fa
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
Picha ya Mlima wa Kilimanjaro iliyopigwa kutokea anga za mbali . #AstronomyKiswahili

KUTOKA MITANDAONI Jiunge ukurasa wetu wa Telegram..👇 https://t.me/sportslite

JIUNGE NA KUCHAT KWA KUPITIA KWENYE TELEGRAM CHANNEL GROUP HAPA KWENYE LINK..👇👇 https://t.me/EplusMediaTz

Umegundua nini hapa

SIWEZI KUWA NA WANAUME WA BONGO. _ Msanii wa Hip hop Rose Ree amefunguka kuwa Hawezi kuolewa au kuingia Kwenye Mahusiano na m
SIWEZI KUWA NA WANAUME WA BONGO. _ Msanii wa Hip hop Rose Ree amefunguka kuwa Hawezi kuolewa au kuingia Kwenye Mahusiano na mwanaume wa kibongo Hhi imekuja baada ya kuulizwa kuwa sasa yupo Kwenye Rrlationship (Mahusiano) au hayupo na kama yupo ni mwanaume wa hapa bongo hapa au nje ya bongo?? JIbu lake lilikuwa Kama Hivi:- "Kwanza sipo kwenye Mahusiano ya kimapenzi kwa Sasa Na sijafikilia hata ningekuwa kwenye mahusiano kwasasa siwezi kuwa na Mwanaume wa Hapa Bongo"-Ameongea Rose Ree. Ikumbukwe tuuu kuwa kwasasa Rosa Ree ni mama Wa mtoto mmoja aliyepata na mpenzi wake Wa siku nyingi Ila baada ya kupata mtoto Mahusiano yao yalitawanyika bila kutambulika chanzo cha Kuachana kwao.

STEVE NYERERE NA FAMILIA YAKE - Pichani Ni Chawa Professional Hapa Tanzania @stevenyerere2 Akiwa kwenye Picha Ya Pamoja na Wa
STEVE NYERERE NA FAMILIA YAKE - Pichani Ni Chawa Professional Hapa Tanzania @stevenyerere2 Akiwa kwenye Picha Ya Pamoja na Watoto Wake Aliopata Kwa Wanawake Tofauti Tofauti.

"Nilikuwa nampenda sana mume wangu, nilikuwa sitaki kumpoteza lakini majaribu yalizidi ndoa yangu ikasambaratika. Usicheze na jaribu la ndoa, kuna watu wakiona mtu hayupo kwenye ndoa wanahisi mtu hapendi ndoa. Kwa binadamu mwenye akili timamu hakuna mtu ambaye hapendi mahusiano yake ilimradi hakutafutiwa alijitafutia mwenyewe" "Hakuna mtu anayetamani stress za ndoa, ila adui anajua chanzo cha baraka ni ndoa ikiwa na amani, ili baraka iondoke kwenye familia lazima ndoa iharibike, kwahiyo adui anaipiga ndoa kwasababu anajua penye ndoa ya amani pana kila kitu kizuri. Ndoa yangu ilipoanza kuwa ngumu nikashangaa mume wangu akabadilika, ile sura nzuri niliyokuwa naiona ya mume wangu ikapotea akawa sio yule tena yani sijui alikuwa ananiona kama kituko cha namna gani" "Lakini zaidi ya yote changamoto nyingine nilianza kupata kwenye vyombo vya habari, kipindi kile kulikuwa na gazeti la KIU walikuwa wanaandika makala yangu mpaka wanasema itaendelea toleo lijalo. Kwahiyo kila nikipita njiani nilikuwa nakutana na habari zangu kila kona kwenye magazeti, nilikuwa napewa matukio ya ajabu na ya kutosha, na kilichotokea ni kwamba Waandishi walimfata jamaa yangu akiwa na hasira alafu tayari alikuwa na mwanamke mwingine, kwahiyo alizungumza yote akaongeza na chumvi za kutosha" "Lengo lake kubwa lilikuwa ni kunishusha na kunipoteza kabisa, alikuwa anawaambia Waandishi kuwa nataka nimpoteze Bahati kwasababu nimempa umaarufu alafu ameleta mbwembwele. Kwahiyo mimi ndoa nilikuwa naitaka sana lakini kwa bahati mbaya nilikuwa napata mimba nikizaa watoto wakikaa siku chache wanakufa, akawasikiliza ndugu na marafiki zake wakamwambia ajaribu sehemu nyingine, sasa kwenye kujaribu ikawa sio kujaribu tena ni vurugu, nikaamua kuondoka na hapo ndipo vita ilipoanzia"- Bahati Bukuku alipoulizwa kwenye moja ya mahojiano kwanini aliachana na mume wake Daniel Basila ambapo walifunga ndoa mwaka 2003. Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion njoo inbox 📥

photo content

"Mimi sina maisha ndio maana kila siku naposti nakula miguu ya kuku na firigisi, sina sababu ya kununua mawigi na viatu vya m
"Mimi sina maisha ndio maana kila siku naposti nakula miguu ya kuku na firigisi, sina sababu ya kununua mawigi na viatu vya milioni tano wakati nina vitu vingi vinavyohitaji hiyo pesa, kitu pekee cha gharama ambacho nimewahi kununua kwa gharama kubwa ni dhahabu pekee, sina mchezo na kidogo changu ninachokipata"- Lady Jaydee