E-PLUS MEDIA
Відкрити в Telegram
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
DULLA MAKABILA NA RUSHAYNAH WAJITOSA PENZINI
Usiku wa kuamkia leo, akiwa jukwaani Dulla Makabila amemtambulisha Rushynah kama mpenzi wake mpya, Rushynah ambaye kwa sasa amehamishia makazi yake Dubai amesema amekuja Tanzania kwa ajili ya Dulla Makabila.
Ikumbukwe Rushynah amewahi kuwa mke halali wa Hajji Manara, ambapo kwa sasa Haji Manara amemuoa Zaiylissa ambaye amewahi kuwa mke halali wa Dulla Makabila.
1 307
"Nawataarifu mapema Zaiylissa akitoka kwa Hajji Manara mimi nafuata, nimewahi nafasi mapema tusije tukagombana huko mbeleni, na nyie mtasubiri mimi nikitoka mtaingia tu msiwe na haraka foleni itawafikia, nimejipanga Zai akitoka tu mimi huyo mbiombio kwenda kuolewa na Hajji"- Kidoa (Tima)
Toa maoni yako
1 307
NIPO BIZE SANA SINA MUDA KABISA WA KUTAFUTA MKE "ALIKO DANGOTE"
Fahamu kuwa Tajiri namba moja Barani Afrika, Aliko Dangote yupo Single kwa Muda mrefu sana na hatarajii kuoa Kabisa kwa sababu hana Muda yuko bize na Mambo ya kuendesha Kampuni zake.
Aliwahi kuhojiwa na BBC kuhusu kuoa alisema
"Umri wangu haupungui Miaka zaidi ya sitini haiingii akilini kwenda kutafuta Mke iwapo huna muda huo, Hivi sasa sina Muda kabisa sababu tuna kiwanda cha kusafishia mafuta, tuna kemikali za mafuta, tuna mbolea, tuna bomba la kusafirishia gesi, Nahitaji kutulia kidogo"-Dangote.
Tajiri huyo mpaka sasa ana Watoto Wanne wote wa Kike, aliwahi kufunga Ndoa na Wanawake Wanne kwa nyakati tofauti lakini Wote akaachana nao.
1 307
"Nimebahatika kuishi na watoto wangu. Nipo Mimi, watoto na dada wa kazi kwa miaka takribani Minne sasa. Niliondoka kwa mama yao niliwaacha watoto kwa mama yao. Nilikwenda kuishi mwenyewe baadae ndio nikaletewa watoto niishi nao kwa mapenzi ya mwanamke mwenyewe kutokana na situation ya maisha na makubaliano. Kwa sababu hata tulivyoachana tuliachana kwa makubaliano. Kwahiyo sikupata mshikemshike sana" @officialshetta
1 307
"Wewe binti ambaye una miaka 18 hadi 25 naomba nikuelekeze kitu nikiwa kama dada yako, naomba nikwambie utalibwa kadri ya mazuri na mabaya unayofanya katika huo umri wako unaojiona wewe ni msichana. Ni kweli msichana unapokuwa na miaka kuanzia 16 mpaka 30 nyota yako inawaka sana, lakini pia ni ukweli usiopingika kwamba unapofikia miaka 30 mng'ao wa nyota yako hufifia na kuzima kidogo-kidogo kuelekea kwenye 40"
"Kwahiyo soko lako kubwa la kubadilisha wanaume na kufanya mambo ya kitoto unalo kuanzia miaka 16 hadi 24, usimuone bibi yako/mama yako kazeeka ukadhani kuwa hakuwahi kuwa msichana, Mzee yoyote unayemuona sasa hivi ni kijana wa zamani. Kwahiyo itumie nafasi yako vizuri, tengeneza maisha yako ukiwa bado kijana, miaka haichelewi muda mfupi tu presha ya kuwa mzee itakuandama na kama hukujipanga ndio utachanganyikwa mara mbili"
"Ujana ni sehemu ya mapito tu, ujana umewekwa ili ujijengee kesho yako utakapozeeka, ukiutumia vibaya utakuja kujutia na kugeuka mzigo kwa ndugu zako hapo baadae"- Rahma Daud
1 307
Ni Birthday ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan
1 307
