ru
Feedback

Не попадитесь на канал ботавода! Telemetrio находит и помечает такие каналы 👉 Хотите видеть метку — оформите подписку

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Открыть в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Больше
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
Waalimu wa karne hizi bana 🤔
Waalimu wa karne hizi bana 🤔

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+6
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

🎂 Batuli Rajabu umekuza sasa, Mungu aendelee kumuongoza mwanao na aje kutimiza ndoto zake na kuwa mtu mkubwa katika jamii, k
🎂 Batuli Rajabu umekuza sasa, Mungu aendelee kumuongoza mwanao na aje kutimiza ndoto zake na kuwa mtu mkubwa katika jamii, kila birthday iwe ya kuongeza kheri na baraka katika maisha yake Happy birthday Khailath 🎂🎂🥮

Pichani kushoto ni Odesia Shusho mtoto wa Christina Shusho, lakini pia kulia ni Christina Shusho mwenyewe. Odesia ni mwanafun
Pichani kushoto ni Odesia Shusho mtoto wa Christina Shusho, lakini pia kulia ni Christina Shusho mwenyewe. Odesia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu lakini pia anaimba kama mama yake ingawa hajaweka mkazo sana kwenye uimbaji.

Huyu Unayemuona Sio demu ni mtoto Wa Kiume anaitwa Dullvan Mkali Wa commedy kutoka Instagram na hapa ni katika Moja ya kazi y
Huyu Unayemuona Sio demu ni mtoto Wa Kiume anaitwa Dullvan Mkali Wa commedy kutoka Instagram na hapa ni katika Moja ya kazi yake ya uchekeshaji🙌🔥🙌

⚠️😳 Mchungani Rose Shaboka awanyumbua na kuwafumua kinadada "Unakuta kasichana kamekaa kanasema nataka mwanaume aliyejenga,
⚠️😳 Mchungani Rose Shaboka awanyumbua na kuwafumua kinadada "Unakuta kasichana kamekaa kanasema nataka mwanaume aliyejenga, mwenye gari na aliyesoma, wewe una nini? unaleta kitu gani mezani?, wanaume wa sasa hivi wamejanjaruka wanataka mwanamke mchapakazi, wanapiga mahesabu hapa hata nikipoteza kazi watoto wangu hawakosi ada" "Kuna wasichana sura huna na akili huna halafu unataka mwanaume tajiri, angalau basi mwanamke usiwe na sura ila akili iwe inafanya kazi, huna sura, huna shepu halafu unakaa unasema unataka mwanaume mwenye gari, nyumba na pesa, wewe una nini?" - amesema Mchungaji Rose Shaboka

⚠️"Sionyeshi sana rangi zangu za kidini, kwa sababu siamini kama ni muhimu sana. Nimesilimishwa wakati ninazaliwa na nikawa m
⚠️"Sionyeshi sana rangi zangu za kidini, kwa sababu siamini kama ni muhimu sana. Nimesilimishwa wakati ninazaliwa na nikawa muislamu na mimi.Sijui kama ningezaliwa familia ya kipagani au kikristo bila shaka ningefuata dini ya wazazi. Kwa kweli watoto hawana chaguo ukimzaa ukiwa muislamu basi atakuwa muislamu labda kitokee kitu ambacho si cha kawaida" "Inapobidi nasoma Quran lakini vilevile nasoma Biblia nina baadhi ya watoto ambao nahusiana nao ni wa Kristo na wengine ni Waislamu na mke wangu ni Mkristo Mkatoliki na ni mtu anaamini sana ndio maana sipendi kubainisha dini yangu maana sioni kama ni muhimu sana" - Mwandishi Mkongwe Jenerali Ulimwengu katika mazungumzo na Clouds TV

Huyu hapa mke wa gerald muhando aliyefariki Dunia..😓
Huyu hapa mke wa gerald muhando aliyefariki Dunia..😓

⚠️😳 Aburutwa Kortini kwa kushindwa kulipa bili hotelini akimsubiri mpenzi Jamaa aliyetambulika kwa majina ya Leavan Namayi L
⚠️😳 Aburutwa Kortini kwa kushindwa kulipa bili hotelini akimsubiri mpenzi Jamaa aliyetambulika kwa majina ya Leavan Namayi Lubango aliyekaa katika hoteli moja ya kifahari jijini Nairobi kwa siku 12 akimsubiri mpenzi wake washerehekee sikukuu ya mwaka mpya 2024 ameshtakiwa kwa kushindwa kulipa bili ya shilingi za Kenya 466,965 ambazo ni sawa na shilingi milioni za Tanzania 7,421,637 Makazi ya Leavan Namayi Lubanga kutoka kaunti ya Homa Bay kwasasa yatakuwa ni gereza la Industrial Area alipopelekwa kusubiri usikilizwaji na maamuzi ya kesi aliyoshtakiwa Leavan alidakwa na polisi tarehe 11 January 2024, katika hoteli ya Pan Pacific iliyoko eneo la Westlands, Nairobi baada ya kushindwa kulipa bili husika “Mheshimiwa nilidanganywa na mwanamke nimsubiri katika hoteli ya Pan Pacific lakini hakutokea. Nilimsubiri kwa siku 12. Nimeshindwa kulipa bili ambayo inajumuisha mlo, malazi na vileo,” Bw Lubanga alimweleza hakimu mwandamizi Gilbert Shikwe

