en
Feedback
TechMinded

TechMinded

Open in Telegram

🚩 Channel was restricted by Telegram

Show more
No data
Subscribers
-824 hours
-737 days
-15730 days
Posts Archive
Kwa Wale Ambao Wanapenda Viatu Vikali Tech Minded Ipo Kwa Ajili Yao Karibu WhatApp Kujiunga N Group Kwa Ajili Ya Viatu Vikali Vya Kila Aina https://chat.whatsapp.com/JLWZCJCf0c2GtWA65kt7AZ

Wale Wapenzi Wa Mpira, Ukiitaji Kutazama Mpira Wa Ulaya Bure Mfn UEFA Champions League, COPA America Nk. Download Cricfy TV Link Naweka Chini Au Yaccine TV Kutoka Playsore, Kupitia Cricfy TV Utaweza Kutazama Match Mbali Mbali Kutoka League Tofauti Tofauti Zikiwa Na High Quality.
Cricfy TV:
https://cricfytv.org/download-cricfy/ 📱 @Tech_Minded 📡 #Tips

Kuna Watu Huku Wanasambaza Elfu Mbili Je Ushawahi Kupata?

Tangazo La Aina Yeyote Ile Kwenye Group Utakula Ban 👍 Kama Hauna Elim Ya Kuwapa Watu Tulia

Kadri Siku Zinavyozidi Kwenda Ndio Najua Wema Wenu Humu Hamna Wema Mtu Kumsaidia Kitu Imekua Kosa? Ndio Maana Hata Vpn Siwaletei Sio Kama Hamna Zipo Na Tunatumia Na Michongo Mingine Na Madarasa Mengine Siwaletei Mmekua Watu Ambao Hawana Shukrani Hivi Ni Sahihi Kumwita Mtu Tapeli Ambae Amekuomba Umsaidie Kufanya Kitu Flani? Je Amekuomba Hata Sent Tano Yako? Tuwe Na Upeo Wa Kuona Na Kufikiria Wakuu Kumsaidia Mtu Sio Lazima Ni Ombi Tu Kama Hauwezi Ni Bora Kukaa Kimya Kuliko Kumwambia Mtu Tapeli Ambae Hata Kukuomba Sent Tano Yako Hajakuomba Na Zaidi Tu Anakupa Na Vocha Ya Buku Na Bado Unamwita Tapeli Sawa Wakuu👍

Nahitaji Watu 200 Tu Wakifika Nabadilisha Link✅

Leo Nawaletea Offer Hii Join Hii WhatsApp Group Kuna Offer Ya Vocha Ya Buku Kwa Kila Mtu Atakayejoin Kwenye Group Mwisho Saa 5 Usiku Kwa Kila Member Atakayejoin Kuna Offer Ya Sh. 1000 Boss Nimelewa Maelezo Mengine Ya Kupata Hiyo Vocha Utayapata Huko Huko Kwenye Group Karibuni: https://chat.whatsapp.com/CYSsjM0JCd5Kjv3IwNPDHP

Wazee Wa Crypto Nawasanua Kuna Hii Platform Mpya Imeanzishwa Na Ipo Hapa Hapa Telegram Unaweza Join Na Ukasoma Ukaelewa Hata Kama Ni Biginner Easy✅ Link Yao Ya Telegram Kujiunga 👉 https://t.me/+sy4SMRpLe4FlMmZl

Na Group Lake Unapewa CHANNEL VS GROUP ✅ Njoo Inbox Tuongee Biashara @SalimNasserBot

Kama Unahitaji Channel Ya Telegram Ina Followers 4.5k Nicheki Inbox Njoo Na Offer Yako CHANNEL 4.5K { Active Subscriber } @SalimNasserBot

5: Ukiingia Kwenye Developer Option Utaona Kuna Option Nyingi Sana Ila Tafuta Tu Hizi Option 3 Simu Nyingi Utazikuta Zipo Na
+1
5: Ukiingia Kwenye Developer Option Utaona Kuna Option Nyingi Sana Ila Tafuta Tu Hizi Option 3 Simu Nyingi Utazikuta Zipo Na 1x Badilisha Weka 0.5x Sehem Hizo Tatu Kama Kwenye Picha Hapo 📱 @Tech_Minded @Anyonymo #Darasa

4: Tafuta Developer Options Hakikisha Iwe On Hivyo
4: Tafuta Developer Options Hakikisha Iwe On Hivyo

3: Rudi Nyuma Kwenye Setting Ya Kawaida Baada Ya Kuweka Kuwa Wewe Ni Developer Nenda Kwenye System
3: Rudi Nyuma Kwenye Setting Ya Kawaida Baada Ya Kuweka Kuwa Wewe Ni Developer Nenda Kwenye System

2: Tafuta / Utaenda Kwenye Build Number Baada Ya Kuingia Kwenye My Phone Ibonyeze Mara 7 Utaambiwa Uweke Password Weka Passwo
2: Tafuta / Utaenda Kwenye Build Number Baada Ya Kuingia Kwenye My Phone Ibonyeze Mara 7 Utaambiwa Uweke Password Weka Password Au Wengine Utaambiwa Your Are Developer Tayari

1: Ingia Setting Tafuta My Phone
1: Ingia Setting Tafuta My Phone

Leo Nipo Kwenye Page Moja Nimeona Hili Darasa Zuri Kidogo Nikaona Niwaletee Kwa Watu Wa Simu Za Adroid Najua Iphone Hamna Tatizo Kama Hili Labda Iphone Yako Iwe Ya Mkopo Kunawakati ukiwa unatumia simu unapata imeganda tu bila sababu yani .. Wewe ni shahidi hiki kitendo kinachukiza sana unaweza fikiria kuitupa ukutani simu . Sasa ukiona inakuletea shida kama hiyo fanya hivi sasa hivi 👇👇👇👇

Deep Seek Vs Open Ai Nani Mkali?

Deep Seek Vs Open Ai Nani Mkali?

Utoto unaweza fanya ukaonekana mjuaji mnoo 😂😂 👇👇👇👇👇 1: Nenda kwenye Google andika 'do a barrel roll' kisha click kwenye 20 times. 2: Nenda kwenye google andika ' Askew ' 3: Nenda google search Thanos Snap au Batman Effect Em tupe mrejesho