BongoTech255🎮🔻
Open in Telegram
Fahamu masuala mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha nyepesi kabisa ya kiswahili 😎 Tembelea page zetu ujifunze mengi zaidi 👇 https://bio.site/Bongotech255 Si Unajua Teknolojia ni Yetu sote ✍️
Show moreThe country is not specifiedFacts3 516
3 716
Subscribers
No data24 hours
-177 days
-4830 days
Data loading in progress...
Similar Channels
Tags Cloud
No data
Any problems? Please refresh the page or contact our support manager.
Incoming and Outgoing Mentions
---
---
---
---
---
---
Attracting Subscribers
December '24
December '240
in 0 channels
November '24
+5
in 0 channels
Get PRO
October '24
+1
in 0 channels
Get PRO
September '24
+8
in 0 channels
Get PRO
August '24
+50
in 0 channels
Get PRO
July '24
+69
in 0 channels
Get PRO
June '24
+88
in 0 channels
Get PRO
May '24
+76
in 0 channels
Get PRO
April '24
+79
in 0 channels
Get PRO
March '24
+76
in 0 channels
Get PRO
February '24
+138
in 0 channels
Get PRO
January '24
+195
in 0 channels
Get PRO
December '23
+3 580
in 0 channels
| Date | Subscriber Growth | Mentions | Channels | |
| 21 December | 0 | |||
| 20 December | 0 | |||
| 19 December | 0 | |||
| 18 December | 0 | |||
| 17 December | 0 | |||
| 16 December | 0 | |||
| 15 December | 0 | |||
| 14 December | 0 | |||
| 13 December | 0 | |||
| 12 December | 0 | |||
| 11 December | 0 | |||
| 10 December | 0 | |||
| 09 December | 0 | |||
| 08 December | 0 | |||
| 07 December | 0 | |||
| 06 December | 0 | |||
| 05 December | 0 | |||
| 04 December | 0 | |||
| 03 December | 0 | |||
| 02 December | 0 | |||
| 01 December | 0 |
Channel Posts
Jishindie milioni MojaHivi unajua Unaweza kujishindia milioni moja toka Kampuni ya Infinix hii ni Bure kabisa kama unahitaji kushindana kucheza game kupitia simu basi hii sio ya kukosa Soma🚀 zaidi 👇 https://www.instagram.com/p/C0pM-8PrLRP/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==
| 2 | 𝗦𝗮𝘀𝗮 𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗺𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗺𝘁𝘂 𝘃𝗼𝗶𝗰𝗲 𝗮𝘀𝗶𝗸𝗶𝗹𝗶𝘇𝗲 𝗺𝗮𝗿𝗮 𝗠𝗼𝗷𝗮 𝘁𝘂
Tukirudi mwaka 2021 Whatsapp waliweza kutambulisha feature ya mtu kuangalia mara moja picha na videos ambayo mtu amekutumia kwenye huo mtandao wa Whatsapp.
Lakini sasa Whatsapp wameongezea feature nyingine ya kuweza kutuma voice message inayowezwa kusikilizwa mara Moja tu.
Whatsapp wamesema lengo ni kuongeza usalama wa watu wanapokuwa wanatumia mtandao wa Whatsapp dhidi ya taarifa zao kuvujishwa hovyo.
Kwaiyo kupitia view once voice message mtu ataweza kusikiliza mara Moja voice utakayotumia kwenye Whatsapp haitawezekana kuji save kwenye simu yake akitaka kuichukua.
Hakikisha umefanya update ya Whatsapp 😉. | 0 |
| 3 | 𝗚𝗧𝗔 𝟲 𝘆𝗮 𝗺𝗽𝗶𝗿𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝗯𝗶𝗸𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘂𝗻𝗱𝗮 𝘄𝗮𝗵𝘂𝘀𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶
Baada ya siku kadhaa kutoka kwa trailer la game mpya ya Gta 6 ambayo itaachiwa mwaka 2025, mashabiki nao wapenzi wa mpira wameunda Gta 6 la mpira 😃.
Magwiji mbalimbali wa soka ulimwenguni kama vile Messi, Cristiano Ronaldo, Neymar,salah, Bellingham, Mbappe na wengineyo wamechapishwa Kama wahusika wa GTA 6 na kufikia kutolewa mpaka trailer lake.
Messi ameonyeshwa akiwa mtu ambaye yuko kwenye jiji la Miami wakati mchezaji wa Al Nasser Cristiano Ronaldo akiwa kwenye vazi la aveators akiwa amevaa medali za Retro.