"Ndoto yangu sikutaka kuwa Mchekeshaji au Mwigizaji kwasababu mimi nina akili sana, matokeo ya kidato cha nne nilipata divisi
"Ndoto yangu sikutaka kuwa Mchekeshaji au Mwigizaji kwasababu mimi nina akili sana, matokeo ya kidato cha nne nilipata division one ya 9 na nilitamani kuwa Daktari, lakini kutokana na ugumu wa maisha nyumbani kwetu nilishindwa kwenda kidato cha tano na cha sita. Mimi nimetoka katika familia ya kimasikini vibaya mnoo japokuwa hadi leo sijajipata" "Unajua umasikini unafata mkondo, kama umezaliwa katika familia ya kimasikini kuna mizizi inakushikilia inakung'ang'ania kwahiyo mpaka uje kutoka kwenye hiyo mizizi ni kipengele, ila naamini ipo siku nitafanikiwa na kuiinua familia yangu"- Mkaliwenu

mama wa Irene Uwoya amefanyiwa sherehe ya kutimiza umri wa miaka 60 lakini pia kustaafu. Pichani ni akiwa na watoto wake.
mama wa Irene Uwoya amefanyiwa sherehe ya kutimiza umri wa miaka 60 lakini pia kustaafu. Pichani ni akiwa na watoto wake.

MAHUSIANO YA BABA LEVO YAFUKUTA - Inasemekana kuwa mwanamziki | mtangazaji wa Wasafi Fm Baba Levo yupo kwenye hari mbaya baad
MAHUSIANO YA BABA LEVO YAFUKUTA - Inasemekana kuwa mwanamziki | mtangazaji wa Wasafi Fm Baba Levo yupo kwenye hari mbaya baada ya mama ruby kutishia kujiweka pembeni kwenye safari ya mahusiano na Baba levo. Hii imekuja baada ya Baba Levo kuhusishwa kutoka kimapenzi na mwanadada Asma Wa Cheka Tu. Kusema za kweli Baba Levo Karogeka kweli kweli maana kwa macho yangu huyu Asma hamzidi hata Kidogo Mama Ruby kwa muonekano ((Physical Appearance))...😂😂😂😂

Kinda wa Yanga Clement Mzize akiwa na watoto wake . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Ni watoto wa ndugu zake Kumbuka
Kinda wa Yanga Clement Mzize akiwa na watoto wake . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Ni watoto wa ndugu zake Kumbuka kimaadili mtoto wa mwenzio ni wako😜

"Nyoka Hata Ajivue Gamba Mara Ngapi Bado Atabakia Kuwa Nyoka Tu, Jihadhari Na Baadhi Ya Watu Wanaotaka Kujirudisha Maishani M
"Nyoka Hata Ajivue Gamba Mara Ngapi Bado Atabakia Kuwa Nyoka Tu, Jihadhari Na Baadhi Ya Watu Wanaotaka Kujirudisha Maishani Mwako Baada Ya Kukutenda" "Maneno Ya Marafiki Huwa Ni Matamu Ila Ukweli Wengi Wao Mioyo Yao Imejaa Maradhi Ya Chuki Na Wivu, Kuna BARAKA Na NEEMA Nyingi Umezipoteza Kwa Sababu Ya Kuwaambia Mambo Yako Basi Mwaka Huu Badilika Kaa Kimya Ili Baraka Na Neema Zako Ziwe Salam" - Batuli, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni yako

Mapenzi ni popote 🙌
Mapenzi ni popote 🙌

Orodha ya Nchi kumi (10) ambazo zimepanga kufanya vizuri kwenye muziki wao na kuupeleka kimataifa kwa mwaka 2024. 1. Nigeria
Orodha ya Nchi kumi (10) ambazo zimepanga kufanya vizuri kwenye muziki wao na kuupeleka kimataifa kwa mwaka 2024. 1. Nigeria 🇳🇬 2. Afrika Kusini 🇿🇦 3. DR Congo 🇨🇩 4. Tanzania 🇹🇿 5. Côte d'Ivoire 🇨🇮 6. Ghana 🇬🇭 7. Cameroon 🇨🇲 8. Kenya 🇰🇪 9. Zambia 🇿🇲 10. Senegal 🇸🇳 (Via Music Base Africa) Toa maoni yako

photo content
+2

"Tupo hapa kuwakutakia Taifa Stars 🇹🇿 kila la kheri katika michuano ya AFCON 2023.Afrika Mashariki tupo pamoja na maombi ye
"Tupo hapa kuwakutakia Taifa Stars 🇹🇿 kila la kheri katika michuano ya AFCON 2023.Afrika Mashariki tupo pamoja na maombi yetu yote yapo kwenu"🙏. 💪🏿~KHALID AUCHO 🇺🇬

Mchezaji kinda wa Yanga Clement Mzize anayetajwa kuwa na miaka 19 katika picha ya pamoja na mama yake mzazi Good boy😊
Mchezaji kinda wa Yanga Clement Mzize anayetajwa kuwa na miaka 19 katika picha ya pamoja na mama yake mzazi Good boy😊