uk
Feedback

Не попадись на ботовода! Telemetrio знаходить і позначає такі канали мітками 👉 Хочеш бачити мітку, оформляй підписку 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Відкрити в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Показати більше
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
⚠️😳 Atupwa kortini kwa kumwagia jirani mafuta ya moto usoni na kumkwanyua taya kisa kuiga mtindo wake wa nywele Kwa mujibu w
⚠️😳 Atupwa kortini kwa kumwagia jirani mafuta ya moto usoni na kumkwanyua taya kisa kuiga mtindo wake wa nywele Kwa mujibu wa NTV ilikuwa usiku mida imeenda kidogo Catherine Wanjiru alikutana getini na Sherry Nyanchomba ndipo walishikana uchawi vichwani. Wanjiru akimtuhumu Sherry kuiga mtindo wake wa nywele fupi uliowekwa rangi Gogoro zito lilizuka, Wanjiru akawahi kuchukua jaro(fryer spoon) lenye mafuta ya moto kwa muuza samaki na kumwagia usoni Nyanchomba, Wanjiru kwa hasira aliushikilia mdomo wa mwenzie na kumjeruhi taya Sherry alikimbizwa hospitali kupatiwa matibabu Wanjiru alikamatwa na Polisi kwa uchunguzi zaidi na alipandishwa kizimbani ambako alikana mashtaka na kuachiwa kwa dhamana

HATA UNGEKUWA MWISHONI MWA DUNIA BADO NINGEKUFATA❤️; RUSHAYNAH "Yani Dulla huwezi kuamini nilivyosikia umeitwa polisi nguvu z
HATA UNGEKUWA MWISHONI MWA DUNIA BADO NINGEKUFATA❤️; RUSHAYNAH "Yani Dulla huwezi kuamini nilivyosikia umeitwa polisi nguvu zote ziliniisha jamani yani niliingiwa na huruma kubwa sana juu yako, nikasema siwezi kuendelea kubaki Dubai lazima nirudi nyumbani. Nimefika Alhamdulillah nimekuta umeshaachiwa nikasema siwezi kusubiri I have to come see you and support you kwenye show yako, yani sio tu Yombo, hata ungekuwa mwishoni mwa dunia ningekufata wewe kaka yangu, Mungu akulinde"- Rushaynah kwa Dulla Makabila

photo content
+1

TKO NYINGINE KUTOKA IN DOOR 🚪YA NEW AMAAN STADIUM Bondia wa Hassan Mwakinyo amefanikiwa kushinda mkanda wa WBO Africa Middle
TKO NYINGINE KUTOKA IN DOOR 🚪YA NEW AMAAN STADIUM Bondia wa Hassan Mwakinyo amefanikiwa kushinda mkanda wa WBO Africa Middle Weight baada ya kumtwanga kwa TKO Elvish Ahorgah raia wa Ghana 🇬🇭 kwenye pambano la MTATA MTATUZI lililopigwa ndani ya Indoor ya New Amaan Complex, visiwani Zanzibar. #mwakinyo

photo content

"Kila mtu akija kwa interview kunihoji anauliza kuhusu tumbo langu, hivi jamani mimi ndio nimebeba tumbo la Taifa? Mnikome"-
"Kila mtu akija kwa interview kunihoji anauliza kuhusu tumbo langu, hivi jamani mimi ndio nimebeba tumbo la Taifa? Mnikome"- Peter Msechu, Msanii wa muziki Tanzania. Toa maoni yako #MvanoUdaku #MvanoMtangazaji #M32

DIVA ADAIWA KUUBWAGA UISLAMU NA KURUDI KWENYE UKRISTO AKIRI KUWA YESU NI JIBU. Ikiwa imepita miezi kadhaa kama sio mwaka tang
DIVA ADAIWA KUUBWAGA UISLAMU NA KURUDI KWENYE UKRISTO AKIRI KUWA YESU NI JIBU. Ikiwa imepita miezi kadhaa kama sio mwaka tangu alipotangaza kuachana na dini yake ya Ukristo na kujiunga na dini ya Kiislamu ambapo maamuzi hayo yalikuja baada ya kuolewa na Sheikh Abdulrazak ambaye ni Muislam. Baada ya kuwa Muislam Diva alionekana akianza kufuata sheria na kanuni za dini hiyo ikiwa ni pamoja na kuswali, kuvaa shungi na baibui. Lakini ghafla Diva ameonekana kuegemea upande wa Ukristo ambapo amekuwa akiposti sana mahubiri ya Kikristo na kukiri kuwa Yesu ni Bwana, Yesu anatosha, Yesu ni jibu kisha kurejea kwenye mavazi yake ya kujiachia ambayo aliyasitisha kwa muda. Kufuatia uamuzi huo, wapo waliompongeza lakini pia wapo waliomshambulia na kumnanga kuwa hana msimamo lakini pia hana imani na hii ni kutokana na tabia yake ya kusonsomoka huku na kule, kisijulikane anachokitafuta.

