E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
⚠️😳 Beka Flavour ashindwa kumuvuoni....alilia na kuwewesekea penzi la mzazi mwenzie ambaye tayari ana mahusiano yake mengine
"Ahsante M/Mungu nimeuona mwaka 2024 🙏🙏 lakini naomba niwe muwazi kiukweli mwaka uliopita 2023 haukuwa mwaka mzuri kwangu hasa upande wa mahusiano😭🙆♂️ yupo dada ambaye nilitokea kumpenda sana na bado nitaendelea kumpenda sana maishani mwangu
huyo dada nilibahatika kupata nae mtoto mmoja handsome boy wangu Aaryan Beka Flavour kiukweli nampenda sana huyu mtoto lakini nampenda sana pia mama yake, nimejaribu kutafuta mbadala wake nimefeli
Please popote ulipo mama Aaryan rudi tuishi wote nitakupokea na nitakupenda 🙏❤" ameandika Beka
Katika post nyingine Beka Flavour amepost picha ya ya Happy ambaye ndie mama mtoto wake huyo kisha kuandika...
"Missing you mama Aaryan, nakuombea mema kwenye mahusiano yako ambayo uko nayo but still nitaendelea kukupenda maisha yangu yote, umenizalia mtoto mzuri sana hamdsome boy wangu Aaryan Beka Flavour nampenda sana mtoto wangu na nakupenda pia wewe mama yake"
Happy na Beka Flavour wamekuwa kwenye mahusiano muda mrefu hadi kupata mtoto, hawajawahi kufunga ndoa licha ya kuelezwa walikuwa wanaishi pamoja, walishawahi kuachana na kurudiana lakini bado haijulikani wazi chanzo cha kuachana kwao mara ya mwisho wala nani alimkosea mwenzie
1 307
⚠️🥰 Trisha Khalid mrembo wa nchini Kenya asherehekea kutimiza miaka 19 na ndinga mpya
Picha vizuri kwenye comments section
1 307
⚠️😢 Emmanuel Mbasha afunguka kuhusu tukio la kuchomwa visu mwilini
"(Zaburi 124 Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa, Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia. Papo hapo wangalitumeza hai, Hasira yao ilipowaka juu yetu .....
Naomba nitumie Muda huu Kumshukuru Mungu kabla ya kumaliza mwaka huu wa 2023. Mnamo tarehe 2-9-2023 nilichomwa Visu mara kadhaa kifuani tumboni na kwingineko, chanzo ilikuwa ni makosa ya barabarani ambapo Jamaa alinigonga kwa gari yake aina eskudo aligonga gari yangu kwa ubavuni upande wa kulia, nikashuka kwenda kumuuliza kwanini unanigonga?
nilipomuuliza alitaka kukimbia na ndipo nikamuuliza kwann unataka kukimbia Tena?nikamwambia shuka kwenye gari uone ulivyoharibu gari langu nilipomuona tu nikatambua kwamba Amelewa sanaaa,na alivyoshuka kwenye gari yake alikua Amelewa sana mno nikaongea nae kwa wema kabisa anilipe nikarekebshe gari langu akakubali kulipa
Cha ajabu akaingia kwenye gari yake na kutoka na kisu akanichoma nami sikuweza kutambua kama alikuwa na kisu maana ilikuwa ni giza na sikuwa na wazo hilo kama anaweza kunichoma kisu maana niliongea nae kwa amani... wakati ananichoma sikuwa najua kabisa kama atakuwa ameshika kisu na kukificha kwa nyuma..
Nilikimbizwa Amana.Na aliyenishambulia alishikwa akawa kituo Cha Polisi Kimara muda wote mpaka nilipopata nafuu..Mtuhumiwa alituma ndugu zake kuja kuniona wakati wote nikiwa Amana hospital na kuniomba msamaha kupitia ndugu zake, mama yake, wajomba na baba zake wadogo na Akakiri kuwa alifanya makosa na alikunywa pombe sana..
Baadae nilipotoka Amana waliomba kukutana na familia yetu tukakaa kikao Wakaomba Msamaha kwa kujutia.. nami NIKAMSAMEHE! tukapanga siku ya kwenda kufuta Kesi Kituo Kikuu Cha Polisi Gogoni nikafuta kesi na akawa huru mshitakiwa.
