cookie

We use cookies to improve your browsing experience. By clicking «Accept all», you agree to the use of cookies.

avatar

Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan

Tujifunze elimu sahihi kutoka katika Qur-aan na Sunna kwa ufahamu wa wema waliotangulia.

Show more
Advertising posts
550
Subscribers
-124 hours
+117 days
+3130 days
Posting time distributions

Data loading in progress...

Find out who reads your channel

This graph will show you who besides your subscribers reads your channel and learn about other sources of traffic.
Views Sources
Publication analysis
PostsViews
Shares
Views dynamics
01
Hii Tafsiri ya pili ina masahihisho kinyume na hiyo ya awali ambayo ni ya mwaka jana.
800Loading...
02
بسم الله الرحمن الرحيم MASIKU 10 YA MWANZO YA DHUL-HIJJA " قال الإمام محمد بن صالح العثيمين رحمه الله تعالى :- Amesema Imaam Muhammad bin Swaaleh Al-uthaymiin- Allah amrehemu:- " الناس في غفلة عن عشر ذي الحجة فعلى طلبة العلم أن يُبيِّنوا فضلها للعامة فالعامة يحبون الخير ولكن قد غفل طلبة العلم عن تنبيههم .. "Watu wapo katika kughafilika kutokana na masiku kumi ya mwanzo ya dhulhijja. Basi ni juu ya wanafunzi kubainisha fadhila zake  kwa watu wa kawaida kwani watu wa kawaida wanazipenda kheri lakini wenye kutafuta elimu wameghafilika kutokana na kuwazindua wao -kutokana na kheri hizo". " مجموع فتاوى (١٨٩/٢٥) https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99 Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan
790Loading...
03
بسم الله الرحمن الرحيم MASIKU 10 YA MWANZO YA DHUL-HIJJA " قال الإمام محمد بن صالح العثيمين رحمه الله تعالى :- Amesema Imaam Muhammad bin Swaaleh Al-uthaymiin- Allah amrehemu:- " الناس في غفلة عن عشر ذي الحجة فعلى طلبة العلم أن يُبيِّنوا فضلها للعامة فالعامة يحبون الخير ولكن قد غفل طلبة العلم عن تنبيههم .. "Watu wapo katika kughafilika kutokana na masiku kumi ya mwanzo ya dhulhijja basi ni juu ya wanafunzi kubainisha fadhila zake kwa watu wote kwani wengi wanazipenda kheri lakini wameghafilika wenye kutafuta elimu kutokana na kuwazindua wao -kutokana na kheri hizo". " مجموع فتاوى (١٨٩/٢٥) https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99 Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan
740Loading...
04
*Amesema Shekh Muhammad Al-Uthaymiin - Allah amrehemu.* *"Utoaji wa sadaka ndani ya masiku kumi ya mwanzo wa Dhulhijja yanapendeza zaidi kwa Allah kuliko sadaka inayotolewa katika masiku kumi ya mwisho ya mwezi wa Ramadhani"* اللقاء الشهري (١٠) Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan.
660Loading...
05
✍Katika Khutba ya Ijumaa ya jana nilinukuu hadith hii ya Abii Hurayra - Allah amridhie ما أهل مهل قط إلا بشر -  na nikasema kutoka kwa Abii bakrata... na ameipokea Imaam Twabaraaniy. na sahihi ni hadithi ya Abii Hurayra ameipokea Imaam Twabaraaniy na sio kama nilivyonukuu katika khutba ya jana. Allah akuzidishieni khayr. Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan
910Loading...
06
بسم الله الرحمن الرحيم BISHARA NJEMA KWA ATAKAYEKITHIRISHA TAKBIRA NDANI YA MASIKU 10 YA MWANZO YA DHULHIJJA. ➢ عن أبي هريرة  -رَضِيَ اللهُ عنَہُ- عن النبي ﷺ قال: «ما أَهَلَّ مُهِلٌّ قَطُّ، ولا كبَّرَ مُكَبِّرٌ قَطُّ، إلَّا بُشِّرَ بالجنَّةِ». Kutoka kwa Abiy hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake amesema; (("Hajapatapo katu kusema mwenye kusema لَا إِلَهَ إِلَّا اللّٰه, na wala hajapatapo kusema Takbira katu "الله أكبر" mwenye kuleta takbira isipokuwa anabashiriwa pepo")) حسنه الألباني في صحيح الجامع: (٥٥٦٩). قال الصنعاني -رَحِمَہُ اللهُ تَعَالَــﮯٰ-: Amesema Imaam Swan-aañiy Allah amrehemu:- «ما أَهَلَّ مُهِلٌّ قَطُّ، ولا كبَّرَ مُكَبِّرٌ قَطُّ» يحتمل: في الحج ويحتمل مطلقًا «إلَّا بُشِّرَ بالجنَّةِ» أي: بشرته الملائكة يوم القيامة بأن له الجنة بإهلاله أو بتكبيره، وبشره الرسول ﷺ بهذا الخبر، أي: إلا كان مبشرًا بهذا الخبر. (Hajapatapo katu kusema 'لا إلا إلا الله' mwenye kusema لا إلا إلا الله' wala kusema الله أكبر mwenye kusema الله أكبر) Panazingatiwa -panabebewa- katika hija na panazingatiwa moja kwa moja -kila sehemu kwa yoyote-. (Isipokuwa atabashiriwa pepo) yani watampa bishara malaika siku ya kiama kwa kuwa yeye ana pepo kwa 'Ihlaali' zake na 'Takbira' zake.... [التنوير شرح الجامع الصغير: (٣٦٤/٩)]. https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ
1091Loading...
07
بسم الله الرحمن الرحيم            🍂  🍃  🍂     ---------------- 📮🛡 إجــــــابـــــة الشـيخ المفضال الباحث المفيد أبـي حاتم يوسف بن العيد الجزائري حفظـه الله تعـالى على بعض الأسئلة 🛡 ~~~~ 📥 السؤال: امرأة عليها صيام من رمضان وترغب في صيام العشر من ذي الحجة فهل يلزمها أن تكمل مابقي من رمضان أم تصوم العشر وتقضي فيما بعد؟ 