en
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Open in Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Show more
1 307
Subscribers
+124 hours
-27 days
-1330 days
Posts Archive
TAKRIBAN MAHUJAJI 14 WA HAJJ SAFARIKI DUNIA KWA JOTO KALI Takriban raia 14 wa Jordan wamefariki dunia wakati wa ibada ya Hijj
TAKRIBAN MAHUJAJI 14 WA HAJJ SAFARIKI DUNIA KWA JOTO KALI Takriban raia 14 wa Jordan wamefariki dunia wakati wa ibada ya Hijja nchini Saudi Arabia kutokana na joto kali, maafisa wamesema. Wizara ya mambo ya nje ya Jordan ilisema raia wake 14 wamefariki "baada ya kupigwa na jua sana kutokana na wimbi la joto kali" na wengine 17 wameripotiwa kupotea. Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, Shirika la Red Crescent la Iran limethibitisha kuwa mahujaji watano wa Iran pia wamepoteza maisha, lakini haikueleza jinsi walivyofariki. Maafisa wa Jordan walisema msako unaendelea kuwatafuta waliotoweka. Katika taarifa yake wizara ya mambo ya nje ya Jordan ilisema kuwa inawasiliana na mamlaka ya Saudia kuhusu taratibu za kuzika au kusafirisha miili ya marehemu, kulingana na matakwa ya familia zao. Hajj ni moja ya mikusanyiko mikubwa ya watu duniani ambapo zaidi ya mahujaji milioni 1.8 wanashiriki hijja mwaka huu, kulingana na maafisa wa Saudi. Lakini ina historia ya majanga makubwa ikiwa ni pamoja na mikanyagano na moto wa mahema. Lakini kwa miaka mingi, changamoto kuu hutokana na joto kali. Halijoto wiki hii ilizidi 46C (114.8F) na kufanya tamaduni nyingi zinazofanywa nje na kwa miguu kuwa na changamoto hasa kwa wazee Source BBC Swahili

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+8
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Mwaka gani ulimpoteza mtu wa muhimu kwenye maisha yako 💔?
Mwaka gani ulimpoteza mtu wa muhimu kwenye maisha yako 💔?

Rais wa maana kabisa huyu♥️ Hakika wananchi wa Senegal wanafurahia mema ya nchi yao.✍️ Amefuta ushuru kwenye bidhaa zote muhi
Rais wa maana kabisa huyu♥️ Hakika wananchi wa Senegal wanafurahia mema ya nchi yao.✍️ Amefuta ushuru kwenye bidhaa zote muhimu kwa wananchi wake ili tuu waishi vzr.✍️ Afutia ushuru bidhaa zifuatazo: 👉Mchele 👉Mafuta ya kupikia 👉Sukari 👉Mahindi Na bidhaa nyingine nyingi ambazo zinakamilisha mahitaji ya mwananchi kwa siku nzima

Mwijaku atakiwa kulipa shilingi bilioni 5 kwa kumchafua Masoud Kipanya Wakili wa Masoud Kipanya mtangazaji maarufu ambaye pia
Mwijaku atakiwa kulipa shilingi bilioni 5 kwa kumchafua Masoud Kipanya Wakili wa Masoud Kipanya mtangazaji maarufu ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa kupitia vibonzo, Alloyce Komba kutoka kampuni ya Haki Kwanza Advocates amesema mteja wake ameathirika kwa kiasi kikubwa na kauli za Mwijaku juu yake mpaka kuna baadhi ya makampuni zimesitisha mikataba ya kufanya nae kazi "Masoud anaona aibu hata kutembea mbele ya watu, tuhuma za kujihusisha na biashara haramu zimemuathiri” Wakili huyo amemtaka Mwijaku kutoa ushahidi wa tuhuma hizo au kulipa faini ya shilingi bilioni 5 za Kitanzania Awali, hivi juzi kati baada ya Mwijaku kuhama kutoka Clouds FM kwenda Crown FM, Masoud Kipanya alitoa maoni yake kuhusu hilo, lakini Mwijaku alionekana kutopendezwa Mwijaku aliibuka kudai kwamba Masoud Kipanya anajihusisha na biashara haramu Jana, Mwijaku aliitisha mkutano na waandishi wa habari kumuomba msamaha Masoud lakini leo Masoud Kipanya nae ameitisha mkutano na waandishi

Umegundua nini hapa..😀
Umegundua nini hapa..😀

JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
+2
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+4
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+4
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Tunaishi nao tukidhani ni njiwa kumbe wapelelezi..
+1
Tunaishi nao tukidhani ni njiwa kumbe wapelelezi..

