1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
1 307
"Watanzania wakiona mtu amepata mwanamke mwenye pesa utaambiwa umeolewa, Ben Pol aliambiwa kaolewa na mwanamke Mkenya na Dogo Janja nae aliambiwa ameolewa na Irene Uwoya, hawajui mtu ametoka nae wapi wanasema ameolewa, mimi nilienda Ulaya kwa mambo yangu"
"Hakuna mwanaume anayeolewa, wanaume wote wanaoa, Mtanzania huwa hataki kuona mtu anafanikiwa, maneno yao huwa wanayatoa Instagram wanaamini mtu akienda Ulaya anaenda kuishi vizuri" - Hussein Machozi, Msanii wa muziki Tanzania anayeishi kwa sasa Nchini Italia 🇮🇹.
Toa maoni yako
1 307
Mei Mosi, wafanyakazi nchini wameungana na wengine Duniani kuadhimisha siku ya wafanyakazi.
Una ujumbe gani kwa wenye mamlaka nchini Tanzania ?
✍🏽👇👇👇
1 307
DODOMA: Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la uvutaji wa Sigara hadharani.
-
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amebainisha hayo Aprili 30,2024 Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Tumbe, Amour Khamis Mbarouk aliyeuliza Je, ni lini Serikali italeta Sheria ya Kuzuia uvutaji wa sigara na mazao mengine hadharani.
-
Aidha amesema sheria hiyo imezuia matangazo ya tumbaku na bidhaa zitokanazo na tumbaku kwenye maeneo ya umma ikiwemo vyombo vya habari, billboards na kwenye matamasha mbalimbali.
-
Vile vile Dkt. Mollel ametoa wito kwa Wabunge kuwa mabalozi wa udhibiti wa Tumbaku katika jamii ili kusaidia wananchi kuepuka magonjwa yasiyoyakuambukiza.
1 307
JE NI KWELI FREEMASON WAMEMCHUKUA SETH NA KANUMBA?
Inakumbukwa vizuri kuwa Tarehe 07 Aprili 2012 usiku wa kuamkia Jumamosi Taifa lilimpoteza Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Steven Kanumba baada ya kuanguka chumbani kwake Sinza-Kinondoni -Dar es Salaam kufuatia ugomvi baina yake na aliyekuwa mpenzi wake Elizebert Michael "Lulu".
Kanumba alikuwa sio Muigizaji tu bali alikuwa na uwezo pia mzuri wa kupiga vifaa ya muziki kama Kinanda na Gitaa.
Mpaka sasa ni miaka takribani 12 tangu Muigizaji Steven Kanumba afariki Dunia huku akimucha Mama yake Mzazi pamoja mashabiki wake wakiwa kwenye uzuni kila wanapokuwa wakitazama kazi zake
Tanzania PIA tumempoteza Mtunzi na Mdogo wa Marehemu Kanumba,Seth Bosco ambaye alifariki usiku wa kuamkia Jumamosi tarehe 07 Disemba Mwaka huo huo hii ni baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba Kimara Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu kitu ambacho kilipelekea kufanyiwa operation ya uti wa mgongo.
Kabla ya Seth Bosco kufikwa na Umauti wake alikiwa ni Mtunzi mzuri na ndiye alikuwa Mmiliki na Manager wa Kampuni ya Marehemu Kanumba "THE GREAT FILM".
Kifo cha Seth na Kanumba kimezua taharuki hii ni baada ya kufanana Tarehe,siku na muda na ukilinganisha Marehemu Steven Kanumba baada ya kufariki aliwai kuhusishwa kujiunga na Freemason.
Mwaka 2012 baada ya Kanumba kufariki Dunia aliibuka Mchungaji mmoja na kuelezea sababu ya Kanumba kufariki ni kutoa siri ya Freemason kupitia Movie yake ya Devil Kingdom.
Mchungaji huyo aliendelea kueleza kuwa kabla ya Kanumba kufariki alimtafuta na kumueleza kuwa Freemason imempa shariti gumu sana la kumtoa Kafara Mama ake kitu ambacho yeye hawezi kukifanya.
Mwisho wa siku alimuomba kutoa siri hii kwenye media maana bila kufanya hivyo Freemason wataendelea kumaliza familia yake kila siku ya Ijumaa kwani ndio siku ya kutoa Kafara.
Kanumba aliondoka huku akimwambia Mchungaji hawezi kurudisha Mali kuhofia aibu wala kumua Mama yake Mzazi.
VIDEO FOLLOW INSTA HAPA LINK..👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/