fa
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+4
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_me
+5
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+4
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

"Sijarudi kwa Madebe, ile ilikuwa ni kazi na sisi ni wazazi linapotokea jambo la kutuingizia pesa lazima tufanye. Mimi kwa sa
"Sijarudi kwa Madebe, ile ilikuwa ni kazi na sisi ni wazazi linapotokea jambo la kutuingizia pesa lazima tufanye. Mimi kwa sasa nafurahia maisha ya usingo mama nina amani sitaki tena kurudi nilikotoka. Niko singo endapo tutarudiana nitakuja kwenye mitandao kutoa taarifa na kuwaomba msamaha watu waliosimama na mimi kipindi nilipoelezea shida yangu" "Nikirudi kwa Madebe siwezi kurudia kimyakimya kwasababu sitaaminika, nilipojitokeza nilisaidiwa na watu wengi hadi viongozi wa ngazi za juu walinipa msaada baada ya kuona niliyoyapitia. Alafu leo wanione nimerudi kule!! sio sasa hizo ni picha tu na Madebe ana tabia ya kumuita mtu mke wangu hata kama walishaachana kwahiyo msichanganywe na maneno yake, ikitokea nimerudi nikasema ila kwa sasa bado"- Chanuo, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa

"Mimi nilikuwa naishi maisha magumu, ya tabu, kuna nyimbo zangu nilirekodi kwa shida lakini nilipotoa wimbo wa "Tusikate tama
"Mimi nilikuwa naishi maisha magumu, ya tabu, kuna nyimbo zangu nilirekodi kwa shida lakini nilipotoa wimbo wa "Tusikate tamaa" nikaupeleka radioni ulipopigwa tu kwa mara ya kwanza watu waliupokea kila mahali nilikopita nilikuwa najisikiliza mimi tu" "Tangu hapo sikuwa kuishi maisha ya shida ni neema juu ya neema umasikini ukaisha na gari yangu ya kwanza nilinunua nikiwa na miaka 20 kuelekea 21"- Martha Mwaipaja, Mwimbaji wa muziki wa Injili Tanzania. Toa maoni yako

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_me
+4
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

Kama ulikua hujui kuwa CHINI YA BAHARI KUNA CABLES wacha nikufahamishe:- Unacho kiona hapo chini sio kiumbe hai hicho kinaish
Kama ulikua hujui kuwa CHINI YA BAHARI KUNA CABLES wacha nikufahamishe:- Unacho kiona hapo chini sio kiumbe hai hicho kinaishi baharini hapana, Hiyo ni CABLE maalumu iliowekwa na binaadamu, CABLE hiyo kitaalamu inaitwa MARINE CABLE, CABLE hiyo ipo chini kabisa ya bahari kama unavyo ona hapo chini, Na huvuka kutoka bara moja mpaka lingine, CABLE hiyo kazi yake ni kusambaza huduma ya internet duniani, Na endapo CABLE hiyo itapata hitilafu kama vile kutobolewa na samaki, Basi sehemu husika ambayo CABLE hiyo inakwenda lazima ipate shida kwenye internet, Na hata tatizo lililotokea jana la mtandao, Ambapo watu wengi barani AFRIKA wameshindwa kutumia mtandao, Shida imetokea kwenye CABLE hiyo hapo, Ambapo kwasasa tatizo linashughulikiwa, CABLE hii inamilikiwa na kampuni kutoka MAREKANI pamoja na URUSI, CABLE hii inapo ibuka nchi kavu hufungwa kitu maalumu kiitwacho ISP, ISP kirefu chake ni INTERNET SERVICE PROVIDER, Hiki ndio kifaa kinacho sambaza internet, Kutoka kwenye CABLE kwenda kwenye minara ya simu, Kuja kwenye kifaa chako cha mawasiliano, Kwa maana nyengine ni kwamba mitandao yote mawasiliano, Hupata huduma ya internet sehemu moja, Ambapo mitandao hiyo ya mawasiliano huuziwa huduma hiyo, Halafu na wao huwauzia wateja wanaotumia kifaa cha mawasiliano kutokana na laini husika, Ndio maana jana kila laini ya simu ilikua na shida ya kupata mtandao, Kwasababu chanzo kikuu ni kimoja tu duniani. Cc: Dhulkad Madara

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+3
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+4
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_me
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

"Mimi sijasoma sana, nilimalizaga O-level nikapata division four flani hivi ambayo nikichuchumaa kidogo inakaribia kufika zir
"Mimi sijasoma sana, nilimalizaga O-level nikapata division four flani hivi ambayo nikichuchumaa kidogo inakaribia kufika ziro. Lakini nilikuwa na bahati nikaweza kupata kazi kwasababu nilikuwa na connection nzuri"- Salama Jabir

Mtumishi wa Mungu irene uwoya katika muonekano wa kiheshima
Mtumishi wa Mungu irene uwoya katika muonekano wa kiheshima

HAPA BADO NINI MDAU..😀
HAPA BADO NINI MDAU..😀

MOROGORO TANZANIA
MOROGORO TANZANIA

Ukipewa hizi ungekua ngapi..😀