uz
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Kanalga Telegram’da o‘tish

Get the latest news,videos,and more everyday.

Ko'proq ko'rsatish
1 307
Obunachilar
+124 soatlar
-27 kun
-1330 kun
Postlar arxiv
"Watanzania wakiona mtu amepata mwanamke mwenye pesa utaambiwa umeolewa, Ben Pol aliambiwa kaolewa na mwanamke Mkenya na Dogo
"Watanzania wakiona mtu amepata mwanamke mwenye pesa utaambiwa umeolewa, Ben Pol aliambiwa kaolewa na mwanamke Mkenya na Dogo Janja nae aliambiwa ameolewa na Irene Uwoya, hawajui mtu ametoka nae wapi wanasema ameolewa, mimi nilienda Ulaya kwa mambo yangu" "Hakuna mwanaume anayeolewa, wanaume wote wanaoa, Mtanzania huwa hataki kuona mtu anafanikiwa, maneno yao huwa wanayatoa Instagram wanaamini mtu akienda Ulaya anaenda kuishi vizuri" - Hussein Machozi, Msanii wa muziki Tanzania anayeishi kwa sasa Nchini Italia 🇮🇹. Toa maoni yako

Mei Mosi, wafanyakazi nchini wameungana na wengine Duniani kuadhimisha siku ya wafanyakazi. Una ujumbe gani kwa wenye mamlaka
Mei Mosi, wafanyakazi nchini wameungana na wengine Duniani kuadhimisha siku ya wafanyakazi. Una ujumbe gani kwa wenye mamlaka nchini Tanzania ? ✍🏽👇👇👇

DODOMA: Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The
DODOMA: Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la uvutaji wa Sigara hadharani. - Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amebainisha hayo Aprili 30,2024 Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Tumbe, Amour Khamis Mbarouk aliyeuliza Je, ni lini Serikali italeta Sheria ya Kuzuia uvutaji wa sigara na mazao mengine hadharani. - Aidha amesema sheria hiyo imezuia matangazo ya tumbaku na bidhaa zitokanazo na tumbaku kwenye maeneo ya umma ikiwemo vyombo vya habari, billboards na kwenye matamasha mbalimbali. - Vile vile Dkt. Mollel ametoa wito kwa Wabunge kuwa mabalozi wa udhibiti wa Tumbaku katika jamii ili kusaidia wananchi kuepuka magonjwa yasiyoyakuambukiza.

*Sheikh T begwel katika ubora wake neno moja kwake*t

JE NI KWELI FREEMASON WAMEMCHUKUA SETH NA KANUMBA? Inakumbukwa vizuri kuwa Tarehe 07 Aprili 2012 usiku wa kuamkia Jumamosi Ta
JE NI KWELI FREEMASON WAMEMCHUKUA SETH NA KANUMBA? Inakumbukwa vizuri kuwa Tarehe 07 Aprili 2012 usiku wa kuamkia Jumamosi Taifa lilimpoteza Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Steven Kanumba baada ya kuanguka chumbani kwake Sinza-Kinondoni -Dar es Salaam kufuatia ugomvi baina yake na aliyekuwa mpenzi wake Elizebert Michael "Lulu". Kanumba alikuwa sio Muigizaji tu bali alikuwa na uwezo pia mzuri wa kupiga vifaa ya muziki kama Kinanda na Gitaa. Mpaka sasa ni miaka takribani 12 tangu Muigizaji Steven Kanumba afariki Dunia huku akimucha Mama yake Mzazi pamoja mashabiki wake wakiwa kwenye uzuni kila wanapokuwa wakitazama kazi zake Tanzania PIA tumempoteza Mtunzi na Mdogo wa Marehemu Kanumba,Seth Bosco ambaye alifariki usiku wa kuamkia Jumamosi tarehe 07 Disemba Mwaka huo huo hii ni baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba Kimara Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu kitu ambacho kilipelekea kufanyiwa operation ya uti wa mgongo. Kabla ya Seth Bosco kufikwa na Umauti wake alikiwa ni Mtunzi mzuri na ndiye alikuwa Mmiliki na Manager wa Kampuni ya Marehemu Kanumba "THE GREAT FILM". Kifo cha Seth na Kanumba kimezua taharuki hii ni baada ya kufanana Tarehe,siku na muda na ukilinganisha Marehemu Steven Kanumba baada ya kufariki aliwai kuhusishwa kujiunga na Freemason. Mwaka 2012 baada ya Kanumba kufariki Dunia aliibuka Mchungaji mmoja na kuelezea sababu ya Kanumba kufariki ni kutoa siri ya Freemason kupitia Movie yake ya Devil Kingdom. Mchungaji huyo aliendelea kueleza kuwa kabla ya Kanumba kufariki alimtafuta na kumueleza kuwa Freemason imempa shariti gumu sana la kumtoa Kafara Mama ake kitu ambacho yeye hawezi kukifanya. Mwisho wa siku alimuomba kutoa siri hii kwenye media maana bila kufanya hivyo Freemason wataendelea kumaliza familia yake kila siku ya Ijumaa kwani ndio siku ya kutoa Kafara. Kanumba aliondoka huku akimwambia Mchungaji hawezi kurudisha Mali kuhofia aibu wala kumua Mama yake Mzazi. VIDEO FOLLOW INSTA HAPA LINK..👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

Upewe nini hapa mdau..😀
Upewe nini hapa mdau..😀

Wangapi wanamkumbuka huyu mwamba
Wangapi wanamkumbuka huyu mwamba

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_me
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/