Licha ya kuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na mwanaume ambaye hawajaoana lakini wamezaa mtoto mmoja, Rubby anasema hataki k
Licha ya kuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na mwanaume ambaye hawajaoana lakini wamezaa mtoto mmoja, Rubby anasema hataki kuisikia ndoa wala kuisogelea harufu yake. Kipindi cha nyuma kidogo Rubby alikuwa mstari wa mbele kuishadadia ndoa na kumuita mpenzi wake (mume wangu mtarajiwa) lakini ghafla mambo yamebadilika ndoa kwake imegeuka kuwa doa, haijulikani kama bado wapo pamoja na mwandani wake au wameachana na hii inatuwia ugumu kujua kwasababu Rubby ni mtu wa siri sana.

"Rizki unayoipata ukiwa uchi isikupe jeuli mbele ya watu wanaotafuta rizki zao wakiwa kwenye stara"- Zulfa Msomali
"Rizki unayoipata ukiwa uchi isikupe jeuli mbele ya watu wanaotafuta rizki zao wakiwa kwenye stara"- Zulfa Msomali

SINA FURAHA, NAJIHISI KUKOSA KILA KITU KATIKA DUNIA HII. " Sina familia, mpenzi wangu siishi naye. Hapa nilipo, nina marafiki
SINA FURAHA, NAJIHISI KUKOSA KILA KITU KATIKA DUNIA HII. " Sina familia, mpenzi wangu siishi naye. Hapa nilipo, nina marafiki wasiozidi watano. Maisha ya mchezaji professional baada ya mazoezi, hakuna kazi nyingine ya kufanya. Najihisi mpweke na mnyonge. Najiona kama miongoni mwa watu waliopoteza kila kitu katika dunia hii" Alphonso Devies

⚠️🥰 "Namshukuru sana mume wangu, nisingefika hapa nilipofika kama siyo yule baba, kuna namna unaweza kuolewa na mwanaume na
⚠️🥰 "Namshukuru sana mume wangu, nisingefika hapa nilipofika kama siyo yule baba, kuna namna unaweza kuolewa na mwanaume na akawa anakukandamiza hataki uende mbele lakini mume wangu ndie anayesukuma mambo yangu yaende. Mungu ambariki sana na ampe maisha marefu" - Mchungaji Rose Shaboka akihojiwa Clouds FM

⚠️🥰 Baada ya Manara na Zaiylissa kufunga ndoa, kisha kutoka Dubai kuja Bongo kukumbatiana na Dullah Makabila...... Rushaynah
⚠️🥰 Baada ya Manara na Zaiylissa kufunga ndoa, kisha kutoka Dubai kuja Bongo kukumbatiana na Dullah Makabila...... Rushaynah ajitosa kuachia mvuto wake mpya

⚠️😳 Mahakama yaamuru mwanamke aliyenyanyaswa kijinsia, [kubakwa] alipwe shilingi bilioni 212 na Donald Trump Ijumaa hii mahakama ya huko Manhattan, New York imehitimisha kwamba aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trum(77) alimnyanyasa kijinsia mwanamama E.Jean Carrol(80) ambaye kwa miaka mingi alikuwa mwandishi wa ushauri katika jarida maarufu la Elle 2019 Carrol alifungua rasmi kesi husika, alisema alinyanyaswa kijinsia na kubakwa na Donald Trump kuelekea katikati ya miaka ya 1990s kwenye chumba cha kubadilishia nguo katika duka kubwa(department store) Kesi husika ilisikilizwa kwenye mahakama mbili tofauti, mwaka jana mahakama ya kwanza ilihitimisha kuwa ni kweli Donald Trump alimnyanyasa kijinasia Carrol ila mahakama ilishindwa kukubaliana na shauri la kubakwa kwa ushahidi zaidi kukosekana Hata hivyo kesi imesikilizwa tena mahakama nyingine huko Manhattan na jopo la wanasheria tisa kati yao watano wakiwa wanaume na wanne wakiwa wanawake, ambapo tamati ilikuwa ijumaa hii mahakama imekubaliana na ushahidi Awali, Carrol alitaka kulipwa fidia ya dola milioni $10 tu, baadaye mwanasheria wake akataka iongezwe kiasi ila hukumu ya mahakama imeona Carroll alipwe fidia ya dola milioni $83.3 za Kimarekani ambazo sio chini ya shilingi bilioni 212 za Tanzania Carrol amesema alichofanyiwa na Trump kilimuweka kwenye wakati mgumu kwa miaka mingi na kana kwamba haitoshi baada ya kufungua kesi miaka mitano iliyopita, alianza kukaliwa kooni mtindo mmoja na kushushiwa hadharani maneno yaliyojaa chuki kutoka kwa Donald Trump huku akiitwa muongo na Trump aliyekuwa Rais wa Marekani. Carrol amesema kuchafuliwa na Trump hadharani kumemharibia kazi yake na kupoteza heshima yake aliyoijengwa kwa bidii kwa miaka mingi, shauri ambalo mahakama imelikubali pia kwa vithibitisho Trump alikana kuhusika, lakini pia wakati kesi ikiendelea vikao vya mwisho mwisho alitoka kwa hasira kwenye chumba cha mahakama na kurudi zaidi ya saa moja baadaye hivyo kujisababishia kuuminya muda wake wa kujitetea zaidi Mwanzo Trump haikuwa lazima yeye kuhudhuria mahakamani sababu ni kesi ya madai ila aliapa atahudhuria vikao vyote vya kesi yake sambamba na wanasheria wanaomtetea, pia amelalamika kunyimwa muda wa kutosha kujitetea licha ya kutoka mahakamani kwa hasira na kukaa nje, amelalamikia pia wanasheria wake kwamba walimshauri vibaya asijitetee mapema tangu mwanzo wa kesi

