E-PLUS MEDIA
Открыть в Telegram
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
1 307
⚠️ Mchungaji MC Pilipili, mke wake mchungaji Qute Mena pamoja na Erick Omondi ambapo watakuwa pamoja kutumbuiza katika show ya comedy iliyoandaliwa na Mchungaji MC Pilipili ambaye pia ni comedian
1 307
⚠️ Kanye West ametokeza hadharani kujutia na kuiomba radhi jamii ya Wayahudi kufuatia maneno na vitendo vyake vilivyotajwa kuzua chuki kwa jamii hiyo
Kupitia Instagram Kanye ameeleza kuwa anajutia kutoa maoni dhidi ya Wayahudi kwa kudai kuwa hakuwa na nia ya kuumiza wala kuidhalilisha jamii hiyo
Ikumbukwe kuwa kupitia maoni yake yaliyoelezwa kuonesha chuki dhidi ya Wayahudi yalimfanya mwanamuziki huyo wa rap kupoteza mikataba mbalimbali minono ya kikazi toka makampuni kadhaa wa kadhaa iliwemo Addidas
1 307
⚠️🥰 Richi Mitindo na nyumba inayoelezwa imejengwa na Wolper na sio yeye mume. Comments za kina Zamaradi Mketema kwa Wolper kwenye comments section
Mange alieleza na kuonesha picha kipindi cha nyuma kuwa Wolper anashusha mjengo wake ambao ilikuwa bado kukamilika muda huo kabla ya sasa wawili hao kupost videos kujipongeza
Pamoja na hayo, kwa muda mrefu imekuwa ikitajwa kuwa Wolper ndie yupo vizuri kiuchumi kuliko mume huyo ambaye amekuwa mbunifu wa nguo kwa muda ingawa kafunga duka lake na kurudi China miezi kadhaa iliyopita kupambana huko alikokuwa mwanzo
Ukiacha uigizaji Wolper kwasasa ameweka nguvu zaidi kwenye issue zake za kibiashara ikiwemo ya vipodozi
1 307
⚠️ Waislamu wamshambulia Mohamed Salah kwa kupost mti wa Christimas
Hata hivyo, mwanasoka huyo wa kimataifa toka Misri ambaye anaichezea klabu ya Liverpool kwa muda mrefu haonekani kujali waislamu wanaomtaka asipost kuwatakia kheri wakiristo kwani kila mwaka Salah.amekuwa akipost picha kipindi cha Xmas nyingine akiwa na familia yake kuonesha kujumuika na wakiristo katika kusherehekea sikukuu ya Xmas
Kwa mwaka huu, leo baada ya kupost mti wa Xmas, Salah ameandika ujumbe ufuatao...
"Christmas is a time when families get together and celebrate. With the brutal war going on in the Middle East, especially the death and destruction in Gaza, this year we get to Christmas with very heavy hearts and we share the pain of those families who are grieving the loss of their loved ones. Please do not forget them and do not get used to their suffering. Merry Christmas."
1 307
⚠️🥰 Fahamu: Wimbo wa Mariah Carey(54) "All I Want For Christimas Is You" uliotoka mwaka 1994 kila msimu wa Xmas ukifika unageuka kuwa habari ya mjini na kumuingizia msanii huyo wastani wa shilingi bilioni 5($2 million) sababu wimbo huo unaibuka kushika charts za juu kwenye mauzo
Hata usiku wa kuamkia leo wimbo huo umevunja tena rekodi katika spotify kwa kuwa streamed mara milioni 23.7 na umevunja rekodi yake yenyewe ya mwaka jana ambapo ulikuwa streamed mara milioni 21.2 , hata miaka ya nyuma pia rekodi inavunjwa na wimbo huo
Mwaka 2022 mauzo ya jumla msimu wa Christmas wimbo huo uliingiza dola milioni $8.5 kwa mujibu wa jarida la The Economic na Billboard
Kwa miaka minne iliyopita wimbo huo ndio umeshika namba 1 katika charts za Hot 100 za Billboard kila msimu wa Xmas licha ya kuwa wimbo ulitoka mwaka 1994 kiujumla kila Xmas Mariah Carey ndio anakuwa Malkia wa msimu huo kupitia All I Want For Christimas Is You
All I Want For Christimas Is You unashikilia rekodi kadhaa katika kitabu cha Guiness
Carey ambaye ni mama wa watoto 2 mapacha aliozaa na Nick Canon, anabaki kuwa mmoja wa wasanii wa kike waliopata mafanikio makubwa kupitia kazi za sanaa ya muziki
1 307
⚠️ Waziri Mh.Innocent Bashungwa akiwa na mke wake n watoto wao wanne
Wakati Bashungwa ni mhitimu wa chuo kikuu cha Columbia kilichopo Marekani, mbunge wa Karagwe pia waziri kwasasa, mke wake huyo kwa jina la Jennifer aliwahi kuwa mshindi namba 3 wa Miss Tanzania 2005, mkewe ni msomi pia na amejikita kwenye biashara ya mazao ya kilimo
Ndoa yao ina miaka si chini ya 15
1 307
Baba huko Facebook, Mama yuko Instagram na watoto wako tik tok nyumba imebaki peke yake.
1 307
Bro tulifika poa lakini nilimpa ankoo dinga akamess kidogo tu .... Ingia WHATSAPP 😂😂😂😂😂
1 307
WOLPER NA MUME WAKE WAONYESHA JUMBA LAO LENYE HADHI YA IKULU.
Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya mda mrefu kwamba Jackline Wolper amekuwa akidanganya kuwa anajenga nyumba huku nyumba hiyo ikiwa haijulikani iko wapi, mengi yalisemwa akiwemo Dida Shaibu na Juma Lokole ambao walimnanga Wolper kuwa hana uwezo wa kujenga nyumba kwasababu maisha yake ni magumu mno na ya kuunga-unga.
Usiku wa leo Disemba 25, 2023 Wolper na mumewe wameonyesha jumba lao hilo kuanzia msingi walipoanza kujenga hadi kukamilika. Ni nyumba yenye hadhi yake na ya gharama kubwa kutokana na muonekano wake.
1 307
Aliyekuwa Dereva na mmiliki wa gari ndogo Hamis Chaurembo (27) maarufu kama SIMBA ambaye amefariki baada ya kupata ajali mbaya huko Kibondo Kigoma amezikwa leo.
Ila kuna cha kujifunza hapa kutokaka ma maneno ya baadhi ya marafiki zake.
"Baadhi ya A.K.A alizopambwa nazo ni pamoja na 'Mwendo wa rocket', ndege ya ardhini, Hamisi on fire' Titanic icon' Sukari ya Warembo'
"Alikua akitumia dk 20 hadi 25 kutoka Kibondo hadi Kakonko, watu walimpenda kwasababu ya ucheshi wake, alikua hana baya yeye anawasha gari hata kama amepata abiria mmoja.
"Ahadi aliyojiahidi imetimia, katika kauli zake aliwahi kusema
"Siku nikipata ajali ni lazima niondoke na abiria wote"
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
