E-PLUS MEDIA
Открыть в Telegram
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
1 307
+5
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
+4
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
"Sijarudi kwa Madebe, ile ilikuwa ni kazi na sisi ni wazazi linapotokea jambo la kutuingizia pesa lazima tufanye. Mimi kwa sasa nafurahia maisha ya usingo mama nina amani sitaki tena kurudi nilikotoka. Niko singo endapo tutarudiana nitakuja kwenye mitandao kutoa taarifa na kuwaomba msamaha watu waliosimama na mimi kipindi nilipoelezea shida yangu"
"Nikirudi kwa Madebe siwezi kurudia kimyakimya kwasababu sitaaminika, nilipojitokeza nilisaidiwa na watu wengi hadi viongozi wa ngazi za juu walinipa msaada baada ya kuona niliyoyapitia. Alafu leo wanione nimerudi kule!! sio sasa hizo ni picha tu na Madebe ana tabia ya kumuita mtu mke wangu hata kama walishaachana kwahiyo msichanganywe na maneno yake, ikitokea nimerudi nikasema ila kwa sasa bado"- Chanuo, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa
1 307
"Mimi nilikuwa naishi maisha magumu, ya tabu, kuna nyimbo zangu nilirekodi kwa shida lakini nilipotoa wimbo wa "Tusikate tamaa" nikaupeleka radioni ulipopigwa tu kwa mara ya kwanza watu waliupokea kila mahali nilikopita nilikuwa najisikiliza mimi tu"
"Tangu hapo sikuwa kuishi maisha ya shida ni neema juu ya neema umasikini ukaisha na gari yangu ya kwanza nilinunua nikiwa na miaka 20 kuelekea 21"- Martha Mwaipaja, Mwimbaji wa muziki wa Injili Tanzania.
Toa maoni yako
1 307
+4
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
EMEGUNDUA NINI HAPA..😀
LINK FOLLOW:-https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
Hamisa mobeto X aziz ki..
LINK FOLLOW:-https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
Kama ulikua hujui kuwa CHINI YA BAHARI KUNA CABLES wacha nikufahamishe:-
Unacho kiona hapo chini sio kiumbe hai hicho kinaishi baharini hapana,
Hiyo ni CABLE maalumu iliowekwa na binaadamu,
CABLE hiyo kitaalamu inaitwa MARINE CABLE,
CABLE hiyo ipo chini kabisa ya bahari kama unavyo ona hapo chini,
Na huvuka kutoka bara moja mpaka lingine,
CABLE hiyo kazi yake ni kusambaza huduma ya internet duniani,
Na endapo CABLE hiyo itapata hitilafu kama vile kutobolewa na samaki,
Basi sehemu husika ambayo CABLE hiyo inakwenda lazima ipate shida kwenye internet,
Na hata tatizo lililotokea jana la mtandao,
Ambapo watu wengi barani AFRIKA wameshindwa kutumia mtandao,
Shida imetokea kwenye CABLE hiyo hapo,
Ambapo kwasasa tatizo linashughulikiwa,
CABLE hii inamilikiwa na kampuni kutoka MAREKANI pamoja na URUSI,
CABLE hii inapo ibuka nchi kavu hufungwa kitu maalumu kiitwacho ISP,
ISP kirefu chake ni INTERNET SERVICE PROVIDER,
Hiki ndio kifaa kinacho sambaza internet,
Kutoka kwenye CABLE kwenda kwenye minara ya simu,
Kuja kwenye kifaa chako cha mawasiliano,
Kwa maana nyengine ni kwamba mitandao yote mawasiliano,
Hupata huduma ya internet sehemu moja,
Ambapo mitandao hiyo ya mawasiliano huuziwa huduma hiyo,
Halafu na wao huwauzia wateja wanaotumia kifaa cha mawasiliano kutokana na laini husika,
Ndio maana jana kila laini ya simu ilikua na shida ya kupata mtandao,
Kwasababu chanzo kikuu ni kimoja tu duniani.
Cc:
Dhulkad Madara
1 307
+3
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
+4
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
"Mimi sijasoma sana, nilimalizaga O-level nikapata division four flani hivi ambayo nikichuchumaa kidogo inakaribia kufika ziro. Lakini nilikuwa na bahati nikaweza kupata kazi kwasababu nilikuwa na connection nzuri"- Salama Jabir