ch
Feedback

不要被骗子欺骗!Telemetrio 会找到并标记这些频道 👉 如果想查看标记,请订阅 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

前往频道在 Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

显示更多
1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
Haji Manara ✍️ "Happy Valentine's My Beautiful Wife,Nakupenda sana na wewe ndio furaha yangu na ndio Usingizi wangu ❤️❤️Kwang
Haji Manara ✍️ "Happy Valentine's My Beautiful Wife,Nakupenda sana na wewe ndio furaha yangu na ndio Usingizi wangu ❤️❤️Kwangu mimi wewe ni Mwanamke bora sana chini ya hili Jua, Endelea hivyo hivyo My Sweetheart, nitakuenzi kwa ukubwa mno 🥰🥰 Sioni aibu wala haya kusema hadharani nakupenda sana, umerejesha furaha na amani moyoni mwangu, now najihisi ni King katikati ya Msitu wa Waja. Yes: Nazikumbuka zile Msg za wale kuku kwamba hatufiki siku ya leo ya Valentines, eti tutakuwa tushaachana !! wape salaam , na waambie kwa mapenzi yetu na matakwa ya Allah, hii ndoa itatenganishwa na kifo tu Insha'Allah 🙏🙏Kubwa ni Dua tu Mke Wangu👏🏻👏🏻 Tuzisuuze nyoyo zetu na Mahasidi waendelee kuteseka na kuumia 😜" - Haji Manara, Msemaji wa klabu ya Yanga SC. Toa maoni yako

"Naanza maisha mapya leo tarehe 15/2/2024, maisha haya ni ya mfungo wa mwezi wa Kwaresma na nawatakia ndugu zangu Wakristo kw
"Naanza maisha mapya leo tarehe 15/2/2024, maisha haya ni ya mfungo wa mwezi wa Kwaresma na nawatakia ndugu zangu Wakristo kwaresma njema na Mungu atusamehe dhambi zetu ili tuendelee kumtumikia baada ya mwezi huu, Amin🙏"- Diva baada ya kurudi kwenye Ukristo

Shamsa Ford na mumewe Mlilo wao Valentine imewakuta wanamlea binti yao❤️
Shamsa Ford na mumewe Mlilo wao Valentine imewakuta wanamlea binti yao❤️

Bob wa kwenye Tamthilia ya Huba afariki dunia 💔
Bob wa kwenye Tamthilia ya Huba afariki dunia 💔

Uko tayari kufanya kazi kwenye kiwanda hiki kwa mshahara wa shingapi kwa Mwezi?
Uko tayari kufanya kazi kwenye kiwanda hiki kwa mshahara wa shingapi kwa Mwezi?

Kabla Hajatembelewa Na Majini Ya Jangwani Mtoto Wa Watu 😅👇
Kabla Hajatembelewa Na Majini Ya Jangwani Mtoto Wa Watu 😅👇

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itawachukulia hatua Watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe huku wakiongez
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itawachukulia hatua Watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe huku wakiongezea baadhi ya vitu wakati wa usomaji. Hayo yameelezwa na Meneja Huduma za Utangazaji, Andrew Kisaka katika mkutano wa mwaka wa vyombo vya utangazaji nchini.

Mwanaume mmoja kupita mitandao amelalamika kupewa zawadi ya Pilipili na Mpenzi wake ikiwa leo ni siku ya Wapendanao, na kuuli
Mwanaume mmoja kupita mitandao amelalamika kupewa zawadi ya Pilipili na Mpenzi wake ikiwa leo ni siku ya Wapendanao, na kuuliza zawadi hiyo inamaanisha nini!?

