://www.instagram.com/p/Cz8VI0aqspr/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==
3 716
𝗠𝗴𝗼𝗴𝗼𝗿𝗼 𝘄𝗮 𝗢𝗽𝗲𝗻𝗔𝗶 𝘂𝗻𝗮𝘀𝗵𝗶𝗸𝗮 𝗠𝗼𝘁𝗼 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝗵𝗮𝘄𝗮𝗳𝗶𝗸𝗶 𝗽𝗼𝗽𝗼𝘁𝗲
Baada ya wiki iliyopita Aliyekua mkurugenzi wa kampuni ya OpenAi Sam Altman kuondolewa kwenye nafasi yake Bado mivutano au migogoro ndani kwa ndani inaendelea.
Kuna Tetesi ilikuwa inasema Sam Altman atarudi kwenye cheo chake lakini taarifa zilizotoka kuwa Sam amekataa kurudi. Kuna kundi la wafanyakazi wameamua kuanzisha mgogoro.
Kuna wafanyakazi kazi 10 wanaweza kuacha kazi Toka kampuni ya OpenAi na kumfuata Sam Altman popote anapokwenda mmoja wapo Mira murati ambaye kwenye aliweza ku tweets kwa kusema 👇
"Kampuni ya OpenAi haitaweza kuwa chochote Au kuwa na thamani bila watu". Sio yeye tu Kuna zaidi ya watu kumi waliweza kutuma ujumbe kama huo mtandaoni kwa kusema"OpenAi company is nothing without people".
3 716
NUKUU YA LEO: “Hukupewa maisha mazuri wala mabaya, umepewa maisha. Ni maamuzi yako kuyafanya yawe mazuri au mabaya” - Cormac McCarthy
3 716
Je unapenda movie ???
Fahamu Jinsi ya Kudownload Movie mpya Toka Netflix, Apple nk kupitia Simu au Kompyuta yako zenye Ubora wa HD Kizamani na kisasa
Tizama video 👇
https://vm.tiktok.com/ZMjEYHQTT/
3 716
Kama unatumia Facebook fahamu jambo hili muhimu kwenye akaunti yako ikitokea umekufa au umepoteza simu tizama 👇
https://vm.tiktok.com/ZMjEdo8EM/