📤 الجواب: على المرء أن يبادر بصوم ما عليه من قضاء رمضان قبل أن تأتي الأيام التسع الأولى من ذي الحجة مادام قادرا على الصيام؛ فقد قال تعالى (وعجلت إليك رب لترضى)، وقال: (فاستبقوا الخيرات)، وقال: (وسارعوا إلى مغفرة من ربكم). ثم إذا قدمت هذه الأيام الفاضلة صامها وكان في فسحة من أمره. ولا يكون في غفلة عن القضاء ويسوّف و ينتظر مجيء هذه الأيام الفاضلة ثم  يطرح على نفسه هذا السؤال ويجعلها في موطن ترجيح بين هذا وهذا! فإنْ قُدّر أنه كان لايستطيع قضاء ما عليه من رمضان لعذر أو لآخر، حتى ضاق عليه الوقت وحضرت هذه الأيام وهو مستطيع للصيام؛ فعليه أن يبادر بصيام الواجب الذي عليه من القضاء وإن كان في هذه الأيام؛ لما في الصحيح من حديث أبي هُريرة أن النبي-صلى الله عليه وآله وسلم- قال: (وما تقرب إليّ عبدي بشيء أحب إليّ مما افترضته عليه) ويُرجى له أن ينال بذلك الفضل الذي في الحديث الوارد في العمل الصالح في هذه الأيام. فإن قضاء صوم رمضان من العمل الصالح. وقد ثبت عن عمر -رضي الله عنه- عند ابن أبي شيبة في "مصنفه"، ومسدد في "مسنده"-كما في "المطالب العالية"- والبيهقي في "سننه" -وغيرهم- من طرق عن الأسود بن قيس عن أبيه عن عمر أنه كان يستحب قضاء رمضان فى عشر ذي الحجة وقال: وما من أيام أقضي فيها رمضان أحب إليّ منها. اهـ فلا حرج عليكَ في صيام ما عليك من قضاء رمضان في تلك الأيام، بل يرجى أن يكون ثوابك أعظم لإيقاع الصوم في هذه الأيام الفاضلة.  وقد وقع خلاف بين السلف في كراهة صوم القضاء في هذه الأيام كما ذكر ابن رجب -رحمه الله- في "لطائف المعارف"، وغيره. لكن الراجح ما ذكرناه، والله أعلم. ___ _________ 📎رابط قناة شيخنا الفاضل أبي حاتم يوسف الجزائري-حفظه الله-: https://t.me/youssefalgazairi 📎رابط  مجتمع شيخنا الفاضل أبي حاتم يوسف الجزائري حفظه الله على الواتساب: https://chat.whatsapp.com/IMoI4MRuFBDCJHrhiVcr8U 📎رابط قناة الشيخ أبي حاتم يوسف الجزائري على التيليجرام باللغة الإنجليزية: https://t.me/AbuHaatimEn 📎 رابط قناة دروس 🌾مركز الخير🌾 بموانزا القائم عليه الشيخ أبو حاتم الجزائري-وفقه الله- مترجمة إلى السواحلية: https://t.me/abuhatemelkheir 📎 رابط مجموعة دروس 🌾مركز الخير🌾 بموانزا القائم عليه الشيخ أبو حاتم الجزائري -وفقه الله- مترجمة إلى السواحلية : https://chat.whatsapp.com/DTXZMlPiGsO7FpGlwlsMFF   
650Loading...
08
بسم الله الرحمن الرحيم 🌿KHUTBA YA IJUMAA- MASJID NNUUR KWA DIHUMU, DSM. 💥MASIKU BORA ZAIDI KATIKA DUNIA NI MASIKU KUMI YA MWANZO YA DHUL-HIJJAH NA KUTAJA BAADHI YA FADHILA ZAKE. 🎙Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan 🗒Ijumaa, 01 Dhul-Hijjah 1445 H, 07- 06-2024 M.
143Loading...
09
Media files
800Loading...
10
Media files
2916Loading...
11
بسم الله الرحمن الرحيم                                                                                                                                                  ❇️•MASJID TAWHEED•❇️              🏔 NANYUKI,KENYA 🏔    ✴️🎙KALIMAH KWA UNWAAN•✴️ »»»»»»»»»»»🍃🥀🍃»»»»»»»»»» 🔘 NASAHA KWA WAJA WA ALLAH WENYE WANAKUSUDIA KUCHINJA ,WAJIEPUSHE NA KUNYOA NYWELE ZAO WALA WASIKATE KUCHA ZAO BAADA YA MWANDAMO WA MWEZI WA DHUL HIJJAH• »»»»»»»»»»»🍃🥀🍃»»»»»»»»»» ⏰ BAADA YA SWALAH YA MAGHRIB•   🗓IJUMMAH; TAREHE 0⃣1⃣•        DHUL HIJJAH 1⃣4⃣4⃣5⃣H =                  SAWA NA        0⃣7⃣/0⃣6⃣/2⃣0⃣2⃣4⃣M•      💺🎙 AL AKH ABUU USAAMAH FARAH( حفظه الله ورعاه)• https://t.me/abu_usaamah_farah
880Loading...
12
Media files
1150Loading...
13
💥TAARIFA YA KUANDAMA KWA MWEZI NA LEO NI TAREHE 01 DHUL-HIJJA 1445 H, 07-06-2024M. NA SIKU YA ARAFA ITAKUWA NI JUMAMOSI IJAYO. 15-06-2024M. 🎉NA EID YA KUCHINJA ITAKUWA NI JUMAPILI. 16-06-2024M. جزاكم الله خيرا
1101Loading...
14
Media files
1250Loading...
15
🌴#سلسلة_الفتاوى_الشرعية🌴 يقول السائل / ما حال الشيخ سليم الهلالي..؟ إجابة الشيخ الفاضـــــــــــــل: #أبي_حمزة_عيسى_المصنف حفظه الله ورعاه وسدد على درب الهدى خطاه قناة الشيخ على التليجرام: https://t.me/AboElyaaaas رابط قناة جديد اسود السنة   للدروس العلمية والمقاطع الدعوية والفتاوى الشرعيةوالدرر السنية https://t.me/aslfeynosodalsonh
1220Loading...
16
4- Bado Mola Rahmani, fungua huo mlango, Jihimize ibadani, utajafikia lengo, umuweke mke ndani, haba na haba ni mwendo, Mwishowe baba fulani, hapo huzidi upendo.
1174Loading...
17
3- 'Samsangi noti teni', kutwa pangusa pangua, na mwingine 'aifoni', kajaza picha maua, mawazo tele ndotoni, akiamka kufua, likikufika moyoni, naomba shika hatua.
1213Loading...
18
2- Wengine mnavyovyumba, malipo kodi ya mwezi, kalikali safi pamba, mnasema unyamwezi! wengine vijiji shamba, umeme wa mbaramwezi, Ndoa mmeipa kamba, Eti kuoa siwezi!
1233Loading...
19
1- Mmejawa na uoga, kuyaogopa maisha, Mola kaumba uyoga, rutuba karutubisha, mimea miti maboga, na mengi kakithirisha, Vipi wewe mwenye hoja, usiyemshirikisha!?
1133Loading...
20
Media files
1030Loading...
21
Wengi wanaoishi bila kuoa nafsi zao zimejaa kuogopa umasikini na wala sio kumuogopa Allah.
981Loading...
22
SHAIRI:- HAKUNA KHERI. MTUNZI:- ✍🏽Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan. بسم الله الرحمن الرحيم 1- Himidi kwa Rahmani, mlezi wetu Qahari, msimamizi Manani, anotuepusha shari, niliseme hadharani, hili jambo sio siri, nyumba iso darasani, ndanimo hakuna kheri. 2- Kheri ya nyumba elimu, ndio nuru na mwangaza, jambo hilo la muhimu, kinyume chake ni kiza, mke, mume kwa mwalimu, kusoma kujihimiza, sivyo kizazi cha simu, kitaja waangamiza. 3- Baba anajua Nuni, amfundishe mkewe, japo Qaida kanuni, ahitaji asomewe, hilo lisiwarubuni, wakajivuna wenyewe, Wende kusoma Mutuni, na faida wamegewe. 4-Hakuna anoridhia, kupewa jina mjinga, shida aloshikilia, kumbe cha moto kijinga, salama ya familia, na shetani kumpinga, darasa kuhudhuria, mke na mume kutinga. 5- Madhara mengi makosa, hata heri kupungua, awali mume kuposa, njia angeipasua, ukiuliza dodosa, hataki shika hatua. Kuacha elimu kosa, kuishi bila kujua. 6- Heri baraka hakuna, haziletwi na Tivii, wala karata kupuna, na miziki tii tii, heri wakishiba nguna, kuzigeuza bidii, Kwenda elimu kuvuna, ndio nuru ya jamii. 7- Mke akijitambua, ndio kheri zinazidi, maua yatachanua, ya harufu ya waridi, atakuombea dua, ukienda na kurudi, Wala hatokusumbua, maswala ya 'Taadudi' 8- Inaongoza peponi, Faida elimu njia, zidisha juu uoni, kuifahamu sheria, nuru mng'aro usoni, kwa elimu kupupia, Niweke koma mwishoni, muhimu kuzingatia. ______ Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan- DSM, Tanzania
