ru
Feedback

Не попадитесь на канал ботавода! Telemetrio находит и помечает такие каналы 👉 Хотите видеть метку — оформите подписку

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Открыть в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Больше
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
MBAPPE:NATAMANI MITOKO YANGU YA ZAMANI “Kuna vitu rahisi nilikuwa naviona wakati nikiwa mdogo, lakini kuvipata kwa sasa nalip
MBAPPE:NATAMANI MITOKO YANGU YA ZAMANI “Kuna vitu rahisi nilikuwa naviona wakati nikiwa mdogo, lakini kuvipata kwa sasa nalipa pesa nyingi sana. Nimepoteza uhuru wangu kama binadamu. Siwezi kufanya mitoko kama navyotaka. Kila kitu lazima kiwe kwenye mpangilio, kipangwe. Ningependa kwenda kula kwenye migahawa, kufanya mitoko, kukutaka na marafiki zangu, kwenda kwenye sherehe na vitu vya aina hiyo.” Mshambuliaji wa Paris Saint German, Kylian Mbappe akizungumzia umaarufu.

Christina Shusho mbele ya Madhabahu
Christina Shusho mbele ya Madhabahu

Akram Hafif amefanikiwa kuanza kwa kishindo michuano ya Asian Cup kwa kuifungia timu yake ya Taifa ya Qatar mabao mawili kati
Akram Hafif amefanikiwa kuanza kwa kishindo michuano ya Asian Cup kwa kuifungia timu yake ya Taifa ya Qatar mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Lebanon. Baba yake Akram ni Mtanzania, Hassan Hafif ambaye ni mchezaji wa zamani wa Simba.

Weka oda yako...Mikoani tunatuma 😅🔥
Weka oda yako...Mikoani tunatuma 😅🔥

TANGAZO LA MTU KUPOTEA. Ndugu Matabishi Luhinzo Daniel Ndungue anatangaza kupotelewa na ndugu yake aliepo kwenye Picha, aitwa
TANGAZO LA MTU KUPOTEA. Ndugu Matabishi Luhinzo Daniel Ndungue anatangaza kupotelewa na ndugu yake aliepo kwenye Picha, aitwaye Ntaboba Jean Pierre Luhinzo, Mkaazi wa Congo mkoa wa Sud-Kivu mji wa Bukavu kata ya Kabare. Aliwasili mkoani Dareesalam tarehe 10.1.2024 Kariakoo, Hoteli waliofikia usiku wakaingiliwa na wezi wakaibiwa pesa zote bila kujua walipoamka asubuhi wakakuta milango ipo wazi, wakaenda kutoa taarifa.Walipofika polisi. Walielekezwa wafike ubalozi wa Congo ambapo walipofika ofisi za ubalozi hawakupata Msaada kwa kuwa hazikuw zimefunguliwa siku hiyo. Wakati wanarudi walipotezana njiani na tangu tarehe 11.1.2024 hadi Leo haijulikani alipo. Tunaomba msaada kwa mtu yeyote atakayemuona atoe taarifa Polisi au Kwa mawasiliano na familia kupia namba 0764695325, +243973891326.🙏

Rayvanny tena 👇 "SOMO LA MWISHO LINAITWA #REMIX …… NIKIWA KAMA MR REMIX NISIKILIZE KWA MAKINI …. wimbo wenye viewers wengi Y
Rayvanny tena 👇 "SOMO LA MWISHO LINAITWA #REMIX …… NIKIWA KAMA MR REMIX NISIKILIZE KWA MAKINI …. wimbo wenye viewers wengi YouTube toka Tanzania ianze mzki ni Remix nayo ni ( YOPE x innos) …. Wimbo ulokua wa kwanza kuenda international wa msanii alo change hii game ni Remix ( Number one x davido ) …. Wimbo ulo Vunja rekodi Toka Africa imeanza mziki Duniani ni Remix ( Calm Down x selena gomes ) … Audio YENYE viewers wengi Duniani ni Remix ( despacito x Justinbieber ) Kuna mashabiki wa asake wanasoma hapa wimbo wake wenye viewers wengi kuliko nyimbo zake zote ni Remix ( sungba x Burnaboy ) wimbo Ulo mpa nafasi kubwa duniani wizkid ni Remix ( ojuelebga x drake ) ya mwisho ni chui x maluma ( mamatetema) SASA ENDELEA KUROPOKA USOYAJUA …. REMIX NDIO KWANZA ZIMEANZA NA BADO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 " ameandika Rayvanny. Toa maoni yako

