uk
Feedback

Не попадись на ботовода! Telemetrio знаходить і позначає такі канали мітками 👉 Хочеш бачити мітку, оформляй підписку

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Відкрити в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Показати більше
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
photo content
+5

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

MAMBO YA UKE WENZA NI KULIPIZANA VISASI TU, MANGE KIMAMBI AFICHUA MAZITO YA QUEEN DARLIN NA MKE MWENZA. Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa Fahari Media, siku kadhaa nyuma tuliandika habari ambayo ilikuwa inaihusu familia ya Queen Darlin, yaani mke mwenzie na mume wao ambapo ilisemekana kwamba Queen Darlin amerejea kwenye ndoa huku Sabra Mamy ambaye ni mke wenzie akitupiwa vifurushi vyake aondoke. Mkufunzi wa masuala ya udaku nchini, Mange Kimambi amekuja na taarifa kamili ya wawili hao ambayo kwakweli inasikitisha kiasi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika. "Sasa ni hivi, Isihaka baada ya kumpa talaka 3 Sabra, aliamua na kumkataa mtoto wao, sasa anadai wafanye DNA mtoto sio wake, kwahiyo sasa Sabra anahangaika na mtoto mwenyewe. Isihaka na Queen wakaona hilo la mtoto halitoshi wakaona wamchukulie na uwezo wa kumlisha mwanae, so Isihaka akajifanya anataka kukutana na Sabra waongee, akachukua simu ya Sabra akadelete Instagram account ya Sabra" "Instagram wana Policy yao kama mtu ukifuta account yako mwenyewe hawana njia ya kuirudisha, ndo mkaona Sabra kapotea kabisa online, ikabidi afungue account aanze upya, Queen na Isihaka wanadai wao ndio wamempa umaarufu Sabra ndiyo maana wakaamua kumfutia account. Kuna vitu vingine ubinadamu tu unahitajika, ndio mmetalikiana na mtoto umesema humtaki, sawa, ila why umuondolee mwanamke uwezo wa kumhudumia mtoto wake na yeye mwenyewe?" "Huyo mwanaume mwenyewe wanaempigania sasa, karudi kwa Queen hana mbele hana nyuma, hana kazi hana biashara, yani mwanaume suruali, anategemea shemeji ndo amlishie familia yake"- Mange Kimambi

photo content

Nini kinakuvutia kutoka kwa Elizabeth Mramba (Mkabesah) wa Aridhio ya TBC?
Nini kinakuvutia kutoka kwa Elizabeth Mramba (Mkabesah) wa Aridhio ya TBC?

"Usimkumbushe mtu mema yako, acha dunia imkumbushe"- Kajala
"Usimkumbushe mtu mema yako, acha dunia imkumbushe"- Kajala