photo content

Razack ashinda Bongo Star Search 2024 Razack amejishindia kiasi cha shilingi milioni 20 kutoka BSS, milioni 10 kutoka Vibes O
Razack ashinda Bongo Star Search 2024 Razack amejishindia kiasi cha shilingi milioni 20 kutoka BSS, milioni 10 kutoka Vibes On, amepata kiwanja pia na zawadi nyingine ya milioni 1 kutoka kwa Zipa Zanzibar

Kama ulikuwa hujui, Picha inaonesha Mwaka 1972, Dar es Salaam Rais Jaffery Nimeiry wa Sudan akikagua wachezaji wa Taifa Stars
Kama ulikuwa hujui, Picha inaonesha Mwaka 1972, Dar es Salaam Rais Jaffery Nimeiry wa Sudan akikagua wachezaji wa Taifa Stars waliokuwa vifua wazi. Kapten Abrahaman Juma akimtambulisha kwa Omary Zimbwe, Mohamed Chuma, Kitwana Manara na Abdalla KIbadeni. Rais J. K. Nyerere alikuwa Jukwaa Kuu. Inasemekana, Jezi za Taifa Stars zilikuwa zimepelekwa kwa Mganga wa Kienyeji ili ishinde. Siku ya mechi meneja wa Taifa Stars alizifuata lakini bahati mbaya hakumkuta Mganga nyumbani kwake, Kwakuwa alikwenda na basi la timu, ilibidi wachezaji waende uwanja wa Taifa kwa miguu toka Hosteli ya Jeshi la Wokovu, Kurasini. Meneja wa taifa stars alikuwa ni Chambanga H. Dyamwale mnamo 1972. Kutokana na fedheha hiyo kubwa, inasemekana Rais Nyerere alisusa kukanyaga tena mpirani. Tulianza na mkosi toka zamani 😎🙌⚽

"Watu hawana shukrani, nilimsaidia Nandy wakati hajajulikana vizuri, tukafanya nae wimbo watu wakamjua kwa ukubwa lakini baad
"Watu hawana shukrani, nilimsaidia Nandy wakati hajajulikana vizuri, tukafanya nae wimbo watu wakamjua kwa ukubwa lakini baada ya kupata mafanikio zaidi yangu hataki tena kusikia habari zangu na hata simu zangu hapokei😭. Umri wangu bado mdogo ipo siku nitafanikiwa"- Bright

"Nimeacha kuigiza Filamu kwasababu wote tunajua kwamba soko la Filamu limeshuka tangu muda mrefu kidogo, wale wazalishaji wa
"Nimeacha kuigiza Filamu kwasababu wote tunajua kwamba soko la Filamu limeshuka tangu muda mrefu kidogo, wale wazalishaji wa Filamu wamehamia kwenye Tamthilia na Tamthilia zinakutaka ukianza kuigiza usifanye mambo yako mengine. Sasa mimi sasa hivi sitafuti jina kwasababu jina nilishalipata, sasa hivi naangalia naingizaje pesa? Nikisimama kwenye kitu kimoja kwakweli sitafika"- Aunty Ezekiel

"Ila kuna wanawake hawana aibu jamani, unakuta eti lidada lirefu limenenepeana alafu linadeka, sasa unadeka nini? hata hayape
"Ila kuna wanawake hawana aibu jamani, unakuta eti lidada lirefu limenenepeana alafu linadeka, sasa unadeka nini? hata hayapendezi kudeka, unamdekea nani sasa jitu zima hovyo, nenda Jeshi huko kudeka tuachie sisi wadada wafupi wembamba kiasi"- Strong

photo content
+4