"Uhusika wangu wa Kichawi una changamoto nyingi sana nakutana nazo, mara kadhaa nakutana na watu wenye uchawi wao huwaga wana
"Uhusika wangu wa Kichawi una changamoto nyingi sana nakutana nazo, mara kadhaa nakutana na watu wenye uchawi wao huwaga wananipiga tu nakimbia wengine wananisaidia, niliwahi kupigwa pale Buguruni Malapa, nikapigwa Kariakoo pia nilipigwa Sabasaba, nilikuwa sina hili wala lile mama mmoja akatoka tu huko akanizabua kibao cha akili nilikisikilizia haswaaa kilikuwa kimeshiba" "Watu wakamuuliza kwanini umempiga? akasema anaingilia kazi isiyomhusu huyu Mama mchawi. Navumilia kwasababu ndio kazi yangu nitafanyaje? lakini nafsi yangu huwa inaumia sana"- Bi Mwenda, Mwigizaji Mkongwe wa filamu Tanzania. Toa maoni yako

"Mimi ndiye msanii wa kike tajiri namba moja Tanzania, kwa levo niliyofikia naweza kwenda kula China, kulala Afrika Kusini na
"Mimi ndiye msanii wa kike tajiri namba moja Tanzania, kwa levo niliyofikia naweza kwenda kula China, kulala Afrika Kusini na nikarudi kuogelea Zanzibar kwa siku moja"- Shilole, Msanii wa muziki Tanzania. Toa maoni yako

"Napenda sana kuwa na urafiki na watoto wa kiume kwasababu naamini ndio watu pekee ambao wanaweza wakakustiri na sio watoto w
"Napenda sana kuwa na urafiki na watoto wa kiume kwasababu naamini ndio watu pekee ambao wanaweza wakakustiri na sio watoto wa kike. Nilikuwa na rafiki yangu mmoja anaitwa Said, huyo ndie alikuwa rafiki yangu wa shida na raha lakini alipata matatizo akawa hayuko uraiani alikutwa na hatia anatumikia kifungo jela" "Sasa hivi kwakweli sina rafiki, mtu yeyote atakaejitokeza mbele yangu anakuwa mshikaji wangu pale inapobidi, lakini siwezi kusema kwamba ni rafiki yangu. Zamani nilikuwa na marafiki wa kike lakini ilifika muda nikagundua kwamba unakuwa na watu ambao hawako na wewe, uko na watu lakini hawafurahii kile unachokifanya, ili kuepusha matatizo zaidi nikaamua kujitoa, kwa sasa sina rafiki"- Aunty Ezekiel

"Kwa mzee Yusuph sitoki leo wala kesho, haniachi simuachi hatuachani mpaka kiamaaa"- Malkia Leyla Rashidi.
"Kwa mzee Yusuph sitoki leo wala kesho, haniachi simuachi hatuachani mpaka kiamaaa"- Malkia Leyla Rashidi.

⚠️😭 Mchekeshaji wa Kenya, Fred Omondi afariki dunia baada ya kupata ajali Fred ni mdogo wake Eric Omondi ambaye ni mchekesha
⚠️😭 Mchekeshaji wa Kenya, Fred Omondi afariki dunia baada ya kupata ajali Fred ni mdogo wake Eric Omondi ambaye ni mchekeshaji maarufu nchini humo

DAR ES SALAAM - Balozi wa zamani wa Tanzania katika nchi za Canada na Jamhuri ya Watu wa China na mhariri maarufu wa vyombo v
DAR ES SALAAM - Balozi wa zamani wa Tanzania katika nchi za Canada na Jamhuri ya Watu wa China na mhariri maarufu wa vyombo vya habari nchini, Ferdinand Kamuntu Ruhinda, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Ruhinda ambaye alipata kuwa Mhariri Mtendaji wa magazeti ya CCM ya Uhuru na Mzalendo, na yale ya Serikali ya Daily News, Sunday News na HabariLEO kwa nyakati tofauti, atazikwa Jumatatu, Juni 17, 2024 kwenye makaburi ya Kondo, Kunduchi, mjini Dar es Salaam. Ndugu Ruhinda ambaye pia alikuwa mwanzilishi wa magazeti ya Mwananchi na Redio Uhuru amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu akikakabiliwa na maradhi ya kisukari. Msiba uko nyumbani kwake, Masaki mjini Dar Es Salaam na taarifa zaidi kuhusu msiba huo itatolewa baadaye leo Jumamosi, Juni 15, 2024.

Ni Pastor Irene Uwoya mwanzilishi wa huduma ya Friends Of God Ministry Free Jesus Gospel
Ni Pastor Irene Uwoya mwanzilishi wa huduma ya Friends Of God Ministry Free Jesus Gospel

Jokate aonekana na ujauzito wa pili.
Jokate aonekana na ujauzito wa pili.

"Mimi ndio nitakuwa Mtunza hazina wa kanisa atakalo anzisha Irene Uwoya" gigy mo
"Mimi ndio nitakuwa Mtunza hazina wa kanisa atakalo anzisha Irene Uwoya" gigy mo