uk
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Відкрити в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Показати більше
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa kulip
Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho kilichopo Turiani mkoani Morogoro. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Shaban Marugujo amesema mlipuko huo ulitokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba usiku na umesababisha vifo vya watu 11 na wengine wawili kujeruhiwa. "Ni kweli watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mlipuko wa mpira wa joto wakati wanajiandaa na uzalishaji wa sukari pale kiwandani. Ifahamike ili sukari ichakatwe kuna kiwango cha joto ambacho kinatakiwa kifikie, sasa wakati maandalizi ya uzalishaji yakifanyika na kile kiwango cha joto kikingojewa ndipo ukatokea mlipuko huo na kuwakuta watu hao 11 ambao kwa kiwango kile cha joto wakafariki papo hapo," amesema Marugujo.

ZOTE ni petroli lakini mbona moja ina rangi tafauti
ZOTE ni petroli lakini mbona moja ina rangi tafauti

Hivi vigali mbona vina trend sana .😀
Hivi vigali mbona vina trend sana .😀

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+2
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_me
+2
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+2
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI follow ukurasa wetu wa Instagram hapa kwenye link👇👇 https://instagram.com/sportslitetv?igshid=OGQ5ZDc2ODk
+2
KUTOKA MITANDAONI follow ukurasa wetu wa Instagram hapa kwenye link👇👇 https://instagram.com/sportslitetv?igshid=OGQ5ZDc2ODk2ZA==

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+3
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+3
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+2
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+3
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+3
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Unaona wenzetu huko..😀
Unaona wenzetu huko..😀

"Nilipokuwa Tanzania kuna kipindi wakati najitafuta naanza safari yangu ya muziki nilimfata meneja mmoja wa Tanzania mkubwa n
"Nilipokuwa Tanzania kuna kipindi wakati najitafuta naanza safari yangu ya muziki nilimfata meneja mmoja wa Tanzania mkubwa na yupo kwenda lebo kubwa. Nilimfata ili anipe mbinu za kufanikiwa na mimi niwe na jina kubwa" "Aliniambia yupo tayari kunisaidia lakini endapo tu kama nitatii masharti aliyoniwekea, aliniambia nijiunge na moja ya chama ambacho kimebobea kwenye mambo ya kishirikina na kiweza kufata masharti ya huko nitakuwa mwanamziki mkubwa Afrika na Duniani. Yalikuwa ni mambo ya kichawi na kwakweli sikuwezana nae nilishindwa, muziki una mambo mengi ya gizani yanayoendelea chini ya kapeti"- Vanessa Mdee, Aliyekuwa Msanii wa muziki na Mtangazaji Tanzania. Toa maoni yako

Jeshi la Polisi Mkoani Geita limefanikiwa kukamata kete 43 na gramu 520 za bangi, lita 416 za pombe haramu aina ya gongo pamo
Jeshi la Polisi Mkoani Geita limefanikiwa kukamata kete 43 na gramu 520 za bangi, lita 416 za pombe haramu aina ya gongo pamoja na mali nyingine za wizi ikiwemo mashine moja ya kusaga mawe, Genereta, Cherehani mbili aina ya butterfly, Runinga, Redio, Simu 4, mafuta ya diseli na Sola katika msako wa kipindi cha mwezi April 2024 Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoan wa Geita, kamishina Msaidizi Mwandimizi wa Polisi, Safia Jongo ameeleza hayo wakati akitoa taarifa kwa vyombo vya habari Mkoani humo. Kamanda Jongo amesema katika msako huo Jeshi hilo limekamata watuhumiwa 567 wa makosa mbalimbali yakiwemo ya wizi, uuzaji wa madawa ya kulevya pamoja na uporaji wa pikipiki ambapo Pikipiki 8 zimekamatwa Hata hivyo, Kamanda Jongo amesema katika kipindi hicho wamefikisha mahakamani jumla ya kesi 158 za wathumiwa wa makosa mbalimbali yakiwemo ya ubakaji na mauaji na kati ya kesi hizo, kesi 58 zenye watuhumiwa 205 zipata mafanikio kwa watuhumiwa kuhukumiwa na wengine kuchukuliwa hatua mbalimbali. Na Mwandishi wetu Samwel Masunzu kutoka Mkoani Geita. Toa maoni yako

"Huyu dada ndio mtu wa kwanza kuniona na kunipenda na kuniweka kwenye movie yake inaitwa YORANDA. Mungu akubariki sana natama
"Huyu dada ndio mtu wa kwanza kuniona na kunipenda na kuniweka kwenye movie yake inaitwa YORANDA. Mungu akubariki sana natamani nikuone tena Lucy Komba"- Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Ikumbukwe kuwa Lucy Komba ni mmoja wa Waigizaji wakongwe Nchini Tanzania na kwa sasa ameolewa na Mzungu barani Ulaya. Toa maoni yako