1183Loading...
23
Document from Abuu Maysarah' Saalim #99
950Loading...
24
" بعض الناس والعياذ بالله إذا اشتهى شيئا يكف الناس عنه قال: قال العالم فلان هذا حرام هو يكذب لكن يعرف أن الناس إذا نسب العلم إلى فلان قبلوه فيكذب وهذا أشد من الكذب على عامة الناس .. "Baadhi ya watu -Allah atukinge- pindi anapotamani kitu kuwazuilia watu kutokana na hicho anasema " Amesema mwanachuoni fulani hili ni haramu" na hali ya kuwa anaongopa lakini anajua ya kuwa watu wanaponasibishiwa -wanapoegemezewa - elimu kwa -shekh- fulani wanaikubali, Basi anaongopa na hilo ni hatari zaidi kuliko kuwaongopea watu wa kawaida...." " فالحاصل أن من كذب على الرسول صلى الله عليه وسلم متعمدا فليتبوأ مقعده من النار ومن نقل عمدا حديثا كذبا يعلم أنه كذب فهو أحد الكذابين يعني فليتبوأ مقعده من النار .. "Yote kwa yote hakika atakayeongopa juu ya mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake hali ya kuwa amekusudia basi aandae makalio yake -makazi yake- katika moto na atakayenukuu huku amekusudia kuzungumza uongo anajua kuwa huo ni uongo basi huo ni mmoja miongoni mwa waongo yani ajiandalie makazi yake katika moto...." " وما أكثر من ينشر من النشرات التي بها الترغيب أو الترهيب وهي مكذوبة على الرسول صلى الله عليه وسلم لكن بعض المجتهدين الجهال ينشرون هذه النشرات ويوزعونها بكمية كبيرة يقولون: نعظ الناس بهذا كيف تعظونهم بشيء كذب ولهذا يجب الحذر من هذه المنشورات التي تنشر في المساجد أو تعلق على الأبواب أبواب المساجد أو غير ذلك يجب الحذر منها وربما يكون فيها أشياء مكذوبة فيكون الذي ينشرها قد تبوأ مقعده من النار إذا علم أنها كذب .. "Na wingi ulioje wa wale ambao wanatawanya vipeperushi vile ambayo ndani yake kuna kupendezesha na kuogopesha na hali ya huwa ni uongo juu ya mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake. Lakini baadhi ya wenye kujitahidi ambao ni wajinga -wanapupa yakutawanye kheri lakini hawana elimu- wanatawanya hivyo vipeperushi na wanaziuza kwa thamani kubwa na wanasema "Tunawapa watu mawaidha kupitia hizi"! Vipi mnawapa mawaidha kwa kitu cha uongo?! na kwa ajili hiyo inapasa kutahadhari kutokana na hivi vinavyotawanywa ambavyo vinatawanywa misikitini, au vinatundikwa milangoni, milango ya misikiti au pasipokuwa hapo. Inapasa kutahadhari kutokana na hivyo na huenda kunakuwa ndani yake na mambo ya uongo basi anakuwa yule ambaye ametawanya naye ameandaa makalio yake katika moto pindi anapojua kuwa huo ni uongo."... " وقال في حديث عبد الله بن عمرو: حدثوا عن بني إسرائيل ولا حرج بنو إسرائيل اليهود والنصارى إذا قالوا قولا فحدث عنهم ولا حرج عليك بشرط أن لا تعلم أنه مخالف للشريعة لأن بني إسرائيل عندهم كذب يحرفون الكلم عن مواضعه ويكذبون فإذا أخبروك بخير فلا بأس أن تحدث به بشرط أن لا يكون مخالفا لما جاء في شريعة الرسول صلى الله عليه وسلم فإن كان مخالفا له فإنه لا يجوز أن يحدث إلا إذا حدث به ليبين أنه باطل فلا حرج والله أعلم .. "Na akasema -Mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake- katika hadithi ya Abdillah bin Amri; "Hadithianeni kutoka kwa Banii Israaiil na wala hakuna tatizo". Banii Israaiil ni Mayahudi na Manaswara pindi watakaposema neno basi simulianeni kutoka kwao na wala hakuna tatizo juu yako kwa sharti usijue kuwa hilo tamko linaenda kinyume na sheria. Kwa sababu Banuu Israail wao wana uongo wanageuza neno kutoka katika mahala pake, na wanaongopa basi pindi watakapokupa habari yoyote hakuna shida kuihadithia habari hiyo kwa sharti isiwe habari hiyo inaenda kinyume na yale ambayo yamekuja katika sheria ya mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake. Na ikiwa linaenda kinyume kwa hakika haitojuzu kusimuliana isipokuwa itakaposimuliwa kwa ajili yakubainishwa kuwa hiyo ni batili basi hapo hakutakuwa na tatizo na Allah ndio mjuzi zaidi". " منتقى من شرح رياض الصالحين للعلامة العثيمين ص (٤٣١ ج ٥) Imetafsiriwa na Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan. Ijumaa 23 Dhul-Qaadah 1445H, 31-05-2024M. Masjid Nnuur, DSM, Tanzania.
1651Loading...
25