Bellingham akiwa na muoneokano wa kijana wa hovyo (kiuni) , wakati salah akiwa tajiri flani hivi 💰 nk. | 0 |
| 4 | Jamani 😁 kumbe Ile voice assistant ya Amazon Alexa imeundwa na mtanzania mdogo kabisa na hamjasema aisee
Unasemaje hapa tumepigwa au ?? | 0 |
| 5 | Kabla ya drones - Njiwa ndo walikuwa wanatumika sana katika kupiga picha za juu (Aerial Photos)
#drones #njiwa ✅ | 0 |
| 6 | 𝗠𝗲𝘀𝘀𝗮𝗴𝗲 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗶𝗹𝗶𝘁𝘂𝗺𝘄𝗮 𝗠𝗶𝗮𝗸𝗮 𝟯𝟭 𝗶𝗹𝗶𝘆𝗼𝗽𝗶𝘁𝗮
Imepita zaidi ya Miaka 31 tangu message ya kwanza kutumwa duniani kupitia simu mpaka kufikia Leo hii Kuna zaidi ya message trilioni zimetumwa ulimwenguni kupitia simu.
Turudi Nyuma mpaka mwaka 1992 kampuni ya Vodafone ndo ilikua kampuni ya kwanza kuruhusu watu kuweza kurushiana message kwa Kila mmoja wao.
Maneno ya mwanzo kutumwa yalikua Toka kwenye simu ya mkononi Ya Orbitel 901 japo kuwa ilichukua mda mpaka message kumfikia mlengwa kupata taarifa
Ujumbe huo ulikua "Merry Christmas" Miaka hiyo ya 1992 hakukuwa na emoji au reactions yoyote ilikua message tu imetumwa ya kawaida lakini sasa maendeleo ya teknolijia imepelekea utumaji wa message uko kwa namna tofauti tofauti.
Mpaka kufikia mwaka 2002 kulikua na jumla ya message bilioni 250 zimetumwa ulimwenguni na ilipofika mwaka 2008 wamarekani ndo wakaletq mfumo wa kulipia wakati mtu anatuma message kupitia simu. | 0 |
| 7 | Spotify imetangaza kupunguza asilimia 17% ya wafanyakazi wake; ambapo ni zaidi ya wafanyakazi 1,000.
Spotify imesema sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwa sababu inapata gharama kubwa za uendeshaji | 0 |
| 8 | 𝗚𝗧𝗔 𝟲 𝗶𝗻𝗮𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱
Kampuni ya Rockstar imeachia trailer la game mpya ya Grand theft Auto Sehemu ya 6 Leo jumanne ikiwa na muhusika mkuu ni Mwanamke.
Game hii tofauti na matoleo ya zamani ambayo yalikua yanachukua nafasi kubwa Toka Jiji la Los Angeles na New York City lakini kwenye Gta 6 Sehemu kubwa imechukuliwa kwenye Jiji la Leonida , Miami na Florida.
Kama kweli wew ni shabiki wa Gta Vice city utakumbuka jinsi ilivyokuwa Miami Miaka ya 2002 , sasa Iko kwenye Jiji la jirani na Miami ambapo ni Leonida na Sehemu nyingi Duniani mtaweza kuziona mpaka Tanzania ikiwemo 😊.
Game hii inatarajiwa kuachiwa mwaka 2025 tunatarajia kuiona mwishoni mwaka 2024 kuelekea 2025.
Sogeza picha kuangalia trailer lake ila watoto wadogo hawaruhusiwi kucheza 😮
Usisahau kutembelea channel Yetu ya Whatsapp 👇
https://whatsapp.com/channel/0029VaCz0qk5kg773qoesy3R | 0 |
| 9 | Tumia wifi kupiga simu na kutuma message
Je hivi unajua Unaweza kutumia Wifi iliyopo kwenye simu yako kwa kuweza kupiga simu au kutuma message bila kuwa na Salio la kawaida Soma zaidi 👇
https://www.instagram.com/p/C0dy9Wmq8LL/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ== | 0 |
| 10 | Nukuu ya Leo
Jenga nidhamu kuu ambayo itakufanya daima kuwa kwenye mstari hata siku utakazo kuwa down.
• Nidamu ya kula vizuri
• Nidhamu ya kumuomba Mungu
• Nidhamu ya kunywa vyema
• Nidhamu ya kufanya mazoezi
• Nidhamu kusaka maarifa bila kikomo
• Nidhamu ya kufanya yale yayokupa pesa
Unaweza kuanza taratibu. Nidhamu ni kama msuli, kadri unavyoufanyisha mazoezi ndivyo unavyokuwa imara.
jisimamie ✅ #bongotech255 | 0 |
| 11 | Mtandao wa Whatsapp ambao ukitoa feature Nyingi mpya inaonekana inachukua toa telegram 😁, hatimaye Whatsapp wako kwenye mchakato wa kuleta feature mpya kwenye status.
Meta inataka kufanya app zake mbalimbali kama vile Facebook, Instagram, threads na Whatsapp ziweze kuingiliana bila shida yoyote Ile ambapo kwa sasa wako kwenye majaribio ya kuwapa watu uwezo wa ku share status ya Whatsapp kwenye Instagram.
