E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
2024 NI MWAKA WA KUWA MAKINI SANA.
2023 inaisha mwaka ambao ulikuwa na matukio mengi na dhiki nyingi duniani kote. Mwaka ambao wachambuzi wa mambo wanasema tathimini yake ni hasi.
2024 ni mwaka ambao unadhaniwa kuwa na matukio mengi duniani ya kutisha na kusikitisha. Ipo hivi binadamu kadri miaka inavyokwenda ndivyo huwa kwenye hatari zaidi ya kupoteza maisha kuliko kuwa hai.
Inadhaniwa kuwa 2024 itakuwa na vifo vingi vya hatari na kutisha duniani. Mwaka ambao kuna tukio kubwa litatokea ambalo litachukuwa roho za wa watu wengi duniani.
Kafara nyingi zinazotaka damu za watu kwenye dini ya shetani zimekusudiwa kutendwa. Ni mwaka ambao kutazuka jambo lenye hatari zaidi ya corona.
Inaelezwa utakuwa ni mwaka wenye dhiki zaidi ya huu mwaka tunaomaliza. Mwaka ambao hutakiwi umuamini mtu kirahisi kabisa kwasababu ni mwaka ambao utachukuwa akili za watu na kuwafanya kutofikiri vyema hivyo matukio mengi ya ajabu yanaweza kutokea.
Usile kila unachopewa katika mwaka huo. Usikurupuke maamuzi mwaka huo. Usiruhusu mtu kuwa karibu na wewe ambae humjui kwani ni hatari kufanya hivyo. Jipe muda wa kufikiri mambo mengi kuliko kutenda.
Haya mambo tunayoyaona kuhusu ushoga na usagaji yataongezeka zaidi ya mwaka 2023. Itakuwa ni kitu cha kawaida tena kwenye jamii za watu. Kagua mambo yako sana mwaka 2024 kwasababu sio mwaka wa kawaida.
Mungu mshike sana muda mwingi tenga muda wa kuwa na Mungu kuliko kuwa peke yako. 2024 bila nguvu ya Mungu na upendo wake ni ngumu kuwa salama. 2024 punguza marafiki wa ovyo anza kuwa na watu sahihi na penda kusoma na kufatilia vitu sahihi.
Abdulrazaki issa
1 307
Hizi hapa Drama Kali za Kikorea za muda wote
1. Jumong
2. All Of Us Are Dead
3. Gwangaeto The Great Conqueror
4. Iris
5. Deep rooted tree
6. East of Eden
7. Swallow the sun
8. City hunter
9. A man called God
10. Yang-pal
11. Dr Jin
12. Innocent Defendant
13. Queen of Ambition
14. Warrior Baek Donsoo
15. General Gyebaek
16. Empress ki
17. Alchemy of Soul
18. Boy Over Flower
19. Rugal
20. King Monarch
21. Gumiho
22. Iljimae
23.Vagabond
Ipi nyingine Kali unayoikubali inastahili kuwepo Hapo??
1 307
VICHWA VITATU NA MABEHEWA 27 VYAWASILI
Vichwa vipya vitatu (3) vya treni za umeme vilivyoundwa na kampuni ya Hyundai Rotem na mabehewa mapya 27 ya abiria yaliyoundwa na kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology (SSRST) kutoka nchini Korea Kusini vimewasili.
1 307
Muonekano wa Viwanja Vipya vya Michezo vya Matumbaku Sports Complex uliopo Shehia ya Miembeni, Mkoa wa Mjini Magharibi vilivyozinduliwa leo na Dkt Hussein Mwinyi.
1 307
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema Ripoti ya Hali ya Uchumi Nchini imeonesha Pato la Mtanzania mmojammoja (GDP Per Capital Income) limeongezeka kutoka USD 399.5 (Tsh. 322,397) kwa thamani ya dola mwaka 2000 hadi kufikia USD 1,200 (Tsh. 2,880,000) Mwaka 2022.