"Licha ya kuwa mimi ni wa kitambo sana lakini muonekano wangu bado naonekana kijana, watu wengi wa umri wangu ukiwaangalia ta
"Licha ya kuwa mimi ni wa kitambo sana lakini muonekano wangu bado naonekana kijana, watu wengi wa umri wangu ukiwaangalia tayari wameanza kutoka makunyanzi. Kinachonisaidia nisizeeke ni kwamba najitunza, nakula kiasi, siendi klabu sana na zaidi natumia muda mwingi kulala kuliko kuzurula. Mimi kama sina kazi huwezi kunikuta sehemu yoyote ya starehe nashinda nyumbani nimelala" "Unajua ukiushughulisha sana mwili ukaunywesha mapombe, ukaulisha mavyakula ya kila aina mwili unachoka haraka unaanza kutoka mikunjo, lakini zaidi napenda usafi ndio maana naonekana mdogo muda wote"- Ben Kinyaiya, Mtangazaji na Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni yako

Huyu Kamanda Kila maonyesho humkosi 💪
Huyu Kamanda Kila maonyesho humkosi 💪

***Japan imetumia Dollars Billion 20 Kujenga kiwanja Cha Ndege Baharini ambako kwa sasa kimeanza kufunikwa na maji ya bahari
***Japan imetumia Dollars Billion 20 Kujenga kiwanja Cha Ndege Baharini ambako kwa sasa kimeanza kufunikwa na maji ya bahari na baada ya miaka michache kitapotelea majini chote***

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+9
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

Wimbo Upi wa Jenifa mgendi....Unaupenda zaidi...??
Wimbo Upi wa Jenifa mgendi....Unaupenda zaidi...??

Ukweli usemwe tu Millard ayo na meena Ally wanaemdana sana kama couple cha kushangaza sio wapenzi 😢
Ukweli usemwe tu Millard ayo na meena Ally wanaemdana sana kama couple cha kushangaza sio wapenzi 😢

Ni Mchezaji wa Kimataifa waTimu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿 Litaje Jina lake kama Unamfahamu ✍️
Ni Mchezaji wa Kimataifa waTimu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿 Litaje Jina lake kama Unamfahamu ✍️

⚠️😳 "Hakuna mahusiano ama ndoa yenye FURAHA na AMANI kama kitu kinachoitwa PESA hakipo 💯, MAPENZI bila PESA upepo ukivuma y
⚠️😳 "Hakuna mahusiano ama ndoa yenye FURAHA na AMANI kama kitu kinachoitwa PESA hakipo 💯, MAPENZI bila PESA upepo ukivuma yana peperuka.Tutafuteni Hela vingenevyo tutateswa sana" - Dr.Modest Bafite

⚠️😭 Ajinyonga nchini Kenya baada ya miaka mitano ya kuhitimu chuo kikuu kisha kutuma maombi karibia 500 sehemu mbalimbali il
⚠️😭 Ajinyonga nchini Kenya baada ya miaka mitano ya kuhitimu chuo kikuu kisha kutuma maombi karibia 500 sehemu mbalimbali ili apate ajira bila mafanikio Mwili wa Vera Omondi ambaye alihitimu 2019 chuo kikuu cha Muliro nchini humo, umekutwa bafuni ukining'inia tarehe 11 January hii, huku vyeti yake vya kitaaluma akiwa ameviacha kitandani Kabla, usiku wa kuamkia tukio la kujinyonga, Vera aliongea na mama yake kuhusu changamoto yake ya kukosa ajira kwa miaka mitano licha ya kutuma maombi lukuki, takribani maombi 500 sehemu mbalimbali kwa mujibu wa taarifa Kamanda wa polisi wa kaunti ya Siaya amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema uchunguzi zaidi unafanyika

"Hakuna mwenye u-bussy huo wa kushindwa kukupa time wewe ya hata dakika 3, ni kwamba si wa muhimu kwake tu, jielewe kisha mov
"Hakuna mwenye u-bussy huo wa kushindwa kukupa time wewe ya hata dakika 3, ni kwamba si wa muhimu kwake tu, jielewe kisha move on"- Salama

Irene Paul ❤️ Unamuonaje kwe Tamthilia yake ya Wimbi?
Irene Paul ❤️ Unamuonaje kwe Tamthilia yake ya Wimbi?

Mwamba huyu hapa basi 500 na hazina route ya mkoa nyingi zipo yard na Wala halingi Au Mzee katupiga na kitu kizito kichwani
Mwamba huyu hapa basi 500 na hazina route ya mkoa nyingi zipo yard na Wala halingi Au Mzee katupiga na kitu kizito kichwani

Hajji Manara na wanawe
Hajji Manara na wanawe

⚠️🥰 Manara, Zaiylissa na watoto wao "Photo of the year 🔥🔥family, furaha ya Maisha ya Mtafutaji ni kuona happiness ya famil
⚠️🥰 Manara, Zaiylissa na watoto wao "Photo of the year 🔥🔥family, furaha ya Maisha ya Mtafutaji ni kuona happiness ya familia yake.Asante sana Zay unanipa amani ya moyo na Watoto wetu, unaniandalia hivi vitu mimi shomvi wa Kiswahili everyday, angalia nnavyonenepa now MashaAllah 🙏🙏Mungu anipe nini tena? Joka la Amboni au 😜" - amesema Manara baada ya kutupia picha hiyo