1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
Huyu hapa zuch kazini..
FULL VIDEO FOLLOW INSTAGRAM HAPA KWENYE LINK..👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
Mtangazaji Nguli, Mwanahabari na Mwandishi wa habari mashuhuri Afrika Mashariki na Kati, Salim Kikeke amejiunga na Redio/TV ya Crown FM/TV inayomilikiwa na Alikiba. Hii ni baada ya Alikiba kusasisha video inayoonyesha Salim Kikeke akikataa kupokea simu ya Wacha Fu FM inayotafsiriwa kuwa ni Wasafi FM, ya Kisingeli FM (EFM) na Icecream TV (Azam TV) kisha kupokea simu ya Alikiba (Crown FM/TV). Katika Video hiyo, Alikiba ameandika yafuatayo:
"My Brother @salim_kikeke hii ilikuwa ndoto na maono tuliyokuwa nayo muda mrefu. Wakati unafanya maamuzi ya kurudi Nyumbani Tanzania tulipata nafasi ya kuzungumza na nikakueleza kiu yangu yakutaka kufanya kazi na wewe Gwiji, Nguli na Mtaalam wa Tasnia hii ya Habari Afrika na Dunia.
Najua Simu zilikuwa nyingi sana lakini uliona CROWN ni sehemu sahihi sana kwako. Karibu kuwa sehemu ya Historia tunayoenda kuiandika pamoja.
Nimekuvisha Taji na CROWN Media tunaamini Hesabu zetu za Kimkakati zimekaa Sawa. Karibu sana Nyumbani @crownfmtz na @crowntvtz" ameandika Alikiba, Msanii wa muziki wa Tanzania na Mmiliki wa Redio/TV Crown.
Toa maoni yako
1 307
Hii ni orodha ya Nchi (15) zenye uchumi mkubwa barani Afrika (Tajiri).
1. Afrika Kusini (40)
2. Misri (42)
3. Algeria (50)
4. Nigeria (53)
5. Ethiopia (57)
6. Morocco (60)
7. Kenya (68)
8. Angola (72)
9. Côté d'Ivoire (76)
10. Tanzania (81)
11. Ghana (83)
12. DR Congo (84)
13. Uganda (88)
14. Tunisia (89)
15. Cameroon (92)
NB : - Sio utajiri wa madini au rasilimali (mali asilia)
- (...) ni kwa ngazi ya Dunia
- Pichani utaona makadirio thamani ya kila Nchi.
- Orodha hii ni kutoka IMF
Toa maoni yako
1 307
Kutoka kwa Haji Manara ✍️
"Soma hii Story fupi tamu na chungu.
Kipindi namuoa Mke wangu kulikuwa na Mashambulizi mengi kwamba napenda kuoa,ndoa hii haifiki wiki, wengine wakasema Mwezi wa Ramadhani hatutoboi,basi bhana, ikatokea kwa Mtu mmoja akawa mara kwa mara nikipost picha nikiwa na Wife ,akawa anakuja kucomment kashfa na matusi kwangu,nikawa nimeshamkariri yule jamaa.
Siku moja nikaingia katika Page yake kumpekua ni nani huyu? Nikakuta baadhi ya Washkaji zangu wamemfollow na wengine nikawatumia comments zake,wakaniambia jamaa anapenda ujuaji na kujiona yeye msafi.
Jana mmoja wa hao rafiki zangu kanipigia kuniambia jamaa kumbe ni Teacher bhana huko mkoani na kamtia mimba dent wa miaka 16, na hivi sasa kakimbia Mji na hajulikani kaenda wapi,Mbaya zaidi Dent aliyempa Mimba ni Mtoto wa Sister wa Mkewe.
Kwanza ncheke 😅 😀 au nilie 😭😭aliyekuwa ananilaani kwa kuoa yeye kabaka kitoto cha dada wa mkewe,now ana dhima kwa Mungu,kwa familia na Dola ya Tanzania inamsubiria 😝😝
Unamlaumu Muoaji kumbe wewe Mbakaji, tunao wengi humu mitandaoni, wengine Mijizi,Wengine Wachawi, wengine Walawiti,wengine wanakula hadi mali za Miskiti na Makanisa na hata Kudhulumu mali za Watu, lakini hao hao eti Haji ni mshenzi kisa nimeoa mara nyingi !!
Haya Shekh mbakaji kiko wapi? Nipost Picha yako nisaidie Nchi ? Niendelee kupiga kunuti? Mnajiona mmekamilika kumbe Washenzi Mbwa, mmajitia Wema na Wasafi huku Insta, wengine Masharifu sisi 😝😝" - Haji Manara, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
Toa maoni yako
1 307
Hii ni orodha ya Nchi kumi (10) zenye deni kubwa la Nchi ya Uchina 🇨🇳 (zilizokopa)
1. 🇦🇴 Angola : Dola Bilioni 21.0
2. 🇪🇹 Ethiopia : Dola Bilioni 6.8
3. 🇰🇪 Kenya : Dola Bilioni 6.7
4. 🇿🇲 Zambia : Dola Bilioni 6.1
5. 🇪🇬 Misri : Dola Bilioni 5.2
6. 🇳🇬 Nigeria : Dola Bilioni 4.3
7. 🇨🇮 Côte d'Ivore : Dola Bilioni 3.9
8. 🇨🇲 Cameroon : Dola Bilioni 3.8
9. 🇿🇦 Afrika Kusini : Dola Bilioni 3.4
10. 🇨🇬 Congo Brazzaville : Dola Bilioni 3.4
1 307
"Nimeolewa nikiwa na miaka 19 nilipomaliza kidato cha nne nilikuwa mrembo sana, msinione hivi ni vile nimechoka tu, nilikuwa nikipita hivi wanaume walikuwa macho yote kwangu. Uzuri wangu ulimpa hofu mama yangu alikuwa anawaza huyu mtoto na uzuri huu akikaa hapa si ataharibika!!"
"Basi akajitokeza mzee Shusho akasema nataka kuoa huyu binti, mama hakutaka maelezo akasema chukuaaa chukuaaa chukuaaa!!! asituharibikie hapa, kwahiyo niliolewa nikiwa na miaka 19 pekee nilikuwa mdogo na sikuelewa nini maana ya mapenzi wala sikujua maana ya upendo, naweza sema nililazimishwa kuolewa ili nisiharibike lakini ilikuwa si kwa matakwa yangu"- Mwimbaji wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu Christina Shusho akizungumza Katika semina ya wanawake.
1 307
"Mungu asante ulinipa🙏, nashukuru umenichukulia🤲"- Mama Zuch wakati mwanae akiingizwa kaburini tayari kwa kupumnzishwa.
FULL VIDEO FOLLOW INSTAGRAM HAPA KWENYE LINK..👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