TAFSIRI MAELEZO NA FAIDA KATIKA HADITHI YA MTUME SALA NA SALAMU ZA ALLAH ZIWE JUU YAKE:- وعن عبدِاللَّه بن عمرو بن العاص، رضي اللَّه عنْهُما، أنَّ النَّبيَّ ﷺ قَالَ :- Kutoka kwa Abdillah bin Amri bin Al-Aasw Allah awaridhie hakika mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake amesema:- " بلِّغُوا عَنِّي ولَوْ آيَةً، وحَدِّثُوا عنْ بَنِي إسْرَائيل وَلا حَرجَ، ومنْ كَذَب علَيَّ مُتَعمِّدًا فَلْيتبَوَّأْ مَقْعَدهُ مِنَ النَّار .. "Fikisheni kutoka kwangu mimi walau aya moja, na simulianeni kutoka kwa Banii Israaiil wala hakuna tatizo, na yeyote atakayeniongopea juu yangu hali ya kuwa amekusudia basi aandae sehemu yakukalia katika moto- wa Jahannam". " صحيح البخاري (١٢٧٥/٣) Ameipokea Imaam Bukhaariy. قال الشيخ العلامة محمد بن صالح العثيمين رحمه الله تعالى :- Amesema Shekh Muhammad bin Swaaleh Al-uthaymiin - Allah amrehemu:- " بلغوا عني ، يعني بلغوا الناس بما أقول وبما أفعل وبجميع سنته عليه الصلاة والسلام بلغوا عني ولو آية من كتاب الله ولو هنا للتقليل يعني لا يقول الإنسان أنا لا أبلغ إلا إذا كنت عالما كبيرا لا إنما يبلغ الإنسان ولو آية بشرط أن يكون قد علمها وأنها من كلام الرسول صلى الله عليه وسلم.. "Fikisheni kutoka kwang" yani wafikishieni watu katika yale nnayoyasema na katika yale nnayoyafanya na katika jumla ya sunna zake -myenendo yake- sala na salamu za Allag ziwe juu yake. Fikisheni kutoka kwangu -kwa ajili yangu- walau aya moja kutoka katika kitabu cha Allah na tamko 'lau' hapa ni kwa kudogosha -kwa uchache, yani mtu asiseme mimi sifikishi isipokuwa ntakapokuwa mwanachuoni mkubwa! hapana, kwa hakika atafikisha mwanaadamu walau aya moja kwa sharti ya kuwa ameijua -ana elimu nayo- na kuwa hiyo ni katika maneno ya mtume sala n salamu na Allah ziwe juu yake..... "  ولهذا قال في آخر الحديث:  ومن كذب علي متعمدا فليتبوأ مقعده من النار .. "Na kwa ajili hiyo ndio akasema mwisho wa hadithi; "Na yeyote atakayeniongopea hali ya kuwa amekusudia basi na aandae makalio yake katika moto". " من كذب على الرسول ﷺ متعمدا يعلم أنه كاذب فليتبوأ مقعده من النار هنا اللام للأمر لكن المراد بالأمر هنا الخبر يعني فقد تبوأ مقعده من النار والعياذ بالله أي فقد استحق أن يكون من ساكني النار لأن الكذب على الرسول ﷺ ليس كالكذب على واحد من الناس الكذب على الرسول ﷺ كذب على الله عز وجل ثم هو كذب على الشريعة لأن ما يخبر به الرسول صلى الله عليه وسلم من الوحي هو من شريعة الله.. "Atakayeongopa juu ya mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake na akajua kuwa huo ni uongo basi aandae makalio yake katika moto. 'Laam' hapa ni kwa kwa amri -kuamrisha- lakini makusudio yake hapa katika amri ni habari -kutoa habari, yani atakuwa ameandaa makalio yake katika moto na Allah atukinge. Yani kwa hakika atakuwa amestahiki kuwa katika watakaokaa katika moto kwa sababu kuongopa juu ya mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake sio kama uongo wa kumuongopea mwingine yeyote katika watu. Kumuongopea mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake ni kumuongopea Allah mwenye nguvu na utukufu, kisha huo ni uongo wa kuiongopea sheria -ya uisilamu- kwa sababu yale anayoyatolea habari mtume sala na salamu za Alla ziwe juu yake ni katika wahyi -ufunuo- nao ni katika sheria ya Allah.... " وكذلك يقال: الكذب على العالم ليس كالكذب على عامة الناس يعني مثلا تقول : قال فلان كذا وكذا ، قال هذا حرام هذا حلال هذا واجب هذا سنة وأنت تكذب هذا أيضا أشد من الكذب على عامة الناس لأن العلماء ورثة الأنبياء يبلغون شريعة الله إرثا لرسول الله صلى الله عليه وسلم فإذا كذبت عليهم وقلت قال العالم فلان كذا وكذا وأنت تكذب فهذا إثمه عظيم نسأل الله العافية .. "Na hivyo hivyo panasemwa; kumuongopea mwanachuoni sio kama kumuongopea mtu wa kawaida. Yani mfano unasema "Amesema -Shekh- fulani hivi na hivi amesema hili ni halali hili ni haramu hili ni wajibu, hili ni sunna," na hali ya kuwa unaongopa hilo vilevile ni hatari zaidi kuliko kuongopa juu ya mtu wakawaida, Kwa sababu wanachuoni ni warithi wamanabii, wanafikisha sheria ya Allah hali ya kurithi kutoka kwa mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake basi pindi utakapoongopa juu yao na ukasema amesema mwanachuoni fulani hivi na hivi na hali ya kuwa wewe unaongopa jambo hilo dhambi yake ni kubwa zaidi. Tunamuomba Allah afya..."
1291Loading...
26
🎞️NIKIWAZA UMAUTI AMANI INATOWEKA.🎞️ (Maandishi ya shairi kwa njia ya video) https://t.me/duruuszakiswahiliTZ ⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️
1280Loading...
27
Media files
1300Loading...
28
SHAIRI:- 💥MAISHA NI MAPAMBANO. MSOMAJI:- 🎙ABUU MUFTIZUBEIR' SOUTH AFRICA. MUANDISHI:- ✍ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN - DSM, TANZANIA.
1281Loading...
29
💥KATIKA MFANO WA MUME KUONDOSHA UOVU NDANI YA NYUMBA YAKE. 🌿KUACHA KITU KWA AJILI YA ALLAH NI SABABU YA KUPATA BADALA ILIYOKUWA BORA ZAIDI. 🎙️Ustaadh Abuu Usaamah' Khamiys bin Ame- Allah amhifadhi. https://t.me/duruusabiyUsaamahAmeTZ ⬇️⬇️⬇️ 03:58⬇️⬇️⬇️
1470Loading...
30
📮" وعن عبدِاللَّه بن عمرو بن العاص، رضي اللَّه عنْهُما، أنَّ النَّبيَّ ﷺ قَالَ :- 👈 " بلِّغُوا عَنِّي ولَوْ آيَةً، وحَدِّثُوا عنْ بَنِي إسْرَائيل وَلا حَرجَ، ومنْ كَذَب علَيَّ مُتَعمِّدًا فَلْيتبَوَّأْ مَقْعَدهُ مِنَ النَّار .. 