Twendeni #Mobstar ili kumpigia kura Miss Tanzania @halimakopwe azidi kupanda kwenye nafasi nzuri Katika Miss World 2024
1 307
⚠️😳😢 Watoto wawili wa Mr.Ibu(62) watiwa mbaroni na vyombo vya sheria kwa kuiba shilingi milioni 150 pesa za matibabu ya baba yao huyo zilizochangwa na mashabiki
Watoto wake husika ni wa kiume kwa jina la Daniel ambaye ni damu yake kabisa, na mtoto wake mwingine ni Jasmine Chioma pichani ambaye Mr.Ibu alimuasili(adopted). Kwa mujibu wa taarifa Daniel na Jasmine walisharikiana kuiba pesa za michango ya matibabu ya baba yao kwa kudukua simu yake na kuweka app kisirisiri ambayo ilikuwa ikisoma na kuhamisha pesa za michango kutoka kwa mashabiki wa msanii huyo na umma kwa ujumla
Kati ya zilizochangwa, wameiba dola za kimarekani $60,000 ambazo sio chini ya shilingi milioni 150 za Tanzania
Polisi wamethibitisha kuwadaka watoto wa msanii huyo maarufu wa comedy Nigeria, ambapo kesi yao itasikilizwa tena tarehe 11 March huku uchunguzi zaidi ukiendelea
Awali, mwishoni mwa mwaka jana mke wa Mr.Ibu ndie alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kutoa kengele ya hatari kuwa pesa za michango ya matibabu ya mumewe zinaibwa kisirisiri na watoto husika wa Mr.Ibu japo walikana
Mr.Ibu aliwahi kusema ana jumla ya watoto 13 wakiwemo.wake wa damu na aliowaasili(adopt)
Mr. Ibu ambaye alianza kupata umaafufu miaka 20 iliyopita na kucheza filamu nyingi, October mwaka jana ndio habari ili8buka kuwa anaumwa sana ambapo.haikuchukua muda akakatwa mguu, November akaomba msaada mashabiki wamsaidie gharama za bili za matibabu kwani akiba ilimuishia, familia yake ilipost mitandaoni kwa niaba yake ambapo mashabiki waliitikia wito kumsaidia matibabu ila watoto wake wawili ndio hivyo wamepiga tukio
1 307
Samia Suluhu Hassan amezaliwa 27 Januari mwaka 1960, ni Rais wa Awamu ya 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿 na mwanachama wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kabla ya kuwa Rais kutokana na kifo cha Hayati Dr John Pombe Magufuli kilichotokea tarehe 17 Machi 2021 , Samia Suluhu alikuwa makamu wa rais wa Tanzania Baada ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 .
Novemba 5, 2015 aliapishwa kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo, alirudia kipindi kingine baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2020.
Na Sasa amekuwa Rais wa kwanza mwanamke na Rais wa pili kutoka Visiwani Zanzibar Wa kwanza akiwa ni Ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili.
Samia Suluhu ambaye ni mzaliwa wa Makunduchi Zanzibar, aliwahi kuwa waziri Katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuanzia mwaka 2000 hadi 2010. Kisha aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Makunduchi mwaka 2010 hadi 2015 na alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mwaka 2010 hadi 2015.
Mwaka 2014, alichaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba lililopewa jukumu la kutunga katiba mpya ya nchi Hapo ndipo Nyota yake ilipoanza Kung'aaa.
Samia Suluhu Hassan Aliifunga Ndoa na Hafidh Ameir (Pichani) , Mwaka 1978 na wamejaaliwa Watoto Wannne.