Akiongea leo Jijini Dar es salaam Mkumbo amesema “Tuelewane hapa Tukisema hivi Watu wanasema mbona hiyo hela sina mfukoni, hesabu zake unazipata kwa kukusanya mapato ya Nchi nzima Watu wote milioni 61.7 mapato yao yote ambayo yanakaribia kufikia Tsh. Trilioni 141 unagawanya kwa idadi ya Watu ndio unapata pato la kila Mtanzania mmojammoja”
#MillardAyoUPDATES
1 307
ZUCHU NDIE MSANII BORA MWAKA 2023 AMEWAZIDI WASANII WOTE KITAKWIMU
Msanij wa Bongofleva officialzuchu anastahili kuwa msanii bora wa mwaka 2023 nchini Tanzania
Kitakwimu ndiye msanii aliefanya vizuri zaidi ya wengine mwaka 2023 ndani ya nchi,ngoma saba ambazo zilikua Hitsongs za Zuchu ni pamoja na Utaniua,Napambana,Nani,Honey,Naringa,Chapati, pamoja na Shika.
@officialzuchu ametengeneza Hitsongs saba(7) idadi kubwa zaidi kuliko msanii mwingine Tanzania mwaka 2023 akifuatiwa na @diamondplatnumz alietoa Hitsongs tano(5) ngoma zake mwenyewe akifuatiwa na @marioo_tz alietoa Hitsongs nne(4) kwa mwaka 2023(NB:featured songs zimekua excluded)
@marioo_tz na @diamondplatnumz ndiyo wasanii waliohusika kwenye Hitsongs nyingi zaidi zilizotoka mwaka 2023(hapa tunajumlisha na featured songs) ila @officialzuchu alichowapiku ni kwasababu ngoma nyingi ni zake mwenyewe sio za kushirikishwa.
Hitsongs za @marioo_tz 2023,Tomorrow & Sing from The Kid You Know,shisha,Love song,asante sio hitsong featured songs Yesa by chinno,Sumu,ndembendembe by Byter beast,maokoto,wewe hapo by lonny bway.
Hitsongs za @diamondplatnumz 2023,Yatapita,zuwena,My baby ft chike,Shu!,Achi,(overdose sio Hitsong,pounds and dollars sio Hitsong,Happy birthday sio Hitsong) featured songs Enjoy,Komando,Yaya,tuna kikao e.t.c
Hitsongs za @harmonize 202,Single Again,Zanzibar na sijalewa,Dear X sio Hitsong,hawaniwezi sio Hitsong,Tena sio Hitsong.
Mwaka 2023 @officialzuchu amevunja utawala.wa Wasanii wa kiume kwenye kiwanda cha muziki wa bongofleva anastahili pongenzi.
#halisimediatz
1 307
VICHWA VITATU NA MABEHEWA 27 VYAWASILI
Vichwa vipya vitatu (3) vya treni za umeme vilivyoundwa na kampuni ya Hyundai Rotem na mabehewa mapya 27 ya abiria yaliyoundwa na kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology (SSRST) kutoka nchini Korea Kusini vimewasili.
1 307
NI KWELI NAUMWA SANA LAKINI MANGE KWANINI UNATAKA KUNIUA? NIMEKUKOSEA WAPI? SAWA NIMEJUA MKE WANGU ANANICHITI LAKINI KUSUDI LAKO NI LIPI KWANGU? ; ABDUL
"Dada yangu Mange Kimambi hali yako? natumai uko vyema, ni kweli mimi naumwa wala sijifanyishi kama naumwa watu ambao wako karibu na mimi masaa 24 wanaelewa ni kiwango gani cha mateso ya maradhi ya moyo nachopitia. Maradhi ambayo yamenipelekea kuwa na anxiety, sababu najiwazia afya yangu mpaka nimepoteza furaha ya maisha yangu totally.
Siko hapa kueleza kuhusu Afya yangu, niko hapa kwa faida ya wengi. Mange mimi naumwa na niko kwenye recovery state najihangaikia kupona, kisha unakwenda kuandika mambo ambayo mtu hata awe na moyo mgumu kiasi gani lazima ataumia moyo na bado una-insist watu wanitag nije kuona kuwa niliyenae ndani ananisaliti na mwenzake ofisini ukiwa na madhumuni gani ya Afya yangu hali ya kuwa unajua wazi naumwa?
