TechMinded
Открыть в Telegram
Нет данных
Подписчики
-824 часа
-737 дней
-15730 день
Архив постов
Kwa Wale Ambao Wanapenda Viatu Vikali
Tech Minded Ipo Kwa Ajili Yao Karibu WhatApp Kujiunga N Group Kwa Ajili Ya Viatu Vikali Vya Kila Aina
https://chat.whatsapp.com/JLWZCJCf0c2GtWA65kt7AZ
🔥 CANVA PRO LIFETIME [100% WORKING]
Updated 23/03/2025
- Expiry: Lifetime
- User Limit: 500 each link
https://www.canva.com/brand/join?token=bNJQQKmGSyfp00SSIDpPNw&brandingVariant=edu&referrer=team-invite
https://www.canva.com/brand/join?token=jZBeD8nlepRCWxIFYqElHw&brandingVariant=edu&referrer=team-invite
@Tech_Minded
Wale Wapenzi Wa Mpira, Ukiitaji Kutazama Mpira Wa Ulaya Bure Mfn UEFA Champions League, COPA America Nk. Download Cricfy TV Link Naweka Chini Au Yaccine TV Kutoka Playsore,
Kupitia Cricfy TV Utaweza Kutazama Match Mbali Mbali Kutoka League Tofauti Tofauti Zikiwa Na High Quality.
Cricfy TV:https://cricfytv.org/download-cricfy/ 📱 @Tech_Minded 📡 #Tips
Tangazo La Aina Yeyote Ile Kwenye Group Utakula Ban 👍
Kama Hauna Elim Ya Kuwapa Watu Tulia
Kadri Siku Zinavyozidi Kwenda Ndio Najua Wema Wenu Humu
Hamna Wema Mtu Kumsaidia Kitu Imekua Kosa?
Ndio Maana Hata Vpn Siwaletei Sio Kama Hamna Zipo Na Tunatumia Na Michongo Mingine Na Madarasa Mengine Siwaletei Mmekua Watu Ambao Hawana Shukrani Hivi Ni Sahihi Kumwita Mtu Tapeli Ambae Amekuomba Umsaidie Kufanya Kitu Flani? Je Amekuomba Hata Sent Tano Yako?
Tuwe Na Upeo Wa Kuona Na Kufikiria Wakuu Kumsaidia Mtu Sio Lazima Ni Ombi Tu Kama Hauwezi Ni Bora Kukaa Kimya Kuliko Kumwambia Mtu Tapeli Ambae Hata Kukuomba Sent Tano Yako Hajakuomba Na Zaidi Tu Anakupa Na Vocha Ya Buku Na Bado Unamwita Tapeli Sawa Wakuu👍
Leo Nawaletea Offer Hii
Join Hii WhatsApp Group Kuna Offer Ya Vocha Ya Buku Kwa Kila Mtu Atakayejoin Kwenye Group Mwisho Saa 5 Usiku Kwa Kila Member Atakayejoin Kuna Offer Ya Sh. 1000 Boss Nimelewa
Maelezo Mengine Ya Kupata Hiyo Vocha Utayapata Huko Huko Kwenye Group
Karibuni: https://chat.whatsapp.com/CYSsjM0JCd5Kjv3IwNPDHP
Wazee Wa Crypto Nawasanua Kuna Hii Platform Mpya Imeanzishwa Na Ipo Hapa Hapa Telegram Unaweza Join Na Ukasoma Ukaelewa Hata Kama Ni Biginner Easy✅
Link Yao Ya Telegram Kujiunga 👉 https://t.me/+sy4SMRpLe4FlMmZl
Kama Unahitaji Channel Ya Telegram Ina Followers 4.5k Nicheki Inbox Njoo Na Offer Yako
CHANNEL 4.5K { Active Subscriber }
@SalimNasserBot
+1
5: Ukiingia Kwenye Developer Option Utaona Kuna Option Nyingi Sana Ila Tafuta Tu Hizi Option 3 Simu Nyingi Utazikuta Zipo Na 1x Badilisha Weka 0.5x Sehem Hizo Tatu Kama Kwenye Picha Hapo
📱 @Tech_Minded @Anyonymo
#Darasa
3: Rudi Nyuma Kwenye Setting Ya Kawaida Baada Ya Kuweka Kuwa Wewe Ni Developer
Nenda Kwenye System
2: Tafuta / Utaenda Kwenye Build Number Baada Ya Kuingia Kwenye My Phone
Ibonyeze Mara 7 Utaambiwa Uweke Password Weka Password
Au Wengine Utaambiwa Your Are Developer Tayari
Leo Nipo Kwenye Page Moja Nimeona Hili Darasa Zuri Kidogo Nikaona Niwaletee Kwa Watu Wa Simu Za Adroid Najua Iphone Hamna Tatizo Kama Hili Labda Iphone Yako Iwe Ya Mkopo
Kunawakati ukiwa unatumia simu unapata imeganda tu bila sababu yani ..
Wewe ni shahidi hiki kitendo kinachukiza sana unaweza fikiria kuitupa ukutani simu .
Sasa ukiona inakuletea shida kama hiyo fanya hivi sasa hivi
👇👇👇👇
Utoto unaweza fanya ukaonekana mjuaji mnoo 😂😂
👇👇👇👇👇
1: Nenda kwenye Google andika 'do a barrel roll' kisha click kwenye 20 times.
2: Nenda kwenye google andika ' Askew '
3: Nenda google search Thanos Snap au Batman Effect
Em tupe mrejesho