Mwaka 2025 anatarajia Kuchukua Fomu na Kugombea Urais wa Tanzania, kama Atafanikiwa Kushinda uchaguzi ataandika Historia ya kuwa Rais wa Kwanza Mwanamke Kushika Wadhifa huo Kwa Kuchaguliwa kutokana na Kura za Wananchi
Leo ni Kumbukumbu ya Siku yake ya Kuzaliwa akitimiza Miaka 64
Happy birthday Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 🎉
Written by Mahmudu Suleiman ✍️
Follow
1 307
ORODHA YA WATU 20 MATAJIRI ZAIDI BARANI AFRIKA 2023
1. Aliko Dangote (Nigeria) – $13.9b
2. Johann Rupert (S. Africa) – $10.1b
3. Nicky Oppenheimer (S. Africa) – $9.4b
4. Nassef Sawiris (Egypt) – $8.7b
5. Mike Adenuga (Nigeria) – $6.9b
6. Abdulsamad Rabiu (Nigeria) – $5.9b
7. Naguib Sawiris (Egypt) – $3.8b
8. Mohamed Mansour (Egypt) – $3.2b
9. Koos Bekker (S. Africa) – $2.7b
10. Patrice Motsepe (S. Africa) – $2.7b
11. Issad Rebrab (Algeria) – $2.5b
12. Mohammed Dewji (Tanzania) – $1.8b
13. Strive Masiyiwa (Zimbabwe) – $1.8b
14. Aziz Akhannouch (Morocco) – $1.7b
15. Othman Benjelloun (Morocco) – $1.4b
16. Youssef Mansour – (Egypt) $1.3b
17. Yasseen Mansour (Egypt) – $1.2b
18. Christoffel Wiese (S. Africa) – $1.2b
19. Michiel Le Roux (S. Africa) – $1.1b
20. Femi Otedola (Nigeria) – $1.1b
Source: Forbes
Follow Now on our Instagram account
1 307
Kwani Chanuo anaolewa? Au ni Kiki
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Chanuo imepostiwa video ikimuonyesha Chanuo akiwa mahabani na mtu ambaye anaoneka mgongo tu.
Hata hivyo siku za nyuma Chanuo amewahi kusema account yake ya Instagram anayo Madebe
1 307
Kwani Chanuo anaolewa? Au ni Kiki
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Chanuo imepostiwa video ikimuonyesha Chanuo akiwa mahabani na mtu ambaye anaoneka mgongo tu.
Hata hivyo siku za nyuma Chanuo amewahi kusema account yake ya Instagram anayo Madebe
1 307
⚠️😳 "Zaiylisa kwa Manara kafuata pesa na kuongeza umaarufu, Manara mwenyewe bado ni mpana ana mambo mengi ni ngumu ndoa yao kufikisha mwaka, tuwaombee" - amesema Officialsnakegold.Tz msanii Bongofleva ambaye ameachia ngoma ya "Nalia"
1 307
Kampuni ya maziwa ya Siggi, inayojulikana kwa bidhaa yao ya mtindi, inatoa zawadi ya dola 10,000, zaidi ya shilingi milioni 25 za kitanzania kwa mtu ambaye ataweza kuishi bila simu yake ya mkononi kwa muda wa mwezi mmoja.
Kampuni hiyo inasema watu kwa wastani hutumia masaa 5.4 kwenye simu zao kila siku hivyo wameandaa mpango kabambe wa kuwaondoa watu kutoka katika uraibu huo wanaouita "ukomeshaji wa kidigitali".
Ili uweze kuibuka mshindi katika shindano hilo, utatakiwa uandike andiko lako 'insha' ukieleza ni kwa jinsi gani kukaa bila kutumia simu kwa muda wa mwezi mmoja kutaweza kuyabadili maisha yako. Siggi wamekwisha kufungua dirisha la kutuma andiko la shindano hilo na litafungwa rasmi Januari 31.
Mtu yeyote mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kupitia anaruhusiwa kushiriki katika shindano hilo. Kwa taarifa zaidi pitia tovuti yao.
Je, una uwezo wa kukaa mwezi mmoja bila simu Yako?
1 307
NINA MABOSI WANNE TU WANAOWEZA KUNIITA NA KUNIHOJI - BASHE
Hajamtaja Mwenezi wa CCM kwenye orodha yake
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu. Hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote,” Waziri wa Kilimo Hussein Bashe
1 307
Haya ndio makabila yenye wanawake wazuri zaidi (warembo) Tanzania 🇹🇿
1. Wahiraki au wambulu (Manyara)
2. Warangi (Kondoa)
3.Wanyiramba (Singida)
4. Wapemba (Zanzibar)
5. Wamasai (Arusha)
6. Wahaya (Bukoba)
7. Wanyaturu (Singida,kungi)
8.Wapare (Kilimanjaro)
9.Wamakonde (Mtwara)
10. Wadigo (Tanga)
11. Wasambaa (Tanga)
12. Wamanyema (Kigoma)
13. Wanyakyusa (Mbeya)
14. Wasukuma (Mwanza)
15. Waha (Kigoma)
Mtag mwenye kabila lake ajisikie 😄