📚 " صحيح البخاري (١٢٧٥/٣) 📮" قال الشيخ العلامة محمد بن صالح العثيمين رحمه الله تعالى :- 👈 " بلغوا عني ، يعني بلغوا الناس بما أقول وبما أفعل وبجميع سنته عليه الصلاة والسلام بلغوا عني ولو آية من كتاب الله ولو هنا للتقليل يعني لا يقول الإنسان أنا لا أبلغ إلا إذا كنت عالما كبيرا لا إنما يبلغ الإنسان ولو آية بشرط أن يكون قد علمها وأنها من كلام الرسول صلى الله عليه وسلم.. ⬅️ "  ولهذا قال في آخر الحديث:  ومن كذب علي متعمدا فليتبوأ مقعده من النار .. ↩️ " من كذب على الرسول ﷺ متعمدا يعلم أنه كاذب فليتبوأ مقعده من النار هنا اللام للأمر لكن المراد بالأمر هنا الخبر يعني فقد تبوأ مقعده من النار والعياذ بالله أي فقد استحق أن يكون من ساكني النار لأن الكذب على الرسول ﷺ ليس كالكذب على واحد من الناس الكذب على الرسول ﷺ كذب على الله عز وجل ثم هو كذب على الشريعة لأن ما يخبر به الرسول صلى الله عليه وسلم من الوحي هو من شريعة الله.. ↩️ " وكذلك يقال: الكذب على العالم ليس كالكذب على عامة الناس يعني مثلا تقول : قال فلان كذا وكذا ، قال هذا حرام هذا حلال هذا واجب هذا سنة وأنت تكذب هذا أيضا أشد من الكذب على عامة الناس لأن العلماء ورثة الأنبياء يبلغون شريعة الله إرثا لرسول الله صلى الله عليه وسلم فإذا كذبت عليهم وقلت قال العالم فلان كذا وكذا وأنت تكذب فهذا إثمه عظيم نسأل الله العافية .. ↩️ " بعض الناس والعياذ بالله إذا اشتهى شيئا يكف الناس عنه قال: قال العالم فلان هذا حرام هو يكذب لكن يعرف أن الناس إذا نسب العلم إلى فلان قبلوه فيكذب وهذا أشد من الكذب على عامة الناس .. 👈 " فالحاصل أن من كذب على الرسول صلى الله عليه وسلم متعمدا فليتبوأ مقعده من النار ومن نقل عمدا حديثا كذبا يعلم أنه كذب فهو أحد الكذابين يعني فليتبوأ مقعده من النار .. ↩️ " وما أكثر من ينشر من النشرات التي بها الترغيب أو الترهيب وهي مكذوبة على الرسول صلى الله عليه وسلم لكن بعض المجتهدين الجهال ينشرون هذه النشرات ويوزعونها بكمية كبيرة يقولون: نعظ الناس بهذا كيف تعظونهم بشيء كذب ولهذا يجب الحذر من هذه المنشورات التي تنشر في المساجد أو تعلق على الأبواب أبواب المساجد أو غير ذلك يجب الحذر منها وربما يكون فيها أشياء مكذوبة فيكون الذي ينشرها قد تبوأ مقعده من النار إذا علم أنها كذب .. ↩️ " وقال في حديث عبد الله بن عمرو: حدثوا عن بني إسرائيل ولا حرج بنو إسرائيل اليهود والنصارى إذا قالوا قولا فحدث عنهم ولا حرج عليك بشرط أن لا تعلم أنه مخالف للشريعة لأن بني إسرائيل عندهم كذب يحرفون الكلم عن مواضعه ويكذبون فإذا أخبروك بخير فلا بأس أن تحدث به بشرط أن لا يكون مخالفا لما جاء في شريعة الرسول صلى الله عليه وسلم فإن كان مخالفا له فإنه لا يجوز أن يحدث إلا إذا حدث به ليبين أنه باطل فلا حرج والله أعلم .. 📚 " منتقى من شرح رياض الصالحين للعلامة العثيمين ص (٤٣١ ج ٥) ___________ ____
1670Loading...
31
*⚠️WANAWAKE WAZINGATIE KATIKA MAISHA YA NDOA WANAYOISHI NA WAUME ZAO.* *🎙️Ustaadh Abuu Usaamah' Khamiys bin Ame- Allah amhifadhi*
1630Loading...
32
#مسائل_مختصرة_في_أحكام_الأضحية ▪مسألة(١٢) : شراء الأضحية ديناً. FAIDA:- INAJUZU KUKOPA MNYAMA KWA AJILI YA KUCHINJA KATIKA EID YA KUCHINJA NA KWENYE MADENI ATATANGULIZA KULIPA DENI KABLA YA KUNUNUA / KUKOPA KICHINJWA HIKO ▪يجوز شراء الأضحية ديناً لمن كان قادراً على السداد ، واستحب هذا بعض أهل العلم . ▪️Inajuzu kununua kichinjwa -cha Idi-  kwa deni kwa yule ambaye anaweza kulipa deni hilo, na wamelipendezesha hilo baadhi ya wanachuoni. - قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله كما في مجموع الفتاوى(٣٠٥/٢٦) : ( إن كان له وفاء فاستدان ما يضحي به فحسن ، ولا يجب عليه أن يفعل ذلك )اهـ Amesema Shekh Islaam Ibn Taymiyyah- Allah amrehemu. (Majmuul Fataawa Juzuu ya 26 Uk, 305) "Ikiwa anaweza kulipa deni basi kukopa kile ambacho atakichinja ni jambo lenye kupendeza." - وسئل العلّامة ابن باز رحمه الله عن حكم الاستدانة لشراء الأضحية فأجاب كما في برنامج نور على الدرب : ( نعم يستحب له ، يستقرض ويستدين ويضحي ، إذا كان خلفه ما يوفي منه.. الأضحية سنة ولو بالاستدانة ، إذا كان عنده ما يقضي ويوفي منه)اهـ - Na aliulizwa Mwanachuoni Ibn Baaz- Allah amrehemu kuhusu hukmu ya kukopa deni kwa ajili ya kununua kichinjwa akajibu:- "Naam, inapendeza kwake yeye akakopa na akachinja ikiwa nyuma yake atakuwa nacho kile ambacho atalipa deni hilo -atakuwa na uwezo wakulilipa- kuchinja ni sunna walau kwa kukopa, ikiwa atakuwa nacho kile ambacho kitatosha na atatekeleza deni hilo -ikiwa atakuwa na uwezo wakulilipa". وقال رحمه الله كما في مجموع الفتاوى(٣٧/١) : (ولا حرج أن يستدين المسلم ليضحي إذا كان عنده القدرة على الوفاء)اهـ Na akasema Allah amrehemu; "Na wala hakuna tatizo kwa muisilamu kukopa deni ili achinje ikiwa atakuwa na uwezo wakulilipa deni hilo." - وأما إن تزاحم عليه الدين مع شراء الأضحية ؛ فإنه يقدم سداد دينه ؛ لأنه أبرأ لذمته ، ولأن الأضحية سنة وليست واجبة على الراجح والله أعلم . -Na ama ikiwa juu yake yatakuwa yamefuatana madeni -ana madeni anadaiwa- pamoja na kutaka kununua kichinjwa cha Eid yakuchinja, kwa hali hiyo atatanguliza kulipa deni lake kwa sababu huko nikujiweka mbali -kujitakasa- na dhimma yake -madeni aliyokuwa nayo. Na kwa sababu kuchinja ni sunna na wala sio wajibu kwa kauli sahihi yenye nguvu. - Na kulipa deni ni wajibu lazima wala sio hiari." أم حفص بنت الحمزي Imeandikwa na Ummu Hafsw' Yemen. Imetafsiriwa na Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan- DSM, Tanzania.
1771Loading...
33