Mama yake anafanya kazi za nguvu kwenye Mgodi wa Shaba Zambia, yeye akawa mcheza mpira wa Makaratasi. Kipaji kikamfikisha Ula
Mama yake anafanya kazi za nguvu kwenye Mgodi wa Shaba Zambia, yeye akawa mcheza mpira wa Makaratasi. Kipaji kikamfikisha Ulaya akaichezea Madrid. Rachel Kundananji ameweka Rekodi ya kuwa Mwanamke mcheza soka ghali zaidi Duniani, baada ya Kusajiliwa kwa Tsh Bilioni 2.2 huko USA

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+3
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

Orodha ya Nchi zenye miundombinu bora ya barabara barani Afrika. 1. Misri 🇪🇬 2. Morroco 🇲🇦 3. Mauritius 🇲🇺 4. Afrika Ku
Orodha ya Nchi zenye miundombinu bora ya barabara barani Afrika. 1. Misri 🇪🇬 2. Morroco 🇲🇦 3. Mauritius 🇲🇺 4. Afrika Kusini 🇿🇦 5. Algeria 🇩🇿 6. Tunisia 🇹🇳 7. Seychelles 🇸🇨 8. Namibia 🇳🇦 9. Eswatini 🇸🇿 10. Botswana 🇧🇼 11. Cap-Verde 🇨🇻 12. Kenya 🇰🇪 13. Rwanda 🇷🇼 Via FEM 2019. 📷 Johannesburg, Afrika Kusini 🇿🇦 Toa maoni yako

𝗡𝗔𝗪𝗔𝗧𝗔𝗞𝗜𝗔 𝗠𝗙𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗠𝗪𝗘𝗠𝗔 𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗥𝗘𝗦𝗠𝗔. Kwa maana u mavumbi wewe nawe mavumbini utarudi. (Mwanzo 3:
𝗡𝗔𝗪𝗔𝗧𝗔𝗞𝗜𝗔 𝗠𝗙𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗠𝗪𝗘𝗠𝗔 𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗥𝗘𝗦𝗠𝗔. Kwa maana u mavumbi wewe nawe mavumbini utarudi. (Mwanzo 3:19) . . . .Wakristo wenzangu wote Mungu aturinde na atupatie mwisho mwema 🤲 wa maisha ya hapa Duniani.

Haji Manara na Mkewe waianza Valentine kwa pozi hilo.
Haji Manara na Mkewe waianza Valentine kwa pozi hilo.

Pichani ni Mwigizaji Hemedy PHD akiwa bize kudeka begani kwa mama yake mzazi ❤️
Pichani ni Mwigizaji Hemedy PHD akiwa bize kudeka begani kwa mama yake mzazi ❤️

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiaga mwili wa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Da
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiaga mwili wa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam Februari 13, 2024.

Dj Ally B amemmiminia vibunda vya mamilioni ya pesa Mke wake Mama Simba kama zawadi ya msimu wa siku ya wapendanao "Valentine
Dj Ally B amemmiminia vibunda vya mamilioni ya pesa Mke wake Mama Simba kama zawadi ya msimu wa siku ya wapendanao "Valentine" Katika tukio kwenye video, Mama Simba alikuwa amelala akaamshwa kwa kupapaswa taratibu na noti za elfu 5 kisha akaanza kumiminiwa vibunda hivyo na mumewe huku akiambiwa maneno matamu ya chombezo. Mpaka sasa kwako hali ikoje? umeshaanza kumzawadia/ kuzawadiwa? au kwako valentine ni haramu.

Mwishoni mwa karne ya 5, Papa Gelasius alitangaza Februari 14 kuwa siku ya kumbukizi ya Mtakatifu Valentine, kuhani ambaye al
Mwishoni mwa karne ya 5, Papa Gelasius alitangaza Februari 14 kuwa siku ya kumbukizi ya Mtakatifu Valentine, kuhani ambaye aliuawa kama shahidi wa imani katika historia ya Kanisa Katoliki na shujaa wa upendo na ujasiri, mwaka 270 (KK) huko Roma. Februari 14 imekuwa siku maalum ya kusherehekea upendo na urafiki ingawa awali ilikuwa na maana zaidi ya kidini hadi ilipofika karne ya 14.

Unalipa asilimia ngapi andiko hili la @mrttouchez?
Unalipa asilimia ngapi andiko hili la @mrttouchez?

Umegundua nini hapa? 🤔
Umegundua nini hapa? 🤔

Raha Ya Milele Uwape Ee Bwana Na Mwanga Wa Milele Uwaangazie Wastarehe Kwa Amani #Amina
Raha Ya Milele Uwape Ee Bwana Na Mwanga Wa Milele Uwaangazie Wastarehe Kwa Amani #Amina