Mange nimewahi kukukosea wapi? Kwanini unataka kunizidishia maradhi kipindi cha maradhi? Nimenyamaza kwa faida ya moyo wangu mwenyewe kutokana na hali ninayopitia. Moyo wangu unakwenda mbio kila wakati heart rate iko juu, all I need now was peaceful talk ili moyo utulie, lakini unakwenda kuchochea moto pahala moto unawaka na unaandika wazi kwamba nimeze dawa za moyo kabla ya kusoma usaliti ninaofanyiwa nyuma.
Unajua inauma kiasi gani kusoma kuwa mke wako yuko deeply in love with someone else outside na wako ofisi moja? Haijalishi ni ukweli au uongo lakini kipindi hiki nipo kitandani naumwa ugonjwa ambao adui mkubwa ni mawazo kisha unakwenda kunizidishia mawazo unahisi ni sahihi? Ndio maana nimekuuliza nimewahi kukukosea wapi,? Nimekuwa ni mtu wa kushinda hospitalini usiku wa manane, inakwenda miezi sasa bila mtu yeyote kujua zaidi ya watu wangu wa karibu hali ambayo imenipa anxiety (am now officially anxiety patient)
Kisha mtu mwenye hali hii unakwenda kuandika uliyoyaandika kwenye App yako ili nisome what for? Ugomvi wenu nyinyi mimi naingiaje na Afya yangu? Okay sawa nimeshajua ninayeishi nae ndani ana mahusiano mengine nje serious kiasi hicho cha kupeleka mpaka zawadi na kubembeleza mwanaume, mimi inanisaidia nini katika kurejesha Afya yangu? Mimi nakuombea kheri wewe na kila mmoja wao na Mungu akuepushe na maradhi ninayopitia mimi, wewe na familia yako na wao na familia zao"- Sheikh Abdul wa Diva
1 307
Lazima ulipe pesa 5000 ili ukalie kiti cha Baraka
Nabii Huyo umuonae pichani Anaitwa #Prophète_bolo huko Ivory Coast 🇨🇮. Katika ibada tukufu ambayo itakua maalumu Kwa ajili ya kufungia mwaka amewalazimu watu wake kua kujiunga na ibada hiyo lazima kila mtu alipie kiasi cha pesa 5000 francs thamani ya pesa za Nchi hiyo ili akalie kiti cha baraka Kama unavyoona pichani akibariki viti ambavyo vimeandaliwa kwa ajili ya ibada hiyo Tukufu
Ikumbukwe kua ana zaidi ya viti 1000 katika kanisa lake.
1 307
#HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na polisi wa mkoa wa Ruvuma wamemkamata Rakeshi Kato (24) maarufu kama Mayele kwa mauaji ya Afisa wa JWTZ aliyemchoma kwa kitu chenye ncha kali kilichopelekea kifo chake maeneo ya Kawe mnamo Oktoba 25, 2023.
Taarifa hiyo imetolewa hii leo Desemba 31, 2023, na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ambapo amesema kijana huyo baada ya kutekeleza tukio hilo amekuwa akikimbilia katika mikoa mbalimbali ambapo kwa jitihada za kiitelejensia za jeshi hilo lilimkamata na alikiri kufanya tukio hilo.
Source. East Africa Radio
1 307
Kwaku Boakye Gyamfi mwenye umri wa miaka 22 amekuwa Daktari mdogo nchini Ghana baada ya kumaliza masomo yake katika Shule ya Sayansi za Tiba katika Chuo Kikuu cha Cape Coast.
Gyamfi alianza safari yake ya kuingia katika uga wa tiba akiwa mdogo. Akiwa mtoto, alijiandikisha katika Shule ya Montessori ya Danem Royal huko Accra na baadaye alisoma katika Shule ya Upili ya Prempeh.
Gyamfi alihitimu kutoka shule ya upili mwaka 2017 akiwa na umri wa miaka 16 tu. Mara tu baada ya hapo, alipokelewa chuoni. Alimaliza shahada yake tarehe 7 Septemba 2023 baada ya miaka sita ya kusoma tiba.
Bila shaka, yeye ni motisha kwa vijana wanaotamani kufuata nyayo zake.
1 307
Huyu jamaa ana maana Gani kukomenti Kwa kuweka emoji za kucheka mara Baada ya Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za soka (IFFHS) kumtangaza #Erling_Haaland ndiye mchezaji Bora wa mwaka 2023??
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