#مسائل_مختصرة_في_أحكام_الأضحية ▪مسألة(١٢) : شراء الأضحية ديناً. FAIDA:- INAJUZU KUKOPA MNYAMA KWA AJILI YA KUCHINJA KATIKA EID YA KUCHINJA NA KWENYE MADENI ATATANGULIZA KULIPA DENI KABLA YA KUNUNUA / KUKOPA KICHINJWA HIKO ▪يجوز شراء الأضحية ديناً لمن كان قادراً على السداد ، واستحب هذا بعض أهل العلم . ▪️Inajuzu kununua kichinjwa -cha Idi- kwa deni kwa yule ambaye anaweza kulipa deni hilo, na wamelipendezesha hilo baadhi ya wanachuoni. - قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله كما في مجموع الفتاوى(٣٠٥/٢٦) : ( إن كان له وفاء فاستدان ما يضحي به فحسن ، ولا يجب عليه أن يفعل ذلك )اهـ Amesema Shekh Islaam Ibn Taymiyyah- Allah amrehemu. (Majmuul Fataawa Juzuu ya 26 Uk, 305) "Ikiwa anaweza kulipa deni basi kukopa kile ambacho atakichinja ni jambo lenye kupendeza." - وسئل العلّامة ابن باز رحمه الله عن حكم الاستدانة لشراء الأضحية فأجاب كما في برنامج نور على الدرب : ( نعم يستحب له ، يستقرض ويستدين ويضحي ، إذا كان خلفه ما يوفي منه.. الأضحية سنة ولو بالاستدانة ، إذا كان عنده ما يقضي ويوفي منه)اهـ - Na aliulizwa Mwanachuoni Ibn Baaz- Allah amrehemu kuhusu hukmu ya kukopa deni kwa ajili ya وقال رحمه الله كما في مجموع الفتاوى(٣٧/١) : (ولا حرج أن يستدين المسلم ليضحي إذا كان عنده القدرة على الوفاء)اهـ - وأما إن تزاحم عليه الدين مع شراء الأضحية ؛ فإنه يقدم سداد دينه ؛ لأنه أبرأ لذمته ، ولأن الأضحية سنة وليست واجبة على الراجح والله أعلم . أم حفص بنت الحمزي
10Loading...
34
▪️إذا رأيت الله أنعم على غيرك؛ فقل : اللهم إني أسألك من فضلك! العلَّامة/ محمد بن صالح العثيمين رحمه الله.
1520Loading...
35
KATIKA MADHARA YA UJINGA NI KUKOSEA AU KUBATILIKA KABISA KATIKA IBADA WAKATI WA UTEKELEZAJI WAKE. قال الإمام ابن الجوزي رحمه الله تعالى :- Amesema Imaam Ibn Aljawziy- Allah amrehemu:- " سمع بعض المغفلين أن صوم يوم عاشوراء يعدل صوم سنة، فصام إلى الظهر وأكل، وقال: يكفيني ستة أشهر .. "Alisikia baadhi ya walioghafilika ya kuwa funga ya siku ya Aashuraa inalingana na funga ya mwaka mzima, Basi akafunga mpaka adhuhuri akala na akasema "Inanitosha miezi sita". ! أخبار الحمقى والمغفلين (١٧٨/١) Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan
1710Loading...
36
✍BAADHI YA MAKOSA YA WANAWAKE KATIKA MAISHA YA NDOA. Kuna aina ya wanawake -Allah awaongoze- hawana desturi za kujitolea kumpikia mumewe chakula kizuri mpaka pale ambapo watakuja wageni na hali ya kuwa uwezo wakufanya hivyo ulikuwepo! Na kuna wengine akiwa na mume anaishi katika mazingira ya hovyo na vurugu vitu vimekaa mahala si pake na wala haoni haja yakulirekebisha hilo, lakini anaposikia hodi ya jirani au mgeni ndio muda huo ataanza kuseti na kudai anafanya usafi muda huo! Na wengine wakiwa na waume zao wanavaa na kukaa hovyohovyo na hata kuthubutu kuvaa nguo chafu lakini ikimbidi kutoka kwenda kusalimia wazazi au watu baki ndipo anapofungua begi na kuchagua nguo nzuri zakwendea huko kinyume na nguo anazoshindanazo kwa mumewe.! Hayo ni baadhi ya maisha mabaya kinyume na anavyotakiwa kuishi mke wa kiisilamu zidisha mtu wa sunna -Salafiyya- pamoja na mume wake inampasa mke kufahamu katika dunia baada ya amri ya Allah na mtume wake sala na salamu za Allah ziwe juu yake inafuata amri ya mume kwa mke wake, na amri ya mume inakuwa juu ya amri ya wazazi wawili wa mke huyo. hivyo kumuheshimu mume na kumjali ndio kuiheshimu ndoa na si hivyo tu bali ndio sehemu ya kumtii Allah na mtume wake sala na salamu za Allah ziwe juu yake. na hiyo ndio maana ya maneno ya Mtume wetu Muhammad sala na salamu za Allah ziwe juu yake:- الدنيا متاع وخير متاع الدنيا المرأة الصالحة "Dunia ni starehe na miongoni mwa starehe bora ya dunia ni MKE MWEMA" Allah akuzidishieni khayr. Abuu Maysarah' Saalim
2772Loading...
37
UTAMJUA MTU KUPITIA RAFIKI YAKE. قال الشيخ عدنان المصقري حفظه الله : Amesema Shekh Adnaan Almaswqariy- Allah amhifadhi:- "قال النبي صلى الله عليه وسلم : "المرء على دين خليله" تريد ان تعرف انت على دين من? انظر من خليله. من حبيبك? من صاحبك? انت على دين هذا الخليل. ]| "Amesema mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake "Mtu yupo katika dini ya rafiki yake kipenzi" unataka kujua wewe upo katika dini ya nani? tizama tu ni nani rafiki yake, ni nani kipenzi chako? na nani swahiba wako? basi wewe upo katika dini ya huyo rafiki". 📓|( شرح قول الله تعالى ولا تعد عيناك عنهم. )
1880Loading...
38
عن عائشة أم المؤمنين رضي الله عنها  ، قَالَتْ : قَالَ رَسُول الله ﷺ  : (( الرَّحِمُ مُعَلَّقَةٌ بِالعَرْشِ تَقُولُ : مَنْ وَصَلَنِي ، وَصَلَهُ الله ، وَمَنْ قَطَعَنِي ، قَطَعَهُ اللهُ )) مُتَّفَقٌ عَلَيهِ .
1970Loading...
39
Media files
2030Loading...
40
الكتاب: [718] °•°•°•°•°•°•°•°•°•°•°•°• 📚 إسم الكتاب: «الدرة في صفة الحج والعمرة» 🗂 القسم: #الفقه #مواسم ✍🏻 المؤلف: #الشيخ_عبدالله_الأرياني 📕 الطبعة: [الثانية - دار الحديث بدماج] 🌿 ملاحظة: #طبعة_أخرى ملونة ⓣ @ktb_dmag
2130Loading...
Hii Tafsiri ya pili ina masahihisho kinyume na hiyo ya awali ambayo ni ya mwaka jana.
Show all...
بسم الله الرحمن الرحيم MASIKU 10 YA MWANZO YA DHUL-HIJJA " قال الإمام محمد بن صالح العثيمين رحمه الله تعالى :- Amesema Imaam Muhammad bin Swaaleh Al-uthaymiin- Allah amrehemu:- " الناس في غفلة عن عشر ذي الحجة فعلى طلبة العلم أن يُبيِّنوا فضلها للعامة فالعامة يحبون الخير ولكن قد غفل طلبة العلم عن تنبيههم .. "Watu wapo katika kughafilika kutokana na masiku kumi ya mwanzo ya dhulhijja. Basi ni juu ya wanafunzi kubainisha fadhila zake  kwa watu wa kawaida kwani watu wa kawaida wanazipenda kheri lakini wenye kutafuta elimu wameghafilika kutokana na kuwazindua wao -kutokana na kheri hizo". " مجموع فتاوى (١٨٩/٢٥) https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99 Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan
Show all...
Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan

