E-PLUS MEDIA
Ir al canal en Telegram
1 307
Suscriptores
+124 horas
-27 días
-1330 días
Archivo de publicaciones
1 307
Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho kilichopo Turiani mkoani Morogoro.
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Shaban Marugujo amesema mlipuko huo ulitokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba usiku na umesababisha vifo vya watu 11 na wengine wawili kujeruhiwa.
"Ni kweli watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mlipuko wa mpira wa joto wakati wanajiandaa na uzalishaji wa sukari pale kiwandani.
Ifahamike ili sukari ichakatwe kuna kiwango cha joto ambacho kinatakiwa kifikie, sasa wakati maandalizi ya uzalishaji yakifanyika na kile kiwango cha joto kikingojewa ndipo ukatokea mlipuko huo na kuwakuta watu hao 11 ambao kwa kiwango kile cha joto wakafariki papo hapo," amesema Marugujo.
1 307
+2
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+2
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
+2
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
+2
KUTOKA MITANDAONI
follow ukurasa wetu wa Instagram hapa kwenye link👇👇
https://instagram.com/sportslitetv?igshid=OGQ5ZDc2ODk2ZA==
1 307
+3
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+3
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+2
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
+3
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
"Nilipokuwa Tanzania kuna kipindi wakati najitafuta naanza safari yangu ya muziki nilimfata meneja mmoja wa Tanzania mkubwa na yupo kwenda lebo kubwa. Nilimfata ili anipe mbinu za kufanikiwa na mimi niwe na jina kubwa"
"Aliniambia yupo tayari kunisaidia lakini endapo tu kama nitatii masharti aliyoniwekea, aliniambia nijiunge na moja ya chama ambacho kimebobea kwenye mambo ya kishirikina na kiweza kufata masharti ya huko nitakuwa mwanamziki mkubwa Afrika na Duniani. Yalikuwa ni mambo ya kichawi na kwakweli sikuwezana nae nilishindwa, muziki una mambo mengi ya gizani yanayoendelea chini ya kapeti"- Vanessa Mdee, Aliyekuwa Msanii wa muziki na Mtangazaji Tanzania.
Toa maoni yako
1 307
Jeshi la Polisi Mkoani Geita limefanikiwa kukamata kete 43 na gramu 520 za bangi, lita 416 za pombe haramu aina ya gongo pamoja na mali nyingine za wizi ikiwemo mashine moja ya kusaga mawe, Genereta, Cherehani mbili aina ya butterfly, Runinga, Redio, Simu 4, mafuta ya diseli na Sola katika msako wa kipindi cha mwezi April 2024
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoan wa Geita, kamishina Msaidizi Mwandimizi wa Polisi, Safia Jongo ameeleza hayo wakati akitoa taarifa kwa vyombo vya habari Mkoani humo. Kamanda Jongo amesema katika msako huo Jeshi hilo limekamata watuhumiwa 567 wa makosa mbalimbali yakiwemo ya wizi, uuzaji wa madawa ya kulevya pamoja na uporaji wa pikipiki ambapo Pikipiki 8 zimekamatwa
Hata hivyo, Kamanda Jongo amesema katika kipindi hicho wamefikisha mahakamani jumla ya kesi 158 za wathumiwa wa makosa mbalimbali yakiwemo ya ubakaji na mauaji na kati ya kesi hizo, kesi 58 zenye watuhumiwa 205 zipata mafanikio kwa watuhumiwa kuhukumiwa na wengine kuchukuliwa hatua mbalimbali.
Na Mwandishi wetu Samwel Masunzu kutoka Mkoani Geita.
Toa maoni yako
1 307
"Huyu dada ndio mtu wa kwanza kuniona na kunipenda na kuniweka kwenye movie yake inaitwa YORANDA. Mungu akubariki sana natamani nikuone tena Lucy Komba"- Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Ikumbukwe kuwa Lucy Komba ni mmoja wa Waigizaji wakongwe Nchini Tanzania na kwa sasa ameolewa na Mzungu barani Ulaya.
Toa maoni yako
1 307
+2
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+3
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