Nachukua fursa kumshukuru Mungu kuniponya maana damu nyingi sana ziliangukia kwenye mapafu na kwingineko ndani ya mwili.. Nawashukuru madaktari wa Hospital ya Amana kwa ufanisi wao
Nawashukuru sana Amana Hospital upande wa VIP Nawashukuru/ Madakatari wote/manene. Naishukuru Serikali yangu ya Tanzania chini ya Mh.Rais Samia kwa kunijali na kunisaport kutibiwa kwangu
Nawashukuru wote mliokuwa pamoja nami kwenye kipindi kigumu"
1 307
⚠️😳 Jamaa kwa jina la David ametupia picha ya wawili hao kisha kujiuliza kama zama za wanawake kuheshimu na kunyenyekea wanaume zitarudi
1 307
⚠️🥰 Jamaa huyo ameibuka kusherehekea miaka 10 ya ndoa yake na mkewe huyo ambaye walifahamiana miaka 24 iliyopita
Amesema mwaka 1999 wakiwa shule ya sekondary ndipo mke wake huyo nae akaja kujiunga na shule yao na wakawa wanasoma darasa moja. Amesema mkewe huyo alikuwa mwanafunzi mpole asiye na pilikapilika darasani ila yeye mwanaume alikuwa monita wa darasa hivyo akawa anamuandika makusudi kama miongoni mwa wanafunzi wasumbufu darasani ili tu kumchokoza kwasababu akikaa karibu na mtu mpole anaboreka
Ameeleza siku moja alikutana na mkewe huyo mitaani akiwa hajavaa sare za shule hapo ndipo akapigwa na bumbuwazi kwa jinsi alivyo mzuri na mrembo kuliko wasichana aliokuwa akidhani ndio wazuri zaidi darasani, hapo alihitimisha kuwa sare za shule huwa zinaficha uzuri wa wadada wengi
Walimaliza elimu ya secondary 2004 , alimueleza kuwa anampenda ila mkewe huyo akamjibu kuwa hatutawezana mimi na wewe ni watu tofauti kabisa kwahiyo tuwe tu marafiki wa kawaida suala la mapenzi lisije akili mwako
Hata Hivyo, ameweka wazi kwamba 2013 walifunga ndoa na hadi sasa wanaendelea vizuri sana kwenye ndoa yao
1 307
⚠️😳 "Abdulrazak hufai kuwa mume wa mwanamke yeyote hapa duniani" - Mange awang'ata na kuwapuliza Diva na mumewe
"Sheikh Abdulrazak.Sakum Kwanza kabisa pole, ugonjwa ni kitu kingine kabisa. Mimi naamini hata mtu aweje Ila anapokuwa kwenye suala la ugonjwa kama kuna la kumsaidia lazma asaidiwe na sio sawa kumzidishia ugonjwa. So I’m sorry kama nimekuongezea stress..Kwa tuliosoma Cuba tumeelewa kuwa umenitumia mimi kufikisha ujumbe kwa mkeo.
Yani hiyo posti 20% ilikuwa kwa ajili yangu and 80% kwa ajili ya mkeo…..Mkeo ana matatizo ya self esteem, ana matatizo ya kujitambua, ana matatizo ya ak1li. Diva huwa anaishi kwenye dunia yake mwenyewe, kwenye hiyo dunia yake yeye ni Beyonce, ana dola bilioni bank, na sio Beyonce tu ila kafanana sura mpaka shepu na Beyonce.
Yani nahisi huko tunapokwenda na last name atabadilisha iwe Knowles ili akamilishe uBeyonce wake. Namuombea one day apone na amkubali Lovenesss na ampende Loveness then na yeye atapata wa kumpenda. Sasa hivi anamchukia Loveness kiasi kwamba inabidi amfiche hadi sura kwa kutumia miwani, it’s so sad!
Ila we have to be fair, Diva anachokufanyia sasa hivi you deserve it 100%. Simpendi Diva hata chembe ila ulipokuwa na afya yako ulijua kumtesa yule mwanamke acha na yeye akutese. Yeye kuwa na mchepuko mwanaume mmoja you can’t compare na endless ya michepuko ya wanawake wako wewe.
Mkuki kwa nguruwe. Mimi ndo ninae ripotigi madudu yako yoooote na nitakuwa mnafki leo nikikutetea eti sababu nachambana na yule(Diva). Wewe hufai kuwa mume wa mwanamke yeyote hapa duniani. Nisichomsapoti ni Diva kukufanyia hivi kipindi unaumwa hoi.
Mimi siwezi kumwacha jamaa yangu kipindi cha ugonjwa, nitasuburi apone ndio niagane nae kiroho safi. Kipindi uko sawa Diva alivumilia ushenzi wako wooote sababu ulikuwa mzima leo unaumwa ndo anakumbuka ulivyomtenda? Hana ubinadamu
Asimame na wewe mpaka upone ndo aamue kama anataka kuwa na wanaume kwenye magari na vyooni na huyo jamaa yake ambae hampendi hata chembe.
..Anyways, pole brother, nakuombea upone na ukishapona badilika, acha tabia zako mbovu. ..Again I’m sorry kwa kukuumiza huku ukiwa at your lowest. I’m so sorry.".ameandika Mange Instagram
1 307
Mzee Kubanda ambaye ni baba mzazi wa msanii Fid Q amefariki dunia, Mazishi yatafanyika kesho kijijini kwake huko NASA. Amethibitisha Fid Q
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
Karim Benzema amefuta ukurasa wake Instagram ambao ulikuwa na Wafuasi zaidi ya milioni (76) huku chanzo kikidaiwa kuwa ni Mashabiki wa klabu yake ya Al Ittihad kumkalia kooni baada ya kupoteza kwa mabao (5-2) dhidi ya Al Nassr ya Cristiano Ronaldo.
Toa maoni yako
1 307
Video za Wasanii wa muziki wa Afrika zenye idadi kubwa ya Watazamaji (views) wengi kwa mwaka huu wa 2023.
1. 🇨🇲 Libianca - People (239)
2. 🇳🇬 Spyro - Who’s Your Guy (remix) ft. Tiwa Savage (113)
3. 🇿🇦 Tyla’s - Water (89)
4. 🇳🇬 🇿🇦 Davido - Unavailable ft. Musa Keys (82)
5. 🇳🇬 Victor Thompson - This Year (Blessing) ft. Ehis D Greatest (64)
6. 🇳🇬 Rema - Charm (61 million views)
7. 🇹🇿 Jux - Enjoy ft. Diamond Platnumz (50.9)
8. 🇳🇬 Burna Boy - Common Person (50.4)
9. 🇹🇿 Diamond Platnumz- Yatapita (43)
10. 🇳🇬 Ayra Starr - Sability (41)
1 307
"Nilipoamua kuachana na ndoa yangu niliwapikia chakula cha hovyo sana, nilitia sukari kwenye samaki na mlenda nikaongeza na kitunguu manjano na binzari. Walitapika wote kuanzia mama mkwe hadi wanae, palepale nikaondoka nikawaambia talaka itanikuta nyumbani, walinionea sana" - Tabu Mtingita, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa maoni yako