Tujifunze elimu sahihi kutoka katika Qur-aan na Sunna kwa ufahamu wa wema waliotangulia.

بسم الله الرحمن الرحيم MASIKU 10 YA MWANZO YA DHUL-HIJJA " قال الإمام محمد بن صالح العثيمين رحمه الله تعالى :- Amesema Imaam Muhammad bin Swaaleh Al-uthaymiin- Allah amrehemu:- " الناس في غفلة عن عشر ذي الحجة فعلى طلبة العلم أن يُبيِّنوا فضلها للعامة فالعامة يحبون الخير ولكن قد غفل طلبة العلم عن تنبيههم .. "Watu wapo katika kughafilika kutokana na masiku kumi ya mwanzo ya dhulhijja basi ni juu ya wanafunzi kubainisha fadhila zake kwa watu wote kwani wengi wanazipenda kheri lakini wameghafilika wenye kutafuta elimu kutokana na kuwazindua wao -kutokana na kheri hizo". " مجموع فتاوى (١٨٩/٢٥) https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99 Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan
Show all...
Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan

Tujifunze elimu sahihi kutoka katika Qur-aan na Sunna kwa ufahamu wa wema waliotangulia.

Photo unavailableShow in Telegram
*Amesema Shekh Muhammad Al-Uthaymiin - Allah amrehemu.* *"Utoaji wa sadaka ndani ya masiku kumi ya mwanzo wa Dhulhijja yanapendeza zaidi kwa Allah kuliko sadaka inayotolewa katika masiku kumi ya mwisho ya mwezi wa Ramadhani"* اللقاء الشهري (١٠) Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan.
Show all...
✍Katika Khutba ya Ijumaa ya jana nilinukuu hadith hii ya Abii Hurayra - Allah amridhie ما أهل مهل قط إلا بشر -  na nikasema kutoka kwa Abii bakrata... na ameipokea Imaam Twabaraaniy. na sahihi ni hadithi ya Abii Hurayra ameipokea Imaam Twabaraaniy na sio kama nilivyonukuu katika khutba ya jana. Allah akuzidishieni khayr. Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan
Show all...
بسم الله الرحمن الرحيم BISHARA NJEMA KWA ATAKAYEKITHIRISHA TAKBIRA NDANI YA MASIKU 10 YA MWANZO YA DHULHIJJA. ➢ عن أبي هريرة  -رَضِيَ اللهُ عنَہُ- عن النبي ﷺ قال: «ما أَهَلَّ مُهِلٌّ قَطُّ، ولا كبَّرَ مُكَبِّرٌ قَطُّ، إلَّا بُشِّرَ بالجنَّةِ». Kutoka kwa Abiy hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake amesema; (("Hajapatapo katu kusema mwenye kusema لَا إِلَهَ إِلَّا اللّٰه, na wala hajapatapo kusema Takbira katu "الله أكبر" mwenye kuleta takbira isipokuwa anabashiriwa pepo")) حسنه الألباني في صحيح الجامع: (٥٥٦٩). قال الصنعاني -رَحِمَہُ اللهُ تَعَالَــﮯٰ-: Amesema Imaam Swan-aañiy Allah amrehemu:- «ما أَهَلَّ مُهِلٌّ قَطُّ، ولا كبَّرَ مُكَبِّرٌ قَطُّ» يحتمل: في الحج ويحتمل مطلقًا «إلَّا بُشِّرَ بالجنَّةِ» أي: بشرته الملائكة يوم القيامة بأن له الجنة بإهلاله أو بتكبيره، وبشره الرسول ﷺ بهذا الخبر، أي: إلا كان مبشرًا بهذا الخبر. (Hajapatapo katu kusema 'لا إلا إلا الله' mwenye kusema لا إلا إلا الله' wala kusema الله أكبر mwenye kusema الله أكبر) Panazingatiwa -panabebewa- katika hija na panazingatiwa moja kwa moja -kila sehemu kwa yoyote-. (Isipokuwa atabashiriwa pepo) yani watampa bishara malaika siku ya kiama kwa kuwa yeye ana pepo kwa 'Ihlaali' zake na 'Takbira' zake.... [التنوير شرح الجامع الصغير: (٣٦٤/٩)]. https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ
Show all...
VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

