E-PLUS MEDIA
Открыть в Telegram
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
1 307
Haji Manara ✍️
"Happy Valentine's My Beautiful Wife,Nakupenda sana na wewe ndio furaha yangu na ndio Usingizi wangu ❤️❤️Kwangu mimi wewe ni Mwanamke bora sana chini ya hili Jua, Endelea hivyo hivyo My Sweetheart, nitakuenzi kwa ukubwa mno 🥰🥰
Sioni aibu wala haya kusema hadharani nakupenda sana, umerejesha furaha na amani moyoni mwangu, now najihisi ni King katikati ya Msitu wa Waja.
Yes: Nazikumbuka zile Msg za wale kuku kwamba hatufiki siku ya leo ya Valentines, eti tutakuwa tushaachana !! wape salaam , na waambie kwa mapenzi yetu na matakwa ya Allah, hii ndoa itatenganishwa na kifo tu Insha'Allah 🙏🙏Kubwa ni Dua tu Mke Wangu👏🏻👏🏻 Tuzisuuze nyoyo zetu na Mahasidi waendelee kuteseka na kuumia 😜" - Haji Manara, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
Toa maoni yako
1 307
"Naanza maisha mapya leo tarehe 15/2/2024, maisha haya ni ya mfungo wa mwezi wa Kwaresma na nawatakia ndugu zangu Wakristo kwaresma njema na Mungu atusamehe dhambi zetu ili tuendelee kumtumikia baada ya mwezi huu, Amin🙏"- Diva baada ya kurudi kwenye Ukristo
1 307
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itawachukulia hatua Watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe huku wakiongezea baadhi ya vitu wakati wa usomaji.
Hayo yameelezwa na Meneja Huduma za Utangazaji, Andrew Kisaka katika mkutano wa mwaka wa vyombo vya utangazaji nchini.
1 307
Mwanaume mmoja kupita mitandao amelalamika kupewa zawadi ya Pilipili na Mpenzi wake ikiwa leo ni siku ya Wapendanao, na kuuliza zawadi hiyo inamaanisha nini!?
1 307
Mama yake anafanya kazi za nguvu kwenye Mgodi wa Shaba Zambia, yeye akawa mcheza mpira wa Makaratasi. Kipaji kikamfikisha Ulaya akaichezea Madrid. Rachel Kundananji ameweka Rekodi ya kuwa Mwanamke mcheza soka ghali zaidi Duniani, baada ya Kusajiliwa kwa Tsh Bilioni 2.2 huko USA
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
Orodha ya Nchi zenye miundombinu bora ya barabara barani Afrika.
1. Misri 🇪🇬
2. Morroco 🇲🇦
3. Mauritius 🇲🇺
4. Afrika Kusini 🇿🇦
5. Algeria 🇩🇿
6. Tunisia 🇹🇳
7. Seychelles 🇸🇨
8. Namibia 🇳🇦
9. Eswatini 🇸🇿
10. Botswana 🇧🇼
11. Cap-Verde 🇨🇻
12. Kenya 🇰🇪
13. Rwanda 🇷🇼
Via FEM 2019.
📷 Johannesburg, Afrika Kusini 🇿🇦
Toa maoni yako
1 307
𝗡𝗔𝗪𝗔𝗧𝗔𝗞𝗜𝗔 𝗠𝗙𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗠𝗪𝗘𝗠𝗔 𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗥𝗘𝗦𝗠𝗔.
Kwa maana u mavumbi wewe nawe mavumbini utarudi. (Mwanzo 3:19)
.
.
.
.Wakristo wenzangu wote Mungu aturinde na atupatie mwisho mwema 🤲 wa maisha ya hapa Duniani.
1 307
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiaga mwili wa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam Februari 13, 2024.
1 307
Dj Ally B amemmiminia vibunda vya mamilioni ya pesa Mke wake Mama Simba kama zawadi ya msimu wa siku ya wapendanao "Valentine"
Katika tukio kwenye video, Mama Simba alikuwa amelala akaamshwa kwa kupapaswa taratibu na noti za elfu 5 kisha akaanza kumiminiwa vibunda hivyo na mumewe huku akiambiwa maneno matamu ya chombezo.
Mpaka sasa kwako hali ikoje? umeshaanza kumzawadia/ kuzawadiwa? au kwako valentine ni haramu.
1 307
Mwishoni mwa karne ya 5, Papa Gelasius alitangaza Februari 14 kuwa siku ya kumbukizi ya Mtakatifu Valentine, kuhani ambaye aliuawa kama shahidi wa imani katika historia ya Kanisa Katoliki na shujaa wa upendo na ujasiri, mwaka 270 (KK) huko Roma.
Februari 14 imekuwa siku maalum ya kusherehekea upendo na urafiki ingawa awali ilikuwa na maana zaidi ya kidini hadi ilipofika karne ya 14.
1 307
Raha Ya Milele Uwape Ee Bwana Na Mwanga Wa Milele Uwaangazie Wastarehe Kwa Amani #Amina