Ambapo watumiaji wa Whatsapp wataweza share status kwenye insta story na watu kuweza kuona kwa urahisi kupitia akaunti yako ya Instagram.
Ingia setting --> privacy --> status -->share my status update utaweza kuunganisha na Instagram akaunti yako Bado haijaachiwa rasmi. | 0 |
| 12 | 𝗜𝘁𝗲𝗹 𝗶𝗺𝗲𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗹𝗼𝗴𝗼 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝘆𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗺𝘂𝘂𝗻𝗱𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝗶𝘀𝗮𝘀𝗮
Kampuni ya itel imetambulisha logo yao mpya ambayo itapatikana kwenye matoleo mapya ya simu zao zitakapoachiwa. Itel ni Kampuni ya kichina inayohusisha kuunda simu mbalimbali za smartphone.
Ilizinduliwa na jamaa mmoja anaitwa Lei Weigou na Shenzhen Trassion Holding Co limiting 2014, simu nyingi za itel soko lake linapatikana China, Africa, Asia, European na Latin America ni baba wa kampuni ya Tecno na Infinix.
Imepita zaidi ya Miaka 16 Toka logo ya kwanza ya Itel ilipoachiwa mwaka 2008 na Leo wametambulisha logo mpya wakiwa na kauli ya innovation , accessibility and customer - centered philosophy.
Wameshirikia na mbunifu Maarufu wa Australia kauli Yao pendwa ni 👇
"Enjoy better life".👋 | 0 |
| 13 | Nchini afrika kusini imepiga marufuku watu kutumia mtandao wa Starlink kwani ukikutwq unatumia faini yake ni balaa 😀
Soma zaidi 👇
https://www.instagram.com/p/C0ZqgB2rtGF/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ== | 0 |
| 14 | Umeshawahi kukutana na simu ambayo inajizima pale unapokea wakati umepigiwa au unaposikiliza voice note kwenye Whatsapp? Shida inakuwaga Nini 🙌
Gusa link ukajifunze 👇
https://www.instagram.com/p/C0Y-nB7Kzmm/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ== | 0 |
| 15 | Inasemekana Dunia itaweza kubadilika Miaka 200 Toka sasa am ambapo masaa kwa siku yataongezeka na kuwa masaa 25hrs kwa siku Toka masaa 24hrs
Soma zaidi 👇
https://www.instagram.com/p/C0XERe9q622/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ== | 0 |
| 16 | Tajiri namba Moja ulimwenguni Elon musk ameonyesha jeuri ya pesa baada ya kuwatukana waamdhamini wakubwa wanaolipia matangazo kwenye mtandao wa X.
Kuanzia , Apple, Disney, Sony pictures, coca cola, Discovery nk Soma zaidi 👇
https://www.instagram.com/p/C0V0V6iqxwX/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ== | 0 |
| 17 | Tukae mkao mzuri aisee 🙌🙌
🖤
Gta 6 inakuja siku ya jumanne trailer 1
#GTA6 #gta6trailer #GTAOnline | 0 |
| 18 | Je wajua Whatsapp wanataka kuleta feature ya Username watumiaji wa Whatsapp kuweza kutumia username badala ya namba ya simu
Soma zaidi 👇
https://www.instagram.com/p/C0Ufk5bKnO-/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ== | 0 |
| 19 | Wallpaper nzuri kwa Ajili ya simu Yako unaweza kuweka Kwenye background au lock screen ya simu Yako.
Episode ya 43 #bongotech255 | 0 |
| 20 | 𝗞𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗶𝗢𝗦 𝟭𝟴 𝘂𝘁𝗮𝗸𝘂𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗲𝗸𝗮 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗚𝗯
Kuna ripoti inaonyesha toleo jipya la iOS 18 litakapo Toka litaweza kuwa na uwezo wa kuruhusu watu kuweza ku install app nje ya app store kwa urahisi.
Mabadiliko hay yataweza kuifanya simu za iphone zenye kupokea iOS ya 18 kuwa na uwezo wa kuweka app zilizopo nje ya app store (modded apps) kwenye simu zao bila shida yoyote ya ku jailbreak simu zao.
Utakua na uwezo wa ku install app mbalimbali Kama vile whatsapp Gb, Instagram Gb, SnapTube, Xender, Play store nk. Mabadiliko hay yanaweza kuanza Miaka ijayo ila watu wa kwanza kupata ni Toka ulaya Kisha itasambazwa ulimwenguni kote.
Inatarajiwa kuachiwa mwakani 2024 ikiwa na feature mbalimbali ikiwemo Teknolijia ya Ai.
#appleiphone #iphones #appletanzania #applekenya #ios #IOS18 #Fahamu #bongotech255 | 0 |