HAPA UTAJIPATIA VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU, KUTOKA KATIKA MANENO YA WANACHUONI WA KISALAFI NA MFANO WAKE AMBAZO ZIMETAFSIRIWA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI. • ═JIUNGE NASI-JIFUNZE-TAWANYA KWA WENGINE ═•

بسم الله الرحمن الرحيم            🍂  🍃  🍂     ---------------- 📮🛡 إجــــــابـــــة الشـيخ المفضال الباحث المفيد أبـي حاتم يوسف بن العيد الجزائري حفظـه الله تعـالى على بعض الأسئلة 🛡 ~~~~ 📥 السؤال: امرأة عليها صيام من رمضان وترغب في صيام العشر من ذي الحجة فهل يلزمها أن تكمل مابقي من رمضان أم تصوم العشر وتقضي فيما بعد؟ 📤 الجواب: على المرء أن يبادر بصوم ما عليه من قضاء رمضان قبل أن تأتي الأيام التسع الأولى من ذي الحجة مادام قادرا على الصيام؛ فقد قال تعالى (وعجلت إليك رب لترضى)، وقال: (فاستبقوا الخيرات)، وقال: (وسارعوا إلى مغفرة من ربكم). ثم إذا قدمت هذه الأيام الفاضلة صامها وكان في فسحة من أمره. ولا يكون في غفلة عن القضاء ويسوّف و ينتظر مجيء هذه الأيام الفاضلة ثم  يطرح على نفسه هذا السؤال ويجعلها في موطن ترجيح بين هذا وهذا! فإنْ قُدّر أنه كان لايستطيع قضاء ما عليه من رمضان لعذر أو لآخر، حتى ضاق عليه الوقت وحضرت هذه الأيام وهو مستطيع للصيام؛ فعليه أن يبادر بصيام الواجب الذي عليه من القضاء وإن كان في هذه الأيام؛ لما في الصحيح من حديث أبي هُريرة أن النبي-صلى الله عليه وآله وسلم- قال: (وما تقرب إليّ عبدي بشيء أحب إليّ مما افترضته عليه) ويُرجى له أن ينال بذلك الفضل الذي في الحديث الوارد في العمل الصالح في هذه الأيام. فإن قضاء صوم رمضان من العمل الصالح. وقد ثبت عن عمر -رضي الله عنه- عند ابن أبي شيبة في "مصنفه"، ومسدد في "مسنده"-كما في "المطالب العالية"- والبيهقي في "سننه" -وغيرهم- من طرق عن الأسود بن قيس عن أبيه عن عمر أنه كان يستحب قضاء رمضان فى عشر ذي الحجة وقال: وما من أيام أقضي فيها رمضان أحب إليّ منها. اهـ فلا حرج عليكَ في صيام ما عليك من قضاء رمضان في تلك الأيام، بل يرجى أن يكون ثوابك أعظم لإيقاع الصوم في هذه الأيام الفاضلة.  وقد وقع خلاف بين السلف في كراهة صوم القضاء في هذه الأيام كما ذكر ابن رجب -رحمه الله- في "لطائف المعارف"، وغيره. لكن الراجح ما ذكرناه، والله أعلم. ___ _________ 📎رابط قناة شيخنا الفاضل أبي حاتم يوسف الجزائري-حفظه الله-: https://t.me/youssefalgazairi 📎رابط  مجتمع شيخنا الفاضل أبي حاتم يوسف الجزائري حفظه الله على الواتساب: https://chat.whatsapp.com/IMoI4MRuFBDCJHrhiVcr8U 📎رابط قناة الشيخ أبي حاتم يوسف الجزائري على التيليجرام باللغة الإنجليزية: https://t.me/AbuHaatimEn 📎 رابط قناة دروس 🌾مركز الخير🌾 بموانزا القائم عليه الشيخ أبو حاتم الجزائري-وفقه الله- مترجمة إلى السواحلية: https://t.me/abuhatemelkheir 📎 رابط مجموعة دروس 🌾مركز الخير🌾 بموانزا القائم عليه الشيخ أبو حاتم الجزائري -وفقه الله- مترجمة إلى السواحلية : https://chat.whatsapp.com/DTXZMlPiGsO7FpGlwlsMFF   
Show all...
قناة الشيخ أبي حاتم يوسف الجزائري

قناة تهتم بنشر فتاوى الشيخ وفوائده ودروسه وكتاباته

بسم الله الرحمن الرحيم 🌿KHUTBA YA IJUMAA- MASJID NNUUR KWA DIHUMU, DSM. 💥MASIKU BORA ZAIDI KATIKA DUNIA NI MASIKU KUMI YA MWANZO YA DHUL-HIJJAH NA KUTAJA BAADHI YA FADHILA ZAKE. 🎙Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan 🗒Ijumaa, 01 Dhul-Hijjah 1445 H, 07- 06-2024 M.
Show all...
Khutba_Ubora_wa_masiku_10_ya_mwanzo_ya_Dhulhijja_Masjid_Nnuur_Kwa.amr1.98 MB
sticker.webp0.30 KB
Khutba_Ubora_wa_masiku_10_ya_mwanzo_ya_Dhulhijja_Masjid_Nnuur_Kwa.amr1.98 MB